KIFO CHA UANDISHI WA HABARI TANZANIA: TUSILAUMU WANAHABARI

  Рет қаралды 11,868

SK Media Online TV

SK Media Online TV

Күн бұрын

Пікірлер: 86
@tibbsminja2575
@tibbsminja2575 Ай бұрын
Taaluma hii inaenda kupitea kwa kuingiliwa na waTawala kuwapa Bahasha mlungula hivyo hawaaandiki tena yale yanayojiri. Asante kwa kutuelimisha.
@mbagalacharambe114
@mbagalacharambe114 Ай бұрын
@@tibbsminja2575 unajua kuna tofauti ya kusema na ushahidi... Yeye naye NI mwandishi aweke mfano mezani WA mambo yaliyo takiwa taarifa zaidi na watawala wakazuia aweke sio kuropoka ropoka Tu ... Binafsi sina tatizo, MTu kwenye hoja akaweka ushahidi mezani tukatafakari, Sio kuchukua vipande vya maelezo vya viongozi Kisha kufanya ndo kama mambo yametendeka. Pia aweke hotuba yote mwanzo Hadi MWISHO ili tujue sababu ya hizi kauli
@mbagalacharambe114
@mbagalacharambe114 Ай бұрын
@@tibbsminja2575 andika wewe au aandike yeye hayo anayo yasema. Natamani nione atoe mfano WA tukio lenye mwonekano unao useme? Ndugu ikiwa wewe huna hizi taarifa au onyesha ulipo kwamishwa kupata taarifa KWA ushahidi na siyo maneno mepesi eti waandiahi Wana nyimwa. Hatutaki maneno majina weka ushahidi mezani uliomba taarifa fulani kutoka kwa mihusika fulani ukanyimwa? Au Toa habari ambayo baadhi ya vyombo vya habari NAVYO vimeripoti taarifa hiyo hiyo kwa kuficha baadhi ya mambo huku wewe uonyeshe hayo mambo. Hapo hata Mimi nnitakuelewa ila siyo ujinga unao uendeleza kila siku kwa kunuu vipande vya clips na kuonyesha ujinga ujinga
@ObadiaZakayo
@ObadiaZakayo Ай бұрын
🐔
@hellaskarras1567
@hellaskarras1567 Ай бұрын
That point daddy ❤❤❤
@JoachimKisoka-d5l
@JoachimKisoka-d5l Ай бұрын
Vyombo vya habari vya Tanzania vilikufa baada ya Kikwete kuondoka Ikulu baada ya hapo tukaona karatasi za kuchambia hakuna mtu mwenye akili anahaangaka na makaratasi.
@JohnAloyce-u2h
@JohnAloyce-u2h Ай бұрын
Uko sawa mzeee
@JehhusRaoul
@JehhusRaoul Ай бұрын
Duh kabisa Akuna waandishi sasa
@mbagalacharambe114
@mbagalacharambe114 Ай бұрын
Acheni upotoshaji hivi kwa utandwazi huu uliopo unaweza kuficha kitu gani? Labda uchi wako tu
@RichardTenga-yj3qo
@RichardTenga-yj3qo Ай бұрын
Hata jicho la mwewe limepofuka?siku hizi halioni tena?au limeng'olewa?
@NuruLutembeja-h1r
@NuruLutembeja-h1r Ай бұрын
Endelea kutuelimisha baba,pamoja sana!
@NuruLutembeja-h1r
@NuruLutembeja-h1r Ай бұрын
Inasikitisha sana,tunaona uchawa tu unaendelea.
