WELCOME TEAM BIBLIA NURU YA DUNIA

  Рет қаралды 10,974

BIBLIA NURU YA DUNIA

BIBLIA NURU YA DUNIA

Күн бұрын

Пікірлер: 87
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 3 жыл бұрын
asante mwalimu Mungu Akubariki..salaam kutoka Tanzania karibu sana kwetu jirani
@benardobunga
@benardobunga 3 жыл бұрын
Barikiwa kwa hoja yako na kutowa ukweli wa bibilia waziwazi, Na kuheshimu kwa ujasiri wako huo.
@monicabh1668
@monicabh1668 3 жыл бұрын
Mwalimu wangu Francis Ndacha nakupenda ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️hii Elimu ningepata wapi mimi 😢😢🙏🙏Mungu akubariki.
@1THEBRAIN
@1THEBRAIN 3 жыл бұрын
Ulituambia yesu mungu leo unatuambia yesu, amekati na mungu mkono wake wa kiume na ulisema yesu ni mungu mkuu alikuwepo kabla ya ulimwengu kuwepo na nae neno na neno ndio yesu na yesu ndio mungu leo unasema yesu ndio atakae tuombea kwa mungu, unatuvuruga mchungaji
@monicabh1668
@monicabh1668 3 жыл бұрын
Huu ni ukweli kabisaa usiokuwa na doa, kubali upone 🙏🙏 puuzia upotee uamuzi ni wako.
@mwanamkemwebrania9530
@mwanamkemwebrania9530 3 жыл бұрын
Mungu kifumbue macho kizazi hiki chenye ukaidi. Kazi yako njema mwl Mungu akubariki
@louisejeanne1760
@louisejeanne1760 2 жыл бұрын
blessed my teacher dacha 🙏🙏🙏
@francisojala7741
@francisojala7741 3 жыл бұрын
injili iendelee Ndacha!!! MARANATHA YESU YUAJA
@casaica2993
@casaica2993 3 жыл бұрын
Barikiwa sana mwalimu wangu
@commandorsrlo175
@commandorsrlo175 3 жыл бұрын
Amiina mtumishi
@1THEBRAIN
@1THEBRAIN 3 жыл бұрын
Yesu sialisha kufa kwa ajili ya zambi zetu sasa kwann mtu afetena na dhambi na yesu alisha beba mizigo yetu
@makiwaamuri2632
@makiwaamuri2632 3 жыл бұрын
barikiwa sana pastor sijuw kwa nini waliopo hapo hawataki kubadilika mim nipo usa 🇺🇸 natamani ningelikuwa hapo maana huku kupata sehm na injili kama iyo ni ngumu
@BIBLIANURUYADUNIA
@BIBLIANURUYADUNIA 3 жыл бұрын
Inachangaza Sana mtumishi
@monicabh1668
@monicabh1668 3 жыл бұрын
Mioyo yao ni migumu sana 😢😢
@geraldineirankunda1159
@geraldineirankunda1159 3 жыл бұрын
Mubarikiwe mutumishi Ndacha ansante sana
@judithmoturi3402
@judithmoturi3402 3 жыл бұрын
Barikiwa sana Mwalimu Ndacha 🙏🙏
@saidabdillahi8107
@saidabdillahi8107 3 жыл бұрын
Maalim Ndacha wafungue macho jamaa zako kwa kweli wanadanganywa kama watoto wadogo
@KoomeNzima-lp4ql
@KoomeNzima-lp4ql Жыл бұрын
Ameni
@thomasalchannel1135
@thomasalchannel1135 3 жыл бұрын
Hallelujah.May God Bless You.
@margaretmargaret5744
@margaretmargaret5744 3 жыл бұрын
This is a guy 👦we can support dear ❤
@thomasalchannel1135
@thomasalchannel1135 3 жыл бұрын
@@margaretmargaret5744 EXACTLY!!👏👏
@margaretmargaret5744
@margaretmargaret5744 3 жыл бұрын
@@thomasalchannel1135 Amin Amin 🙏🏼Ndacha is just unbelievable soul 🙏🏼❤that I can't get enough of his teaching so rich in knowledge and most of his verses are in he's minds 😀I wish I could meet him to see how customised the talent is I really respect Mr Ndacha's wisdom
@margaretmargaret5744
@margaretmargaret5744 3 жыл бұрын
@@thomasalchannel1135 he's 🐎hardworking and humble very courageous and ready to fight with Muslims ☪️faith 🙏🏼
@margaretmargaret5744
@margaretmargaret5744 3 жыл бұрын
@@thomasalchannel1135 I do see 👀him as a harsh person even I feel shy to ask him a Question
@piusmwika9203
@piusmwika9203 3 жыл бұрын
Mwalimu iyo wimbo ya pili wakati unaanza inaitwa aje plz
@monicabh1668
@monicabh1668 3 жыл бұрын
Jana sikuwahi LIVE but nilipopata muda nimefatilia mafundisho taratibu 🙏🙏🙏kwa hakika nahisi kubarikiwa na kuzidi kuelimika kiroho. Mwalimu wangu Francis Ndacha JEHOVAH azidi kukuinua pamoja na msomaji wetu mzurii paulo 🙏🙏Nasi tunazidi kuwaombea kwa Mungu awalinde na jeshi lake la malaika mbinguni.
@BIBLIANURUYADUNIA
@BIBLIANURUYADUNIA 3 жыл бұрын
Amen
@banlincoln5646
@banlincoln5646 3 жыл бұрын
Huu wimbo unaoanza unaitwa vipi
@margaretmargaret5744
@margaretmargaret5744 3 жыл бұрын
Ndacha always ♥makes my heart full of hopes Even before you said I'm definitely ready to be blessed beyond human understanding 🙏🏼congratulations sir Ndacha we love your massage 💆‍♀️more than ready
@BIBLIANURUYADUNIA
@BIBLIANURUYADUNIA 3 жыл бұрын
Barikiwa dada
@margaretmargaret5744
@margaretmargaret5744 3 жыл бұрын
@@BIBLIANURUYADUNIA congratulations sir Ndacha for your speed feed back reply 👏👍nowadays you are trying to reply our comments 😀which is awesome step 🚶‍♂️Nothing comes easy in life..No success without hardworking Please Mr Ndacha keep rolling you never know who you are inspiring But if you are born with a silver spoon it's so easy to judge # Say hey 👋to Mr Paul Hasan.. tell him the day you plant 🪴the fruits is not the day you eat But hardworking pays # Acandle can not lose it's light by lightening other candles That's why we're here to support this ministry
@monicabh1668
@monicabh1668 3 жыл бұрын
@@margaretmargaret5744 fully and ready to support this ministry in anyways 🙏🙏.
@margaretmargaret5744
@margaretmargaret5744 3 жыл бұрын
@@monicabh1668 👋 darling I hear you darling Let's appreciate the effort Ndacha is putting in this game 🎮
@margaretmargaret5744
@margaretmargaret5744 3 жыл бұрын
@@monicabh1668 I have a dream for buying a Flight ✈️ in this ministry please help me to pray for this dream come true 👍one day in Jesus name Amin Amin Amin Amin Amin Amin Amin 🙏🏼
@fredrickgitonga1972
@fredrickgitonga1972 3 жыл бұрын
Amen God bless you
@1THEBRAIN
@1THEBRAIN 3 жыл бұрын
Mbona yesu alikufa nani alikua anatuombea 😄😄
@saidabdillahi8107
@saidabdillahi8107 3 жыл бұрын
Maalim Ndacha kwa mara ya kwanza nimefurahishwa na mawaidha yako kwa kiwi kikubwa
@jeanmuzaliwa3171
@jeanmuzaliwa3171 3 жыл бұрын
ubarikiwe sana ndugu Mungu akuongoze ili ujuwe ukweli wa maandiko
@jamesolando2479
@jamesolando2479 3 жыл бұрын
Luka : 23 : 43 - Yesu akamwambia, Amin, nakuambia, leo hivi utakuwa pamoja nami peponi. Mwalimu ndacha naomba ufafanuzi wa hilo andiko. Yesu alimaanisha nini?
@BIBLIANURUYADUNIA
@BIBLIANURUYADUNIA 3 жыл бұрын
Leo Hivi na Leo hii huoni tofauti? Yesu alienda peponi siku hiyo? Jibu apana ...yohana 17:20
@eunicebukokhe6805
@eunicebukokhe6805 3 жыл бұрын
@@BIBLIANURUYADUNIA nini maana ya yesu kubadilisha maji kuwa divai , maandiko ina ashiria nini?
