WAZIRI AKUTANA USO KWA USO NA MBABE WA ARDHI, HAKI YATENDEKA

  Рет қаралды 77,824

NTV Tanzania

NTV Tanzania

5 ай бұрын

Пікірлер: 248
@bongo39
@bongo39 5 ай бұрын
Piga kazi kijana walishazoea hao kuhonga sasa imefikia mwisho mungu akulinde
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 4 ай бұрын
M NDO MAANA NAPINGANA NA WATU WANAO SEMA ET VIONGOZ WOTE WA SERIKAL HAWAFAI WAPO VIONGOZ WAZUR TU KAMA HUYU GOD BLESS
@abuumuhammad7133
@abuumuhammad7133 4 ай бұрын
Na mimi napingana na kuwa Serekali ya awamu 6 ndio Serekali sikivu na utekelezaji ila watu hawataka sasa sijui wanataka nini!
@laylayl5166
@laylayl5166 4 ай бұрын
Hatamimi sikubaliani nao wapo viongozi waadilifu kama huyu waziri wetu MashaAllah mungu amlinde kina chalamila yaaniwapoo
@zulekhaponti9353
@zulekhaponti9353 4 ай бұрын
Wachache😅
@saidnoumani7244
@saidnoumani7244 5 ай бұрын
Hongera waziri unafanya kazi nzuri
@MegaAbby1010
@MegaAbby1010 4 ай бұрын
Great stuff Jerry, naona umerithi mikoba ya JPM
@user-wt7vf4uf3x
@user-wt7vf4uf3x 4 ай бұрын
Mchapa kazi asie na mihemko wala jaziba ,hongera sana mkuu iwish tungekuwa na uzalendo wa kuchapa kazi namna hiii kwa mawaziri na watumishi wote wa umma. mama hajakosea kukupa nafasi hii.
@charlestobby6031
@charlestobby6031 4 ай бұрын
Hongera sana mheshimiwa slaa binafsi sikuwahi kudhani kuwa kuna kipindi kingefika masikini waliodhulumiwa haki zao na watu wenye nguvu kubwa kiuchumi wangeweza kurudishiwa haki zao kutokana na siasa zetu na baadhi ya viongozi wetu wa kimamlaka kutokuwa waaminifu kwa wananchi wao wa hali ya chini waliodhulumiwa haki zao lakini kupitia wewe leo hii umeni-prove wrong mheshimiwa naona kila mtu sasa anaenda kupata haki yake👏👏👏
@dennishyera5448
@dennishyera5448 4 ай бұрын
Aibu kwa walio mshindwa Mush, miaka yote hiyo alikuwa anapeta tu kwa raha zake hamna wa kumgusa du. Waziri hongera, God bless you.
@shaamemchauru1365
@shaamemchauru1365 4 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Ай бұрын
Ndo huyu kumbe? Shenzi kabisa
@user-zg4yz7je8d
@user-zg4yz7je8d 4 ай бұрын
Kwa hakika mimi ni mpinzani na siipendi ccm ila Jerry slaa Daa Bwana Yesu akuinue na akulinde dhidi ya maadui zako nimetokea kukupenda,
@jasonwatz7457
@jasonwatz7457 4 ай бұрын
Kuna mawaziri expetional, hailajilish wako chama gani, japokuwa wako wachache mno
@MinskBelarus-il2tl
@MinskBelarus-il2tl 4 ай бұрын
Mungu kakufedhehesha😅😅😅wachukie baadhi ya watendaji wa CCM,nasio Chama cha Mapinduzi. Hata ndani ya Chama chako wapo watendaji kama wa CCM
@user-vl5xv2xd6e
@user-vl5xv2xd6e 4 ай бұрын
Waziri unafanya kazi kwa uaminifu bila Rushwa Mungu atakupa ya Dunia na ya Ahera nakuomba uje Arusha mimi nimedhulumiwa kiwanja changu na ni mjane nakuombea Mungu akupe Maisha marefu Amen
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 4 ай бұрын
Mfate ofisini kwake utapata haki yako au mfuate Makonda hawa wamebarikiwa na Mungu asaidie watu.
