Cook with Wema Sepetu S02E02 Juma Lokole

  Рет қаралды 216,765

Wema Sepetu

Wema Sepetu

Күн бұрын

Пікірлер: 313
@hamzahdaimond7848
@hamzahdaimond7848 4 жыл бұрын
Kama unapenda aje amwite chibu dangotee kwenye hichi kipindi gonga like
@mwanaidimresh1628
@mwanaidimresh1628 4 жыл бұрын
Kama unamkubali wema gonga like twende sawa
@janethndial5759
@janethndial5759 3 жыл бұрын
Tupooooo
@issrahayattv1356
@issrahayattv1356 4 жыл бұрын
Juma chukoo 😂😂😂achanuksi y kuwatenganisha watu kilazima🇰🇪🇰🇪💃💃 love u ❤️❤️wema
@hamisibanda6233
@hamisibanda6233 4 жыл бұрын
Mpe vitu ndo utajuwa
@janethndial5759
@janethndial5759 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😉😜Juma atar sana
@officialprincebaro6983
@officialprincebaro6983 3 жыл бұрын
Juma kweli mswahili Piga kazi mzee baba ndo ulivyo jipanga kuishi mjini hivyo
@bidiiyako6803
@bidiiyako6803 4 жыл бұрын
Wema kipenzi chetu umependeza sana babie.... Kipindi chako kinavutia sana! Tunakupenda na tutaendekea kujivunia kazi zako... Piga kelele kwa Wema aakeeel.. Mungu azidi kukuongezea Baraka... Wenye wanasema umekonda Pia wao wakakonde ila haikusumbui.... Wewe piga kazi... CONGRATULATIONS to you my Love, Nakupenda sana!! 😘😘❣️❣️❣️❣️
@rashidhemed5738
@rashidhemed5738 4 жыл бұрын
Mie nampenda sn lkn alivokonda kama kitoto cha njiwa sijapenda
@aymankhadija619
@aymankhadija619 4 жыл бұрын
@@rashidhemed5738 Kakonda sana yani hadi nikimuangalia napata kama wasiwasi.Heri hata angeongezeka kidogo labda nhee
@aymankhadija619
@aymankhadija619 4 жыл бұрын
Kapungua sana Wema hadi naona kama sio yule tumebadilishiwa😊
@flexinemussa3470
@flexinemussa3470 4 жыл бұрын
Yaan mm kutoka moyoni simpendi juma lokole
@mariesewakalunga4314
@mariesewakalunga4314 4 жыл бұрын
Oooh my wema nashuru Sana kupitiya kipindi Chalo nawafaamu wasanii wengi wa Tanzania.nakupenda Sana Sana.ijapokuwa umbali wangu ila ninaonaga Niko tuu karibu na wewe piya na Tanzania kupitiya iki kipindi.toka DRC GOMA nakutakiya heri ya mwaka mupya my Queen.ndoto yangu kubwa kwa mwaka uhu 2021 nikuone kwa masho yangu piya nikuguse niamini kweli ni wewe.nimejifunza mengi kutoka kwako
@dianamsangawale9925
@dianamsangawale9925 4 жыл бұрын
Nakupenda mpaka I can't breath Wema akee!
@mwanahawaomarimashaka197
@mwanahawaomarimashaka197 4 жыл бұрын
Kwahiyo umekufa
@zach4068-c9e
@zach4068-c9e 4 жыл бұрын
@@mwanahawaomarimashaka197 😂😂😂
@mwanahawaomarimashaka197
@mwanahawaomarimashaka197 4 жыл бұрын
@@zach4068-c9e 🤣🤣amba anisinya ..heti hawezi pumua
@hassanmapenzi6188
@hassanmapenzi6188 4 жыл бұрын
Si mnisaidie kusubscribe kwa Chanel yangu ya hassan mapenzi kwa Ku bonyeza picha iliyo kushoto jameni kwa mengi mazuri
@dianamsangawale9925
@dianamsangawale9925 4 жыл бұрын
@@hassanmapenzi6188 okay
@josephlyatuu3520
@josephlyatuu3520 3 жыл бұрын
Wema kiasi gani umetumia kutengeneza jiko kama hilo... zuri sana
@mariacassian7892
@mariacassian7892 4 жыл бұрын
Wema kuwa na mwili huohuo usiongezeke tena mwaaaaa
@fatmazinga5310
@fatmazinga5310 4 жыл бұрын
Wema mm wa kwanza kuangali please nijibu sms yangu I love you so much my dear sis
@eischerschwederm7876
@eischerschwederm7876 4 жыл бұрын
Waislam hao, proud to be sinners, have you asked yourselves, what would be my last day..??
