MKUU WA MAJESHI ASHUHUDIA UWEZO WA ASKARI WAPYA WAKIRUKA VIKWAZO WAKATI WA KUFUNGA MAFUNZO YAO

  Рет қаралды 436,625

Ulinzi Channel

Ulinzi Channel

Жыл бұрын

#wizarayaulinzi #jwtz #jkt

Пікірлер: 142
@salvatormselle2393
@salvatormselle2393 10 күн бұрын
Kazi nzuri. Hongereni sana wanajeshi (makamanda) wetu! Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania na watu wake! ✨
@msafirimiracle6613
@msafirimiracle6613 Жыл бұрын
Hongereni kwa hatua hiyo makamanda wetu Nasubiri siku moja kuona mazoezi ya matumizi ya silaha za kisasa za kitechnologia
@erickzephania1030
@erickzephania1030 Жыл бұрын
Asante sana Jeshi letu kwa huduma, wananchi tunawapenda sanaa. Nyie ndio wazalendo wa kweli kuliko awa wanasiasa mafisadi wanaifilisi hii nchi bila huruma
@mudibanka4772
@mudibanka4772 Жыл бұрын
Jwt Wana mafunzo mazuri sanaa hongera afande general
@thomasgogomoka6404
@thomasgogomoka6404 Жыл бұрын
Keep up the good job JWT wapiganaji wameiva hongera sana.
@bngnewsgang
@bngnewsgang 10 ай бұрын
Incredibly amazing.Long live Tanzania People's Defense Force (TPDF🇹🇿🏹).
@user-wc2ll3lj6l
@user-wc2ll3lj6l 4 ай бұрын
Napenda sana kulitumikia jeshi langu❤❤❤but one day yes
@adkajisi4536
@adkajisi4536 4 ай бұрын
Kalitumikie ndugu
@ALIMOHD-bk9lr
@ALIMOHD-bk9lr Жыл бұрын
MUNGU ibariki Tanzania, afrika mashariki, Africa yote na ulimwengu kwa ujumla 🙏🙏🙏🙏
@MusaVedastus
@MusaVedastus Ай бұрын
Like sana jeshi la kujenga taifa ❤
@Dogoshule
@Dogoshule 2 ай бұрын
Nimatumaini nitakuwa sikumoja miongoni mwa jeshi Kwa ajili ya kulinda nchi yangu amina😢😢😢😢
@RiffatJuma-px9cg
@RiffatJuma-px9cg 2 ай бұрын
Naipenda mpaka nalia,Tanzania mimi nipo tayari kulipigania Na kulilinda taifa letu ili Liwe na amani mungu Nisaidie nifanikiwe Kuingia jwtz Nikamilishe Ndoto
@sdeshnjwetr6707
@sdeshnjwetr6707 Жыл бұрын
VIVA WAZALENDO WA TAIFA LA TANZANIA 🇹🇿💪🇹🇿🍀
@daudimwaitebele420
@daudimwaitebele420 Жыл бұрын
Usalama wetu upo mikononi mwenye Allah libariki jwt na jkt
@dottoamos2902
@dottoamos2902 Жыл бұрын
Mungu ndio Kila kitu
@joshua-u4r
@joshua-u4r 17 күн бұрын
Naumia sana kukosa nafasi ya kulinda nchi yangu nikiwa ndani ya kitenge.
@biddii1972
@biddii1972 Жыл бұрын
Kazi ya hawa watu nikubwa mungu awape afya njema
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Жыл бұрын
Amin!
@sanganoel8809
@sanganoel8809 Жыл бұрын
Najiskia furaha sana nikiwatazama hawa makamanda wetu safi sana
@MusaVedastus
@MusaVedastus Ай бұрын
One day yes nitakuwa mwanajeshi❤
@johnbidya119
@johnbidya119 Жыл бұрын
Dah raha sana hongereni natamani ningepata nafasi hio moraree ya juu sanaaa komandoo!!komandooo!!
@evaristfelix
@evaristfelix Жыл бұрын
Naomba nisaidie mkuu wa majeshi nina ndoto ya kuwa mwanajeshi naomba nisaidie
@adkajisi4536
@adkajisi4536 4 ай бұрын
Vipi ndugu uko jkt sasa
@biasharaonline693
@biasharaonline693 8 ай бұрын
Hapo watu washaiva hiyo babaa wanataka ajira "recruitment 😀 atu mbele ya mkuu wa majeshi lazma waonyeshe sifaa 😆😆
@shadrackmasokola3810
@shadrackmasokola3810 Жыл бұрын
Hongereni kazi nzuri
@pascalmanyama-su6se
@pascalmanyama-su6se Жыл бұрын
Safii...Vijana wako fit kama mkuu wao (cdf)
@jacksonmtonyore9871
@jacksonmtonyore9871 Жыл бұрын
Kazi ya Wanaume sio Wavulana Big up sana
@agnessernest9620
@agnessernest9620 Жыл бұрын
Wanangu eeeh vikwazo ni mwisho wajombaa🙌🙌
@josephlorri431
@josephlorri431 2 ай бұрын
Mafunzo na syllabus zao ni za kimataifa... nidhamu ya kila kitu ni umuhimu wa kwanza..
@dorindorin5139
@dorindorin5139 Жыл бұрын
Mungu awape nguvu kazi ya jeshi sio rahisi tunawaombea
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Жыл бұрын
Exactly
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 Жыл бұрын
Tunahitaji jeshi la mariasiri liimarishwe liwe jeshi kubwa na kambi zake ziwe kwenye mapori yote Tanzania ili tuwe na jeshi kubwa Tanzania
@Kondoa805
@Kondoa805 6 ай бұрын
Nikiwa mkubwa nitakua kama wao❤
@nassaroramadhan6013
@nassaroramadhan6013 Жыл бұрын
Hakuna kitu hapo wegi Ccm niwatoto waviongozi uwezi pata kazi hiyo mtoto mwenye kipaji chakweli
@AfisaMpango
@AfisaMpango 2 ай бұрын
Naomba munisaidie mkuu wa majeshi nandoto ya kuitetea nchi yangu
@EdwardSamson-uf1ee
@EdwardSamson-uf1ee 2 ай бұрын
Nimewapenda sana hawa instuctors ani wanaonyesha kila kitu kwa vitendo
@hamadmbarouk880
@hamadmbarouk880 Жыл бұрын
Well done jesh letu Tanzania 🇹🇿 lipo vzur sana
@kuvetamzazi8689
@kuvetamzazi8689 Жыл бұрын
Miongoni mwa majeshi bora barani Afrika
@abdalahrashid6681
@abdalahrashid6681 Жыл бұрын
Safi sana makakanda
@kubwalao5049
@kubwalao5049 Жыл бұрын
Safi wakuu tumependezwa hichi tunaomba jeshi letu lianze kutengeneza silaha zao
@VirotheaSteavean
@VirotheaSteavean 7 күн бұрын
Good job I like
@allymchunga480
@allymchunga480 7 ай бұрын
Kama hawa ndo wanafunzi tu, najiuliza hao walimu wao shughuli yao inakuaje, Anyway hongereni wapambanaji wetu
@sharmelasaif47
@sharmelasaif47 Жыл бұрын
Mwanafunzo hayo lazima ukiingia kwenye mia mbili zao unye tu kabla
@princekelvin5834
@princekelvin5834 6 ай бұрын
Hongereni sana ndugu wahitimu
@charleswachira6979
@charleswachira6979 Жыл бұрын
God bless jeshi
@user-tz3mq9kc2j
@user-tz3mq9kc2j 6 ай бұрын
Mkinihitaj hata kujiunga na jet niko tayari hata ndipo enda home kuaga
@dansiymisana596
@dansiymisana596 Жыл бұрын
Meja Yango nakuona kazi nziri kaza moyo.
@wakunatahafai1969
@wakunatahafai1969 Жыл бұрын
We hope on you🙏
@francethomas8059
@francethomas8059 Жыл бұрын
Mungu ibarik tanzania
@raymondmvula5407
@raymondmvula5407 Жыл бұрын
Kazi nzur!
@user-vv3vm7lf5x
@user-vv3vm7lf5x Жыл бұрын
Mungu azidi kuwapa afya njema..
