No video

WAZEE WA YANGA WAMUHARIBIA DIVA THE BAWSE SIKU, AGEUKA MBOGO - "HELA HAWANA"

  Рет қаралды 29,867

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 162
@alexandernkwamah5905
@alexandernkwamah5905 Ай бұрын
Hata watakaoisikiliza hiyo kesi na kuwaelewa wazee hao watakuwa punguwani au WAMETUMWA kuivuruga YANGA. Wananchi tuwashtukie. Mnanielewa, tuwashtukie. Huyu dada anasema kweli.
@saliieking7279
@saliieking7279 Ай бұрын
Kumbe diva ni mwananchi safi sanaaaaaaaaaaaaaa
@Adrianolaurian
@Adrianolaurian Ай бұрын
Wazee hatuwataki 💪
@jumaamohamed2815
@jumaamohamed2815 Ай бұрын
Wazee wamemuharibia Mood kila mtu aisee, hata mimi cjalala kabisa aisee
@TheSalama2525
@TheSalama2525 Ай бұрын
Haikubaliki hiyo hukumu
@ibrahimmtoni1863
@ibrahimmtoni1863 Ай бұрын
Hawa wazee kwa nini mambo ya mpira yapelekwe mahakamani wao walitakiwa wshitaki kwenye vyombo vya michechezo wana sheria zao hili seala ni batili mgoja tusubiri kdg mtapata ukweli na hiyo kesi kwa nini ijulikane wakat wa hukumu tu ilitakiwa iwe wazi na watuhumiwa waitwe hamna kitu hapo
@JumaMusa-q4y
@JumaMusa-q4y Ай бұрын
Hongera sana INJINIA
@seiphomary834
@seiphomary834 Ай бұрын
Mahakama kwan kesi ya yanga ipo mahakaman kuna kesi mbaya dunian kama kesi ya ushoga unataka hiv mahakama kuwa tass zetu zote hawajafksha swala hl mahakaman kwel je hapa unapata tafsr gan kwenye stability ss tunabomoa kwenye ujinga tuna imarisha # tuna uliza mwenye hii timu ni nan wakat mwengine ndio unaona mungu kionyesha ujinga unaishia kwenye ujinga sizan hii kesi ilihtaj hata airtime mahakaman kuna hak hapo ya msng kwel #
@Mwenjala
@Mwenjala Ай бұрын
Naitwa Aboubakar Hawa wazee wa yanga Wangalieni Wana matatizo ya akili
@JackSanga-fw9xt
@JackSanga-fw9xt Ай бұрын
Hao wazee watuachie yanga yetu tumewachoka jmn kila ck wao tuu 🙏🙏🏻🙏🙏mungu ibariki yanga yetu
@EnessioRhumba
@EnessioRhumba Ай бұрын
Ongea kiswahili
@JumanneTitto
@JumanneTitto Ай бұрын
Team ilipo kaa kwenye njia dowakajuwa kunasheria au wanataka turudi kwenye bakuri wao wazee wamekua wakatfute pakujipoza siokuogoza Team
@AbubakarmadaiAbubakarmad-qo3cq
@AbubakarmadaiAbubakarmad-qo3cq Ай бұрын
Siwapingi wasaf
@judithtitomalyeta4000
@judithtitomalyeta4000 Ай бұрын
Vimetumwa hivyo vizee
@iddibishinaba644
@iddibishinaba644 Ай бұрын
Hello there mimi naitwa Iddi kutoka Marekani. Dada yangu kazi nzuri unayo fanya ila nataka kutowa ufafanizi kidogo. Kinachomfanya mchezaji alipwe kiwango kikubwa na service yake anayo towa kwa timu wala sio mtu. Kinachosajiliwa sio mtu bali nikilile unacho fanya. Mbona feiso analopwa mpunga wakutosha nikwasababu yakile anacho honyesha uwanjani.
@DM_15
@DM_15 Ай бұрын
Nikweli kulipwa pesa nyingi nikutokananskazi unayo fanya but hii hapa tz imeanzajuzituu wakati simba ikifanya transformation. Nyumahuko wachezaji walikua waburudishajituu hawakua wanalipwa pesanyingi hata uwe star, unakumbuka akina Alex masawe pawasa akina chumila mogela chuji wotehao wengiwao waliendesha maishayao kwa biasharanyingine nje yampira walioweza kujipanga mbakaleo wana maisha angalau wengine walipoteakabusa. Hivyo diva hajakosea
@EzekiaMichael-jn5np
@EzekiaMichael-jn5np Ай бұрын
Siasa na mpira wapi na wapi
@jimmymhina1264
@jimmymhina1264 Ай бұрын
Wewe sijui Diva sijui na hicho Kingereza chako mmh hebu acha unajua, wewe ni mtangazaji hii radio husikiluzwa na wanajua Kiswahili na wasiyo jua.Diamond fungua idara ya Kingereza mpeleke huko binafsi sijapenda.
@ezekielabel5843
@ezekielabel5843 Ай бұрын
Hajui sheruhi,
@fadhilindunguru7946
@fadhilindunguru7946 Ай бұрын
Wazee Day
@RoseMnyampanda
@RoseMnyampanda Ай бұрын
Hao wazee wasitutimbue
@sakinamsafiri8660
@sakinamsafiri8660 Ай бұрын
Yaani....yaani...wazee tulikuwa tunawaheahimu lkn mimi naomba kuanzia leo wapite hivi👉
@samben4442
@samben4442 Ай бұрын
Team inakuwa na wazee kwani ni ukoo huo, waache mambo yao
@SultanSuleiman-qf7cx
@SultanSuleiman-qf7cx Ай бұрын
Hawako kwa maendeleo walitka wachangishe pesa hovyo hovyo ili wapate chakula kupitia Logo ya timu
@judithtitomalyeta4000
@judithtitomalyeta4000 Ай бұрын
Anaharibu kipindi huyu dada jamani mpira wanasikiliza hata wasio soma lugha tangaza kiswahili mhuuu
@DutuPaul
@DutuPaul Ай бұрын
Hawa wazee maskini wanaweza kuendesha tim tuwalaani waachie timu yetu wakaae mbali na umaskini wao huko
@patridabernard9148
@patridabernard9148 Ай бұрын
Jamani Kwan wao ni nani hasa katika YANGA hiii
@jimmymhina1264
@jimmymhina1264 Ай бұрын
Nyie waandishi mkiwa mna ongea na mteja mumsikiluze Kwa makini na siyo pale Penye point yenu mnayo itaka,Mzee kasema amekubali maendeleo ya Yanga .Lakini hayo maendeleo aliyo leta yasifanye kukukuka taratibu yaani katiba
@remmymkhumbi3095
@remmymkhumbi3095 Ай бұрын
Diva unaongea na watanzania hicho kiingereza chako nawe tutakupeleka mahakamani 😅
@othmanmuhidin9857
@othmanmuhidin9857 Ай бұрын
😂😂,😂
@ushiwamarandu7433
@ushiwamarandu7433 Ай бұрын
Kwakwel hili taifa letu linamambo ya ajabu sanaaa...! si hasa imekaa vibaya sana kwa tanzania hiii...!
@daudimchileg307
@daudimchileg307 Ай бұрын
Tunaomba majina ya wazee hao please. Tulikuwa tunasikia waarabu wanamaamzi magumu sasa wakati unaenda kufka
@SaidMbande
@SaidMbande Ай бұрын
Kwan lazima kuwa yanga wanatakiwa wajue njaa mbaya awatakiwi kuvumiliwa hata kidogo
@JumbeOjaso
@JumbeOjaso Ай бұрын
Hii kesi ilifunguliwa lini na kwa nini vyombo vya habari havikuiripoti? Hukumu ya mahakama ya kisutu itakatiwa Rufaa na maisha ya kawaida yataendelea, wala Hukumu hii isiwatie hofu, kwani, wanachama wa yanga % 99 wanaikubali yanga hii na hakuna zaidi ya. Kuweni na amani hizi ni kelele za muda tu.
@TheSalama2525
@TheSalama2525 Ай бұрын
Hao Wazee ni Wachawi lazima mulifahamu...Haikubaliki hivi wanavyotaka...kusudio Lao kuchafua Nchi yetu..... Wasaidizi wa Mama mpelekeeni Habari hiyo mbaya asione ajabu Jangwani tukakugeuza Nairobi.. tujuane Wananchi wote.
@Mwenjala
@Mwenjala Ай бұрын
Hawa wazee wamerogwa
@user-gj1bx9ow3u
@user-gj1bx9ow3u Ай бұрын
Mimi nikijana nitakua mzee ila sio mzee wa hovyohovyo kama wazee wa yanga ingawa sio wote
@josephlorri431
@josephlorri431 Ай бұрын
Mafanikio ya yanga yamevuruga stability ya simba... na hakuna team ya kufunga yanga, ni mahakama tu.. hiyo hukumu ni kuhamisha agenda ya nchi,tuache kufuatilia issues za wafanyabiashara wa tz na yanayoendelea Kenya
@SaidiMkome-qq7hy
@SaidiMkome-qq7hy Ай бұрын
Leo team kwakuwa yamewakuta sio ivi Kuna team inazungumziwa tz hii kma simba wazee mgeni nn Aya mambo ya kawaida tyuu na yakitokea ndiyo kma ivi na sio mara ya kwanza au mgeni ndugu kwenye soka Ili ndugu izo ndiyo simba na yangu karibu acha kujaa upepo🙌
@emanuelikisanga7513
@emanuelikisanga7513 Ай бұрын
0​@@SaidiMkome-qq7hy
@TM.Sullusi
@TM.Sullusi Ай бұрын
Msianze kusingizia Simba, tangu mwanzo mliambiwa mambo ya kupitisha MTU bila kupingwa. ( Lengo lilikua Zuri, kiongozi Ni mzuri ila shida katiba yenu hamjaifuata). Hawasema kiongozi ni mbaya. " UTARATIBU MLIOJIWEKEA UFUATWE". Mpira wa Bongo bado ujanja mwingi. Migogoro ya Ndani hiyo. Na hiyo kesi imefunguliwa tangu 2022 Wala sio Leo 😂😂
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 Ай бұрын
Sio kweli wanazuiaje we usiangalie yanaendelea kenya kwa utandawazi huu, hiyo kesi imeenda kortini hata kabla ya hiyo uprising ya kenya haya mambo yako tz kwa vila Hivi huu ni upuuzi ambao upo since time immemorial
@majaliwamussa1343
@majaliwamussa1343 Ай бұрын
HAO WAZEE NI WACHAWI
@sittandaki2135
@sittandaki2135 Ай бұрын
Jamani hawa wazee wamehongwa tu hawana haya
@chiefnumborecords4819
@chiefnumborecords4819 Ай бұрын
MAKOLO WAMEFURAHIIIIII SANA KUSIKIA ENGENEER HERISI SAIDI ANATOKA HA HA HA HAAA MAKOLO HOYEEER KWELI LEO NIMEAMINI SIMBA WOOTE NI MAKOLO ILA MTAMBUE YANGA ATOKI MTUUU WANGA NYINYI 😂😂😂😂
@TheSalama2525
@TheSalama2525 Ай бұрын
Hatoki Mtu yoyote Hao Wazee tutawachoma moto.
@givenMwakalindile-nd8tp
@givenMwakalindile-nd8tp Ай бұрын
Watangusha watu presha hao wazee
@TheSalama2525
@TheSalama2525 Ай бұрын
Mandamus tu Jangwani
@kambalekambale541
@kambalekambale541 Ай бұрын
Mh raisi fukuza hao mahakim watatuharibia nchi
@TheSalama2525
@TheSalama2525 Ай бұрын
WANANCHI HATUWATAKI HAO WAZEE WACHAWI
@ghulamhaji7856
@ghulamhaji7856 Ай бұрын
The Best footballers je ni wa kwenu Tanzania kwann msitengeneze the best footballers wa Kitanzania
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 Ай бұрын
Nyinyi waandishi msigeuke kuwa washabiki fanyeni utafiti kisha ndio mtoe maelezo ndio maana sasa watu wanawskimbia
@judithtitomalyeta4000
@judithtitomalyeta4000 Ай бұрын
Mpe nafasi mwenzio pia aonger
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 Ай бұрын
Makombe hayahalalishi batili, na pesa sio kigezo cha kuvunja sheria, Mzee Magoma yupo sahihi na ndio maana Mahakama imetoa hiyo hukumu.
@sarahmichael1327
@sarahmichael1327 Ай бұрын
Hao wazee wametumwa jamani yani dah
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 Ай бұрын
Mahakama ndio chombo kinachotafsiri sheria sasa kama mna tatizo na hukumu mnatakiwa muende Mahakamani na sio kumzonga Mzee Magoma.
@piussimtala5111
@piussimtala5111 Ай бұрын
Mahakamani tena?
@khajihamisi5054
@khajihamisi5054 Ай бұрын
Ina maana hoyo kesi toka imefinguliwa mpaka hukumu inatolewa mahakama haikuweza kuujulisha uongozi? Iweje wanachama hatujui kama tunakesi? Vipi watu wawili watuamulie maelfu ya wanachama?
@ghulamhaji7856
@ghulamhaji7856 Ай бұрын
Mpaka leo wachezaji wazawa wanalipwa very low hatuthamini wachezaji wetu
@sittandaki2135
@sittandaki2135 Ай бұрын
Wachawi wa yanga wanachangia kuharibu timu za hapa Tanzania hao wazeee wapuuzweee tu hawanauwezo wakuiongoza Timu wanataka kuirudisha yanga ilipotoka
@ains1122
@ains1122 Ай бұрын
Gen Z wa Yanga waamke sasa kuwatuliza hawa wazee
@oigenmwaya6018
@oigenmwaya6018 Ай бұрын
Hiv huwezi kuzungumza kiswahili vizuri au kujishaua uongozi wa wcb mtafutieni kipindi cha kiingereza tu kuliko kuchanganya lugha ovyoo kabisaa
@martinkasera1642
@martinkasera1642 Ай бұрын
Wedada mtangazaji unaboa kiswangilish ni lugha ganihiyo uchagae kutumia lugha unayoijua
@user-qe7gw2ox2k
@user-qe7gw2ox2k Ай бұрын
Wewe mbona kimombo kingi
@user-il6rm7cj1g
@user-il6rm7cj1g Ай бұрын
Usitumie mabavu kunyonya wengine pesa yakoisikufanye kunyonya wengine utaratibu nikituchamusingi sana
@abdallahkambangwa7215
@abdallahkambangwa7215 Ай бұрын
kipindi cha wazungu maaana ni kingereza kitupu tu hapa kinaongelewa
@husseinfundikira3616
@husseinfundikira3616 Ай бұрын
Tuwajue ao wazee au mzee unataka nni ukae miaka yote
@user-xz7fm3sf7z
@user-xz7fm3sf7z Ай бұрын
Katiba inasemaje
@abdull_hafidh
@abdull_hafidh Ай бұрын
Ambacho hamkijui hao wazee wanashawishiwa na simba kuivuruga yanga ipoteze muelekeo
@BashiruShawed
@BashiruShawed Ай бұрын
Kwani kiswahili amukijuwi nyinyi
@Zenny89
@Zenny89 Ай бұрын
Wazee Ndo wakina Nani? Wananini?…Njaa tuuu😂
@hamzahabibu1050
@hamzahabibu1050 Ай бұрын
Hao wazee wanatutafuta ubayaaa
@VoiceLions-xu7uf
@VoiceLions-xu7uf Ай бұрын
Wazee wanahalibu timu hawatakiwi kuwepo kwenye yanga yetu
@Zuberigangisa-dk9ne
@Zuberigangisa-dk9ne Ай бұрын
Kuna watu wamekosa fikra Sana, timu hiyo ya wananchi na sio ya mzee, niko NAMTUMBO
@habibukassam9702
@habibukassam9702 Ай бұрын
Wazee wachawi utawajua tu wakafirwe na watt wao
@SixtusSperatus
@SixtusSperatus Ай бұрын
Kwanza sheria zime wekwa ili zivunje
@allyramadhanikazi2416
@allyramadhanikazi2416 Ай бұрын
Hawa wazee wangefukuzwa wasijihusishe na Moira hadi wanakufa
@TheSalama2525
@TheSalama2525 Ай бұрын
Hii hukumu Wananchi hatuibali kabisa,, wasisababishe Uvunjifu wa Amani.... Mama Samia kila leo unasisitiza Amani,,, Mbona hawa Wazee wanataka Machafuko makubwa Daresalam??
@RoseMnyampanda
@RoseMnyampanda Ай бұрын
Mh rais ingilia Hilo swala nyie wazeeeee
@BensonDickson-xf1ge
@BensonDickson-xf1ge Ай бұрын
Mbona mnalia sasa!
@AmidaNdeu
@AmidaNdeu Ай бұрын
Wana nch tuandamane hakuna kuachia
@cngeze
@cngeze Ай бұрын
Mwambie Hersi afuate sheria basi
@Adrianolaurian
@Adrianolaurian Ай бұрын
​@@cngezesheria gani,
@SmilingBirdwingButterfly-yq3he
@SmilingBirdwingButterfly-yq3he Ай бұрын
Hao wazee wamezoea kujinufaisha wao sasa naona njia za kujinufaisha zimefungwa sasa wanataka kumtia ili waendelee kujinufaisha wao
@JuniorMbando
@JuniorMbando Ай бұрын
Ongea kiswahili au kingereza ungea hatukuelewi unachanganya nn sasa
@GEOFFREYEGNOKUMBURU
@GEOFFREYEGNOKUMBURU Ай бұрын
HIVI WAKATI MACHAWA WANAPIGA PESA,WALE WAZEE WENYE TIMU HUWA WANAKUMBUKWA?
@user-jk3qx3dt6c
@user-jk3qx3dt6c Ай бұрын
Hebu tumuulize Mwanasheria wa Yanga, anasemaje juu ya jambo Hilo?
@proisolution7166
@proisolution7166 Ай бұрын
tumetoka kwenye majini,tukaleta VAR,sasa tumeleta HERSI atoke YANGA kweli maskini hampendi maendeleo mmeanza hayo,SIMBA PAMBANANENI MMEKWISHAAAAAAAAAA ,HIYO NDIYO SOLUTION YA KUIMALIZA YANGA KWELI NCHI HII INA WATU.MMEWAPA PESA KIASI GANI MMEKWISHAAAA HATA VARAAAA ZENU HAZIJAANZA KUANZA KAZI MMETUMIA WAZEE HERSI PAMBANAAAAAAAA.
@ephulaemsengo2816
@ephulaemsengo2816 Ай бұрын
Laana ata pata mama ako
@user-tp3nm1do6j
@user-tp3nm1do6j Ай бұрын
Hawa wazee makafiri tutawaua tu kabisaa tuju kulaumiana
@sairshelly
@sairshelly Ай бұрын
Diva huna ujuwalo. Yani sifa zote hizo na top 10 kwa yanga bila kuitaja Simba? Unajuwa ka.a Simba ipo top 7? Yanga haipo top 10. Afrika ipi inazungumzia usajili wa Tz? Au hapo wasafi unaona ndiyo Afrika nzima? Fanya mambo ya mapenzi ndiyo fani yako mbibi
@meshajohn8713
@meshajohn8713 Ай бұрын
Wazee ndonini? Kumalamamazao?,mmbwa Hawa?
@kassidpandu866
@kassidpandu866 Ай бұрын
umesahau leo Wazee Day?
@hassanabdala7383
@hassanabdala7383 Ай бұрын
Utopolo ulibwanji
@kassidpandu866
@kassidpandu866 Ай бұрын
case sio kumudu garama case ni uhalali wa uwepo wao tuu
@seiphomary834
@seiphomary834 Ай бұрын
Ss hatuna haja ya sheria tunataka wazee watuambia wao wanataka nn harafu tuwape timu yao wazee ss tutaacha jina lao tutanunua singida fc harafu tutahamia huko harafu tutawaacha na jina lao yanga kuna wakat sio mfumo kuna nyakat sheria zinabadilika sana tena sheria za kibinaadamu tumeshuhudia mengi kwenye chama uwe wa kwanza kula za maono unakuta wa tatu kapewa kiti kwenye jimbo unakuta wa nne katangazwa bas tuwe fair enough mahakama mkiona sehemu kuko stable ebu tuache ujinga tufanye mambo mengine mnataka timu ziende mbele mnataka mafanikio nyny mna haribu mifumo tena kwel nch yetu tunapenda ujinga sio reality
@miangijunior4358
@miangijunior4358 Ай бұрын
KUNAWAKATI TUNAHITAJI KUSIKIA MAWAZO YA HUYO UNAEFANYANAE KIPINDI ILA TATIZO DIVA UNAONGEA SANA UNATAKA KUSIKIKA WEWE TU MWEZIO AKIONGEA KIDOGO TU UNAMKATISA WHY UNABOA ETI!"
@ephulaemsengo2816
@ephulaemsengo2816 Ай бұрын
Hao wazee mikuma ya mama zao
@user-cr4th9lr6b
@user-cr4th9lr6b Ай бұрын
Mimi ningekuwa mdhamini ningewaachia team hao wazee
@29WavesTV
@29WavesTV Ай бұрын
UMEWAZA EXACTLY KAMA MIMI waachie klabu nyngne ianzishwe
@rashididotto277
@rashididotto277 Ай бұрын
😂😂bora ulivokosa kuwa ndugu yangu.maana ungetuchanganya sanna. yan unajuwa kuna watu wengine wamekaa kuvuruga hal ya hewa, hawapend kuona sehem kuna aman. najarbu kujiuliza ao wazee wakipewa iyo team wanaweza kufanya zaid ya alivyofanya ghalib na gsm yake😂. yan uwez amin asilimia 99 yA wana yanga naiman hawatakuwa pamoja na ao wazee muda walio anzisha ili jambo sio sahh watafute muda mwengine lakin sasahv hakuna mwanayanga mpenda maendeleo atakae kubal hersi said aondoke madarakan kwa upumbav wa watu wachache.
@chidtec4485
@chidtec4485 Ай бұрын
Feisal mzimu wake unafanya kaz sasa
@elizabetty-rt7py
@elizabetty-rt7py Ай бұрын
Hawa wazeee awana akili, timu kwa Sasa Iko vizulii hao wazeee wanataka Nini, wazee mtoke yanga msitulenteee mauchawi yenu tokeni yanga, na plizsidet wa yanga atoki msutualibie timu, hiii sio timu ya mtaani, tokeni Yani mmetulibia siku sana, Yani haya mazee ndio yaleyale matumbo mfoko tokeni mkalishwe na watoto wenu,
@Mtituboy
@Mtituboy Ай бұрын
Heshimuni Sheria utopolo
@tobiskaswahili6299
@tobiskaswahili6299 Ай бұрын
Kumbe sa unaongea nin kama ujui
@DoreenTesha-kk2kw
@DoreenTesha-kk2kw Ай бұрын
Iyo siasa ni uchawi kwenye soka ,,wapuuzi hawa
@user-yr4pv2vj7m
@user-yr4pv2vj7m Ай бұрын
Ao wazeee nyumba zao tuta pija moto waache warete njaaaaa zao izoo
@SylivesterKilunga
@SylivesterKilunga Ай бұрын
Kikubwa katiba ifuatwe wanayanga wenzangu
@user-gr9wc7bc2m
@user-gr9wc7bc2m Ай бұрын
Yanga wanapata laana zurumaaa
@omarifadhili651
@omarifadhili651 Ай бұрын
Kuna wazee Hawana akili sijui wamehongwa ili waiharbu timu ama vp
@elishagregory1595
@elishagregory1595 Ай бұрын
hao wazee wamekaribia kufa sasa
@khamisassan9556
@khamisassan9556 Ай бұрын
Wewe diva ni mshamba
@saidkhadija7557
@saidkhadija7557 Ай бұрын
huyo onesmo hajui kitu
@patridabernard9148
@patridabernard9148 Ай бұрын
Kwanza wazee hao mambumbumbu kiukweli Kwa wazee hao hakuna hata mmoja mwenye uwezo wa kuiendesha hiyo timu na naamini hao wamepewa mpunga ili watuharibie timu yetu na ni washamba sana walianza na manji afu wanakuja Kwa huyu GSM ,hivi hawaoni Aibu hata Kwa mafanikio tuliyonayo ??? Wamepigwa na kitu kizito!!!
@Zuberigangisa-dk9ne
@Zuberigangisa-dk9ne Ай бұрын
Huyo mzee ni shabiki maandazi, sifa yake hashibi kwa pale alipokula
Happy birthday to you by Tsuriki Show
00:12
Tsuriki Show
Рет қаралды 11 МЛН
wow so cute 🥰
00:20
dednahype
Рет қаралды 28 МЛН
Вы чего бл….🤣🤣🙏🏽🙏🏽🙏🏽
00:18
Happy birthday to you by Tsuriki Show
00:12
Tsuriki Show
Рет қаралды 11 МЛН