@ClementinaHabineza
@ClementinaHabineza 4 ай бұрын
Amen utasaidiwa
@muhammadvirjee
@muhammadvirjee 4 ай бұрын
Mweheshimiwa waziri anafanya kazi yake kwa uaminifu na kwa haki kabisa mungu amsaidie aendelee kuchapa kazi 🙏🙏
@aminaomary5567
@aminaomary5567 5 ай бұрын
Mhe. Waziri huyu mzee mwizi na ni majanja sana anamdhulumu baba wa watu.Waziri ongera sana❤❤❤❤
@harounkiyungi7288
@harounkiyungi7288 4 ай бұрын
Asante sana mheshimiwa endelea kuwatendea haki wananchi Mungu atakulipa kwa juhudi zako na hingera pia kwa Mama Samia kwa kuona umuhimu wako kuongoza zekta hii ngumu licha ya changamoto zote ila Unayaendesha kadiri unapaswa tunakuamini mkuu, Allah akulinde dhidi ya kila baya
@babazungu3180
@babazungu3180 5 ай бұрын
Huyu waziri siku 1 nilimsikia akisema yeye hanywi pombe wala havuti sigara na usiku yuko nyumban nikasema hapa nimepata kiongoz,hongera sana wazir wangu
@TitoRufizi-xb2ub
@TitoRufizi-xb2ub 4 ай бұрын
Waziri nakupongeza sana kwa kazi unayofanya,unastahili kuteuliwa nafasi ya juu zaidi,viongozi wengi ni mizigo kwa serikali hawawajibiki
@emmanuelmwakyoma5746
@emmanuelmwakyoma5746 4 ай бұрын
Ateuliwe nafasi ya juu alafu hii achukue nani? Maoni hayatoshi
@ngambikomsu64
@ngambikomsu64 4 ай бұрын
Nafasi hiyo inatosha apambane kwanza na hao mazandiki wa ardhi, akitoka hapo aingie wizara ya ujenzi apambane na makandarasi uchwara.
@JoshuaMusukwa-kq4ll
@JoshuaMusukwa-kq4ll 4 ай бұрын
Waziri Silaa ongela kwa kazi zito Mungu Akubaliki sheria ni musomeno ongela sana Silaaa
@hatibbaraka3956
@hatibbaraka3956 4 ай бұрын
Waziri hukupewa kwa kubahatisha wizara upo vizuri na unaijua hasa sheria maana unavyowachalenji matapeli asee! Hongera zako!
@nyakatongongo4292
@nyakatongongo4292 4 ай бұрын
Asante baba nakufuatilia sana japo niko nje kidogo ya tanzania ila unapigania haki wanyonge wamenyanyashwa sana natamani waziri wote wachukue mfano sababu hata jela kuna waliohukumiwa bila hatia na hata kuhukumiwa kunyonga bila hstia kisa haku haki ma kama familia haina pesa basi tena
@nassercurtis9579
@nassercurtis9579 4 ай бұрын
Muheshimiwa, Mungu akulinde bro uendelee kusimia haki hasa kwa wanyonge usitishwe na nguvu za wanaojiona mapapa wala ushirikina vipite mbali kabisa, Mungu akulinde akuweke mpaka uzeeke na busara zako upendo unyenyekevu vikutawale, usiache kuabudu maana ndio ngao pekee ya ulinzi juu yako na familia yako na kwa watanzania kwa ujumla. Napenda sana utumishi wako wa kujitolea maana ungeweza kukaa tu ofisini ukapigwa na kiyoyozi ukaachia wasaidizi wako ndio wafanye kazi za site, ambao mara nyingi japo si wote lakini hutumika vibaya kwa mapapa (wanaojina asali ya Tanzania ni yao peke yao)
@butoyihenis1389
@butoyihenis1389 Ай бұрын
Mueshimiwa waziri Silas Mungu akulinde ajaliye ujaliye ujage kuwa rayisi wa tanzania
@user-ul1co9kw4c
@user-ul1co9kw4c 5 ай бұрын
Hongera Mehshiva Waziri wa ardhi kweli una fanya kazi za haki na kwa Imani, Tanzania Kuna mchezo huu kuwa nyanganya ardhi kwa nguvu za paisa na karatasi za bandia (feki). Mungu aaveke Salaam na kwa Imani pamoja na familiya. Aameen.