@user-ps2wx7dk3i
@user-ps2wx7dk3i 4 ай бұрын
Natamani niwe kama wao du,❤
@RashidRashid-wv9ud
@RashidRashid-wv9ud Жыл бұрын
Kwanini askari wa siku hizi hawana mapeki kama yale ya zamani
@newbillionaire701
@newbillionaire701 Жыл бұрын
Viwandani hayatoki labda uwashonee ulete kwa mkopo
@inaelmekynews6395
@inaelmekynews6395 Жыл бұрын
Yapp
@tanzilusaid4836
@tanzilusaid4836 Жыл бұрын
Muulizie mama yko acha kutu chalenji
@user-lr2ff5mp5t
@user-lr2ff5mp5t 4 ай бұрын
Roo ina niuma mno nikiona ivii ila saw2 mwenyezi MUNGU ata nilipa 2
@alexchungu6263
@alexchungu6263 Жыл бұрын
jeshi linahitaji sana Askari vijana, kuliko officiers,
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Жыл бұрын
Hata maofisa ni vijana pia, wazee ni wa kuongoza mikakati
@Donald22ist
@Donald22ist Жыл бұрын
Hakuna kucheka na Kima!!
@stellambalyo9893
@stellambalyo9893 Жыл бұрын
Hongeren sana wanajeshi wa Tanzania
@jumamsukwa6244
@jumamsukwa6244 Жыл бұрын
Tunawatakiwa ulinzi mwema mkawe wakwanza kutetea wannch
@EvanceMwenengana
@EvanceMwenengana 7 ай бұрын
Amaa kweri hii kazi ni baraa.
@FRANKMWOMBEKI
@FRANKMWOMBEKI Жыл бұрын
Njugu zinatia mzuka. Ukiona unaona kama nyepesi vile... Ila jaribu
@J4UPro
@J4UPro Жыл бұрын
Safi makamanda wetu
@user-im1xc8wp3b
@user-im1xc8wp3b 2 ай бұрын
Napenda sana
@expert5898
@expert5898 Жыл бұрын
Ila jeshi sio kitu cha mchezo jamani!!
@AnnaEzekiel-zn8kg
@AnnaEzekiel-zn8kg Жыл бұрын
Ninaona mugumu Serengeti mnge weka jeshirakutosha iriasikari wetu wasife
@williamlihendeko5365
@williamlihendeko5365 Жыл бұрын
Vijana wanamoto tupo wengine kama nafasi zipo tuje kuongeza jeshi la akiba
@yusufmohamed8874
@yusufmohamed8874 Жыл бұрын
Hongereni
@BON357
@BON357 Жыл бұрын
Achane kulukaluka Tanzania tumbe amani Vita siyo zuri atauwe na jeshi kubwa kiasi gani
@samsonkusupa6809
@samsonkusupa6809 Жыл бұрын
Big up jwtz
@Rasoulhk98
@Rasoulhk98 5 ай бұрын
Noma sana aiseeh
@user-fp1xh1ei5m
@user-fp1xh1ei5m 6 ай бұрын
Hongereni sana
@coolruler6820
@coolruler6820 Жыл бұрын
Wanatakiwa kuongeza ukakamavu,,,,hapo wanaporuka ukuta na bomba hizo bado kuna walioko lezi, inatakiwa ukijivuta mara moja ni juu umetua, ya pili ni kujiachia chini
@jaimesilvestre2058
@jaimesilvestre2058 Жыл бұрын
Bom trabalho tanzania
@IsikoNichorus
@IsikoNichorus Жыл бұрын
Hi can visit me ❤️
@tumuxmeelgiver9086
@tumuxmeelgiver9086 Жыл бұрын
Mungu azid kuwasimamia
@yessethmboine5719
@yessethmboine5719 Жыл бұрын
Nilikuwa sielelewi ila mpaka sasa nimeelewa Tanzania tuna MAKOMANDO wa HAKIKA na wenye UWEZO mkubwa sana. Hata wasipo tu. Tumia SIRAHA wenyewe ni SIRAHA tosha. asante JESHI letu.Mungu azidi kuwapa Nguvu Uwezo na Weredi.
@mohammedmhina3973
@mohammedmhina3973 10 ай бұрын
Hebu kavhek train za korea ndo utaelea
@ismailabbas4197
@ismailabbas4197 7 ай бұрын
@@mohammedmhina3973 ushasema Korea nahili ni JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA 🇹🇿 sio kilakitu tufanane
@yakobcharles5011
@yakobcharles5011 Жыл бұрын
Very good
@bilallemba1919
@bilallemba1919 Жыл бұрын
Safiiisaana jeshiii letuuu imaraaaa
@BON357
@BON357 Жыл бұрын
Wanajeshi lindeni Katiba isibadirishwe wapizani wanasema raisi astakiwe ndiyo mwazo wa vita
@LUCYMWANISAWA
@LUCYMWANISAWA 5 ай бұрын
saluti kwa tanzania
@user-lr2ff5mp5t
@user-lr2ff5mp5t 4 ай бұрын
Tupeni nasie nafasi tulio kosa vyet ila tujitolea
@rodrickmataba8999
@rodrickmataba8999 Жыл бұрын
Komandoo... tukajenge taifa sasa
@user-fr1om2wj4v
@user-fr1om2wj4v Жыл бұрын
Asante sana jeshilangu laulinzi mazoezi nimazuri❤❤
@jacksonmisana4098
@jacksonmisana4098 Жыл бұрын
nimependa sana namm
@wilsonmutinda5493
@wilsonmutinda5493 Жыл бұрын
Grateful guys
@xideblacktz
@xideblacktz Жыл бұрын
Naililia hii kazi
@shaffisumaida8800
@shaffisumaida8800 Жыл бұрын
Nzuri
@josephlorri431
@josephlorri431 2 ай бұрын
Risasi za moto zinapigwa hapo
@shabanimzalla7108
@shabanimzalla7108 6 ай бұрын
Safi sana ❤
@subbykijazi4194
@subbykijazi4194 Жыл бұрын
Very well
@longinofransisco5488
@longinofransisco5488 Жыл бұрын
Good
@kostajoseph5811
@kostajoseph5811 Жыл бұрын
KAZI NZR SANA
@EdwardSamson-uf1ee
@EdwardSamson-uf1ee 2 ай бұрын
Our Lovely Gun AK-47
@bernardjosephmulokozi3901
@bernardjosephmulokozi3901 Жыл бұрын
Wamewiva
@nkyabosi4827
@nkyabosi4827 Жыл бұрын
Hadi raha
@stevenkimaro65
@stevenkimaro65 Жыл бұрын
Ongereni makomando
@djndevu9138
@djndevu9138 Жыл бұрын
Kama siyo udj ningemrithi my father rip mtalii
@mejalukumay1678
@mejalukumay1678 2 ай бұрын
Co kwako 2 hats mm pia
@MartinMugambiNjue
@MartinMugambiNjue 11 ай бұрын
Sasa haya ni mambo gani
@Michael-rd7lm
@Michael-rd7lm Жыл бұрын
👍👍👍👍👍🙋‍♀️
@officialkingkibochacha
@officialkingkibochacha Жыл бұрын
Jeshi safi.
@dottoamos2902
@dottoamos2902 Жыл бұрын
Mungea ndika ulizi tz
@user-wg4ju3lx3e
@user-wg4ju3lx3e 10 ай бұрын
@zahorosuleiman1099
@zahorosuleiman1099 Жыл бұрын
😎
@ambokilemussa3518
@ambokilemussa3518 Жыл бұрын
Makutupora hii?
@elishaworkout6116
@elishaworkout6116 Жыл бұрын
Izi mamb tam sana kama kitu inatoka moyon
@user-gc3gt7jd1z
@user-gc3gt7jd1z Жыл бұрын
😢
@NimrodiMasige-zi6vs
@NimrodiMasige-zi6vs Жыл бұрын
Hatar
DAD LEFT HIS OLD SOCKS ON THE COUCH…😱😂
00:24
JULI_PROETO
Рет қаралды 15 МЛН
New model rc bird unboxing and testing
00:10
Ruhul Shorts
Рет қаралды 25 МЛН
Mom's Unique Approach to Teaching Kids Hygiene #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 30 МЛН
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 11 МЛН
MICHEZO YA HATARI MAKOMANDO WA JWTZ| WABAKI VINYWA WAZI
5:59
JEMEDARI TV
Рет қаралды 4,1 МЛН
The Day Ronaldinho Showed Zidane Who Is The Boss.
14:05
RDHDComps
Рет қаралды 42 МЛН
Небо. Захват ССО главаря террористов.
11:45
Режиссер монтажа - Виталий Виноградов
Рет қаралды 10 МЛН
Crossing the Most Dangerous Crosswalk
0:24
Zach King
Рет қаралды 14 МЛН
Togg vs Colt Czt #araba #automobile #arabalar #car #fast #roll #drag
0:28
МотоТаня самая популярная байкерша
0:36
Кораблев с улиц
Рет қаралды 2,1 МЛН
Когда только что купил авто с пробегом 🤔😁
0:58
Суворкин Сергей
Рет қаралды 3,3 МЛН