@nicasinigo2528
@nicasinigo2528 4 жыл бұрын
love you so much wema....leo umetugusa patamu kelele moja kwa lokoleee
@kimsnoxy4015
@kimsnoxy4015 4 жыл бұрын
Tupo pambe sannaaa show yetu inabamba sio poa!!! I love you wema sepetu
@wemasepetuofficial
@wemasepetuofficial 4 жыл бұрын
Asanteeee....
@godsonminazi9204
@godsonminazi9204 4 жыл бұрын
Tatizo lako wema hatuoni matokeo ya mwisho Wa mapishi yenu,,,,hebu rusha kipindi ambacho mapishi yamekamilikana sisi tujifunze maandalize hatua hadi kitu halis chenyewe
@ummimohammed9359
@ummimohammed9359 3 жыл бұрын
unanivunja mbavu wema unampa makavu juma lokole🤣
@aminamohamed3916
@aminamohamed3916 3 жыл бұрын
Salàm alekum mashallaah wema napenda sàna Niko lako mm Amina kutoa Kenya salàm zangu Kwa juma
@munirayakoub3682
@munirayakoub3682 4 жыл бұрын
Upo vizur baby wema mungu akusimamiye katika yako maisha
@aminaomary5567
@aminaomary5567 2 жыл бұрын
Safi sana wema kipindi ongeza muda.
@billylovebilly6301
@billylovebilly6301 4 жыл бұрын
😄😄😃😃juma lokole we kiboko kabisa
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 4 жыл бұрын
Love you Wema jomon 😘
@salmakz6094
@salmakz6094 4 жыл бұрын
Now i always start cooking with « LET’S COOK WITH... *insert my name* ... » 😂😂 wema u destroy us! Btw much love from 🇧🇪
@aminihaminih7846
@aminihaminih7846 4 жыл бұрын
😂😂😂😂kwato za mmbu duuh senge kweli juma
@hollymore4904
@hollymore4904 4 жыл бұрын
Et hata Mimi na wewe hatumjui... Mamae!!😂
@bonifasimashimba8576
@bonifasimashimba8576 4 жыл бұрын
Umbea suna Kama vipi raiki hapa
@mariyammaria3366
@mariyammaria3366 4 жыл бұрын
Yani mi nampenda sana madam namkubali 💓🔥
@limagorsadles4365
@limagorsadles4365 4 жыл бұрын
wema I realy love u iam from burundi ningependa kuuliza kwanini hamuweki full video?
@rachaelwayua270
@rachaelwayua270 4 жыл бұрын
Akii wangepata views mingi sana
@zedekchamagogo1223
@zedekchamagogo1223 4 жыл бұрын
Wajinga kweli wanaweka video fup
@hildascorner2327
@hildascorner2327 4 жыл бұрын
Full video ipo kwenye app yake, huku wanaweka tu teaser kuhamasisha tu...its a business my dear..you install the app and pay 2000 a day...
@hassanmapenzi6188
@hassanmapenzi6188 4 жыл бұрын
Si mnisaidie Ku subscribe kwa Chanel yangu kwa Ku bonyeza picha yangu kwa mengi mazuri
@janethndial5759
@janethndial5759 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Nimecheka jaman
@munirashughuli7224
@munirashughuli7224 4 жыл бұрын
Sepenga ur so cute jua lenda na ukali wake
@مارياكافشى
@مارياكافشى 4 жыл бұрын
Je t'aime beaucap wema sepetu❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@ashurapandu7671
@ashurapandu7671 4 жыл бұрын
Jamny juma lokole nampenda sana bora engekuepo na dyda ingekua rahaa
@mishymorgani5966
@mishymorgani5966 4 жыл бұрын
Tunamtaka Aristoteee!!mzee wavikak😂😂
@adijaadija9923
@adijaadija9923 4 жыл бұрын
Lokole kama lokole ila ni kichefu chefu🥰🥰🥰🥰🇧🇮🇧🇮
@christophertarimo5047
@christophertarimo5047 4 жыл бұрын
Wema Mzuri sana,bora nikuoe mimi
@anifakaitailima634
@anifakaitailima634 4 жыл бұрын
Wema your really perfect , mimi nakupenda wewe ni mtoto wa kike unae jitambua unapambana na adui zako kwa kuwaonesha hauna mda nao big up dear wema .nimimi bi kaitairima wa tarime.