@victoriamazula5592
@victoriamazula5592 4 ай бұрын
Peter nakuona lo ni miaka mingi sana enzi za NBC. Hongera kwa kupata haki yako
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Ай бұрын
Kwann mataoel wengi wa ardhi ni mushi,mmasi, yaani majina yaliyotrend humu 🙌
@user-ks7zc6kd7u
@user-ks7zc6kd7u 4 ай бұрын
Mungu akutunze na ulinzi wa kimbingu uwe juu yako unawatetea wananakandamizwa
@HamzaGaudence
@HamzaGaudence 4 ай бұрын
Safi sana waziri mchapa kazi hodari so kinyonge an unaijuwa kazi ako na unaifanya vyema so👏👏👏👏👏👏💪
@jomba6514
@jomba6514 5 ай бұрын
Ubarikiwe sana kiongozi kazi nzuri
@lukemelyemwenga2910
@lukemelyemwenga2910 2 күн бұрын
Mh Anafanya kazi kwa uaminifu mkubwa barikiwa sanaaa
@zablonnyanda6095
@zablonnyanda6095 4 ай бұрын
Da?! Huyu mzee Mushi ni noma, Mungu amhurumie kama anafanya Mambo haya bila aibu?! Hii ni dhambi kubwa kwakweli. Watanzania tumuogope Mungu! Utakufa utaziacha mali zote, unatafuta nn binadamu??
@dignakanje4508
@dignakanje4508 4 ай бұрын
Mwisho wake umefika Mzee mzima unakula Bata mjini kwakudhulumu mpka wajane,watoto wanasomea pesa zadhulma,Rudi kanisani umatubu Mzee mushi.Huu ukoo Wa mushi unapenda sana hla nautajiri wadhulma.
@apolleorevocatus8577
@apolleorevocatus8577 4 ай бұрын
Kuna ndugu wa ukoo wake anaitwa Ryodes Mushi naye ni mdhulumati wa viwanja na nyumba Arusha kama huyu wa Mbezi Dsm
@kwzjkwz3532
@kwzjkwz3532 4 ай бұрын
ukilikuta kanisani kitambi mbele kutoa sadaka huku likisema vijna hawajui kutafuta hela ila wachaga duh
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Ай бұрын
Kuna mmasi pia yaani ni aibu jmn Mpk wajane jmn,🙌😭
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Ай бұрын
​@@apolleorevocatus8577basi atakua yule aliyekutana na makonda Ndo maana nashangaa mbona Majina yaleyale kumbe ni ukoo 1 Aisee Kuna koo sio kabisa
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Ай бұрын
​@@kwzjkwz3532kabisa tena unakuta lizee la kanisa
@dignakanje4508
@dignakanje4508 4 ай бұрын
Nimekupenda mpka mungu amesikia.Mm SIPENDI uonevu kwenye nchi hii,ila slaa mungu akupe heri.Watoto wako wawe nahkma kma zakwako,Huna hraka huna hsira huna hk hka yamajibu.Unafanya kitu kwaumakini unaheshma nahkma.Mam akuache jmn uwanyoishe wenye mabavu,hpo mama hkukosea kukuweka hpo.Kwi umesomea ardhi mkuu.
@elizabethtenge152
@elizabethtenge152 4 ай бұрын
Hongera kiongozi Mungu akulinde
@angonzamujunangoma8775
@angonzamujunangoma8775 3 ай бұрын
Unafanya kazi nzuri mbunge wangu,Mungu akubariki
@aliabdallah8456
@aliabdallah8456 4 ай бұрын
Mh Waziri naomba haya maswala ya ardhi heru uyamalize wewe mwenyewe kuliko kuwaambia wananchi waende mahakani wakapate haki yao itakuwa umewaua kwa sababu mahakani ni rushwa kwenda mbele mwenye nazo ndiyo atapewa haki na mwenye haki halisi hapewi kwa sababu hana hela Mungu akibariki mh waziri kwa kazi nzuri
@user-oo1vz3zi1t
@user-oo1vz3zi1t 5 ай бұрын
Hongera Wazir kwa maswali mazur yenyekueleweka
@NancyMatuli-fb5jp
@NancyMatuli-fb5jp 4 ай бұрын
Mushi wewe mwogope mungu utasababisha watoto wako na wajukuu zako kupata laana
@user-qh2bx5em6j
@user-qh2bx5em6j Ай бұрын
Asante👏🏻
@user-ws8bc1jn7z
@user-ws8bc1jn7z 4 ай бұрын
Waziri jerry uko vizuri mungu akulinde katika kazi zako ameen
@khamisjuma1278
@khamisjuma1278 2 ай бұрын
Hongera sana Mr slaa kwa kazi iliyotukuka
@johnmichaellukindo21
@johnmichaellukindo21 5 ай бұрын
Yule waziri mabula aliyeondoka ndio alikuwa anapewa hongo na kina mushi! Hongera slaa
@user-ii6gs2jg4g
@user-ii6gs2jg4g 4 ай бұрын
👏👏👏👏👏
@dotnatajoseph2620
@dotnatajoseph2620 4 ай бұрын
Huyu wazir ni hazina yetu ya baadae ya nnchi yetu mwenyez mungu amtunze inshallah 🙏
@user-xo4cs9eu4o
@user-xo4cs9eu4o 4 ай бұрын
Tanzania inatakiwa kuwa na kina waziri Silaa kila mkoa na wilaya. Hongera waziri Silaa
@salumchoma8731
@salumchoma8731 4 ай бұрын
Kwa ukweli mawaziri wanaoteuliwa na rais ktk wizara hii mungu awajaalie sana kz zenu zinaonekana tangia Lukuvi,na Sasa Jerry silaa
@user-fv4zw5ki3x
@user-fv4zw5ki3x 4 ай бұрын
Nimependa sana mungu akupe maisha marefu mtetezi wa wanyonge
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 4 ай бұрын
Mpeni ulinzi huyu mtu
@shaamemchauru1365
@shaamemchauru1365 4 ай бұрын
BIG UP JERRY PIGA KAZI HAKUNA UOGA,KUFA MTU ANAKUFA MARA MOJA....
@nkenemalulu1330
@nkenemalulu1330 4 ай бұрын
Mh. Waziri unawajibika vizuri sana. Kaa ukijua waharifu katika hii Wizara ni wale waliochini yako bila kuwawajibijisha kazi bado. Sababu wao ndio wasabishi wakubwa mwananchi wa kawaida hawezi
@chemstry409
@chemstry409 4 ай бұрын
Mh SLAA ABSOLUTELY YOUR AMAZING BRO' PIGA KAZI WE ARE BEHIND YOU 100%
@jumaayubumohamedi4813
@jumaayubumohamedi4813 3 ай бұрын
Bigg up mheshimiwa waziri hon Jerry Slaa
@RoanCorporation
@RoanCorporation 4 ай бұрын
Waziri mzuri sana , muisho mzee Meole amepata hati yake , mzuri sana
@gladistaemanueliy6336
@gladistaemanueliy6336 4 ай бұрын
Asant waziri mungu akubariki naomba uje arusha
@laylayl5166
@laylayl5166 4 ай бұрын
Mama yetu samiha umetupa kiongozi huyu niwaziri mashaallah
@amontv8628
@amontv8628 4 ай бұрын
Wizara ya aridhi inakufaa mh. Waziri ❤❤❤
@abuumuhammad7133
@abuumuhammad7133 4 ай бұрын
Hii ndio awamu bora na ya utendaji na haki Mh. Rais Samia hana mbwembwe ni mtkelezaji na haswa akipata Mtendaji kama alivyo Waziri wake wa Ardhi Mh. Dr. Slaa na wengine.
@jamhurilibawa6505
@jamhurilibawa6505 5 ай бұрын
Mungu ni mwema kila wakati.
@rosehaule6765
@rosehaule6765 4 ай бұрын
Mungunni.mwema sana Mungu pekee atakulinda waziri wetu
@emanuelleopod3949
@emanuelleopod3949 4 ай бұрын
Wachaga ukicheka nao ni wazulumishi balaa 😂
@simulizitanzania2571
@simulizitanzania2571 4 ай бұрын
Sasa Nchi ilivyo ya kipekee,utasikia Jerry amebadilishwa wizara
@naibalasamoralukumay332
@naibalasamoralukumay332 4 ай бұрын
Waziri ni genius 🎉
@brightnjau651
@brightnjau651 5 ай бұрын
Safi sana Slaa🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@musayosia4081
@musayosia4081 4 ай бұрын
Mungu akulinde muheshimiwa uendelee kutetea wananchi🙏
@safiaothman5175
@safiaothman5175 4 ай бұрын
HONGERA MH.WAZIRI JERRY SLAA.
@salummbarouk4216
@salummbarouk4216 4 ай бұрын
Muheshimiwa mungu akulinde
@rashiditembo1574
@rashiditembo1574 4 ай бұрын
Mwenyezi mungu akutangulie waziri,
@leahivan6915
@leahivan6915 4 ай бұрын
Mwenyezi Mungu akutunze waziri.
@user-jb7nh5pp2e
@user-jb7nh5pp2e 4 ай бұрын
Magufuli wa pilii Asante waziri
@user-cy5ck8lh4j
@user-cy5ck8lh4j 4 ай бұрын
safi sana wazili haki itendeke nawanao tumiya pesa zao wakomeshwe
@WatsonMwaigaga-uy5jk
@WatsonMwaigaga-uy5jk 4 ай бұрын
Kijana anafanya kazi. Mama usimwache uyu.
@karimhasham8259
@karimhasham8259 4 ай бұрын
Safi sana mimi lkn namsikia huyo mtu anasumbua sana, Na hapo ameogopa tu anazo hati zimetiwa kwenye maji ya chai zionekane zilitolewa zamani, Hongera sana waziri
@ahmadseaman3487
@ahmadseaman3487 3 ай бұрын
masha Allah thanks so much
@jtheophil5499
@jtheophil5499 5 ай бұрын
Waziri mungu akusimamie .umeweza wako wengi kama uyo yaani ni balaaa.
@KeiFerouz-fn9oc
@KeiFerouz-fn9oc 4 ай бұрын
Asante mama samia
@lovegodmunisi1006
@lovegodmunisi1006 4 ай бұрын
Hongera kiongozi
@sheilamarandu2750
@sheilamarandu2750 4 ай бұрын
Mungu yupo tumeteseka mno
@salimamri6738
@salimamri6738 5 ай бұрын
Sio Mushi peke yake,wapo Wachaga wengi wavamizi wa ardhi za watu kwa kutumia ubabaishaji na jeuri ya pesa.Asante Waziri Slaa.
@judicalosika7642
@judicalosika7642 4 ай бұрын
Ukabila tena!!!! Eh!!
@mmichaeleletricet4554
@mmichaeleletricet4554 4 ай бұрын
Wapo njoo mapungo moshi tukutane na lijamaa linaitwa mbuya linares uraia mno
@user-sj3wf5vz7l
@user-sj3wf5vz7l 3 ай бұрын
Dah wachaga kwa ardhi uwiii😂😂😂
@IsayaSosolo-nx8zk
@IsayaSosolo-nx8zk 2 ай бұрын
Wachaga ktk ubora wao wa dhuruma za Mali za watu, Huyo ni sehemu Mdogo tu ya dhuruma zao, Sababu kubwa watumishi wengi wa Kichaga wapo wizara ya Ardhi kwa Nini usiwe lahisi kwao kufanya mipango ya kutwaa maeneo kwa udanganyifu!
@mohamedimuyugi6249
@mohamedimuyugi6249 4 ай бұрын
Ongera sana kakaangu
@user-rn6ft5yz2l
@user-rn6ft5yz2l 4 ай бұрын
Ndo viongozi tunaowataka mungu akubariki sana waziri
@damsonwilson5202
@damsonwilson5202 5 ай бұрын
Huyo Mzee Tapel tuuu
@matukutajuma156
@matukutajuma156 5 ай бұрын
SHUKRAN WAZIRI
@matukutajuma156
@matukutajuma156 5 ай бұрын
ASANTE KIJANA HUYO MUSHI ANAONEKANA MJANJAMJANJA WA MAHAKAMA!
@ismailmuna1604
@ismailmuna1604 4 ай бұрын
Waziri Ufanyayo Ndio Uwongozi Utakiwavyo Shukran Sana Kwa Utendaji Wako Mola Ndio Atakae Kulipa LAKINI TEMBELEA MIKOWANI UJIONE VIONGOZI WENZAKO WANAVYO DHULUMU WATU ARDHI ZAO NA KUWAPA MABEBERU NA AKITOKEA KIONGOZI MWENZI WAO HAYUKO PAMOJA NA WAO ATAHAMISHWA MARAMOJA ILI WATU WAENDELE KUFANYA YAO WATU WANANYANGANYWA WANADHULUMIWA UKIWEZA KUTEMBEA MIKOANI UTAWASAIDIA SANA WANYONGE ASANTE KWA UTENDAJI WAKO
@mlatambuu6364
@mlatambuu6364 4 ай бұрын
Sifa ya kwanza ya tapeli, ni kupekua pekua daftari au kuchezea simu wakati akihojiwa 😂😂
@nikkimbishiunju2402
@nikkimbishiunju2402 4 ай бұрын
Mchagga MWIZI Mpare BAHILI.
@amosmbangala9079
@amosmbangala9079 4 ай бұрын
Waziri unafanya kazi nzuri naomba uje njombe kunatajili kama mushi anaitwa yohana sanga marufu makete namtoto wake endwin kasian sanga wanacheza na kaimu mkuu waidara ya aridhi kamishina namwenyekiti mtaa mjimwema lenard mkupi
@samsonmbukwa8389
@samsonmbukwa8389 4 ай бұрын
Lusha you tube wataiona
@winfredkaroli5065
@winfredkaroli5065 4 ай бұрын
Wale wanaopenda dhuruma utasikikia kwann wasiende mahakani na wakati wanyonge huko mahakaman ndipo wanapodhurumiwa wakiona ni tajiri anaeshitakiwa, mm naona wazir uko sahihi inch hii watu wanaonewa sana ,mungu awe pamoja katika kutetea haki za wenyewe
@mwarimohamisi1378
@mwarimohamisi1378 4 ай бұрын
Wakifika mahakamani wamenunua hakimu
@EliaEgbert
@EliaEgbert 4 ай бұрын
Huyu mzee anatowaga rusha silaa mungu akulinde
@fredmselle2227
@fredmselle2227 4 ай бұрын
Kuiba kiwanja cha watu ni sio haki kisa una pesa na ujanja ujanja hongera waziri
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 4 ай бұрын
Matapeli wanababanishwa
@sambulugu9988
@sambulugu9988 4 ай бұрын
Wachaga bhana dunia ilishabadilika! Ujanja ujanja wa kuiba ardhi za watu kushirikiana na ndugu zenu walioko wazarani umeisha kaeni kwa kutulia! Pumbavu kabisa!
@johnmamuya5398
@johnmamuya5398 3 ай бұрын
Ndugu@sambulugu9988, huyu Mushi ni mhalifu na anatakiwa ashughulikiwe kama mhalifu na sio kama mchaga
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Ай бұрын
Aisee too much
@YusuphMwangobola
@YusuphMwangobola Ай бұрын
Hyu mzee hatari .
@MohamedIbrahim-bn1gz
@MohamedIbrahim-bn1gz 4 ай бұрын
uyu mzee katuangaisha sanaaaaa sanaaaaa
@anaabsaid3544
@anaabsaid3544 4 ай бұрын
The wachaga system popote walipo
@ChristopherKiwanga
@ChristopherKiwanga 4 ай бұрын
Jerry slaa mwamba WA ardhi......mbez,,bagamoyo Kuna mitapeli kama hayo mengi sana
@jamesjahasa3348
@jamesjahasa3348 4 ай бұрын
Viongozi hawa MUNGU walinde hongela waziri
@user-px6il1tk9k
@user-px6il1tk9k 4 ай бұрын
Kwa kweli mungu asimame na wewe hayo yapo mengi sana
@britonkanumba6828
@britonkanumba6828 5 ай бұрын
Mzee anatamani ardhi ipasuke
@annamwakibinga527
@annamwakibinga527 4 ай бұрын
Aibu sana Mushi unadhulumu watu maskini
@abdirizakibrahim1975
@abdirizakibrahim1975 4 ай бұрын
Moja kati ya vijana wazalendo katika Taifa letu MUNGU akulinde kijana wetu mzalendo tunakupenda na tunakuombea tunaona maana ya kua kiongozi
@user-cz5oy1od5d
@user-cz5oy1od5d 4 ай бұрын
Tusiseme mengi, tusubiri kama kweli atatiwa hatiani na kama waliodhulumiwa viwanja watarudishiwa. Hii ni nchi ya chochote chaweza kutokea.
@nassercurtis9579
@nassercurtis9579 4 ай бұрын
Mwanakulitafuta mwanakulipata, angejitoa tu wala yasingemkuta haya yote, amefanyiwa ustaarabu uungwana aishie hapo amejifanya mjuaji, sasa anafanyiwa kazi kweli kweli.
@ondieckotoyo1143
@ondieckotoyo1143 4 ай бұрын
Hii Sawa lakini pia ufike tarime uone malalamiko ya waliyoporwa ardhi zao na wababe na wengine kwa kutumia Baraza la ardhi kilio ni kwa wengi wengine wanazo hati lakini nyumba wanamiliki wengine Hadi eneo iliyokuwa ya kituo cha mafuta ya serekali na shirika la kahawa zote ni mifano Tu ya maeneo yaliyoporwa na matajiri wezi
@user-cz7bd9tc5k
@user-cz7bd9tc5k 4 ай бұрын
Huyo Sawa Na Moleli Ana fanya hayo kwenye viwanja Huko Mbezi Beach Afuatwa na yeye Ana sumbua Wa nyonge kamata hao Wana Roho ngumu sana
Gym belt !! 😂😂  @kauermtt
00:10
Tibo InShape
Рет қаралды 16 МЛН
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 85 МЛН
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 78 МЛН