Yani wazungu ndo maskini zaidi kuliko wafrika,yani ombaomba ni wengi mno katika nchi zao hadi utashangaa,hiyo milioni tano ni uongo ni chache,kwasababu utafiti nilioufanya mwenyewe hapa marekani maskini ni wengi mno mno mno yani watu mnalipwa dola 700 labda kwa wiki ila chakula kwa siku moja kinagarimu 100$,bado kodi ya nyumba,bado kulipia umeme,bado maji,bado gas kwajili yakuweka joto au baridi ndani. Yani huku walio na pesa ni wale waliowahi kupata pesa ila maskini ni wengi mno afu hawana matumaini hata kidogo ya kuwa na maisha mazuri ndio sababu watu wanajiua mno,ila Afrika asilimia kubwa watu wana nyumba zao,wana familia zao,wana matumaini mazuri ya kesho,tusizarau hiyo neema tuliojaliwa afrika,heti chi zilizoendelea ni kujisifu tu hakuna cha ajabu.
@nellymans-f1v15 сағат бұрын
Acha wanyooshwe 2
@ContentSmartphone-rq6po15 сағат бұрын
Zamu yao thatha chenz😢😢
@ikulunimahalipatakatifu764215 сағат бұрын
THE BERLIN CONFERENCE 1885 - 1886 ... Scramble for Africa ..
@SaidMbulwa-ks4mk15 сағат бұрын
Hatari
@bshhdxgdhjjdhd762710 сағат бұрын
Bumbuklachi😂
@cidewashington67011 сағат бұрын
Kuimba kupokezana wacha wapambane na hali zao Putin wanyooshe hao manyang'au
@@goodluckmsoka3660huo ndo ukwer urusi imazuiwa gesi mafuw so selekali yao haina mapato vitu gali
@jumamussantuiche11 сағат бұрын
Ujermani nyumba kupanga makwao wapi?
@bakarussi542810 сағат бұрын
Ww kwan unazani ulaya raia huwa wanajenga nyumba......serkali ndio hujenga nyumba kwa raia wao zenye viwango na raia wao huishi kwenye nyumba hizo kwa kulipa kodi.....ndo maana unaona wazungu wengi huishi kwenye nyumba mzuri nyumba zile hujengwa na serikal....ili umiliki nyumba ulaya lazima uwe na kipato kikubwa sana maana kumiliki mjengo ni expensive sana.....ulaya nchi inaweza kuwa na watu milioni 100 nchi nzima but wanaomiliki nyumba zao binafsi hawafiki hata milioni 2