@halmamudy1
@halmamudy1 4 жыл бұрын
Jumalokole kafanya kipindi kinatrend👌
@muddyissah278
@muddyissah278 4 жыл бұрын
Nimesubisicraibuuu kwa kuwa nakupenda wema Toka zamani sanaaaaa Natamani hata ungekuwa mbunge wa Jimbo langu
@vumiliasanga3128
@vumiliasanga3128 4 жыл бұрын
nampenda huyu dada mpaka naumwa😘😘😘
@vanessajames1567
@vanessajames1567 4 жыл бұрын
Wema ukimuita Chibu mtatrend mwezi mzima
@sheilaabdulrahman2113
@sheilaabdulrahman2113 4 жыл бұрын
Anaogopa akija chibu lazma amnyandue aondoki vile vile yulee
@chirstinajames5302
@chirstinajames5302 3 жыл бұрын
Tatizo ukidownlod file lake ni kulipia tena jamn sisi masikin tusiangalie kipind hiki jamn au😓 wema tulegezee kipind ni kitamu sana
@sadakhamis6684
@sadakhamis6684 4 жыл бұрын
💯❤❤❤❤❤wema wake✅🔥
@shikoshania953
@shikoshania953 4 жыл бұрын
Wema ki body mashaallah!!!!
@taitadollnicky273
@taitadollnicky273 4 жыл бұрын
Jamani ni Mimi tu sijui Kama Kuna full episode! Mtu anichanue jamani
@aminasaid308
@aminasaid308 3 жыл бұрын
Wema nakupenda hdi raha
@mishymorgani5966
@mishymorgani5966 4 жыл бұрын
Kamwili kazuriii mamy!!!😍
@estarkapinga6126
@estarkapinga6126 4 жыл бұрын
Nakupend sanaa wema jomon unakifanyia haki kipindi rokole sasa
@fatmafetty4117
@fatmafetty4117 4 жыл бұрын
Madam juma😂😂❤️❤️❤️❤️nawapenda
@aminaa3284
@aminaa3284 2 жыл бұрын
Wema Mimi naomba unisaidiye unioneshe dawa yagupunguwa uzito mana umependeza saana namimi natamani gupunguwa nilikuwa napima KL 52 lakini nishpanda68kl😞
@kadegashibani5934
@kadegashibani5934 4 жыл бұрын
Nasiku atakuchamba huyu juma nauwo wembambawako ndo utajua kachumbali ni mbaga au maharage🤣🤣🤣🤣
@creopalmer8345
@creopalmer8345 4 жыл бұрын
She lost so much weight beyond recognition
@tiamo726
@tiamo726 3 жыл бұрын
Muachw wema alikuwa hivi
@khadijaamani9807
@khadijaamani9807 4 жыл бұрын
Masha'Allah Wema Ady Raha
@wennceslausmushi2356
@wennceslausmushi2356 4 жыл бұрын
Yaani juma kivuruge sana
@JojojoJojojo-wx1vi
@JojojoJojojo-wx1vi Ай бұрын
Sepetu❤
@mishicram391
@mishicram391 4 жыл бұрын
Kanazidi kupendeza mashallah
@hassanhasuman2253
@hassanhasuman2253 4 жыл бұрын
Jamani wambea tukutane ukuuu madame katuamulia wiki hiiii😂😂🙌
@asiagabriel9240
@asiagabriel9240 4 жыл бұрын
Kelel ya kwanza kwa lokoleee ake
@hazon015
@hazon015 4 жыл бұрын
@Wema_sepetu 💪🚧
@alinemauwa4780
@alinemauwa4780 4 жыл бұрын
Nakupenda juma kutoka burundi
@tonycharlie5073
@tonycharlie5073 4 жыл бұрын
I love you Wema keep it up
@anithabahimana-hp8en
@anithabahimana-hp8en Жыл бұрын
Tunapenda sana kibindi lakini mbona kafupi daaa tupe vitu
@ashasalum1647
@ashasalum1647 4 жыл бұрын
Eti kipilipili cha sina bwana mungu wangu juma
@marthamangasta2341
@marthamangasta2341 4 жыл бұрын
My favorites food 😋😋😋
@mereyamhomesmariamhomes3464
@mereyamhomesmariamhomes3464 4 жыл бұрын
Kumbe Juma kaziyako kukashifu Watoto wanzio tuu kupika hujui Ata ugali unakushinda kusonga
@terryadams7416
@terryadams7416 4 жыл бұрын
