Kazi ya Daawah iendelee .. 🎉 .. Allah awalipe kheri nyote .. Aamiyn Tunawapata vyema kutoka Tz 🇹🇿
@mwanajaa-v5xАй бұрын
Sheikh Ramadhan, kwa jinsi mlivyowaelezea maneno mazuri wameelewa na tunawaombea MUNGU Insha Allah awaongoze katika haki na nyinyi pia mtalipwa ujira usiokua na hesabu kesho akhera
@Oman-s5zАй бұрын
Poleni sana kwamajukumu kuwatowa watu katika njia potufu kuwapeleka ktk dini ya haki yakisilamu mungu wabarki sana
@NajmaSeif-f3wАй бұрын
Mashallah nawombeo mema masheikh wetu kwa kazi mnayofanya.
@spartachize122Ай бұрын
Apa ni kenya bdo? Mash Allah ❤Mungu azidi kuwalinda mashekh wetu waendelee kuitangaza Dinn ya Allah
@abdillahramadhani2983Ай бұрын
Mungu awajalie maisha marefu mzidi kuitangaza ya mwenye zimungu
@kadhyanassor5046Ай бұрын
Subhanallah....hizo ngoma humo kanisani wake kwa waume ...Allah awaongoze awaoneshe nuru ...
@SalmanMughal-lq5ltАй бұрын
InshaAllah Astghafurullah syokwasalakasi Hyo Allah Atuongoze woote njia iliyonyooka
@qadarkadaz2598Ай бұрын
Alhamdulilah for islam walahi it's the biggest blessing
@Nora-v1m3pАй бұрын
Ma sha Allah tabaraka Rahman.kazi nzuri walim wangu nampenda saaaana kw ajili y Allah
@abushirisalim914Ай бұрын
Sheikh Ramadhani kazi ya daawa iendekee
@ramakira7895Ай бұрын
Mashaalh mama anamaneno mazr saana🤲🤲🙏
@hassanmpemba5747Ай бұрын
Masha Allah mungu awaongoze wote walio silimu hadi mwisho wa uhai wao alhamdulillah
@UserGooduser-k5uАй бұрын
Aminee
@adamusama7917Ай бұрын
Mashallah tabarakaallah Allah awalipe siku ya qiyama
@ZakiyaAnwar-w1rАй бұрын
MashaAllah Allah awabariki sana popover mliko
@NaimaAbdi-f6pАй бұрын
MashaAllah masheikh wetu❤❤
@yusuphomary741022 күн бұрын
ALLAH awajaalie Sheikh Ramadhan pamoja na wengine Kwa kufikisha ujumbe Kwa uzuri tu Inshaa ALLAH.
@hamzafishten9560Ай бұрын
Sheikh wangu Allah akulipe
@FatmaAli-cb6pkАй бұрын
Mungu awaongoze yarab kazi mfanyao jazza yenu kwa Allah washaloom nampenda sana tu kwa ajili ya Allah ramadhan wallah kazi yko atakae kuchukia ni hasid mkubwa tu
@hawaramadhan7437Ай бұрын
Subhannah llah Allah awaongoze
@MohammediSemndiliАй бұрын
Mashaalaah mungu awazidishie barkha
@UMMYYFATMAАй бұрын
MASHAALLAH TABARAKALLAH ♥️ ♥️
@kihimbamushyaibrahim7284Ай бұрын
Ya Allah ungoza waja wako sheikhe asante sana kwahizo juhudi hatunge elewa haya kama sio mungu kukuwezesha kuwa fwata wajawake baraka llahu fikum ya Allah tuwezeshe kushikamana ili tuweze kusimama nahawa masheikhe wa dawa wanae kazi kubwa
@MohamednurIbrahim-mm4reАй бұрын
Masha Aallh
@zainabkhamis107Ай бұрын
Mashallah Mashallah, mungu akubarik wewe na wenzako
@alyaqdhan5206Ай бұрын
Jazaka Allah Kheir Sheikh Ramadhan kwa juhudi zako
@Nora-v1m3pАй бұрын
Salaam kw kaka shalom Abdul Rahman
@MrBashirGuyoАй бұрын
Masha Allah kazi mzuri Sheikh
@ibraimodinodino828Ай бұрын
Raha saana mashallah
@swalehndhundhi9993Ай бұрын
Yesu ako vizuri mashaa Allah anaongea kwa busara na kwa upole
@SalimZahor-y1jАй бұрын
Allahumma Barik
@AyubuIkakuАй бұрын
Allah awazidishie katika kheri masheikh zetu pamoja na waislamu wote.
