Mashabik wa yang wamesha changanyikiwa Toka watolewe akili yao aijakaa sawa
@maase202315 күн бұрын
Hawa wakifungwa wanapata tabu sana kwa kweli! Inabidi bora wawe wakiingia uwanjani peke yao tu bila timu pinzani ili wajifungie magoli hata 20 wajisikiie raha maana kwao kufungwa hakupo 😂😂😂😂😂😂😂😂
@elickmaendeleo114113 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@Nurdin84015 күн бұрын
Najuta mwanangu kumpa jina NASORO
@makoreremakorere421214 күн бұрын
Uyu nasolo ana asila asila tu sijui mlevi ata aeleweki
@abdallahsaid41399 күн бұрын
kombe la caf ndio shirikisho kwa sasa kombe la washindi lilifutwa
@JuliusSola-q9m15 күн бұрын
Utopolo wamevulugwa
@hamisdodi-cu7bu15 күн бұрын
Wewe.nasoro.ujui.mpila
@filbertsungura553613 күн бұрын
Huyu Nasoro hana takwimi ya mpira ishu hapo ni kujipanga upya hakuna namna na mwandishi ww mvumilivu sana mungu akubaliki angekuwa mwingine hicho kiongeleo ungekitoa aende
@allywaziri134311 күн бұрын
Nasoro hujui kitu tulia ujufunze
@HamisiMtengwa14 күн бұрын
Huyu nassoro hajui lolote kenge tu kwanza ana hasira ajue mpira hautaki hasira mpira ni kufurahi
@suleymandachi78215 күн бұрын
Nasoro anabwabwaja hiyo ni tabia ya UTOPOLO kama kawaida yao
Timu zote haziwezi kuwa washindi. Anza upya Yanga😊
@Lulaboytz13 күн бұрын
Uyo nasoro mbona ni mshamba sana ivi ligi mpaka mda huu zinabadilishwa majina
@filbertsungura553613 күн бұрын
Kuferi ni kuferi tu hata mara 100
@Lulaboytz13 күн бұрын
Nasoro nikenge mweusi ajuwi mpira ata kidogo
@GodfreyJames-zt6ig12 күн бұрын
Mulize kuwa kombe la kwanza katka hayo 30 kombe la kwanza walichukuwa mwaka gan kat ya hayo30?
@SimbaJumanne14 күн бұрын
Fanyeni kaz acheni upumbavuu
@HamisiMtengwa14 күн бұрын
Huyo shabiki WA yanga Hana nyimbo huyo anabwabwaja tu
@angellomarcel567713 күн бұрын
NASORO NI MSHAMBA HANA HATA LOLOTE KWENYE INTERVIEW MSHAMBA
@aliabdulrahman120214 күн бұрын
Hana hoja nassoro ajihashua tu
@allywaziri134311 күн бұрын
Huyo hoongei kimpira huyo nimbishi tu hana analojua ila anataka sonekane kwenye tv anatumalizia bando wachambuzi tafuteni watu wakuonges nao
@yusufufikiri500515 күн бұрын
HUYU MWENYE FURANA NYEUSI HAMNA ANACHOKIJUWA KWANZA ANA JAZBA NA YANGA YAKE MBOVU
@esmondleo361714 күн бұрын
Huyo utopolo hajui mpira anaongea utumbo
@nurdiniabdillahi355815 күн бұрын
Nassoro mweuu kama weuu wengine
@hassanyassin-ny3qh13 күн бұрын
Kama lilikuwa lakifo vp mlipopangwanao mlifrahia.?
@filbertsungura553613 күн бұрын
Shabiki wa yanga tuliza munkali acha jazba mpira ni burudani watu kama hawa kama huwezi mtulie
@donatienbest604315 күн бұрын
Watangazaji wambieni watu wasimba simba tim kubwa aweze sema anajengatim ivi watu waje watwambie Real Madrid inajengatim kweli wao waseme wamesajiri ili wakipigwa wasijifichie kujenga tim
@KalingaHerman14 күн бұрын
Dah kunamtu anajazba hapo niwatimugani huyo ?
@DottoPastory-u3z15 күн бұрын
Huyu nasoro atakua wa chama frani cha siasa maana hana mpangilio wa maneno
@hamisdodi-cu7bu15 күн бұрын
Mmesha.pona.uchi.tayari
@abdullahjuma392614 күн бұрын
Nasoro acha upuuzi wewe mtu mzima au una matatizo ya uelewa?