Mbna fupi hivyo??i was waiting pale kwa umbea
@sport-vm3yj
@sport-vm3yj 4 жыл бұрын
MAMBO MATANO USIYOYAJUA KUHUSU MBEGU ZA KIUME...!!! Sote tunafahamu kua mbegu ya kiume ni muhimu sana katika kutungwa kwa mimba,Japo wakati mwingine mbegu hiyo hukosa vigezo ambavyo hufifiza shughuli hiyo. nitaeleza mambo kadhaa kuhusu mbegu ya kiume 1.Ubora wa mbegu ya kiume huendana na vyakula anavyokula mwanaume; Hii inamaanisha kua mwanaume anapokula vyakula vyenye virutubisho vingi ndivyo hivyo na ubora wa mbegu zake hua imara na bora zaidi 2.Kutofanya mapenzi hupunguza ubora wa mbegu za kiume; Hii ina maana kwamba kwa mwanaume ambaye hafanyi mapenzi hupelekea mrundikano wa mbegu na mrundikano huo hupelekea mbegu kuanza kuharibika, utafiti ulifanyika na kuonesha kua mwanaume anayefanya mapenzi angalau mara nne kwa mwezi hutoa mbegu bora zaidi 3.Technolojia ya WIFI,Bluetooth pamoja na laptop huathiri ubora wa mbegu za kiume; Hapo nyuma iliaminika kua joto la laptop pekee ndilo huathiri ubora wa mbegu lakini hali ni tofauti hivi sasa kutokana na ukuaji wa teknolojia imegundulika kua wireless na bluetooth pia huathiri ubora wa Mbegu za kiume 4.Mbegu za kiume huishi kwa takribani siku saba; Hapa namaanisha kua mbegu za kiume zinaweza kaa ndani ya mwili wa mwanamke zikiwa hai kuanzia siku mbili hadi saba 5.Mfumo mbaya wa maisha hupunguza ubora wa mbegu za kiume; Unywaji wa pombe,uvutaji wa sigara,unywaji wa kahawa na unene kupindukia hupunguza kasi ya mbegu za kiume hivyo kuchangia katika ugumba kwa mwanaume. Prepared by Afya kiganjani Coach NUTRITIONAL CLINIC For more help Contact with us :- (+255) 0766289090 (whatsapp/call/sms) 🤳👨🏻‍⚕️ Ukiwa umependa makala hii na ungepanda kupata elimu sahihi ya afya kila siku, usihaau kuliki ukurasa Wetu ili kutopitwa na makala zetu pendwa za afya. Pia Unaweza kuwa mwalimu kwa wengine kwa KUS-hare makala hii zaidi na zaidi ili wengi wapate Elimu hii uliyoipata wewe. “JIFUNZE na Chukua Hatua Juu Ya Afya Yako”.
@khadijahbanana5602
@khadijahbanana5602 3 жыл бұрын
Mbona chakula hakuonekani kikiwa tayari
@zainbomary3970
@zainbomary3970 4 жыл бұрын
Hi mamy 😘 uko na kpz changu Juma Lokole..Lokole kama lokole mpe hi
@jacklineulomi7780
@jacklineulomi7780 4 жыл бұрын
Et kwato za mbu haha
@sophicatesalim9757
@sophicatesalim9757 4 жыл бұрын
Wema umependeza na hii new luck yani adi raha
@dottohamisi9844
@dottohamisi9844 3 жыл бұрын
Mm naomba utuletee diamond
@ramadhanseleman4276
@ramadhanseleman4276 4 жыл бұрын
Wema plz pika na jacob steven (Jb)
@fettyulomiamina9071
@fettyulomiamina9071 Жыл бұрын
Juma asant mpnz
@JudithKigalu-ue3in
@JudithKigalu-ue3in Жыл бұрын
Just woooww
@sarahmichael7538
@sarahmichael7538 4 жыл бұрын
Wema umejipunguza mno hadi tunaogopa kukupoteza, Mungu akuepushe na maralia hizo za dar
@nanaaissa8102
@nanaaissa8102 4 жыл бұрын
☹️😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹mama nakufaa
@agwalubifaridah7079
@agwalubifaridah7079 4 жыл бұрын
