Matatizo ya aridhi na makazi ni meengi mnooooo waziri unajitahidi ila uwezi kuyamaliza kwa njia hii lazima uongeze waasaidizi na vikosi maalum kusikiliza matatizo yao nchi nzima na wakuletee yale ambayo yanahitaji nguvu ya waziri …. Ila nawe endelea , kazi nzuri saana 👏👏👏👏👏👏
@emmanuelmlowe-ew7gx2 ай бұрын
Anafanya kama makonda ila zamakonda tamu sana zinasikika vizur
@Rai_online_tv2 ай бұрын
Na sisi tumeiona Hii shida ya Sauti Next time tutalifanyia kazi
@emmanuelmlowe-ew7gx2 ай бұрын
Clip za slaa sy tam we nambie mi niko hapa mawazo
@kilogreekachananawatuwasio40543 ай бұрын
Silaa ya drone hinapiga mabomu kwa Mazuluma ya mali za masikini😂😂😂
@mbwanakiting71803 ай бұрын
Mpiga picha ubalipwa nunua boom tupate sauti nzuri. Video ni sauti kama hamna unaaribu kazi za watu na unatupa makelele
@NardhisMhagama-sy3eq3 ай бұрын
Ulishindwa kutunga sheria bungeni nawewe mwenyewe unaumia komesha huyo mbunge
@davidlinus69403 ай бұрын
Ndugu bunge
@user-mp4yt7ps5q3 ай бұрын
Huyu mwenye upala sina imani naye
@Rai_online_tv3 ай бұрын
Mjanja mjanja au ha ha
@elizabethkikoti72653 ай бұрын
Kweli kabisa mwandishi mfikishie ujumbe slaa awe makini na huyo kamishina
@elizabethkikoti72653 ай бұрын
Halafu kama anatumia dumba huyo anaonekana mwizi
@cclaudeshilling9573 ай бұрын
Mheshimiwa umekosea sana ungetakiwa usimamishe mahujiano mpaka azana hiishe alaf ndio uendelee mazungumzo yen
@nth35123 ай бұрын
We nae, wadhani kila mtu ni muislamu? Mi mwenyew ni muislam ila inabidi ufaham huyu sio muislam, unayoyajua ww haina maana kila mtu anayajua. Em tumieni akili na uhalisia wa mazingira
@melkizedekikalanga33493 ай бұрын
Tumia akili, usifananishe kitambi na mimba
@dicksonkilupa22583 ай бұрын
Wewe unajua sheria za liturugia? imani yako ni yako wengine haituhusu.
@sakayonsakihunga34963 ай бұрын
Umekalili
@valenakomba76863 ай бұрын
HAO NDO WANAOTUMIA VYEO KUJILIMBIKIZIA MALI. 😂😂😂. VIONGOZI WETU WA KITANZANIA NI MIMI, MIMI, MIMI. WENGINE WAJIJUWE.
@emanuelmaraki97583 ай бұрын
Wewe usileti mambo ya udini hapa
@JosephuSwai3 ай бұрын
Azana ndo nini wewe
@musayosia40813 ай бұрын
Ni uwito kwa waislam pindi wanapotaka kufanya ibada.