Jinsi ya kupanga malengo kitaalamu Paul Magola

  Рет қаралды 10,849

Paul Magola

Paul Magola

Күн бұрын

tatizo la watu wengi kushindwa kutimiza malengo hutokana na kushindwa kupangilia malengo yao katika mpangilio sahihi . Kupitia video hii Paul Magola amechambua na kutofautisha aina za malengo na jinsi ya kuyapanga kitaalamu .
Kwakujifunza zaidi unaweza ku subscribe kwenye channel yetu ya Paul Magola
au kwa maoni na ushauri tuandikie;
magolapaul@gmail.com
#paulmagola
@paulmagola

Пікірлер: 16
@farijanibakari9018
@farijanibakari9018 Жыл бұрын
Good Mr welcome tanga bumbuli
@mpazijuma962
@mpazijuma962 4 жыл бұрын
I really enjoyed that day, may Almighty God raise you up bro.
@johnmakame8449
@johnmakame8449 4 жыл бұрын
Kweli kaka sema jina tumeshea me john magola
@datiuskamushanga8972
@datiuskamushanga8972 4 жыл бұрын
Namiss 90 yangu mkuu
@wilsonkitundu8835
@wilsonkitundu8835 2 жыл бұрын
We n mkali cn kaka mungu akupe maixha marefu kwa elim unayoitoa
@paulmagola1842
@paulmagola1842 2 жыл бұрын
Ameni kaka
@mathiashenerco3698
@mathiashenerco3698 Жыл бұрын
Malengo madogo madogo ndio kama yapi??
@priscamaganga4136
@priscamaganga4136 2 жыл бұрын
Je ukitaka kufanikiwa katika masomo
@annastaziachille2204
@annastaziachille2204 4 жыл бұрын
Tuyakutafuta magola tutakapofikia hatua ya pili, tuko 7 tunajipanga kuanzisha mradi. Tumeshaanza kuchukua hatua ya malengo ya muda mfupi kwa ajili ya kufanikisha lengo LA muda mrefu
@paulmagola1842
@paulmagola1842 4 жыл бұрын
Karibuni sana dadazangu
@emanuelsengenge8043
@emanuelsengenge8043 2 жыл бұрын
Kaka mm nina kipaji cha kuimba ila cjui namna kukuza kpaji changu ili kila m2 aweze kukitambua
@octaviankulaya9839
@octaviankulaya9839 3 жыл бұрын
Paul nimepata madini mengi na nikupongeze sana na jifunza mengi sana toka kwako
@paulmagola1842
@paulmagola1842 3 жыл бұрын
Amen kaka usisahau kushea na wengine video zinazokupendeza ili unisaidie kubadirisha wengi zaidi kaka
@allyzahoro655
@allyzahoro655 4 жыл бұрын
Naomba namba zako kaka nahitaji Sana msaada wako kaka
@paulmagola1842
@paulmagola1842 4 жыл бұрын
0710152174
@priscamaganga4136
@priscamaganga4136 2 жыл бұрын
Je ukitaka kufanikiwa katika masomo
NGUVU YA ZIADA KWENYE KUWEKA MALENGO - JOEL NANAUKA
41:10
Joel Nanauka
Рет қаралды 122 М.
Help Me Celebrate! 😍🙏
00:35
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 65 МЛН
哈哈大家为了进去也是想尽办法!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:33
Inawezekana Kufikia Malengo Yako Usikate Tamaa   Joel Arthur Nanauka
23:06
TENGENEZA MAISHA UNAYOYATAKA - JOEL NANAUKA
16:51
Joel Nanauka
Рет қаралды 124 М.
UNAWEZAJE KUONGOZA BILA KUTUMIA CHEO AU NAFASI - JOELNANAUKA
1:06:28
Joel Nanauka
Рет қаралды 42 М.
Jinsi ya kutImiza malengo yako kwenye ulimwengu wa Sasa.
55:40
Joel Nanauka
Рет қаралды 105 М.
EPUKA MAKOSA HAYA KWENYE SAFARI YA MAISHA YAKO  - JOEL NANAUKA
10:22
Mambo 3 matatu muhimu kuzingatia ukitaka kufanikiwa Paul Magola
10:00
UBONGO WA MWANADAMU - JOEL NANAUKA
13:23
Joel Nanauka
Рет қаралды 71 М.
AMUA UNACHOTAKA LEO - JOEL NANAUKA
17:14
Joel Nanauka
Рет қаралды 103 М.
Siri (8) za Kufanikiwa Kiuchumi Na Reginald Mengi
11:32
Pesa360
Рет қаралды 75 М.
Help Me Celebrate! 😍🙏
00:35
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 65 МЛН