*Nani yuko hapa baada ya kifo Cha godzillah na kuskiliza freestyle yake ili kumuenzi mungu ailaze roho yake mahali pema peponi*
@wabo_199 Жыл бұрын
Nipo apa
@dennardleonard1228 Жыл бұрын
Nipo
@Mbugokilonda7 жыл бұрын
Gadzila na chidibenz Wanafanya frestail ya papo kwa papo tofauti na wengine waimba nyimbo zao walizoandika Big up kwao R. I. P. Kwa Ngwea
@edwardnyihande41685 жыл бұрын
Na leo hii R.I.P kwake Zilla
@ghostelmendez72063 жыл бұрын
R.I.P KING ZIZI KING MWENYE ZILAA ZAKE😥😥😥😥👊🏾 LEGENDARY........2021
@kelvincharzmkoma40567 жыл бұрын
Hii ndo freestyle sasa sio mtu anakuja anaimba nyimbo zake ,nikki mbishi utumbo mtupu ...salute zillah #kilawakati
@salumuseif3324 Жыл бұрын
Duh nomaaaa
@mohdkassim3605 жыл бұрын
That's true free style, Rest in peace Zilla, we will always miss you!
@estebanarchie32923 жыл бұрын
sorry to be so offtopic but does anyone know of a way to log back into an instagram account? I was dumb forgot my account password. I would love any tricks you can give me.
@fernandosoren30683 жыл бұрын
@Esteban Archie Instablaster =)
@estebanarchie32923 жыл бұрын
@Fernando Soren thanks for your reply. I found the site thru google and im in the hacking process atm. Takes quite some time so I will reply here later when my account password hopefully is recovered.
@estebanarchie32923 жыл бұрын
@Fernando Soren it worked and I finally got access to my account again. Im so happy:D Thank you so much you saved my ass :D
@fernandosoren30683 жыл бұрын
@Esteban Archie Happy to help :D
@collegedropout55255 жыл бұрын
Na andika hii comments huku machozi yananitoka wallah allah akufanyie wepesi huko ulipo insha allah...!!
Mshkaji alikua imara Sana.....sikawai pata kuona after yeye. . ....he was too real......# Most underrated mc and freestyler# rest in powere Zillah
@bensonfrank95787 жыл бұрын
HUYUU JAMAA MKALI SANA KWNYE FREE STYLE 🔥
@mnkondejr91743 жыл бұрын
Rip jembe haitotokea tena
@BarackCharles-vt7kt Жыл бұрын
G zilla 🎉
@hojamathias99892 жыл бұрын
Nimekukumbuka king zila Mungu akupunguzie adhabu ya kaburi pumzika kwa amani
@jabbydux7 жыл бұрын
namkubali sana zilla! big up bro
@issackchalahani12354 жыл бұрын
Jehovah bless this guy. Rest in peace King Zilla.
@nicksonraymond44104 жыл бұрын
Namuona Jr katulia tulii mistar ipo vzr
@godfreymalya66107 жыл бұрын
uyu jamaaa ni nomaa kwa freestyle big up broo zilla
@miriamkoroso38015 жыл бұрын
cna neno mm
@levythadon63877 жыл бұрын
zilla umemaliza oe kama wakubali gonga like
@jamesmankhwaziesq3818 Жыл бұрын
Nah man, this guy was a beast on freestyle! Truly the best! Rest in paradise. It’s tough that I have to keep searching for your music to hear more from you. East Africa lost a great
@abrahamkamus84057 жыл бұрын
Godzila u de king of freestyle no ubishi kwa ilo... tishaaa mno
@luganokapula62677 жыл бұрын
Okello Junior umemsahau Nikki mbishi
@ibrahimpius8937 жыл бұрын
huyu jamaa anajua mpaka kero
@beritydausoni34364 жыл бұрын
Bab uyo in shida
@filbertfaustine73575 жыл бұрын
Daaaaaa siaminiiiiiii NIKUELEWAAAA TOKA MUDA YAN UNA FREE STYLE YAKWELI ACHANA NA WENFINE WANA TUNGA NYIMBO NDO WANALETA HAPO. R.I.P BRO, BRO YOU WHERE ALL A MAN OF KIND.
@dramatic25588 жыл бұрын
6:26 watu wanakuja wakinambia... shuka madarakni kama rais wa gambia... naenda lesi pia mpaka zambia... me nna 2face call me idibia...... hahahahahahaha zillaa waueeeeee
@mosesabwao26737 жыл бұрын
yeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh
@johnrichard5482 Жыл бұрын
WOOOZAH... ilikuwa ni Ya 1 Kuruka Kwa Hewa Mpaka Leo 2023 Bado ni Ya Moto 🔥 Kama Imetoka Leo👏👏👏 HESHIMA KWAKE The REAL FREESTYLE KILLER #GODZILLA 🎵 A.K.A KING ZIZIIY 🎧🎤🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💥💥💥💥💥💥
@maestroally72014 жыл бұрын
Daaah misng dz zilla
@goodlucktemu3149 Жыл бұрын
2023 am back this interview, 💔🙏🏾 Rest in esy zizi
@SHEDRACKILOMO7 ай бұрын
Real freestyler of all the time
@oscarjoseph35132 жыл бұрын
Pumzka kwa aman King ziz
@colinmeshaki16287 жыл бұрын
mikonoo juuu hakuna kama zila kwenye huo mchezo
@ntiriorgang95253 жыл бұрын
Daa chini kunaendwa jamani huyu jini
@VictorRodriguez-jg2se Жыл бұрын
Heshima sana kwa kingzilaa
@evaristmandilindi61476 жыл бұрын
Godzilla, CHID Benz, nick mbish, songa, stamina.....hawa ndo wanyama wa hiz mambo
@akimjuma2026 Жыл бұрын
King 👑 zill
@abdallahramadhani26217 жыл бұрын
The king of frestyle baada ya Ngwea in Tz Beleave me
@robertgordon75575 жыл бұрын
True brooo
@charlesnginila633 жыл бұрын
Mungu amulaze mahali pema peponi king zillah
@amiriramadhan77535 жыл бұрын
Daah niga rest easy king zilla, you was really hip hop freestyle master!! R.I.P king
Uyu jamaa n hatari asee kwa freestyle ata fid amuoni uyu jamaa arudiagi mistari ya nyimbo yake SALUTE king Zilla
@hamsokalos29156 жыл бұрын
Big up king zila u r the best among the best....#Bouy 254 representing.. much lov pipo lets suport our music as our artist grows
@happyndimilalove23626 жыл бұрын
King zilla no balaa
@rasvegas8991 Жыл бұрын
To day I'm watch
@robertgordon75575 жыл бұрын
Hatuwez msave brother from devour 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@wa2kusitz6505 жыл бұрын
Mss uu broo sitachoka kuanglia hiii..
@magangawamakamo3354 жыл бұрын
Nimekuja kumuangalia brother king zillar nimemiss mziki wake furani hivi r i p
@khalfaniYahaya3 ай бұрын
Wasanii wengi waliopita dakika kumi za maangamizi Wameimba vesi zao lakini zillabpekee ndo ame freestayle 100%
@frankdegang82457 жыл бұрын
tishaaa sana zillah
@kelvinfrank88817 жыл бұрын
Leo naomba nicomment hii ndio kitu nilikuwa nataka kwa hii segment aseeeeeh zizi weeeeeeh mazaaaaaaaaaah facker ww ni freesytle monster😈🎶🎶🎶 aseeeh bablai umeuaaaaaaa sizani bongo kama yupo kama ww kama yupo dullah andaa freestyle buttle mkuuu naomba plzizzz ntachangia hata kijoti baridiiiii zillahhhh umeuaaaaaa ww ni real MC🎤
@ikoziboy44884 жыл бұрын
Apumzike kwa amani zilla
@erastoonesmo61094 жыл бұрын
2020 🏃🏻🏃🏻2021 iko bomba
@jumakajimba78965 жыл бұрын
Daaaah eti wanamfananisha na billnas ...kwakipi asa hapo ...piga kelele kwa KING ZILLAAAAAAA dah R.I.P blood
Nimeangalia Dk 10 za Maangamizi na Michano ya hatari sijaona kama Zilla for really...
@tonymlatino48105 жыл бұрын
Tafta coyo Chidibenz Mbeya chuma boy utatubu
@nellymollel46727 жыл бұрын
anajuaaaaa daaa axeee zilla big up poplar hip hop MEN from A TOWN me
@sinankwapatrick61063 жыл бұрын
R i p bro atutokusahu kbs
@dennardleonard1228 Жыл бұрын
What a GREAT TALENT we have had
@halidiyasin74855 жыл бұрын
Kumb jamaa zila alikua vizury R.I.P kwake
@TheNdaki4 жыл бұрын
Alikua hatar . TNT 💥
@bardybless38886 жыл бұрын
ziziiii kakazaaa bhanaaa.. acha majunguu jombaa
@petermakelemo85385 жыл бұрын
Kila nikitaka kuangalia freestyle huwa narud kuangalia za king zilla #RIP bro ...heshima yako
@emanueledwin56856 жыл бұрын
Big up kingzilla
@subechuwa34617 жыл бұрын
We ni noma xana ze baba cjuw2 nani kachukua nyota yak
@barakaelmwanga34477 жыл бұрын
weka mbali na watoto maana ni hatariiiiiiiii ,,,,, mistari mikali mazeeeee
@jothamdaniel52757 жыл бұрын
still king zilla king of freestyle Tz no body like him
@bennykamuggy51746 жыл бұрын
Hahaha hahaha time is out, time is out, zilla salute bro, wenzio waliomba dk ziishe Nikka, we tumezuia umepitiliza Nikka
@eustworld42277 жыл бұрын
zilla my best freestyler in bongo since day uno
@ernestkhalifa38202 жыл бұрын
2022 still the best freestyle daaah ...rest in peace zilla
@nixnovember7 жыл бұрын
King Zilla.new era rap master. sala sala westside!!
@rinnionnTV7 жыл бұрын
Tangia series ya dk 10 za maangamizi ieanze mpaka sasa this is the only guy amefanya real freestyle na kiukweli zilla peke yake anaweza kufananishwa na ngwea
@castorysigala54805 жыл бұрын
R. I. P zilla
@fundiwamoldzapevingblock6378 Жыл бұрын
Ooooooooooooooooooyaaaaaaaaaaaaaaaaa uta wauwaaaaa weweeeeeeee😁😁😁 raha sanaaaa kama una penda mzikii bundukiii
Anayemfananisha king zilla na watoto wadogo mnakosea k woooooote
@saulstephen49248 жыл бұрын
Me naona GODZILLA aendelee tu maana wakija wengne wataanza kuimba nyimbo zao za zaman amabazo hatujazisikia na hapo kinachotakiwa ni FREESTYLE hao wengne wataharibu hatuwatak
@rinnionnTV7 жыл бұрын
sAuL sTePhEn mkubwa wewe ndio umeshtukia the real deal
@juliusmtei51657 жыл бұрын
sAuL sTePhEn hyo ni kwel
@mustaphajuma11895 жыл бұрын
Dah r.i.p kng zilla
@edwinlawi7105 жыл бұрын
R i p
@saidinanyani30192 жыл бұрын
Zizi anaswitch flows kwenye different beats na sio vilaza wanaorap the same style kwenye beat tofauti
@amosmwakapesa85407 жыл бұрын
huyo jamaa arudie dakika 10 planet bongo
@mohamednahid27727 жыл бұрын
Zilla umetisha baalia
@drdenyihe81587 жыл бұрын
hizi dakika kumi king kong ,chidy Benz ndo beast come back bro
@filbertmapendo41087 жыл бұрын
hahahahahah anaejua anajua tu
@michaeltuingilegewaubaridi85707 жыл бұрын
Zila kateshaaaa mno
@kakazikwe22715 жыл бұрын
Daah, R. I. P brow ndo nmekuelewa wkt umeondoka ktk dunia hii. Nataman urud tna.
@saulmwakyusa10018 жыл бұрын
jr junior anamcheki kweli bala noma zilla najua hukoseagi
@adammichu87348 жыл бұрын
Noma Sana
@jeremiahmabula48378 жыл бұрын
unajua mi mnaniuzi sana mnaomlinganisha Godzilla na Mtoto Billnass cjui mnatumia kigezo gani?
@nestorlucasmaasai80245 жыл бұрын
Washenzi sana watu dizaini hiyo
@athumanimrope74864 жыл бұрын
Wasenge wanaolinganisha zillah injin nyingine billnas mrembo
@sumadashsumadash73423 жыл бұрын
ZiiiiZilaaa..R.I.P. Kumfananisha na wenhine nikumkosea Heshma kwambaaaali labda Marehem Albert Mangwea Ila sio kimfananisha na Bilnenga jamani
@GoodluckSenyagwa7 ай бұрын
Hyu jamaa noma sana mm naona hana mpinzan live ndungu
@oceankid_tz5 жыл бұрын
Rapper pekee anae freestyle na big G mdomoni afu freesh tuuu🔥🔥🔥