Devota...shukran sana...I have been following you...and I must say am loving every advice you give... thank you
@Devota_life11 ай бұрын
Thanks alot sis karibu saanaa❤❤❤
@ivankadaudi816111 ай бұрын
Endelea kutufunza nmekujua kupitia shena❤
@Devota_life11 ай бұрын
Karibu sis
@silviaamos-pl5lk10 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@Devota_life10 ай бұрын
Karibu sanaa
@silviaamos-pl5lk10 ай бұрын
Unaupendo sana
@Devota_life10 ай бұрын
Jamani Asante sanaa
@Lizzyktd11 ай бұрын
Ahsante sana Dada
@Devota_life11 ай бұрын
Karibu dear
@rehemamwandemani518210 ай бұрын
Asante sana
@Devota_life10 ай бұрын
Karibu sis❤❤❤
@MonicaGaino11 ай бұрын
Asnte kwa ushauri❤
@Devota_life11 ай бұрын
Karibu sanaa mamie
@suzanajonhnyodwa156111 ай бұрын
Nakukubali Sana dada
@Devota_life11 ай бұрын
Karibu sis ❤❤❤
@Devota_life11 ай бұрын
Jamani nimesahau kuandika .Video hii nimekuelekeza vizuri hizi sites baadhi ni hizi Tinder, Afro-introduction, International Cupid, Bumble,Badoo, Mingle, Euro dating.Meet Up . Facebook interacial na etc
@hamidahnassoro-127 ай бұрын
Mimi sijui ata jins ya kuandaa iyo profile huna mtu uku tz anifungulie izo site ata nimlipe dada nsomb nijibu
@betricemainoya417611 ай бұрын
Naomba tuongee mdogo wangu
@Devota_life11 ай бұрын
My sis naomba uni DM Instagram, devota_ tz_influencer1
@Lizzyktd11 ай бұрын
Jina gan unatumia @@Devota_life
@CelestineLihavi-rw8kp10 ай бұрын
Asenti ❤❤
@Noelarichard11 ай бұрын
Well said sis
@Devota_life11 ай бұрын
Karibu
@MaryMichaelMaryMichael-i7o11 ай бұрын
Mgeni jamni❤ dada
@Devota_life11 ай бұрын
@@MaryMichaelMaryMichael-i7o karibu sana
@PerisTalia10 ай бұрын
Nakupenda daaa maolezo mazuri niko kenya
@Devota_life10 ай бұрын
Jamani Asante sanaaa❤❤❤❤ karibu sanaa
@silviaamos-pl5lk9 ай бұрын
Naomba uniambie mitandao majina yake
@ElizabethYudda9 ай бұрын
Naomba nifundishe jinsi ya kujiunga na kutengeneza hizo ap
@Devota_life9 ай бұрын
Naomba nitatoa video ,pia naomba usikilize video ya leo jinsi ya kupata wazungu Facebook
@KwizeLee10 ай бұрын
dada tusaidiye uziandike kwakusema
@Devota_life10 ай бұрын
Afro -introduction, International Cupid, Bumble, Mingle,Tinder,Badoo, Euro dating, Mingle,Meet up,Dar Tostaa Master. Ingia google pia ukiandika List of dating sites ,inakuletea Karibu.
@KwizeLee10 ай бұрын
internation couple?
@Devota_life10 ай бұрын
Ni Swali unaulizaa?? Sijaelewa Nafikiri ni international couple, interracial couple yote ni sawa
@TimoKidar9 ай бұрын
Nakufatilia sana dadaangu naweza kupata whassap number yako kwa maelekezo zaidi
@Devota_life9 ай бұрын
Naomba Uni DM devota_tz_influencer1
@shazirynambombe773510 ай бұрын
Nimejiunga vizuri lakin jisi ya kuweka pesa ndio nahindwa
@Devota_life10 ай бұрын
Una Paypal account? Ni njia rahisi na ni rahisi kufungua au Visa card Kwa maelekezo zaidi nicheki Instagram devota_tz_influencer1 Dm
@Jeremiahchambiri10 ай бұрын
Niambie ndgu yangu sasa namba ya agent
@Devota_life10 ай бұрын
Naomba uni DM Instagram devota_tz_influencer1
@queenkaiza288010 ай бұрын
Tunaomba Uwe unaunganisha watu namanisha watu wawe waingie life
@Devota_life10 ай бұрын
My dear naomba unieleweshe vizuri
@queenkaiza288010 ай бұрын
Namanisha unaingia uyoube live watu wanaingia wanao tafuta wazungu hapa hapa kuna mdada alikuwa anaitwa caro alikuwa anafanya ivo na watu walikuwa wanapata sn na Kama mtu hajui kingereza Yule dada alikuwa anatafsilia itapendeza sn
@Devota_life10 ай бұрын
Hello Pole dear sijui lugha .if i could ningejaribu but dating sites ni nzuri zaidi. But also nipo Greece we will be back to Italy. Kwa ushauri tumia Dating sites Asante
@yetrishatutupa565610 ай бұрын
@@Devota_life❤
@IgnatiusSanya11 ай бұрын
Mbona ss wa tz twapeda mambo ya gono sana😂😂
@Devota_life11 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣stress za umasikini ndo zinakusumbia nakushauri kumind your own business kijana
@IgnatiusSanya11 ай бұрын
@@Devota_life mimi ni tajiri Kiroho dada.hizi Kiki jamani zaharibu mkewangu
@IrakozeChannel10 ай бұрын
Sasa hiizo dating zote dada zilapiw
@Devota_life10 ай бұрын
Ndio ni kweli , lakin unaweza kuingia kama standard member kwenye Afro -introduction ,ukasubiria wale wa Gold membership na Premium membership waku match na kukutumia meseji ,wale unaweza kuwajibu maana walishalipia. Hili hao wakutafute unatakiwa kuweka profile yako vizuri na yenye nvuto. So ukiingia pale bila kulipia wewe ni standard . Dating.com lazima ulipie Tinder sio lazima International Cupid sio lazima Sijawai kulipia dating site yeyote mimi
@Devota_life10 ай бұрын
Badoo sio lazima , Bumble sio lazima ,Mingle sio lazima ,Meet up dating sio lazima
@GraceMona-v5b10 ай бұрын
Wasap yako no naomba devota
@Devota_life10 ай бұрын
Hello naomba uni Dm Instagram,devota_tz_influencer1
@GraceMona-v5b10 ай бұрын
@@Devota_life asante
@silviaamos-pl5lk9 ай бұрын
Badoo Aina mbili naomba uniambie
@Devota_life9 ай бұрын
Instagram un Dm
@Devota_life9 ай бұрын
devota_tz_influencer1
@wrdahss67211 ай бұрын
Nataka number yako
@Devota_life11 ай бұрын
Hello sis ,nitafute Instagram kwa jina la devota_tz_ influencer1 DM
@Sumay22810 ай бұрын
Unatumia jina gani Instagram
@Devota_life10 ай бұрын
Karibu, devota_tz_influencer1
@rosemunisi81810 ай бұрын
Nakutext insta dada
@Devota_life10 ай бұрын
Karibu, ukitext uniambie kabisa unatoka KZbin, karibu mdogo wangu