Watu wangu💕
@fozyafozya4060
@fozyafozya4060 4 жыл бұрын
Juma 🔥🔥😂🤣🤣
@abdulishaban7795
@abdulishaban7795 4 жыл бұрын
Wema umekonda jmn daaah
@veronicagershomu484
@veronicagershomu484 4 жыл бұрын
Kwato za mbu juma punga sana
@aminaomary5567
@aminaomary5567 2 жыл бұрын
Leo leo leo juma hoyoooo
@emelmarry8354
@emelmarry8354 4 жыл бұрын
Love u wema
@ndayisabanadia1920
@ndayisabanadia1920 4 жыл бұрын
Jamani sijuwi kutumia wema Ap munifuze natamani saaana
@mwanaidkishaka2823
@mwanaidkishaka2823 4 жыл бұрын
That vibes ulioanzia😍
@fatihiyaizzadin904
@fatihiyaizzadin904 4 жыл бұрын
Umbea nimtamu na pia ndio maisha mama
@editherkigabo9541
@editherkigabo9541 4 жыл бұрын
Penda Sana madame
@gbwile1257
@gbwile1257 4 жыл бұрын
Wema ungekua mtangazaj ungependeza sana
@frdmedia6235
@frdmedia6235 3 жыл бұрын
Juma nimjuwaji saaana duuh
@janatahmad7048
@janatahmad7048 4 жыл бұрын
wema fungua na you tube kama sisi tunatumia wifi pluzz
@joynjiru3572
@joynjiru3572 4 жыл бұрын
Tunakutabua tu Kwa sauti yako nyororo Ila mwebaba kabisa
@agnesmwangombe6999
@agnesmwangombe6999 4 жыл бұрын
Wow l love it Wema kipenzi
@aboucassano
@aboucassano 4 жыл бұрын
madam mbona unaweka dakika chache
@caromsafiri2329
@caromsafiri2329 4 жыл бұрын
Umetishaaa sana leoo
@victorialucas9094
@victorialucas9094 4 жыл бұрын
Punguza mbwembwe bx zikizidi sana hupendezi na hiyo mifupa
@elshaarawymuhabesh316
@elshaarawymuhabesh316 4 жыл бұрын
Wema Sisi Tunakupenda Urudi kwenye Movie please
@julytito3891
@julytito3891 4 жыл бұрын
Lakn wema mbn kipind ni kifupi humaliz mapishi😪😪😪
@judithdominic7962
@judithdominic7962 4 жыл бұрын
Nakupenda bure
@shenkitv8670
@shenkitv8670 4 жыл бұрын
Wema akee😘😘
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 4 жыл бұрын
Sitaki mambo ya michuzi michuzi kunuka kikwapa staki siwezi mambo hayo😂😂😂
@jocknado9369
@jocknado9369 4 жыл бұрын
Juma kama juma kumbe lokoleee
@zlainaiddy1426
@zlainaiddy1426 4 жыл бұрын
Nlikua nimechelew kusbscrb umbea umenilet huk my love jaman love u madam
Cook with Wema Sepetu S02E03 Kajala Masanja
8:05
Wema Sepetu
Рет қаралды 366 М.
Cook with Wema Sepetu S02E06 Elizabeth Michael (Lulu)
8:08
Wema Sepetu
Рет қаралды 297 М.
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН
1% vs 100% #beatbox #tiktok
01:10
BeatboxJCOP
Рет қаралды 67 МЛН
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
My scorpion was taken away from me 😢
00:55
TyphoonFast 5
Рет қаралды 2,7 МЛН
Cook with Wema Sepetu S03E05 Baba Levo
8:14
Wema Sepetu
Рет қаралды 244 М.
Cook with Wema Sepetu - S08E01 Isha Mashauzi
8:06
Wema Sepetu
Рет қаралды 25 М.
Cook with Wema Sepetu S03E04 Shilole
8:14
Wema Sepetu
Рет қаралды 105 М.
Cook with Wema Sepetu - S06E11 DivaTheBawse
8:13
Wema Sepetu
Рет қаралды 100 М.
Cook with Wema Sepetu S02E07 Zuchu
8:20
Wema Sepetu
Рет қаралды 569 М.
MIMI MARS AMKATAA DIAMOND - NITATOKA NA MARIOO | BIG SUNDAY LIVE
9:50
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН