WAZEE CCM WAMSHANGAA RAIS MWINYI

  Рет қаралды 7,262

AL FATAH TV ONLINE

AL FATAH TV ONLINE

Күн бұрын

Пікірлер
@KhadijaHussein-qn2ge
@KhadijaHussein-qn2ge Ай бұрын
Kama kujenga nyinyi hamujengi ukifatilia nchi zilizoendelea hazijengi kama mnavyojenga nyinyi nyumba hata pilani hazina mjenga uchafu watu wanateseka na njaa nyinyi mnahadaq watu
@KhadijaHussein-qn2ge
@KhadijaHussein-qn2ge Ай бұрын
Karume katoa nyumba bure jamuhuri ya watu wazanziba wakae leo hawa washenzi wanauza wamewaacha masikini wazalilike
@KhadijaHussein-qn2ge
@KhadijaHussein-qn2ge Ай бұрын
Badala ya kutafuta jamuhuri ya watu wa zanziba ndokwanza wanashangaa gorofa sawa sawa na walewazungu walowaletea viyoo waafirica wakijitazama halafuwao wanatoa zahabu ndo hawa ccm zanziba kama vile waliokua hawajawahi kuona gorofa acheni ujinga tudai kiti chetu cha umoja wa kitaifa gorofa ndo nn hii mijitu ishazoea kuomba
@aboudinternational1819
@aboudinternational1819 Ай бұрын
Kipofu siku moja akiona ndio atakwambia sasa hakuna ndege mkubwa Duniani kama Nzi. Ndio hii sasa
@KhadijaHussein-qn2ge
@KhadijaHussein-qn2ge Ай бұрын
Kweli tumepata mshangao kuona wajinga kama hawa wanaojisifu kwa gorofa haliyakua tunateseka kwa njaa kwani gorofa au miradi ya wapiga pesa
@Zanzibar-e4h
@Zanzibar-e4h Ай бұрын
wao wanashiba na watoto wao
@makameomar5075
@makameomar5075 Ай бұрын
Hii chanel siku hizi imekua haina vipindi muhimu
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 Ай бұрын
😂😂😂 kwani Zanzibar ndo kwanza kuna maghorofa??? . hawajasikiya Kama kulikuwa na beit la ajabu? na majengo mazuri zaidi na ya thamani yalodumu kwa miaka 100 na zaidi hapo Zanzibar. Dr. Hussein ni wajibu na fahari yake akiitengeneza Zanzibar Kama Rais na kafanya mambo mengi kwa muda mfupi aloshika URaisi. Haki yake APEWE. Sasa tusubiri wengine waje wabadikishe mambo mengine. Miaka mitano mitano inakutosheni. Wananchi wa Zanzibar wanataka Maendeleo hawataki FUJO. Walopita hawajafanya kitu. Inaskitisha…..
@mohamoudhussein4570
@mohamoudhussein4570 Ай бұрын
Badala ya kuongelea jinsi ya Kutengeneza Ajira kwa Vijana muko hapo munapiga Porojo tu na UCHAWA.
@R10_Rajab
@R10_Rajab Ай бұрын
Ajira gani ambazo unataka wewe? Kila sehemu kuna miradi mikubwa mikubwa nenda kafanye kazi kijana wacha malalamiko
@abubakarmuhammadsaid3244
@abubakarmuhammadsaid3244 Ай бұрын
​Wazanzibari masikini wanazidi kumasikinika, na wanyonge wanazidi kunyongeka. Ajira munazogawana wenyewe CCM!? Ajira munazowaajiri watanga yika!?
@abubakarmuhammadsaid3244
@abubakarmuhammadsaid3244 Ай бұрын
Tokea zamani hapana asiejua kwamba hii Alfatah ni tawi la CCM
@sulleyally5040
@sulleyally5040 Ай бұрын
Cku moja mualike mzee baraka shamte natamani sanaaa
@Grataaaaa
@Grataaaaa Ай бұрын
Viwanda Bandar vp shekh
@AliAbdullah-oy6yo
@AliAbdullah-oy6yo Ай бұрын
Kwa hiyo hiyo miradi ndo itaipa Zanzibar mamlaka kamili? CCM acheni ujinga hamuwezi kutuhadaa kwa mambo ya upuuzi wa kupita tunachotaka Zanzibar Mamlaka kamili endeleeni kujitoa faham ila ss mapambano yanaendelea.
@hajihassan5433
@hajihassan5433 Ай бұрын
Unajuwa maana ya Mamlaka kamili? Kwenye Muungano hata wa ndoa tu Mamlaka kamili yako je? Zanzibar ni sehemu ya Muungano hata Uongozi wa ACT na vyama vingine husimikwa Tanganyika mfano juzi tu tulimshuhudia Babu Duni aliporwa Uenyekiti, hebu tutafute Mamlaka kamili ndani ya vyama. Napenda sana mjadala wa Mamlaka kamili na mamlaka kamili kwangu ni kuwa nje Muungano lakini mjadala uende sanjali na hatma ya watu mtuambie Wastaafu wa Taasisi za Muungano watapaje pension zao, sisi wenye mali zisizohamishika ambazo zipo upande wa pili hatma yetu nini? nk, mjadala usiishie tu kwenye madaraka.
@abubakarmuhammadsaid3244
@abubakarmuhammadsaid3244 Ай бұрын
​Hayo mambo ya muungano munayataka nyie CCM. Sisi Wazanzibari kipaumbele chetu ni mamlaka kamili kwa Wazanzibari na Uzanzibari.
@AliAbdullah-oy6yo
@AliAbdullah-oy6yo Ай бұрын
Unajuwa ww ​@@hajihassan5433
@RashidHaroun-c2j
@RashidHaroun-c2j Ай бұрын
Mamlaka gani unataka
@AminaRamdhan
@AminaRamdhan Ай бұрын
Maendeleo si majengo maendeleo kula
@R10_Rajab
@R10_Rajab Ай бұрын
Nyinyi si ndio matajiri sisi Watu wa Unguja tunataka majengo na miundombinu kwanza chakula bado tunaweza kufanya, kazi so nyinyi Pemba subirini Athumani atawaletea msosi ndani
@akaumbo9433
@akaumbo9433 Ай бұрын
Hahaha ATHUMANI ​@@R10_Rajab
@abubakarmuhammadsaid3244
@abubakarmuhammadsaid3244 Ай бұрын
​Hayo majumba yanakunufaisheni nyie wezi CCM, sisi Wazanzibari tunahitaji maendeleo na manufaa ya kila mtu kuondokana na umasikini
@RashidHaroun-c2j
@RashidHaroun-c2j Ай бұрын
Umesomeshwa na nani wee kwaiyo wee huli ndo maana huna maendeleo? Mi ninavojua maendeleo ni mabadiliko jee wewe unajua maendeleo ni nini kula au?
@RashidHaroun-c2j
@RashidHaroun-c2j Ай бұрын
​@@abubakarmuhammadsaid3244kazi ya kuondoa umaskini sio ya ccm niya juhudi za mtu mmoja mmoja hata mungu alie na uwezo wa kila kitu hajafanya watu wote wawe tajiri wasiwe na shida kwaiyo ccm ilo sio jukumu lake uwo ni wajibu wako fanya kazi pambana hao matajiri wote hawakupewa na ccm chakarika
@RashidHaroun-c2j
@RashidHaroun-c2j Ай бұрын
Acheni upumbavu wa siasa zisizo na macho magorofa ni maendeleo makubwa
@Nabiilkhamis
@Nabiilkhamis Ай бұрын
Yan ww shekhe said Achana na watu wa siasa
@aishamuhammad7785
@aishamuhammad7785 Ай бұрын
Anatafta umaarufu
@Zainab-m9f
@Zainab-m9f Ай бұрын
Good
@mohamoudhussein4570
@mohamoudhussein4570 Ай бұрын
Nyie so called ALFATAH twambieni kama hii TV yenu ni ya Tawi la CCM?
@R10_Rajab
@R10_Rajab Ай бұрын
Chuki na roho mbaya havijawahi kumuwacha Mtu wa chokocho na Ntambwe salama
@abubakarmuhammadsaid3244
@abubakarmuhammadsaid3244 Ай бұрын
​Hapana asiejua kwamba hii Alfatah ni tawi la CCM
@RamadhaniMussa-xs5uk
@RamadhaniMussa-xs5uk Ай бұрын
Ayo magorofa yatashusha bei chakula
@RashidHaroun-c2j
@RashidHaroun-c2j Ай бұрын
Magorofa yatasaidia kuongeza nafasi kwa wafanya biashara ya chakula kupata sehemu nzuri ya kutafuta riski zao naiyo itakuwa ni ajira yao vipi apo sio maendeleo?
@OmarMohammedOmarMohammed-h9u
@OmarMohammedOmarMohammed-h9u Ай бұрын
Heeee jamaa wazanzibar washamba wamagorofa dah! sasa hizi shida
@jumamustapha8254
@jumamustapha8254 Ай бұрын
Usitarajie kutakuwa na siku wote tutakuwa na kipato sawa haiwezekani, utofauti wa maisha ndiyo mwendo halisi wa kutumikiana ili maisha yaende. Pasipo masikini/fukara hapana tajiri. Utautowa wapi wakati hakuna mchango wa masikini. Tujitume katika kutafuta mungu haandikii mtu barua kumjulisha kama atakupa kipi.tuache kulalama na kudanganywa kuwa watawala wanatuumiza ni uongo huduma ipi iliyokosekana, kutafuta juu yako mwenyewe.
@BimkubwaOthman
@BimkubwaOthman Ай бұрын
Mwambie Sana maana wengine vuoofu
@Sheba4651
@Sheba4651 Ай бұрын
​@@jumamustapha8254Kwa hivyo mtu masikini ya Mungu, mnyonge muuza dagaa, naye hufanana kimaisha na mtawala? Watu wamezaliwa baba zao wanakula wapendacho, iwe sawa na wale ambao chanal hii hii ya Alftah huwaombea alau wapate chakula cha siku za Ramadhan.
@R10_Rajab
@R10_Rajab Ай бұрын
Kweli
@abubakarmuhammadsaid3244
@abubakarmuhammadsaid3244 Ай бұрын
​Naam Maisha mazuri kwa CCM na viongozi wao tu
@hassanali-og8ym
@hassanali-og8ym Ай бұрын
Picha shot nyengine hazina hedroom
@saidmakombeni5155
@saidmakombeni5155 Ай бұрын
Aso macho apewe gongo ayaone
FAHAMU MAMBO WASIYOYAPENDA WANAWAKE KWA WAUME ZAO. (HUBBULHALAL)
29:17
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 1 М.
FOREVER BUNNY
00:14
Natan por Aí
Рет қаралды 19 МЛН
Trick-or-Treating in a Rush. Part 2
00:37
Daniel LaBelle
Рет қаралды 46 МЛН
Миллионер | 3 - серия
36:09
Million Show
Рет қаралды 1,8 МЛН
HAYA NDIYO YANAYOZUKA ZANZIBAR KILA LEO (UTAMADUNI WETU)
39:10
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 704
MWAMBA KABISA GIRIKI AKISOMA MLANGO WA KWANZA KWA UFUNDI MKUBWA
7:58
'Matokeo ya Uchunguzi kuhusu kupigwa kwangu risasi bado mpaka leo'
51:24
BBC News Swahili
Рет қаралды 115 М.
HAYA NDIO MABALAA YANAYOPATIKANA KATIKA MASALUNI ZANZIBAR
15:49
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 1,7 М.
FAHAMU SIFA ZA MTU MUUNGWANA (USILAMU KWA HOJA)
17:13
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 1 М.
FOREVER BUNNY
00:14
Natan por Aí
Рет қаралды 19 МЛН