Hongereni sn falme wa Oman Kwa kuwajali na kuwaenzi viongozi wenu waliozikwa hapa visiwan zanzibar
@mohamedaley56328 ай бұрын
Ukwel usiopingika..mwarabu hakuleta wala hakufanya biashara ya utumwa kama wnavyo tunga historia za chuki na ubaguz kwa waarabu... bali walioleta utumwa hawaongelewi
@JumaMatao8 ай бұрын
Sisi wazanzibar Hawa wa Oman ndo Kaka zetu
@zinjibaryetu84518 ай бұрын
Haya ndio yanayotakiwa kutunzwa na kuenziwa sio madanguro na mahoteli ya uchafu yalojaaa katika fukwe zetu...Utalii wa wazungu ni balaa tu na hasara. Hii ndio history inayotakiwa kuhuishwa Zanzibar
@MussaMkubwa-l6t8 ай бұрын
Kweli kabisa❤❤❤❤❤
@AbdulSaid-b2p8 ай бұрын
Hahahaha kwaheri mkoloni mweusi Tanganyika inshaallah zanzibar itaraud katika mamlaka yake Amiin mambo ni kidogo kidogo ila sure inaanza kuonesha Amiin
@BakariMakame-j5f8 ай бұрын
Serekali yangu ya mapinduzi ya Zanzibar kutafuta pesa muko vizuri kwani ayo makaburi hayapo tena
@SuleimanMussa-x5i4 ай бұрын
Kwanza watanganyika hawatutaki hata kutuona ukiangalia ata uko bungeni wana kuwa na ubaguzi mtani ndio kuzidi wanatuona kama sii ni wakimbizi tuu katika nchi yao ila wakija uko viongizi wetu wana wakubatia na kuwapa nafas kubwa kuliko ata ss
@111dudi9 ай бұрын
I hope this will correct the belief that the sultans were the slave traders.
@modyworldmody42979 ай бұрын
Only missionary from zionist entity and churches will give negative history
@omarmohammed51579 ай бұрын
Leave yuor waste in your mind
@nasseralhatmi17628 ай бұрын
Fuck youuuu nyauuuuu jeusiiiiiiiiiiiiiii pumbavuu mbona huwataji Wazungu kuwatesa Mababu zako na ndio waliofanya Utumwa na sio Waarabu mbwaaaa wewe umelaaniwa na Mwenyezi Mungu pumbavuu na mbona mnapokea misaada kutoka kwa Waarabu? Shogaaaaaaa jeusiiiiiiiiiiiiiii lisilijua History ya Zanzibar pumbavuu wewe
@alialamoudi97299 ай бұрын
انا لم استوعب ان السلطان جمشيد كان من مواليد زنجبار وامه مواطنه أفريقيا إذا هو مواطن ثانيا كيف تحصلت زنجبار علا استقلال كامل من بريطانيا فهل هنا المستعمر البريطاني اعطا حريه في تنقانيكا ثم اعطا الزنجبارين استقلال هنا من كان الحاكم العرب والا الإنجليز وكيف الزنجبارين اختاروا فريق العرب وهل العرب لا يجوز لهم حق المواطنه طالما انهم مولودين اب عن جد وما هي الأسباب التي أدت إلى انقلاب علا حكومه منتخبه أو فاز في التصويت الأمر محير
@EshaHamd-ed9yv8 ай бұрын
Waarabu hamuwataki lakini siku zote umo katika nchi yao munaomba Misaada kwao au Baniani mbaya kiatu Chake dawa Wazungu hamuwagusi sababu Wanawaketea tamaduni za Kimagharibi Mahoteli Katika fukwe za bahari wakaleta ufasiki na Ulawiti hao hamuwagusi lakini Waarabu Kila kitu wataleta utumwa Wazungu je wanaleta Umwinyi na Ulawiti
@ndimimaskati36418 ай бұрын
Wacheni ujinga kazi zenu kutukana Waarabu , Watanganyika wanaitawala Zanzibar mmeufyata na Tanganyika wanazidi kutuletea Watanganyika kuitawala Zanzibar.
@ndimimaskati36418 ай бұрын
Pesa za Waarabu mnazitaka mkiwa na Shifau, kazi zenu ni kuomba hamna mnaloweza kufanya majengo yote ya kihistoria yanaanguka mkipewa pesa mnazila.
@SalimAbdallah-tg1yo8 ай бұрын
Unakereka ukiwa wapi kwani
@SalimAbdallah-tg1yo8 ай бұрын
Unakereka ukiwa wapi kwani
@LovelyBoardGames-no6lw8 ай бұрын
Mwandish na yy anakosea bnadam hajakamilika madhali ushaelewa tn haina haja ukaibishia km ivo ni mistake tuy
@ahmeddior40429 ай бұрын
Sasa tushike lipi? Katibu mkuu kasema wafalme tisa (9) wamezikwa hapo lakini mwandishi anasema sita (6) yupi kapatia au yupi kaenda mchomo😂
@jaysullman36979 ай бұрын
😂😂😂 Mwandishi pasua kichwaa
@rushydahmed91798 ай бұрын
shika la katibu mkuu, mwandishi ni mbabaifu ni kuziwa hajui afanyalo
@SNTVOnline588 ай бұрын
samahanini wapendwa nimakosa ya kibinaadamu apo ilikua wafalme 9 sio 6
@SNTVOnline588 ай бұрын
Wafalme tisa sio sita ni makosa ya kibinaadamu
@feisalboy67029 ай бұрын
Waarabu wabaya wataleta utumwa lkn misaada yao mnaitaka
@omarmohammed51579 ай бұрын
Ndio uhalisia ulivo
@AlyadamMazruy9 ай бұрын
Kwel wanawatukana kila siku lkn misaada hawaikatai ajabu wallah