@henryosoro7696
@henryosoro7696 3 жыл бұрын
Miujiza ya kiganga, hahaa🤣🤣
@clencysimuli1773
@clencysimuli1773 3 жыл бұрын
Injili isongeeeee mbeleeee
@henryosoro7696
@henryosoro7696 3 жыл бұрын
UN wameweka statue ya mnyama aliyetabiriwa kwa bible beast found in the book of Daniel and Revelation.
@henryosoro7696
@henryosoro7696 3 жыл бұрын
Zoom the camera we see it clearly.Next time zoom
@charlesmakuri792
@charlesmakuri792 3 жыл бұрын
Ndacha naomba uwaulize Hawa Islam kwamba Wana mtambua yesu je? Yesu alikuwa na wanafunzi na je Wanawatambua kama Wana watambua Kwa quruani mbona hatuwasikii akina Petro na kama Hawa tambui nani aliwandiki habari za yesu au issa
@alsamali6964
@alsamali6964 3 жыл бұрын
HWO ? 🤣🤣🤣🤣🤣 ni WHO NDACHA
@jamesolando2479
@jamesolando2479 3 жыл бұрын
Mwalimu ndacha nabarikiwa na mafundisho yako. Naomba ufafanuzi kuhusu ile story ya lazaro na tajiri. Je pale Yesu alikuwa anatoa mfano au ndio uhalisia wa mtu anapofariki?
@BIBLIANURUYADUNIA
@BIBLIANURUYADUNIA 3 жыл бұрын
Ili kuelewa vizuri mfano wa tajiri na Lazaro, tafadhari kwanza soma hadithi yote katika Luka 16 kama ifuatavyo. Luka 16:19-31 “Akasema, Palikuwa na mtu mmoja, tajiri, aliyevaa nguo za rangi ya zambarau na kitani safi, na kula sikuzote kwa anasa. Na maskini mmoja, jina lake Lazaro, huwekwa mlangoni pake, ana vidonda vingi, naye alikuwa akitamani kushibishwa kwa makombo yaliyoanguka katika meza ya yule tajiri; hata mbwa wakaja wakamramba vidonda vyake. Ikawa yule maskini alikufa, akachukuliwa na malaika mpaka kifuani kwa Ibrahimu. Yule tajiri naye akafa, akazikwa. Basi, kule kuzimu aliyainua macho yake, alipokuwa katika mateso, akamwona Ibrahimu kwa mbali, na Lazaro kifuani mwake. Akalia, akasema, Ee baba Ibrahimu, nihurumie, umtume Lazaro achovye ncha ya kidole chake majini, auburudishe ulimi wangu; kwa sababu ninateswa katika moto huu. Ibrahimu akasema, Mwanangu, kumbuka ya kwamba wewe uliyapokea mambo mema yako katika maisha yako, na Lazaro vivyo alipata mabaya; na sasa yeye yupo hapa anafarijiwa, na wewe unaumizwa. Na zaidi ya hayo, kati yetu sisi na ninyi kumewekwa shimo kubwa, ili wale watakao kutoka huku kwenda kwenu wasiweze; wala watu wa kwenu wasivuke kuja kwetu. Akasema, Basi, baba, nakuomba, umtume nyumbani kwa baba yangu, kwa kuwa ninao ndugu watano, ili awashuhudie, wasije wao pia wakafika mahali hapa pa mateso. Ibrahimu akasema, Wanao Musa na manabii; na wawasikilize wao. Akasema, La, baba Ibrahimu, lakini kama akiwaendea mtu atokaye kwa wafu, watatubu. Akamwambia, Wasipowasikia Musa na manabii, hawatashawishwa hata mtu akifufuka katika wafu.” Kwanza kabisa hapa Yesu alikuwa anaongelea mfano, mfano siku zote hauchukuliwi kwa uhalisia. Mfano hutumika kuashiria kitu kingine tofauti na kitu kinachotamkwa. Marko 4:34 inasema, “wala pasipo mfano hakusema nao; lakini akawaeleza wanafunzi wake mwenyewe mambo yote kwa faragha.” Kama mifano aliyotoa Yesu inapaswa kuchukuliwa kama ilivyo, kwanini Yesu aliwaeleza wanafunzi wake maana ya mifano hizo kwa siri? Hii inaonesha wazi kuwa mifano ni viwakilishi tu vinavyotumika kuwakilisha kitu kingine, na ndio maana ilimbidi Yesu awaeleze wanafunzi wake kwa siri maana ya mifano hiyo.
@BIBLIANURUYADUNIA
@BIBLIANURUYADUNIA 3 жыл бұрын
Kama mtu atauchukulia mfano wa tajiri na Lazaro jinsi kama ulivyo, ili athibitishe kuwa mtu akifa papo hapo anaenda motoni au mbinguni, anatakiwa pia aichukue mifano mingine yote jinsi kama ilivyo. Na hili litakuwa jambo lisilo na maana kwa sababu hata mitume hawakuichukua mifano jinsi kama ilivyo, bali walimuuliza Yesu awaelezee maana yake. Kwa wale ambao wanauchukulia mfano wa tajiri na Lazalo jinsi kama ulivyo, hebu tulinganishe mifano mingine katika Biblia, kisha tutaona kosa lao li wapi. Kwa mfano unauchukuliaje mfano wa Waamuzi 9:8-15? Ambapo miti ilienda kuutia mti mafuta uwe mfalme juu yao. Je ni nani ambaye alishaona miti ikiongea na kutembea kwenda kuuchagua mti uwe mfalme? Huo ni mfano tu ambao kama ukisoma Waamuzi 9:16-24 utaona ile miti ilikuwa inawakilisha watu halisi. Pia angalia mfano wa magugu na ngano katika Mathayo 13:24-32, Je unauchukulia kiuhalisi mfano huu? Hapana! Yesu aliuelezea mfano huu na ulimaanisha vitu vingine tofauti na magugu na ngano. Hivyo mfano wo wote ule sio wa kuchukulia kama ulivyo, mfano huwakilisha kitu kingine tofauti na kile kilichotamkwa. Tukirudi katika mfano wetu wa tajiri na Lazaro. Luka 16:12 inasema “Lazaro alipokufa alichukuliwa na malaika…” Hapa Yesu alikuwa anaonyesha picha halisi jinsi wafu baada ya kufufuliwa watakavyonyakuliwa na malaika kumlaki Bwana mawinguni. Hapa Lazaro alichukuliwa na malaika kwenda “kwenye kifua cha Ibrahimu“. Biblia inatuambia kwamba wafu watakapofufuliwa watachukuliwa na malaika kwenda “mbinguni” kutawala miaka 1,000 (1 Wathesalonike 4:15-17; Ufunuo 20:4), na hivyo katika mfano Lazaro alipochukuliwa na malaika alipelekwa hadi kwenye kifua cha Ibrahimu. “Kifua cha Ibrahimu” hapa kimetumika kama mfano kuwakilisha “mbinguni”, Ukweli ni kwamba kwenye kifua cha Ibrahimu siyo sehemu watakayoenda watakatifu, hivyo Yesu alitumia “kifua cha Ibrahimu” kuwakilisha tu “mbinguni”. Hata hivyo, hapa Yesu hasemi kwamba roho ya Lazaro ilichukuliwa kwenda mbinguni, bali anasema Lazaro yeye mwenyewe wote; akiwa na “mwili na roho” alichukuliwa na malaika na akapelekwa mbinguni; hii inawakilisha siku ya mwisho ambapo wafu watanyakuliwa na malaika na kupelekwa mbinguni kutawala miaka 1,000. Kuhusu yule tajiri Luka 16:22-23 inasema, “yule tajiri alikufa akazikwa, na kule kuzimu akainua macho yake akamuona Ibrahimu na Lazaro.” Kumbuka Lazaro hakuzikwa, bali alipokufa alichukuliwa na malaika kwenda mbinguni, lakini hapa tunaona kuwa yule tajiri alizikwa na kule kuzimu akainua macho yake akamuona Ibrahimu na Lazaro; hapa neno “kuzimu” la kigiriki ni “hades” na la kiebrania ni “sheol” ambayo yote yanamaanisha “kaburi”. Hivyo wakati tajiri yuko kaburini aliinua macho akamwona Ibrahimu na Lazaro; hii haileti maana yoyote, maana mtu aliye kaburini hawezi kuona. Hivyo hapa Yesu alitumia neno “Kaburi/kuzimu” kuwakilisha tu “jehanamu”, na hivyo katika maana halisi aliyomaanisha Yesu katika mfano huu ni kwamba yule tajiri hakuwa kaburini wala kuzimu, ila Yesu alitumia neno “kaburi/kuzimu” kuwakilisha “jehanamu”, na hivyo katika maana halisi ya mfano huu yule tajiri alikuwa jehanamu anaungua moto; na hii ni baada ya kuwa amekufa, akafufuliwa katika ufufuo wa pili ambao ni wa waovu, na kisha akapewa hukumu ya adhabu ya moto ambao katika Ufunuo 20:9 ulishuka kutoka mbinguni na kuwala waovu wote akiwemo na shetani.
@BIBLIANURUYADUNIA
@BIBLIANURUYADUNIA 3 жыл бұрын
Mfano huu haupaswi kuchukuliwa kiuhalisia. Kifua cha Ibrahimu na kuzimu vyote ni mifano tu ya mbinguni na motoni, na hayapaswi kuchukuliwa kwa uhalisi. Katika Luka 16:22-23 tumeona kuwa yule tajiri alikufa akazikwa kaburini, kisha tumegundua kuwa hapa “kaburi” inawakilisha “jehanamu”, hivyo yule tajiri alienda jehanamu akiwa na vyote “mwili na roho”. Kanisa la Roma na makanisa ya waprotestanti, yote hutumia mfano wa Lazaro na tajiri kufundisha kwamba mtu akifa papo hapo roho yake inaenda mbinguni au motoni, lakini Luka 16:23 inaonesha yule tajiri akiwa na macho, na hii inaonyesha yule tajiri ana mwili na roho pia. Hata hivyo mtu akifa anazikwa kaburini na kuna ushahidi mwingi kwamba makaburi ya watu waliokufa siku nyingi yalishafunuliwa na miili yao ikaonekana bado ipo pamoja na macho yake, hivyo Je inawezekanaje watu hawa kwamba wameenda mbinguni au jehanamu bila miili yao? Wakati Yesu alionyesha kuwa yule tajiri anayeteseka motoni alikuwa na macho, na masikio, na mdomo wa kuongelea? Kitu kingine cha kuthibitisha kwamba Yesu alikuwa anaonyesha mfano tu, ni kwamba Ibrahimu alikufa na akazikwa, na sasa yumo kaburini anasubiri ufufuo siku ya mwisho. Mwanzo 25:8,9 “Irahimu akafariki, naye akafa katika uzee mwema…Isaka na Ishmaeli wanawe wakamzika katika pango ya Makpela…” Yohana 8:52,53 “…Ibrahimu amekufa, na manabii wamekufa; nawe wasema, Mtu akilishika neno langu, hataonja mauti milele. Wewe u mkuu kuliko baba yetu Ibrahimu, ambaye amekufa?…” Katika Biblia hakuna mtu ye yote aliyewahi kuzikwa harafu ikasemekana ameenda mbinguni. Enoki alipaa, Musa alikufa akafufuka (Yuda 1:9); na hata hivyo Musa hakuzikwa na mtu ye yote, Eliya alipaa, Yesu alifufuka kwanza ndipo akapaa. Hakuna mtu aliyekufa akazikwa harafu akaenda mbinguni bila kufufuka kwanza. Yesu katika mfano wa tajiri na Lazalo amemtaja Ibrahimu kama mfano tu, kuwakilisha “mbinguni.” na ametaja neno kuzimu/kaburi kuwakilisha “jehanamu ya moto”. Hivyo mfano huo haupaswi kuchukuliwa kiuhalisi; kwa maana kama Yesu angelimaanisha kweli kwamba tajiri alipokufa alienda moja kwa moja motoni, na Lazalo alienda moja kwa moja mbinguni, hii ingemfanya kujichanganya katika maneno yake; kwa maana Lazalo alipokufa, Yesu mwenyewe alisema Lazalo amelala [Yohana 11:11]. Katika Luka 16:31 tunaona Ibrahimu alimwambia yule tajiri kwamba, “Ibrahimu akasema, Wanao Musa na manabii; na wawasikilize wao.” Hii pia haipaswi kuchukuliwa kwa uhalisi, kwa maana kama kuepuka moto wa jehanamu inanipasa nimsikilize Musa na manabii, Je Musa yuko wapi nipate kumsikiliza? Au Je manabii; Isaya, Eliya, Danieli, Yohana n.k wako wapi ili nikawasikilize? Kwa hakika hawapo! Hivyo hapa Yesu alitumia “Musa” kuwakilisha “Torati” au “vitabu vyote vya Musa, kuanzia Mwanzo hadi Kumbukumbu la Torati”, pia Yesu alitumia “manabi” kuwakilisha “maandiko yote ya manabi” au “shuhuda”, kuanzia kitabu cha Yoshua mpaka cha Ufunuo.Tunapotii maagizo yote ya kwenye Biblia ni sawa na kwamba tumemsikiliza Musa na manabii, na hii ndio njia pekee ya kuepuka moto wa jehanamu. Kama mtu hatasikiliza inachokisema Biblia, hakuna njia nyingine yoyote ya kumsaidia, hata kama mtu angetoka kwa wafu kuja kumwambia hataamini.
@BIBLIANURUYADUNIA
@BIBLIANURUYADUNIA 3 жыл бұрын
Hata hivyo, wakati huo kulikuwa na makundi mawili ya Wayahudi; Mafarisayo, na Masadukayo. Masadukayo hawakuamini kama kuna kiyama (ufufuo), waliamini kuwa mtu akifa moja kwa moja anaenda kwenye kifua cha Ibrahimu au kuzimu, hivyo Yesu alitoa mfano wa Lazaro na tajiri kwa jinsi kama walivyoamini wao wenyewe ili ajaribu kuwavuta na kuwaelekeza warudishe imani yao katika ukweli wa Maandiko, akasema, “Wasipowasikia Musa(torati) na manabii(shuhuda), hawatashawishwa hata mtu akifufuka katika wafu.” Luka 16:31. Yesu alitumia Musa kuashiria sheria/torati, na manabii kuashiria maandiko yote ya manabii/shuhuda. Katika Mathayo 5:17 akasema, sikuja kuitangua torati au manabii;, na ili Yesu athibitishe kwamba “Musa na manabii” ni “Torati na manabii” katika Luka 16 hiyohiyo fungu la 16 na 17 alisema, “Torati na manabii vilikuwapo mpaka Yohana;…Lakini ni vyepesi zaidi mbingu na nchi vitoweke, kuliko itanguke nukta moja ya torati.” Katika mfano huu, Yesu alikazia kwamba kama tusipowasikiliza Musa na manabii; yaani torati na shuhuda, kamwe hatutaikimbia jehanamu! Ni kana kwamba alitaka kuwaambia Wayahudi kwamba kama wasipoweza kuamini na kutii kile kilichoandikwa katika torati ya Musa na katika maandiko ya manabii, hawataweza kuamini hata kama mtu akifufuka kutoka kwa wafu kuja kuwaambia. Ni kana kwamba Yesu alijua pia kuwa katika siku za mbele ingetokea mizuka inayodai kwamba imetoka kwa wafu; kama vile pepo hili linalojiita jina la bikra maria wakati sio, na wengine wengi wanaotokea mara kwa mara, na akasema kuwa usipoamini walichokiandika Musa na manabii hiyo mizuka haitakusaidia lolote. Mfano wa tajiri na Lazaro pia unatuonyesha kuwa ni jinsi gani isivyowezekana kwa mtu kutoka kwa wafu kuja huku duniani kwa walio hai; maana katika mfano Lazaro hakuruhusiwa kabisa kurudi kwa walio hai. Hivyo mizuka yote inayoibuka na kudanganya watu kwamba imetoka kwa wafu ni mapepo na uongo. Na hii hajilishi kwani hata huko nyakati za nyuma kuna pepo moja lilichukua sura ya nabii Samweli kisha likamtokea Sauli, na hivyo haishangazi leo kama pepo hili likichukua sura ya bikira Maria na kuwatokea watu, maana hiyo ni kazi ya shetani tangu zamani kwani; Wala si ajabu. Maana Shetani mwenyewe hujigeuza awe mfano wa malaika wa nuru. Basi si neno kubwa watumishi wake nao wakijigeuza wawe mfano wa watumishi wa haki, ambao mwisho wao utakuwa sawasawa na kazi zao.” 2 Wakorinto 11:14,15.
@jamesolando2479
@jamesolando2479 3 жыл бұрын
@@BIBLIANURUYADUNIA umemaliza kila kitu, ubarikiwe mwalimu na Bwana wetu Yesu kristo atukuzwe milele
@1THEBRAIN
@1THEBRAIN 3 жыл бұрын
Sasa mbona unatuchanganya ulituambia mungu kamtoa mwanae wapeke afe kwa ajili ya dhambi zetu, sasa inakuje tufe na dhambi na yesu alisha kufa kwa zambi zetu tunacho subiri ni kwenda mbinguni leo tena unasema kua kila mtu atabeba mzigo wake, unatuchanganya mchungaji au ukiwa unaongea na waislam unaongea hvi ukiongea na wakatoliki unaongea vingine
@erickmaisha4773
@erickmaisha4773 Жыл бұрын
Mwanawe sio majini elimu ya majini huku hamna bn
@Baharia
@Baharia 3 жыл бұрын
Ak ndacha ww ni comedian😀😀😀😀
@justineogeto6213
@justineogeto6213 3 жыл бұрын
Kwako juu uoni ukwel
@monicabh1668
@monicabh1668 3 жыл бұрын
@Omar ni chungu lakini itabidi uimeze
@Baharia
@Baharia 3 жыл бұрын
Mimi ni Muslim naamini mungu mmoja na yesu kama nabii wa mungu na mungu ni mkuu na yesu si mkuu.. Ninacho mpendea ndacha kwa sasa ni kuongea ukwli kuhusu mungu na kukubali kuwa yesu si mungu.. Na pia napenda jokes zake anachekesha sana
@Baharia
@Baharia 3 жыл бұрын
@@monicabh1668 Monica wwe umepewa ruhusa ni nani ya kupaza sauti mbele za wanaume ama ww ni mbumbumbu hujui bible?
@Baharia
@Baharia 3 жыл бұрын
@@justineogeto6213 mm sijampinga ndacha kwa haya mafundisho chnye nacheka ni jokes zake hahahas
@monicabh1668
@monicabh1668 3 жыл бұрын
Mwalimu wangu Francis Ndacha nakupenda ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️hii Elimu ningepata wapi mimi 😢😢🙏🙏Mungu akubariki.
@monicabh1668
@monicabh1668 3 жыл бұрын
Mwalimu wangu Francis Ndacha nakupenda ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️hii Elimu ningepata wapi mimi 😢😢🙏🙏Mungu akubariki.
WELCOME  TEAM BIBLIA NURU YA DUNIA..Mbungoma Day 2
4:07:09
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 6 М.
MTUKUZE MUNGU TU.BY SIFAELI MWABUKA. SKIZA dial *812*33#
7:05
SIFAELI MWABUKA OFFICIAL
Рет қаралды 16 МЛН
СИНИЙ ИНЕЙ УЖЕ ВЫШЕЛ!❄️
01:01
DO$HIK
Рет қаралды 3,3 МЛН
Что-что Мурсдей говорит? 💭 #симбочка #симба #мурсдей
00:19
Quando A Diferença De Altura É Muito Grande 😲😂
00:12
Mari Maria
Рет қаралды 45 МЛН
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 30 МЛН
WELCOME  TEAM BIBLIA NURU YA DUNIA ... Mariakani Day 1
2:15:07
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 5 М.
Mch Moses Magembe -  | IBADA YA JUMAPILI MCHANA
Rev Moses MagembeTv
Рет қаралды 28
WELCOME  TEAM BIBLIA NURU YA DUNIA.. Bungoma Day 4
3:32:38
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 4,6 М.
WELCOME  TEAM BIBLIA NURU YA DUNIA
1:36:47
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 2,6 М.
karibu kwa mkutano kisumu day 3
1:48:09
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 7 М.
je majini ni ndugu za waislamu?
1:59:19
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 14 М.
WELCOME  TEAM BIBLIA NURU YA DUNIA. Narok Day 8
3:31:17
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 6 М.
СИНИЙ ИНЕЙ УЖЕ ВЫШЕЛ!❄️
01:01
DO$HIK
Рет қаралды 3,3 МЛН