Mimi naitwa Justin shedi Sasa twende kazi...big up bro 🇰🇪
@abdallahkassim-z2e3 ай бұрын
Mambo vp shed naomba uwichambuwe filamu ya double inmpact na walifanyaje mpaka wakaonekana wawili
@muhsenali1237 ай бұрын
Nime kuwa Wa kwanza naomba like🎉 zangu
@Muzammil99p7 ай бұрын
We wacha 😂 mimi ndio wa kwanza
@ireensollo47997 ай бұрын
Za nini
@judychepkirui53137 ай бұрын
Hizi likes watu uomba ni za nini? Nkt
@MatridaGodfrey-xf1zn7 ай бұрын
Duuh tuwe makini na mitandao na picha zetu pia
@dmg92417 ай бұрын
Mnze huyo anapata kazi iliyokuwa dream yake kisha meme
@BenJustin-ob5bc7 ай бұрын
Ben ❤
@abdallahkassim-z2e3 ай бұрын
Tupe picha yaani behind the sin
@azizayassin36237 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂ila wanawake
@fransickasale7 ай бұрын
Twende kazi
@maryamChumas7 ай бұрын
Ila nyieee hiyo habal yakwanza kuhusu huyo dada na watoto mwanzo niliisikiliza mwaka 2021 kuwa alifanya surgery na watt wake kuwa tofauti hii ilimpelekea kuwa na mgogoro na mumewe hee😂😂😂 kumbe sio kweli ilikuwa tangazo nyie walah uongo unasambaaa zaidi na watu wengi kuamini kama mm niliamini bado nikasimullia wenginee hiki kisa nyieeeeee mungu mungu nisameheee ama kweli usitiee neno bila kuwa na uhakika😢😢😢😢😢😢😢pole dadat jaman ungekuwa mbali upande wa model jaman ❤❤❤❤
@mwanaidimussa7 ай бұрын
Mm piaaa ety mume wake akamshitakiiii kwann alimdanganyaaa uhalisiaaa wa sura yakeee
@maryamChumas7 ай бұрын
@@mwanaidimussa we acha tu jaman dd ndoto zikaishia pale duuu mwenyezi mungu amuinuee tenaa