Huyu waziri mwisho anafanya kazi kwa ikhlaas mashaallah Allah akuhifadhi
@jumaambalima3012Ай бұрын
Waziri anafaa kupitiliza anaeleza kwa usahihi sana
@MrKhatibuАй бұрын
Wandishi wa Bara mnapenda kutumia taswira ya mtu kama identity yake kuwa kichwa cha habari. Mbona ikitokea mlengwa ni Msukuma, Mnyamwezi au Mmasai hamuwezi andika kichwa cha habari ya identity yake? utasikia Muhindi, Singasinga, Muarab au ndio maadili ya uandishi?
@RahimRaiTZAАй бұрын
Moja kati ya sifa za Headline ni Kuvutia So nikisema WAZIRI AMBANA SHABASH utaelewa? Ila asant kwa Ushauri
Mkuu waanglie vizuri huyo alievaa miwani huyo mama na mwenyekiti kuna kitu hapo
@reynaaalrawahi4137Ай бұрын
Hawa ndio madhulum. Mimi sehemu yangu mwenyekiti na katibu wamenidhulumu eneo langu. Kila kitu ninacho mimi wao wana nguvu ya kudhulum 😢
@ahmadseaman3487Ай бұрын
thanks so much ministry
@shafiisaidi9640Ай бұрын
Wallah sijui kwnn namchukia huyu kamishna.na miwani yake ile daaah
@mohamedsaid2882Ай бұрын
Jamaa anawalakini kwenye utendaji wake mie mwenyewe naona kama adui hivi
@Andres-qt6kpАй бұрын
Huyu miwani ni tatizo sana Sijui Waziri hajamstukia utafutaje utilising wa mtu na amesha develope
@jazeerajuma5014Ай бұрын
Mimi pia simpendi coz anafanya kinyume na sheria
@BashitetakoАй бұрын
Mwenye kiti ni jipu
@jtheophil5499Ай бұрын
Nacheka sijui hawa ma commissioner wetu wanafanyaga nn.?mpaka waziri afike kweli .Sasa hawana aibu
@demicratia4071Ай бұрын
Si wanangoja mshahara wewevpi😅
@mussakimaro5588Ай бұрын
waziri weka acount yako tukuchangie hata buku buku tu umalize matapeli wote wa ardhi
@fatimaharoun-np8uv18 күн бұрын
Kwa kwel😂😂😂
@MACHOYATAI-jk6fuАй бұрын
Tanzania yetu kusudi upewe haki yako. Mpaka apite slaa au Makonda kama sio hivyo MUNGU mwenyewe asaidie
@fatmaabdallah7709Ай бұрын
Mh slaa ndo mfano wa watendaji wa serikali anatembea kusikiliza kero za wananchi na kuzitatua sio kuvaa suti na kukaa ofisini tu wakingojea mafaili kutia saini
@froma3732Ай бұрын
Hao ni maofisa wa Ardhi lkn hkn kitu wanajuwa wao kazi ni kuvuruga watu wape Elimu Waziri
@abdullayahya871723 күн бұрын
Huyu ndie raisi wetu mtarajiwa , kaaza udiwani kafuatia ubunge na uwaziri sasa tunakuombea kwenye uraisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
@demicratia4071Ай бұрын
Mbona hakuna SAUTIIII
@martinwangwe8966Ай бұрын
wenyeviti wa mtaa hovyo kabisa, yani hawa ndo wakusaidia wananchi. Nilitegemea kwakua wako wengi watakua na akili.
@mwanamutemiАй бұрын
HAKI YA KUISHI/MATUMIZI
@johnmalembo6464Ай бұрын
Bro unaona mbali...ni kweli
@Baba-nm4qzАй бұрын
Mbona hammalizii mnaboa
@kaaakwakutuliaa5179Ай бұрын
huu ni uzalilishaji kwanini mwanachi akaliee kiti cha ajabu
@ClementinaHabinezaАй бұрын
Sofa zirikosa
@MohammedJaizan-yf5ytАй бұрын
Kwa nini usiandike mwekezaji wa asili ya kiasia kwenye mgogoro wa ardhi? Kwa nini uandike muhindi au unataka kufanya ionekane kama kafanya dhulma? Au una nia gani?
@RahimRaiTZAАй бұрын
Tunayafanyia kazi maoni yako
@user-ih9xy5vd5dАй бұрын
Kweli
@taliyagogo1481Ай бұрын
Timu ya kamera na timu ya sauti ni mbaya sana. Tunataka kuelewa suala hilo na sio kusumbua sauti za watu🙄
@RahimRaiTZAАй бұрын
Asnt kwa Ushauri tunalifanyja kaz na Soon kila video yetu itakuwa na sauti nzur
@froma3732Ай бұрын
Kuzaliwa sio umiliki wa Sehemu
@williamsenkoro2210Ай бұрын
Matatizo haya yatakuja zaidi miaka ijayo kama ardhi inachukuliwa na wageni. Tutaanza lipia kodi kwa wageni ili watumegee ardhi.!
@mkudeАй бұрын
Inaonekana una Roho mbaya na katili wa nafasi yako,watu kama nyinyi maisha yamewashinda mmebaki na husda na Roho mbaya Kwa mwenye nacho,leo utamchumia muhindi kesho utamchukia mweusi kama wewe Kwa kuwa amejaaliwa neema.pole Kwa mateso unayoyapata ya yo choyo nafsi yako
@josephndunguru6290Ай бұрын
Wahiindiii janjajaanjaa hapoo,
@user-kh1tn6yr8bАй бұрын
Awo wahindi wezi too
@mkudeАй бұрын
Acha ubaguzi wewe
@shamzone388Ай бұрын
Wahindi sio waizi mbona sisi wenyewe ndio waizi weusi kwa weusi
@lailafakhihajiАй бұрын
Sisi ndio kesi zetu nyingi kwa kutapeliwa na weusi wenzetu