SIMULIZI NZURI YA MAISHA YA MHE. JECHA SALIM JECHA. Fuatilia Kisa hiki Mpaka Mwisho

  Рет қаралды 1,819

ZEC ONLINE TV

ZEC ONLINE TV

Жыл бұрын

KWA HABARI ZA UCHAGUZI , MATANGAZO NA ELIMU YA WAPIGA KURA ANGALIA ZEC ONLINE TV KILA SIKU NA USISAHAU KUSUBSCRIBE, LIKE, COMMENT NA KUSHARE ILI UWE WA KWANZA KUPATA TAARIFA ZETU KILA TUNAPOZITUMA HEWANI
JEE UNA TUKIO AU MATANGAZO?
WASILIANA NASI KUPITIA
SIMU NAMBA
+255-772 625 918
EMAIL
director@zec.go.tz

Пікірлер: 13
@user-um5xx5ct7q
@user-um5xx5ct7q Ай бұрын
Amejipeleka mwenyewe kwa Mwenyezi Mungu kua ulikua ndio mas ul jua utaulizwa na Mwenyezimungu
@abdulhakimjuma9112
@abdulhakimjuma9112 Жыл бұрын
Na mutamsafisha kwa maneno hamutamsafisha kwa vitendo vyake allah hababaishwi wala hasahau
@mwanaabuu6015
@mwanaabuu6015 Жыл бұрын
Inna lillahi wainna ilayhi rrajiun, Allah amsamehe makosa yake na amjalie makaazi mema peponi na sisi tuliobakia Allah aturuzuku mwisho mwema na kauli yetu ya mwisho iwe Shahada. Amiin
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
Aliitumikia vyema ccm sasa apokee malipo yake ya kumtumikia bwana na kumuacha mwenyezi Mungu
@zuzadomikano3765
@zuzadomikano3765 Жыл бұрын
AYAKUTE ANAYO STAHIKI KWA DHULMA ALIO😢 WADHULUMU WA ZANZIBARI .
@abdulhakimjuma9112
@abdulhakimjuma9112 Жыл бұрын
Allah muumize zaidi na zaidi kuliko alivowaumiza wanzanzibari na waislamu zanzibar na awaondoe wote mafasiki katika nchi ya zanzibar wasipate kuendeleza zuluma zao
@NassourChocolate
@NassourChocolate Жыл бұрын
Yaa rabii msamehe dhambi zake za kuwadhulumu wazanzbar
@Rukaiya-lt3hm
@Rukaiya-lt3hm Ай бұрын
Dhalim hawi mchamungu
@modricseif1018
@modricseif1018 Жыл бұрын
Jecha ana historia nzuri kwa ccm lkn ana historia mbaya kwa wananchi wa Zanzibar
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
Umeonaa
@shersaid7988
@shersaid7988 Жыл бұрын
Vipi alikua mcha Mungu na huku anafqnya dhulma sifa hizo hazifanani
@alhudhaify7810
@alhudhaify7810 8 ай бұрын
Kwanza mtangazaji unakosea ukisema #Marehemu. Marehemu ni mtu tayari alierehemewa, je Jecha amerehemewa? Acheni ujinga. Pili, Allah amlipe malipo yake anayostahiki Allah ww ndio unaeyajua matendo yake sikufundishi vya kumuhukumu ila unajua cha kumpa anachostahiki.
@EshaHamd-ed9yv
@EshaHamd-ed9yv 7 ай бұрын
Na wewe msaidizi wake jitayarishe na malipo hiyo siku ya mwisho mumedhulumu na kufanya wizi mkubwa hamukuomba radhi kwa Wazanzibar wote muliowadhulumu waongo wakubwa Mijizi mikubwa na kesho mwende mukae pamoja mudhulumu mpaka huko aliko na kaburi lake Allah amueke anapostahili na kila mwenyewe kufanya wizi na dhuluma ufisadi wawe pamoja naye
DKT MWINYI AKIMZIKA HAYATI JECHA SALIM JECHA
2:41
Riyadh Tv Online Znz
Рет қаралды 1,3 М.
New model rc bird unboxing and testing
00:10
Ruhul Shorts
Рет қаралды 25 МЛН
Beautiful gymnastics 😍☺️
00:15
Lexa_Merin
Рет қаралды 15 МЛН
Gym belt !! 😂😂  @kauermtt
00:10
Tibo InShape
Рет қаралды 16 МЛН
WIKI YA NNE YA UGAWAJI WA VITAMBULISHO VYA WAPIGA KURA WAPYA.
7:19
Salim Jecha Atoa Rai kwa Wazanzibari
2:48
SIMU. Tv
Рет қаралды 819
Mambo 3 Ya Kufanya Leo Ili Uondoe Stress Maishani Mwako
5:07
Joel Nanauka
Рет қаралды 634 М.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha
1:39