Hongera kwa alie imba huu wimbo na alipost,unanikumbusha wakati nikijiandaa kwenda madrasa redio zanzibar (stz)walikuwa wakipenda kuiplay...never get old this song
@mwaka308said74 жыл бұрын
Ooooph yeah I feel like crying my God ....pia watakuandama maovu kuzulia......ila usirudi Mola atakulipia.....come on# Old is Gold
@ayshaabdi32435 жыл бұрын
Memkinahi mwenzio kutoka moyoni kumbe ndio huyo firauni atakuendea mbio akutie kisimani uwiiiiii alhamdulillah
@zakiaabdallah90937 жыл бұрын
kweli wema hauoz binadamu kaz kweli kweli
@mozaalaamri71564 жыл бұрын
Khadija yussuph alijua kuimba kindi cha est African melody
@fatumaabdallah50372 жыл бұрын
Wallah wimbo huu ntautunzia trh25
@hbabywaukwee30246 жыл бұрын
Nice song...!!!! Maneno msumari...!!!
@nawal0112 жыл бұрын
i love it! kweli wema hauna kaburi
@hijarooney40777 жыл бұрын
original ya song hii ni ktk album ya chaunabe ya khadija yussuf east africa melody...... ila mukrim hamdan kautendea haki yake song kidg mashaallah
@iddijuma36505 жыл бұрын
Nafkiri katika hyo Album aloimba wimbo huu ni SIHABA JUMA.
@jailanmwazini98494 жыл бұрын
sanaaaaaaa kaitendea hakiiii
@sakinaabd58987 жыл бұрын
Hakika ndugu zénu wema hauwozi l'akini ni wema ambawo umetendewa waungwana l'akini iwap o umeutendea vinyama bora hata ukatupe wema huko baharini ndugu zangu