WEMA SEPETU apiga mkwara baada ya kukosolewa kwenye kipindi chake kipya cha mapishi (Cook with Wema)

  Рет қаралды 24,742

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Пікірлер: 126
@khadjaame3930
@khadjaame3930 4 жыл бұрын
Weweumeamua kuonyesha mapishi nywele uzifunike ,uvae epron,kucha hazitakiwi mpishi
@netzclan9336
@netzclan9336 4 жыл бұрын
Mumuace wa tz mnaingilianaga sana mumaisha hee wangineee wengi tu wanafanya ivo ju ni wema hamkosi kasoro yeee pika ukitaka va bikini sio mweye anapikiya 😆❤🤩😘
@hjhj6230
@hjhj6230 4 жыл бұрын
Jamani mwenye kukubali pishi la Lulu like tafazali
@aminatosha2781
@aminatosha2781 4 жыл бұрын
Smart sana
@salmaathuman9156
@salmaathuman9156 4 жыл бұрын
Mbona Lulu yuko smart au hamuoini mwenzie anavaa kofia
@NonoNono-qp3zu
@NonoNono-qp3zu 4 жыл бұрын
Hata anaepika kwetu hafunikagi nywele, wewe pika tu mwaya asietaka kula akae pembeni😁
@marinamooh4055
@marinamooh4055 4 жыл бұрын
Makofi kwa Esco 👏🏻👏🏻
@nabintukadende2388
@nabintukadende2388 4 жыл бұрын
👌👌👌👨‍🍳👩‍🍳👩‍🍳👩‍🍳👏👏👏👏
@twalebleboss9687
@twalebleboss9687 4 жыл бұрын
" KOFIA NI MUHIMU SANA " ...kutokana na MAUDHUI YA KIPINDI, kipindi kinahusu MAPISHI na ni SEHEMU KUBWA YA MAFUNDISHO YA MAPISHI KWA JAMII...INGAWA WEMA anadai kuwa hata kama NYWELE ZINAINGIA KWENYE CHAKULA " WATAKULA WENYEWE " lakini akumbuke kwamba : NI KWELI WATAKULA WENYEWE ILA KIPINDI HAWATAANGALIA WENYWE TU..!!!!! HONGERA WEMA kwa kipindi chako..ila kuwa MWEPESI KUKOSOLEWA ILI USAWAZISHE MAMBO... Hata kama UNA JINA KUBWA mawazo na ushauri ni sehemu ya KUJIENDELEZA ZAIDI KATIKA NJIA ILIYO SAHIHI ZAIDI...Kwa kuwa naamini kuwa wengi waliokukosoa SI KWAMBA WANAKUCHUKIA...BALI WAMETOA TU USHAURI ili kusaidia KUBORESHA KIPINDI CHAKO... UKIENDELEA KUFANYA VIPINDI VYAKO BILA KOFIA - ITAMAANISHA KWAMBA " HAUKO SERIOUS NA KIPINDI CHAKO " ila ikitokea siku katika kipidi ckako hikihiki " UKAVAA KOFIA " ITAMAANISHA KUWA WALIOKUSHAURI WAKO SAHIHI 100%.... Keep it UP MADAM WEMA, we love you...
@rahmaramadhan9773
@rahmaramadhan9773 4 жыл бұрын
Basi akae kwenye maonyesho ya nywele nasio kupika akadamshie ndani sio jikoni mapishi usafili
@samiramohamed3718
@samiramohamed3718 4 жыл бұрын
Yeah sure.so such a very good advice Bro.
@lilianjeremia1024
@lilianjeremia1024 4 жыл бұрын
Mmh hapana wema nywele ndefu mpka kwenye sufuria mmmh🙌🙌🙌 mpka kiive unakula nywele 2 au ndo mambo ya kizungu nn
@msafiribakari5941
@msafiribakari5941 4 жыл бұрын
Sifunikagi nywele zangu hahahaa nywele zenyewe zakununua
@mr.yahzadochuno7914
@mr.yahzadochuno7914 4 жыл бұрын
Nimelipia app najuta, sijaona chakujifunza sijaona anacho kipika, anapika na manywele makucha mackup uchafu puu
@aishahela1735
@aishahela1735 4 жыл бұрын
Mshenz sepetu jistiri kenge we
@africandion8805
@africandion8805 4 жыл бұрын
Dada Wema mpenz wng hata usifunike....wenyewe mama zetu hawafuniki huku nyumbani kwaiyo waskupelekeshe.....hao wanaosema ivo wenyewe hawawez kuziafford izo kofia kwaiyo wasjifanye wanajua uzungu...#piteni kushoto
@tatiya6883
@tatiya6883 4 жыл бұрын
wallah mie sione mapishi yenyew hamna lolote wachafu tuuuu wakio on usafi kama wote alafu wema anakibuli utabotea sikia majibu yako nanyinyi mashabiki wenye vihelehele mnasapoti ujinga eti wanakula wenyew😄
@zaitunisinamenye1799
@zaitunisinamenye1799 4 жыл бұрын
Izo nywele zake ndefu sana, hata kikiwa cakula ca nyumbani siyo vizuri na manywele kama hayo
@frorenceetoile3016
@frorenceetoile3016 4 жыл бұрын
Wanakula wenyew jamani mumuache Wema wangu
@alimairakoze3784
@alimairakoze3784 4 жыл бұрын
Uchafuu🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️
@aminaabdallah3644
@aminaabdallah3644 4 жыл бұрын
Basi km ni hivyo atakiwa mpaka gloves pia km si kofi avaye kitamba cha kichwa simple 😘
@GoodPeopleOfBiafra
@GoodPeopleOfBiafra 4 жыл бұрын
Mapambo ya Ndani/Mapambo ya Kutengeneza Kwa mikono Bonyeza kapicha kushoto
@beatsbywesternshaa1023
@beatsbywesternshaa1023 4 жыл бұрын
Kaaaaavu sana uyu
@agwalubifaridah7079
@agwalubifaridah7079 4 жыл бұрын
My wema
@rosemarykaroli9572
@rosemarykaroli9572 4 жыл бұрын
Nyie hamunjui hiyo kiki kwanza kofia baada ya trend jmn au hamjui wasan wetu au angevaa kofia asinge trend hivo ili waangalie shoow yake so tulien kwanza haraka yann
@ombakihundo9526
@ombakihundo9526 4 жыл бұрын
Hello guys just break it down you don't understand what cook with Wema mean y'all just tak it ki Tz tuu but is something else.
@zenajimmy6603
@zenajimmy6603 4 жыл бұрын
Yes I think it's is a show off like damshi balaa
@tabuyahya6481
@tabuyahya6481 4 жыл бұрын
Ni kweli inatakiwa ufunike kichwa sio vizuri hata kama ni nyumbani ila watu waige ufundi wako inakubidi ufunike hicho kichwa chako ww hujui kupika bali unaiga tu mnaofuga mikucha hamjui kupika mwajishaua tu
@shahamtindo
@shahamtindo 4 жыл бұрын
👍👍👍
@saidaali9379
@saidaali9379 4 жыл бұрын
Ireland 🇮🇪
@donatusbenjamin3660
@donatusbenjamin3660 4 жыл бұрын
Zingatia mapish process za upikaj wapishi achan nao...sa ukipendez kwa kufat hzo sheria af chakula hujui kpika still hain maana!
@shahamtindo
@shahamtindo 4 жыл бұрын
Huyu mpisha ana mambo sana
@nassrahnyagei8605
@nassrahnyagei8605 4 жыл бұрын
Abadilishe Jina LA kipindi
@ashaali7154
@ashaali7154 4 жыл бұрын
Kama anataka kupika na kuonyesha watu usafi ni muhimu Sana. Sasa hii ni kuonyesha au kufundisha mapishi? Vyovyote lazima ufate Sheria ya upishi. Nywele zote sio nzuri kwenye chakula wala makucha marefu. Ukitaka kuonyesha nywele fungua show ya nywele basi achana na upishi.
@veronicadaniel1122
@veronicadaniel1122 4 жыл бұрын
asha ali fact
@rayanndizeyes3161
@rayanndizeyes3161 4 жыл бұрын
wema asha ujiga dada ushahuri ni bora dada.mapishi haitakiwe kuona nyweli dani inakata apètit.kweli
@a.856
@a.856 4 жыл бұрын
Kwanza angevaa nguo vizur pia mana utafkir yupo beacation then kofia badae...🙊
@samanthaali873
@samanthaali873 4 жыл бұрын
Huyu wala simpishi mikucha nywele khaa Atakama ni usta siwezi kula mm
@zabibunduwimana4612
@zabibunduwimana4612 4 жыл бұрын
Vizuri angefunika nywele
@khamisrubea5083
@khamisrubea5083 4 жыл бұрын
Nywele si zake ni za bandia azifunike za nn na si nywele
@patriciacarlo7236
@patriciacarlo7236 4 жыл бұрын
Mercy Johnson okojie ana kipindi Cha mapishi na ni staa mkubwa Nigeria na ana vaa kofia jikoni.shida wabongo wengi wajuaji.ethics ndio tatizo letu.ndio maana sija download Wala ku subscribe
@Babyzay178
@Babyzay178 4 жыл бұрын
Hata mimi niwaulize kwenu mnafunika nywele zenu? Au kwakua ni Wema majumbani kwenu mnaweka mpka vyanuo kwa vichwa nyenu🤔🤔🤔........
@jumannesalum6015
@jumannesalum6015 4 жыл бұрын
Kweli dyadya wengine wanajikuta wanajua utaratibu wa mapishi wakati wengine hadi wanawapenga kamasi watoto na wanapika
@millahosseni5244
@millahosseni5244 4 жыл бұрын
😆😆😆🤣😆🤣😆🤣😆🤣😆🤣😆🤣bora umeliona ilo
@fetychina3273
@fetychina3273 4 жыл бұрын
Mimi ni cheef .sheria lazima ufunike nywele makucha pia hayatakiwi na aplon lazima uvae
@dorisjessy5960
@dorisjessy5960 4 жыл бұрын
Kula ni kwa kila siku sasa mwataka kila siku atoe kucha zake za bei kisa kipindi alivyosema anakula yeye na familia yake..kama ukijiskia kuona ni uone upate ujuzi nywele sio zenye zinapika
@shamsaog2998
@shamsaog2998 4 жыл бұрын
Hamna mpishi hapo. Mpishi gani unakosolewa halafu unaleta ubishi. Hao wenzio wanaopika wakifunika nywele ndo mahodari zaid
@rehemashafi4809
@rehemashafi4809 4 жыл бұрын
Hahahaha eti nyanya zimegusa nywele hatereeeee sana
@Babyzay178
@Babyzay178 4 жыл бұрын
Jamani hata makwetu hatufuniki vichwa vyetu tusiwe Wanafki jamaniii ndo hivyo kagoma piga kelelee kwa mpish akeee Weuweeee😂😂🙌🏼
@tabumussa9406
@tabumussa9406 4 жыл бұрын
wema nakuomba pokea ushauri wa watu wengi ni sahihi kufunika kichwa wakati unapika
@ikrammahonda4566
@ikrammahonda4566 4 жыл бұрын
Msijishaue apo wengine mnapika amfuniki nywele makwenu uko eti mnajifunza nn sasa mnajifunza kupika au mnataka jifunza kuvaa epron na kofia
@jovinessleonard6518
@jovinessleonard6518 4 жыл бұрын
💕💕💕💕
@renildevenerand8256
@renildevenerand8256 4 жыл бұрын
Sisi tuki subscribe tunafuata mafundisho sasa kama tunafundishana eti nywele tunakula wenyewe si nihatari 🙉 haya wenzangu baki mna subscribe ✋👋✋✋.
@salmaathuman9156
@salmaathuman9156 4 жыл бұрын
Namshangaa Sasa unawaonyesha watu mapishi yeye mwenyewe hayuko smart makucha bandi Kama yote hapohapo anazishika Mara ashike tungule mie siwezi kudowload maana sio nadhifu
@mwaminiwivine2840
@mwaminiwivine2840 4 жыл бұрын
Muache apige atajifuzausafinaye atafunikanywere
@asinathasinath5090
@asinathasinath5090 4 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@Esty1248
@Esty1248 4 жыл бұрын
Wema tatizo lake hashauriki, kupika mda mchache tu unafunika kichwa ukimaliza unafunua. Binti anaekutazama pia ajifunze kupika bila kufunika nywele, mikucha mirefu . kama umeamua kupika ukionyesha then you must consider hygiene
@ramatandula7734
@ramatandula7734 4 жыл бұрын
Kengeeee huyo anafundisha au anatafuta kiki
@OmanOman-wv3ny
@OmanOman-wv3ny 4 жыл бұрын
Lulu ndompishi uyu nisifa tu
@OmanOman-wv3ny
@OmanOman-wv3ny 4 жыл бұрын
Lulu mbona hafunga lemba uyu kiranga tu😏😏😏😏
@happybraysoni7690
@happybraysoni7690 4 жыл бұрын
Mie huwa nafunika na kuvaa eproni then after kupika navua naingia mezan
@sheilachisika8143
@sheilachisika8143 4 жыл бұрын
Kwani hajui ama anafanya makusudi
@maidimples8236
@maidimples8236 4 жыл бұрын
Jaman kaka me sina timu ila kiukweli hawa celebrities wetu wana fake sn, yaani anahis akijistiri vzur hata onekana, UHALISIA BIG F
@pamelaakinyi2652
@pamelaakinyi2652 4 жыл бұрын
Wema funika nyele coz wiv ikatika
@Rylee_kerrueche
@Rylee_kerrueche 4 жыл бұрын
Atajiju kwanza c wanakula wenyew ....
@yahayarashidngabuja632
@yahayarashidngabuja632 4 жыл бұрын
No wapo watu wanafanya kipindi kama hicho hawavai hizo kofia ebu mwangalieni Siba kitchen
@khadijamzee2739
@khadijamzee2739 4 жыл бұрын
All is ok but nywele hanging down sio poa ukiwa kwenye mapishi
@ladylady8440
@ladylady8440 4 жыл бұрын
Inatakiwa avae kofia la sivyo ataharibu ataambulia mitusi
@emilywanje9256
@emilywanje9256 4 жыл бұрын
Korona imetanda dawa ni chai rangi
@dianamsangawale9925
@dianamsangawale9925 4 жыл бұрын
Wakuache tena wakutue, hao wanao kukosoa kwao wenyewe wanafunika? Ndo utakuta wachafuuuuuuu mpaka kamasi linaangukia kwenye chakula, kwendeni huko!
@marthakathili2241
@marthakathili2241 4 жыл бұрын
let the gal breathe
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 4 жыл бұрын
Wemaaa acha ubishi na ushamba ,fan zako tunataka ufunike KICHWA,nywele na ukate mikucha.mcheck lulu kabiti kadogo lkn ana akil kubwa .ww lini utakua mdgoangu?
@ombakihundo9526
@ombakihundo9526 4 жыл бұрын
Wewe njoo mchamba kwasabu ume ichukuliya ki chamba but is something different that how you thing.
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 4 жыл бұрын
@@ombakihundo9526 kajifunze kuandika kwaza ndio uite watu washamba. Ndo nyie mnaomuharbu wema.🤣
@nasmafarmsltd9146
@nasmafarmsltd9146 4 жыл бұрын
Sasa ķàmà nywele za bei ķwàñn anata buku jero za wala hoi watu wenye nywele og wana funika sembuse zake za marehu wa hao wenye og
@OmanOman-fu8xy
@OmanOman-fu8xy 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@Tiffany2-Jr
@Tiffany2-Jr 4 жыл бұрын
Nywele na kucha zinarangi, ajui tu, kipindi kitatazamwa na wengi na kitadumu, uchafu wako uweke kwako kisiri, ajifunze kwa baby sky kucha zake azina rangi kwenye pishi lake, .. Tatizo wabongo atupendi ukweli,tuambiwe, ndiyo maana kipindi vinawashinda wengi tu,,, akapewe somo na w.matter, surgery yake ilifanyiwa adi ubongo.😂
@veronicadaniel1122
@veronicadaniel1122 4 жыл бұрын
Fetry John fact
@mrschura3134
@mrschura3134 4 жыл бұрын
Kwani majumbani kwenu wake zenu wanafunikaa???
@thamiyuucute7098
@thamiyuucute7098 4 жыл бұрын
Mchafu tuu....akiambiwa mdomo tu...makwapa wazi tafrani tuuu..alivokama kijini.. Nampend ila anazinguw
@ombakihundo9526
@ombakihundo9526 4 жыл бұрын
Wewe ukipika chakula una vaa kofiya?
@Babyzay178
@Babyzay178 4 жыл бұрын
Relax
@witnessjosephmtanke4757
@witnessjosephmtanke4757 4 жыл бұрын
Na hicho kipndi kitakufa tu we acha aendelee kuchonga mdomo
@nurudovino288
@nurudovino288 4 жыл бұрын
Lulu ndio anafanya poa sana anajifunika na pia hanakucha ndefu sijuhi huyu anapika nn yani
@MohammedAli-vq2dk
@MohammedAli-vq2dk 4 жыл бұрын
Kabisa na Lulu ni mkirsto na anajistiri
@khadijaomar8427
@khadijaomar8427 4 жыл бұрын
Kabisa
@khadijaomar8427
@khadijaomar8427 4 жыл бұрын
@@MohammedAli-vq2dk hapo umenena
@tonyelshabbaz
@tonyelshabbaz 4 жыл бұрын
Kama mnakula wenyewe sasa kwanini mnatuonyesha sisi?
@athumanimhanga2053
@athumanimhanga2053 4 жыл бұрын
mtu yeyote asiyepokea ushauli hawezi kua boraa
@thamiyuucute7098
@thamiyuucute7098 4 жыл бұрын
Nshangae
@mrschura3134
@mrschura3134 4 жыл бұрын
Acha kuangalia kwan kakulazimisha?? Uangalie??
@dianarobert3989
@dianarobert3989 4 жыл бұрын
Heeeee kweli nimeamini wavaa mawigi akili hawana sasa hizo ni nywele zako kweli pambafu uchafu tu huo hamna kitu apo fata ushauri
@messaabbas8346
@messaabbas8346 4 жыл бұрын
Mmh!i it’s really funny 😁 😁so kaa wanakulagaa mwenyewe why to show people 🤷🏼‍♀️,,bas Hata fungaa nywele zako vizur mama,,,,,anyway mtangalie nyiee wtz 😝😝😝we don’t have time to see that rubbishy show
@delilahbutterwick9789
@delilahbutterwick9789 4 жыл бұрын
umeona ehh so pika usituonyeshe
@barackhuncho2432
@barackhuncho2432 4 жыл бұрын
sepeeengaaaa.......!!!!!
@سعودسالمالطالعي-ه1ف
@سعودسالمالطالعي-ه1ف 4 жыл бұрын
Wema Uko Poa
@OmanOman-wv3ny
@OmanOman-wv3ny 4 жыл бұрын
Zinahelea🤣🤣🤣🤣
@rahmaramadhan9773
@rahmaramadhan9773 4 жыл бұрын
Keshaelewa huyo bilashaka wema pls fataushari wewe kiyoo chajamii acha hasira muige shishi bwanaa
@mamumiyaskitchenvlogs5858
@mamumiyaskitchenvlogs5858 4 жыл бұрын
Most KZbinrs dont cover their hair,yuotuber na Chef or Cook nitafauti even though ni vizuri kufinika.
@emmypc8362
@emmypc8362 4 жыл бұрын
Ovyoo eti tukila twala nywele zetu wenyew. izo ninywele zako?,, uchafu tu mikucha milefu minywele hiyo hayo mambo ata hayawez mishauwo tu
@veronicadaniel1122
@veronicadaniel1122 4 жыл бұрын
Hana lolote ajifunze kwa lulu
@khadijaomar8427
@khadijaomar8427 4 жыл бұрын
Kweli
@eneolatukio8493
@eneolatukio8493 4 жыл бұрын
😳😳😳😳🤓🤓🙉
@dunduumaster4815
@dunduumaster4815 4 жыл бұрын
Am waiting
@ummydaudi4940
@ummydaudi4940 4 жыл бұрын
Hao watu nao wanaa kwan wao wakipika huaga wanafunika nywele!? EMB tucjifanye wazungu hasa hao wazungu wenyw hawafungi nywele mctuchoshe she is being real no fake zone
@queenbaddestcuteemmy5430
@queenbaddestcuteemmy5430 4 жыл бұрын
Akagoma 😂lol
@estherbayda7631
@estherbayda7631 4 жыл бұрын
Kabisa yaan🤣
@mariamramadan6154
@mariamramadan6154 4 жыл бұрын
😂😂😂
@mkombozimstaff4830
@mkombozimstaff4830 4 жыл бұрын
Ni kiki t00
@tabuyahya6481
@tabuyahya6481 4 жыл бұрын
Hakuna mpishi hapo ni kiki tu funika nywele hata hao chifu cocker wanafunika nywele zao mnaiga tu kupika funikeni mabiya yenu hayo
@melissalance0012
@melissalance0012 4 жыл бұрын
Wema Sepetu is Always a joke..Kwanza siku izi.heri kitambo
@jacklinengozi1122
@jacklinengozi1122 4 жыл бұрын
Wema is a joke, people who can cook a esha & shilole. Wema has mental issues.
@albs1448
@albs1448 4 жыл бұрын
Ndio maana your last name ni Ngozi🤣🤣
@melissalance0012
@melissalance0012 4 жыл бұрын
Yes she is
@jacklinengozi1122
@jacklinengozi1122 4 жыл бұрын
@@albs1448 am not Tanzanian u fool.
@zaitunisinamenye1799
@zaitunisinamenye1799 4 жыл бұрын
Azifunge basi
@jaycee9067
@jaycee9067 4 жыл бұрын
Mpumbavu huyu.
@jumakibuyu593
@jumakibuyu593 4 жыл бұрын
SnS number.
@fundimudy6325
@fundimudy6325 4 жыл бұрын
Mjinga huyo Dada hafaikuoa
@bittybitty2712
@bittybitty2712 4 жыл бұрын
Nina piga lemba
@queenseptember4640
@queenseptember4640 4 жыл бұрын
Mshamba sana huyo dada eti MIKOFIA sasa kama wanakula wenyewe walijirecord vya nini? Wangepika na kula kimya kimya, kama anapika ili na yeye aje kuliwa basi atafute kipindi kingine cha kujiuza, Pathetic.
@zashamloli1233
@zashamloli1233 4 жыл бұрын
Queen shkamooo ....
@queenseptember4640
@queenseptember4640 4 жыл бұрын
@@zashamloli1233 marhabaaaaaa
Moto wa LA: Paris Hilton ahuzunika nyumba yake kuteketea yote
3:02
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 457
The evil clown plays a prank on the angel
00:39
超人夫妇
Рет қаралды 53 МЛН
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 41 МЛН
Kadyrov Went Against Putin? / Poland Declares War on Russia
11:17
NIKISEMA HAWEZI KUIGIZA, AMEOLEWA AKAE NYUMBANI ATULIE -
3:17
Ankali Mambi
Рет қаралды 1,1 М.
Movie Stars' Transformation | Young to Old
Mystery Scoop
Рет қаралды 155
Arabic vs Turkish vs Persian: which is the hardest?
20:14
Zoe.languages
Рет қаралды 678 М.
The evil clown plays a prank on the angel
00:39
超人夫妇
Рет қаралды 53 МЛН