@fardoshnassor7847Ай бұрын
Masha Allah 💖💖💖
@aburaasmedia3682Ай бұрын
Masha Allah
@ZayyanaBamuniАй бұрын
Mashallah ❤❤❤
@rizikiali328Ай бұрын
Alhamdulillah ala niimatul Islam Allah akulipe sheikh Ramadhan
@ShakurAKBARАй бұрын
ALLAH AKBAR
@SinaHafidhiАй бұрын
Mashaallah ALLAH awatie nguvu
@mohamed-zh6cnАй бұрын
Subhana allah
@rizikiali328Ай бұрын
Allah awaonyeshe haki mabruk msheikh wetu
@nuurhassan605Ай бұрын
Mashaallah allhamdulilah jazakalahu khaer 😊
@hassanadam3007Ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤masha Allah
@salimomar-n7sАй бұрын
Mashllah
@habibasalim309226 күн бұрын
Maa shaa Allaah askofu alisilimu na mke wake, Al hamdulillaah
@sadamhirbo8246Ай бұрын
Ramadhan kuria nakuombea mungu uendeleze dawa kila pahali
@morallyifyАй бұрын
Alhamdulillah
@Clipalert-ft2vjАй бұрын
hiii ndio wakati wenye hawamjui mungu wao basi mtasungushwa kweli daa😢
@111dudiАй бұрын
Ustaadh Ramadhan, unafanya juhudi kubwa ya kufikisha ujumbe mahali ambapo haoakuwa na ilmu yeyite ya dini ya islam ujira wako kwa Allah s.w.t.nakuombea hifadhi yake juu yako.
@jumamsembe1213Ай бұрын
Mashallah ❤❤❤Daawa lazima iendelee
@mhadhara-reloadedАй бұрын
MASHALLAH KAKA
@swidiqrajab4519Ай бұрын
ماشاء الله نور الإسلام، Mashaa Allah Mabruuk Aleykum
@marineroDesspanaАй бұрын
Mashaallah
@samxx411Ай бұрын
Da kazi kwelikweli hata ibada ikimaliza pain killers zinawahusu
@habibasalim309226 күн бұрын
Maa shaa Allaah askofu al hamdulillaah
@mamawamuyaАй бұрын
Ma sha Allah ,ALLAHU Akbar
@noot-oe2mwАй бұрын
Mashaallah 🙏🙏
@jamalnamkuna2143Ай бұрын
Waalaikum salaam warahmatullah wabaraka kaka Ramadhani Allah akupe umri mrefu ufanye kazi yake inshaallah
@Nora-v1m3pАй бұрын
Lahaula walakuwata ila billah.Allah awafugue waone haki nakufuata
@SalmanMughal-lq5ltАй бұрын
AaminaYaarab
@mohamedS-yd9whАй бұрын
Takbir, Allah Akbar Allah Akbar. Allah Akbar. Ukweli unazidi kudhihiri na uongo utapotea na kila mwenye akili timamu na anaeitumia akili yake kuutafuta ukweli atauona ukweli ulipo.
@Clipalert-ft2vjАй бұрын
msidanganywe na fetha na thahabu na mali za dunia hii mkamkana yesu😢jamani
@aishahazary4097Ай бұрын
Dunia dunia dunia Maskini imebeba vitu vizito mno!!Laahaula Walaa Quwata Ila Billah.ALLAH awape umri mrefu mashehe wetu mzidi kumtangaza ALLAH na MTUME wetu huenda wakasilim na kuwa wenzetu Biidhin Allah.
@viques254Ай бұрын
Dhehebu zingine kazi bwana😄😄
@habibasalim309226 күн бұрын
ALLAAH AKUZIDISHIE UMRI RAMADAN KAGUO,
@mariamhakim1463Ай бұрын
😢😢😂kweli kivumbi hadi nimecheka utafikiria mazuri Mungu nisamehe
@josemu870Ай бұрын
Allahamdhulla
@faridbashuuАй бұрын
Kweli Tembea ujione mambo 😂😂😂 Ulikuwa Israel Hii Kali....
@softymoha5484Ай бұрын
🤣🤣🤣
@myunaniniahmad6463Ай бұрын
Kwakweli kwenye huu mgongo wa ardhi tutaona mengi. الله atusitiri atuhifadhi tufe tukiwa waisilaamu na atuweke mbali na shirki kama ilivyo mbali mbingu na ardhi.
@abubakarhassan-kq2rhАй бұрын
Dini ya haki mbele ya mwenyezi mungu ni uislamu Q (3:19)
@AlmachiusFaustine-fm1xqАй бұрын
Mnaleta majin kanisani,na mapepo ,quran mnasoima wakati ni kitabu cha nguvu za giza na Mohamed ni wakala wa ibilis na mapepo roho mtakatifu ni mtakatifu hachangamani na Allah , allah ni ibilis.
@beautyafrica254Ай бұрын
Toa andiko linalosema Quran ni kitabu cha majini
@AlmachiusFaustine-fm1xqАй бұрын
Yaan wewe mimi ndo nikutafutie maandiko nenda zako uko, mimi hata siwezi kulisoma tafuta wakristo KZbin wapo wanasoma quran wanafichua uongo wenu wa waislamu hiyo quran hiyo jitafutie
@Clipalert-ft2vjАй бұрын
@AlmachiusFaustine-fm1xq kweli dunia inaisha my fellow In christ 😢shetani ako mbioni kabisa kwa njia zote bt kwa roho nao wamenoa coz mikaeli hatowaruhusu wakiwa na samson bora tu waende hizi kanisa zingine zenye hazina roho labda huko watafaulu bt kwa roho mjinga tu ndio ataenda uko kwa uislamu bt warehouse na wa kanisa la tobacco na utakatifu wasahau siwezi mwacha yesu wangu kisha miungu za uislamu penye yesu wangu amenitoa hakuna mwenye angenitoa yesu milele hata nikiambiwa nikane yesu ao niuliwe bora niuliwe bwana
@MohdJuma-w6lАй бұрын
Tatizo lako unatumia chuki na hasira tunajua unajua ukweli uko wp ila ndio ivo unaumia😂😂 dah pole rafki yngu@@AlmachiusFaustine-fm1xq
@AbdallahMatola-c3yАй бұрын
WALLAH UNAVUNA THAWABU TELE SHEKHE RAMADHANI HAKUNA SHAKA JUU YA HILO
@Oman-s5zАй бұрын
Mungu awazudishe umri mrefu
@faridbashuuАй бұрын
Assalam aleikum warahmatullahi wabarakatuh? Siku zote Napendezwa Sana na ufunguzi wa kipingi ( Qaswida ). Nzurii na Tamu ajab.... Quran 41:33
@saumbliz8983Ай бұрын
Machozi yamenitoka wallah
@geofreyngero9449Ай бұрын
Nataka kuonana na wewe Mr. KURIA
@StraightPathDawahАй бұрын
Tafadhali nipigie WhatsApp 0777600777
@Jamila-c7kАй бұрын
Wanapamdisha mashetani duh
@samxx411Ай бұрын
Ndio wanaabudu kiroho, kwahali hiyo kweli waislam hatuna roho
@paulmwangi3438Ай бұрын
صُمٌّ بُكْمٌ عُمْيٌ فَهُمْ لَا يَرْجِعُونَ
@tumwesigyehamdan8587Ай бұрын
Ndugu.. Ramadhani.. Baado. Uko. Na.. Kazi
@zaitunirashidi5532Ай бұрын
Assalam alaykum, nataman tungepata subtitle za iyo mother language wanayoongea
@saumbliz8983Ай бұрын
Hahaaaaaa
@AdiyuOmaryАй бұрын
Nam
@sulimankarusi8345Ай бұрын
Vitoka wachristo.
@wakeshojanaАй бұрын
Straight Path Dawa nakusihi leo upige magoti umuombe kwa moyo wako wote Mungu wa kweli ajifunue kwako ili ueneze Injil sahihi kwa mataifa yote!! "Nanyi mtanitafuta na kuniona, mtakaponitafuta kwa moyo wenu wote. Nami nitaonekana kwenu, asema BWANA" - Yeremia 29:13
@SheeMaryam.MАй бұрын
Usujudu, ndio upige magoti , sio magoti peke.. wallahi sarakasi za kanisa ni nyingi kweli dalili .. huyu anafanya soma😂 kanisani😂
@softymoha5484Ай бұрын
eti apige magoti...haaa....alitoka huko hawezi rudi tena huko
@wakeshojanaАй бұрын
@@SheeMaryam.M Vyovyote vile bora amwite Mungu wa kweli,,,kwa moyo na akili zake zote..akiweza hata afunge siku tatu....alafu aone Mungu wa kweli akimtokea!! Wewe pia fanya hivo hivo kama kweli unamtafuta Mungu wa Kweli.
@SheeMaryam.MАй бұрын
@@wakeshojana kanisani nilitoka na siwezi Rudi huko I pray to the only one God direct without any mediator in between .. na kama ni kufunga , hûwa tunafunga na hatufungi Ramadan peke yake . Usikonde roho nduguyangu😊😊😅
@wakeshojanaАй бұрын
@@softymoha5484 Ni sawa kondoo hupotea akiibiwa....Yesu alionya miaka 700 kabla muhammad hajaanzisha dini yake >>>> Yohana 10:10 Mwizi huja kwa nia ya kuiba, kuua na kuharibu. Nimekuja ili watu wapate uzima; uzima ulio kamili.
hii dunia jameni,hawa nao ni kina nani?kanisa au kuzimu? 2 wakorintho 6:14-15.
@geofreyngero9449Ай бұрын
Ata mm nataka kuwa Mslim lakini kazi hainipei nafasi haya mambo ya kuwa mkiristo na hizi dini zetu nimechoshwa nazo mm. Makosa sijui nitakupata wapi wewe
@OscarGerald-vp9kxАй бұрын
Nenda kwa msikiti karibu yako muone shekh atakusilimisha ucjal
@UserGooduser-k5uАй бұрын
Nacheka kama mazuli😂😂😂😂😂
@wamiujizacholo7413Ай бұрын
Usjali nenda mxtin ulipo karibu yako, useme shida Yako inshallah, utatatuliwa shida Yako na kua muislam , Allah akuongoze kwenye njia ya hakki
@geofreyngero9449Ай бұрын
@@OscarGerald-vp9kx mimi nataka kuonana na huyo kwanza
@geofreyngero9449Ай бұрын
@@wamiujizacholo7413 na huyo naye anapatikana wapi??
@AlyAly-dp7ivАй бұрын
Kusilim popote kaka ama dada nenda kwa shekh yeyote yule usilim usichelewe maana shetani ni mtu mwenye nguvu unaweza kurudshiwa nyumba imani
@piusbilly6585Ай бұрын
bona mnadanganyanga wanyonge wasiobobea kwenye ndini? hii dini yenu husangaza.
@Clipalert-ft2vjАй бұрын
malaika wameona sio kuzuri jamani giza na mwanga haziwezi patana kamwe