@mbagalacharambe114
@mbagalacharambe114 Ай бұрын
@@NuruLutembeja-h1r uchawa NI kwa kuonyesha kuwaunga mkono viongozi Tu? Ila wanao waunge mkono wapinzani nao sio machaww? Achani ujinga nyie na kutaka kuaminisha watu kuwa kuungamkono SERIKALI na viongozi kama NI kosa ... Kwangu Mie chawa NI yeyote Yule anaye onyesha upande wake atakuwa chawa kwa upande huo
@w4058
@w4058 Ай бұрын
Unajuwa fika kama uchawa ni wa CCM maana alosema hayo ni mwenyewe Samia usijifanye mtetezi wao
@StephenMpallange
@StephenMpallange Ай бұрын
Ni kweli kabisa,siku hizi Mimi Wala sitazami kabisa Local Television ,hawana habari Bali ni Journal tu za upambe na Uchawa,Tena ni habari zenye Ladha Moja tu zinaboa,zaidi Sana picha zore zinazoonyeshwa zimekolea rangi Moja tu kijani au njano ni kero tupu,Muziki wote Kila album ni ya kijani au njano picha zake.Hamna kitu ni pumba tupu,Tv zetu,na Magazeti yetu,ni Uchawa mtupu.
@WilbertMalula-vv7ml
@WilbertMalula-vv7ml Ай бұрын
Kaka nitumie email yako ninashida nawewe
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Ай бұрын
✌👊👍.
@SilveryMasalu
@SilveryMasalu Ай бұрын
Hansbert Ngurumo (PhD)
@MzeeBabu-s6y
@MzeeBabu-s6y Ай бұрын
sisomi gazeti wala siangalii taalifa ya habali Mimi uweka bando na kuku fatilia Mzee wangu ngulumo
@salummohamed2689
@salummohamed2689 Ай бұрын
Ni ukweli usiopingika waandashi mmepoteza mvuto, heri ushinde kucheza BAO kuliko kusoma maandishi ya wanahabari wa kitanzania au kusikiliza taarifa za habari zilizokusanywa na chawa.
@wilsonsikahanga1761
@wilsonsikahanga1761 Ай бұрын
sasa hivi kuna mchakato mkubwa unaendelea kukinyog'onyesha chama kikubwa cha upinzani kwakuwa gombanisha mbowe na lisu, wamefanikiwa kwa msigwa sasa anawindwa lisu, ili wafifie kama vyombo vya habari🤔
@healingclinic698
@healingclinic698 Ай бұрын
Acha wawagombanishe wakati Chadema itafifia kitainuka chama Chama wapigania haki watanzania dhidi ya majeshi na serikali wanayoilinda Usiku na mchana
@ulomirabiel6980
@ulomirabiel6980 Ай бұрын
Kinachouma sana ni hao waandishi wa habari wanaocheka wakati wakipewa onyo kali na vitisho. Sasa hivi kuujua ukweli angalau tunasaidiwa na mitandao ya kijamii tu. Tv, redio ziro.
@B23-i8p
@B23-i8p Ай бұрын
Nchii yetu Tanzania
@adiliwasanga4521
@adiliwasanga4521 Ай бұрын
Nilijua nimimi tuu kuwa naona vyombo vyahabali Tz nivyahovyo saana, tena hatuna waandishi wahabali wamekuwa machawa wote na watumwa wa ccm naniwatu wakusifia tuu ccm namnabuluzwa kama mambuzi
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Ай бұрын
Sasa hivi kuna uchawa tu na Waandishi wenyewe wakiwa wafuatiliaji utendaji wa kazi zao wanauwawa
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Ай бұрын
Mimi nilikuwa humo enzi ya Mwalimu Nyerere na Karume kwenye gazeti la Uhuru Mzalendo Nationalist Burudani kulikuwa na ukweli sasa hivi waandishi wanaogopa kutekwa na kuuwawa
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Ай бұрын
Waache wafanye waliopangiwa na Watawala nani anapenda kuacha famulia yake inateseka
@StephenMpallange
@StephenMpallange Ай бұрын
Habari ziko mtandaoni tu kwani tunaona wenyewe matukio jinsi yalivyo.Lakini vituo vya TV,na Radio hapa Bongo ni Ziro kanisa hata kisimbuzi silipii sio deal Tena.
@AllyShabani-v5i
@AllyShabani-v5i Ай бұрын
Nakumbuka maandishi ya kina Stanley kamanda na wenzie enzi hizo
@josephlorri431
@josephlorri431 Ай бұрын
Zamani sikosi gazeti la Rai,baadaye Raia mwema, kwa zaidi ya miaka zaidi ya 5 sijanunua gazeti la waandishi wa Tanzania
@NuruLutembeja-h1r
@NuruLutembeja-h1r Ай бұрын
Ni hatari sana!
@ceciliamagalabajimmy4391
@ceciliamagalabajimmy4391 Ай бұрын
Aliyesema mnyonge hana haki mpaka mwenyenguvu apende, hakika ametumaliza.
@GABRIELGAVU-vf7cn
@GABRIELGAVU-vf7cn Ай бұрын
Tamthilia ndiyo habari ya mnini. Ka،i za kuinua msisha na kupanua ufikiri.
@mfwimiekayuki8692
@mfwimiekayuki8692 Ай бұрын
Kwani Elimu yetu ikoje
@kalebphilip3426
@kalebphilip3426 Ай бұрын
Tanzania vtu vng sana haviendeshwi kwa weledi yaan sjui shda ni elimu au ktu gan?kama hz chanel za yu tube sarakas ni nying sana mpaka unashangaa aliyeandika ni mwandsh wa habar au kuli wa kariakoo?
@WilbertMalula-vv7ml
@WilbertMalula-vv7ml Ай бұрын
MIMI SITAZAMI TAARIFA ZA HABARI SIKU HIZI, NAFUATILIA VYOMBO VYA NJE TV ZIMETEKWA NYARA
@ceciliamagalabajimmy4391
@ceciliamagalabajimmy4391 Ай бұрын
Hata sisi watoa maoni tu ni shida, ukitoa maoni unaandikiwa delete, yaani mpaka kero. Ukizuwia watu kutoa dukuduku utaishi ukijua kuko shwari.
@TheodoraAnatory
@TheodoraAnatory Ай бұрын
Mwandishi wa habari akiandika habari stahiki, asubiri kutekwa au kufungiwa chombo chake cha habari, sasa atafanya nini bora asifie na kupindisha kona ili aweze kuishi.
@csato9415
@csato9415 Ай бұрын
Sasa haya anayoongea bi chura kiziwi wanachekelea na kupiga makofi kwa nini ?😔😔
@B23-i8p
@B23-i8p Ай бұрын
Chawa kazini
@mbagalacharambe114
@mbagalacharambe114 Ай бұрын
Acha upotoshaji ... Agenda yenu naimani watanzania tunaweza chambua pumba na Michele ...
@healingclinic698
@healingclinic698 Ай бұрын
Upotoshaji upi unauuona hapo ? Akili yako ndio inaona upoteshaji ila sisi wenye akili zinazozidi propaganda za CCM tunamuelewaaa
@qonquererqanquerer1781
@qonquererqanquerer1781 Ай бұрын
Upotoshaji Gani Sasa Hapo? Yaan Akili za Chawa Hamtaki Ukweli Kabisa.
@songombingo108
@songombingo108 Ай бұрын
Pimbi ni Pimbi tu. 😂😂Akili yako iko matakoni kiasi kwamba unajiziba macho na akili ati huoni kwamba Vyombo vya habari sasa ni kusifusifu tu
@mbagalacharambe114
@mbagalacharambe114 Ай бұрын
@songombingo108 Achani upotoshaji na Hilo ndilo tatizo mkiambiwa ukweli matusi tuuu ... Hicho ndiyo kipimo cha kujua kuwa man agenda behind. Ukweli tunajua, hakika hizi agenda wala hazita fanikiwa huu ndo ukweli
@StarGwanta
@StarGwanta Ай бұрын
Mende ww hatuwatak wanao sema mama 5 tena nakuona ww n chawaccm
@judicatendengerio-ndossi1583
@judicatendengerio-ndossi1583 Ай бұрын
Tofauti ya Mhandisi wa Habari na Mwaandishi wa Habari ni upi.
@MsabahAli-d6u
@MsabahAli-d6u Ай бұрын
Namkumbuka Ali Nabwa na gazeti la Dira
@MkJj-m7g
@MkJj-m7g Ай бұрын
Kwani gazeti la Majira kwa sasa mmiliki ni nani?
@RhodaLema-z8w
@RhodaLema-z8w Ай бұрын
Naomba No yako ya simu ndugu yangu ninalo langu I nataka kushare na wewe
@salummohamed2689
@salummohamed2689 Ай бұрын
Huyu ni Rais, taaluma inazikwa bila sanda.
@simbawateranga7020
@simbawateranga7020 Ай бұрын
Mby Zaidi mwana sheria ndy kaletwa kwenye Hbr..
@knight6757
@knight6757 Ай бұрын
🇹🇿💪
@majaliwabwitonde6900
@majaliwabwitonde6900 Ай бұрын
Mnaandikia matumbo yenu, lazima mlaumiwe tu
@GABRIELGAVU-vf7cn
@GABRIELGAVU-vf7cn Ай бұрын
Ni sawa mfumo wetu wa utawala ulisha zuia kutumia aKili ya taluma zao leo hata daktari anaandika dawa zilizopo stoo na siyo zinazomfaa mgonjwa.
@mbagalacharambe114
@mbagalacharambe114 Ай бұрын
@@GABRIELGAVU-vf7cn sasa hapo Dr anakopa gani? Kwani zilizopo stoo hazimfai mgonjwa? Acha ujinga jamani
@GABRIELGAVU-vf7cn
@GABRIELGAVU-vf7cn Ай бұрын
@mbagalacharambe114 ukikuta mtu amelala amefjifunua uso msaidie kumfunua kiwiliwili aamke kufange maisha. Lakini ukiokuta amejifunika mpaka uso muongezee na blankdti lingine alale salama wewe nenda kuganga maisha. Ukinawa uso utajua mjinga nani kati tangu na wewe. Lala salama. Mjinga ukimuwezesha huwa anafuta ujinga wake hivyo tafuta tusi lingine hilo haliumizi. Naendelea na safari. Kla nasikitika jinsi ulivyo na ufahamu mdogo ndani ya nchi yako. Pole sana.
@mbagalacharambe114
@mbagalacharambe114 Ай бұрын
@GABRIELGAVU-vf7cn Nami nawaona nyie pia mnaufahamu mdogo Acha muda utoe majibu yupi mwenye ufahamu mdogo Kati Mie na nyie? Muda utatoa majibu
@GABRIELGAVU-vf7cn
@GABRIELGAVU-vf7cn Ай бұрын
@@mbagalacharambe114 Hoja huwa zipo na mapungufu pia huwa yapo lakini unapofikia hatua ya kumeita mwanzako mjinga wakati hujui twit yaje yeye alijifunza nini ndipo nashangaa. Kukoso kushidwa kihoja ni jambo la kawaida.. bahati mbaya humu huwa tunatoa kwa kifupi sana kwa jambo pana.
@mbagalacharambe114
@mbagalacharambe114 Ай бұрын
@GABRIELGAVU-vf7cn hivi matusi yanayo tolewa na wengine huwa hamyaoni au
@frankmakyao7657
@frankmakyao7657 Ай бұрын
Inaonekana Mungu alishaisahau TANZANIA. Turudi na tutubu na kila MTANZANIA AANZE kwanza kumtii Mungu na ukisha mtii Mungu wa kweli UTATENDA HAKI, NA HAKI INAZAA UPENDO NA UPENDO HUZAAMSHIKAMANA. NA Amani itaanza kutawala
@frankmakyao7657
@frankmakyao7657 Ай бұрын
Na maendeleo yatakuja yenyewe na HAKUTAKUWA NA HAJA YA KUYATAJA KWENYE MAJUKWAAA
@tanzanianakupenda
@tanzanianakupenda Ай бұрын
Kaka Ansbert wanahabari ni wanadamu. Wanamapenzi na chuki. Kuna wakati wanashindwa kuzizuia. NI KAMA WEWE KAKA INAPOKUJA KWENYE KUONGELEA AWAMH YA 5. Usiwashangae wengine kwa kuwa binadamu.
@amanijampion3045
@amanijampion3045 Ай бұрын
Je wahadhiri wenyewe wanawafundisha nini waandishi wachanga? Waandishi wachanga wametiwa hofu kabla hata hawajafanya kazi
@ShesheKaoneka
@ShesheKaoneka Ай бұрын
Mpuuzi tu huyu, nani atasoma gazeti wakati taarifa zote zipo kwenye simu? Anazungumza uongo sana huyu anapenda kuilaumu serikali kila sekta hii si haki hata kidogo, anataka aandike hata uongo kuaminisha watu halafu aachwe aaaah haiwezekani bwana acha ujinga ngurumo.
@mbagalacharambe114
@mbagalacharambe114 Ай бұрын
Na wewe NI chawa WA huyu mpotoshaji mbona jibu yepesi Tu, usinge kuwa chawa wake naimani usinge muunga mkono huu ujinga anao fanya ama nakosa?
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz Ай бұрын
Tanzania hakuna waandishi wa habari
@adiaygo8546
@adiaygo8546 Ай бұрын
We utahangaika sana kama samaki aliyetolewa kwenye maji😅😅 kila kitu kibaya Tanzania si uje kuweka mambo Sawa umejificha kwenye mapipa huko unapiga kelele 😂😂😂😂
@yassinnabwera4273
@yassinnabwera4273 Ай бұрын
Wewe unatakaje?Asiongee ukweli?Yeye sio Mtanzania?
@adiaygo8546
@adiaygo8546 Ай бұрын
@yassinnabwera4273 bweha ukweli upi uliosikia hapo🐰
@josephwilliammnyune5464
@josephwilliammnyune5464 Ай бұрын
Ndio maisha. Wewe unaona kila kitu ni kizuri Tanzania. Yeye anaona kila kitu ni kibaya. Na ni haki yake kusema.
@yassinnabwera4273
@yassinnabwera4273 Ай бұрын
@josephwilliammnyune5464 Umempa jibu la hekima kabisa lkn kwa kukosa uelewa,hatakuelewa kabisa
@fastonsambo-du4rd
@fastonsambo-du4rd Ай бұрын
Kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo yake
@rodenwapalila7875
@rodenwapalila7875 Ай бұрын
You talk nonsense.
@mbagalacharambe114
@mbagalacharambe114 Ай бұрын
Acha uongo wewe ... Tulikuwepo na tunajua awali na sasa
@ulomirabiel6980
@ulomirabiel6980 Ай бұрын
Uchawa ni dhambi.usijifanye huoni wala husikii kwa sababu ya njaa.
@mbagalacharambe114
@mbagalacharambe114 Ай бұрын
@ulomirabiel6980 NDUGU ukweli usemwe huu no upotoshaji WA Hali juu, na ukweli hauta fanikiwa insha'Allah
@mbagalacharambe114
@mbagalacharambe114 Ай бұрын
Yaani huyu anataka kutuaminisha kuwa mwaka 1960 na sasa Bora mwaka 1960 kuliko sasa ... Acha nifurahi tuu, wakati huu hata sisimizi akijamba dunia yote inajua, Ndugu tupo tunao elewa acheni kutumika Vibaya ...
Lissu azungumzia uongozi ndani ya CHADEMA
11:38
DW Kiswahili
Рет қаралды 25 М.
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
She made herself an ear of corn from his marmalade candies🌽🌽🌽
00:38
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 18 МЛН
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 36 МЛН
BADO SIELEWI. KWANINI TUNDU LISSU ALIMWAMINI ABDUL WA SAMIA?
29:41
SK Media Online TV
Рет қаралды 37 М.
"UKOMO WA MADARAKA"  NI KAMA TRENI YA GWAJIMA?
19:53
SK Media Online TV
Рет қаралды 12 М.
MUME WA ALIYEFARIKI CHUMBANI NA MWANAJESHI  MSTAAFU TABORA AELEZA MAZITO
16:22
Iza vesti: Milan St. Protić
24:37
N1
Рет қаралды 122 М.
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН