"WEWE MAMA NI TAPELI, NI MHUNI" MNUNUZI WA VANILA AINGIA 18 ZA RC MWASSA, AWEKWA CHINI YA ULINZI

  Рет қаралды 104,714

Millard Ayo

Millard Ayo

Жыл бұрын

Пікірлер: 313
@cleophacephelician6739
@cleophacephelician6739 Жыл бұрын
Asante sana Mh.RC, huyo mama wa vanila akamatwe apelekwe mahakani achukuliwe hatua za kisheria. Wanalaghai wananchi walime mazao ambayo komsingi pengine hayana soko, ila kwakuwa wao ndo wanunuzi pekee, wanatumia huo mwanya kuwatapeli wakulima!
@dhaminimkonyoka1450
@dhaminimkonyoka1450 11 ай бұрын
Nimefurahi sana namna Kiongozi alivyosolve issue hii, very diplomatic approach. Anastili pongezi. Na huyo mfanyabiashara anatakiwa kuitumia hiyo fursa kwa busara ili akwepe asiingie kwenye mkono wa sheria.
@dickaugustino8238
@dickaugustino8238 Жыл бұрын
Mkuu wa mkoa mzuri Sana anaongea point, afu kwa utulivu sn👏
@festokemibala5832
@festokemibala5832 10 ай бұрын
Vpamoja na changamoto hii shughulikia suala la stendi kuu ya mabasi Kyakairabwa, Miradi ya ujenzi wa chuo kikuu udsm tawi la Bukoba na Hilo la Mandela pale Bugabo. Hii itasaidia kuwepo na shughuli nyingi za kiuchumi na kuongeza mzunguko wa fedha. Kwa kufanikisha hayo utakuwa umeuondoa mkoa huu ktk nafasi ya mwisho kwa kipato.
@rajabdibwa6415
@rajabdibwa6415 11 ай бұрын
Big up mkuu wa mkoa! Nimependa uko straight foward👏👏👏
@wolframmwalo2432
@wolframmwalo2432 Жыл бұрын
Mama Fatma Mwasa hongera sana
@isayasangija8587
@isayasangija8587 10 ай бұрын
Mheshimiwa uko vzuli sana Mungu akubaliki Kwaku watetea wanyonge Sasa bado moja Rawanya Rwanda kwenda kisiwani nahiro rishugurikie mtu wa Mungu
@anyelwisyemwakasungula7419
@anyelwisyemwakasungula7419 11 ай бұрын
Huyo mama anafanya biashara kwa mfumo wa collateral anakusanya mzigo kwa wananchi kutumia mali kauli kisha anatumia huo mzigo kama collateral kupata mkopo benki ili awalipe wakulima wakati huo mzigo unakua chini ya benki mpaka atakapopata wateja atauza mzigo na benki wanapewa chao na yeye anabaki na faida yake changamoto ya mfumo huu wa collateral ni pale unapokusanya mzigo alafu benki inakusumbua kukupa mkopo hapo wakulima ndio wanakuja juuu. Hizo ni changamoto za biashara
@GeofreyKalo-ot3we
@GeofreyKalo-ot3we 11 ай бұрын
Mi nimekuelewa
@ephremmtuya3094
@ephremmtuya3094 10 ай бұрын
Hongera sana mama mjasiriamli kwa mpango mzuri ambao hata Bank wameukubali shida ya Taasisi zetu hata wao wanaleta urasimu matokeo yake unaonekana kama tapeli maana RC amekutolea maneno makali sana , hizi changamoto kwenye biashara. lakini usikate tamaa hao wanaokuchongea kwa RC utakuta wana siri kubwa sana kwenye hii biashara
@user-vh3yh2ec8r
@user-vh3yh2ec8r Жыл бұрын
Safi sana tumepata mama Samia Kagera❤
@Kijana-wa-Tanzania
@Kijana-wa-Tanzania 10 ай бұрын
Sasa samia muuza nchi kama amafika Kagera, mkoa wetu ushauzwa. This is next to impossible.
@lifeinmiddleeast8179
@lifeinmiddleeast8179 Жыл бұрын
😢😢 mama anataftia wanae ugali, but ni vyema kutafta Kihalali
@user-rd6mo1zb6g
@user-rd6mo1zb6g 11 ай бұрын
Mama Mwasa umetisha
@mashakaamosgabinza3893
@mashakaamosgabinza3893 Жыл бұрын
😂😂 huo ni utapeli wanawake siku hizi ni jajaja wanajifanya wafanyabiashara wakubwa na kuwapotosha wanawake wezao nakuharibu familia zao.
@user-vh3yh2ec8r
@user-vh3yh2ec8r Жыл бұрын
Yn tungepata viongozi km hawa 5 kagera tungeedelea na kubadilika sana yn maana Kagera tumejawa unwinyi ujuaji lkn mama kawaweza viongozi wengine muige uyo mama apepesi jicho nimekupenda sana mama. Km ulivyofanana na Mama Samia na ongea yako nimekupenda sana umekitendea haki cheo chako
@khadijamohamedy4492
@khadijamohamedy4492 11 ай бұрын
Sana wanafanana
@augustinebasil3218
@augustinebasil3218 11 ай бұрын
Hahahahaha Hijath Fatma Mwasa nmekukubali sana uko vzr
@georgemedeye3469
@georgemedeye3469 Жыл бұрын
RC namwelewa sana na huyu mama namwelewa sana. Biashara ina changamoto nyingi sana, na RC anawajibika kuwalinda na kutetea maslahi ya wakulima. Uamuzi wa RC ni wa busara na uliozingatia maslahi ya pande zote mbili.
@rogersmaokola3147
@rogersmaokola3147 11 ай бұрын
Mkuu wa mkoa yuko vema sana sana amenyooka sana
@essahsaimonmwalwega6097
@essahsaimonmwalwega6097 11 ай бұрын
Wachina na wahindi sio wa Kufanya nao biashara aidha uwe na mtaji wako mwenyewe... Pole mama wa watu.
@godsonandwele5265
@godsonandwele5265 Жыл бұрын
Hao ndo ambao Wanafanya KILIMO Kionekane Cha WATU MASKINI Sana....Huyu ni Miongoni Mwa Watu MATAPELI Kabisa!😯😠😭😭😭
@AbuubakarLinus-sr5ox
@AbuubakarLinus-sr5ox Жыл бұрын
Nipo zanzibar nimependa mkuu wa mkoa aliposema unafikili mimi kichwa panzi😁😁😁😁😁
@evancykashaga6576
@evancykashaga6576 Жыл бұрын
Awa watu wana nyanyasa sana nduguzetu sana ata kahawa ilikuwa ivyo ivyo yana miaka minne sasa tupo maakamani yani kwaakiyetu yani wawalipe pesayao wahuni awa
@jacksonamos2008
@jacksonamos2008 Жыл бұрын
Vizuri sana Rc
@mbondelotv8380
@mbondelotv8380 Жыл бұрын
Mmmmh! Anae kula jasho la wakulima ni zaidi ya mchawi tangu miezi hiyo yote.Wakulima msikate Tampa tupambane,maana mdio maisha yetu.POLENI SANA
@damsonwilson5202
@damsonwilson5202 Жыл бұрын
Tapel kweli
@ednalugano2906
@ednalugano2906 Жыл бұрын
Mh. Fatuma, shughulikia huyu mama awe SoMo kwa wengine wengi wanaotapeli wakulima mazao yao kwa ahadi ya kuwalipa bei kubwa Ilihali hawana pesa. Hapo anakusanya mazao Kisha anaanza kutafuta wateja akiuza ndio alipe hao wakulima. Na hawezi kulipa kwa bei aliyopatana nao . Wezi wengi hudhulumu Wakulima
@user-yi8ut7jt6y
@user-yi8ut7jt6y 10 ай бұрын
Asntee mama ..ila mimi niajiri kukufunga mtandio to kila ukitaka kutoka.😊
@sophiajonas2090
@sophiajonas2090 11 ай бұрын
Huwa siamini Mambo hayo kabisaaaaa eti kilo moja milioni moja ona Sasa wakulima wa watuvwametoa macho mekundu.Haya Mambo ya hela Nikikumbuka Dec Sina hamu kabisaaaaaaaa
@mrsferuzi7443
@mrsferuzi7443 11 ай бұрын
😂😂😂
@HassanMoha-rc8oq
@HassanMoha-rc8oq 10 ай бұрын
Jamani haya mambo ni ya aibu baadhi yetu sisi watanzania hatufanyi mambo kwa akili tunabaki kukashifiyana mbele ya watu ikiwa mwenzenu amekosa mwiteni kanda mumfahamish makosa na baadhi ya mambo aliyoyafanya ni kosa mwiteni kando lakini sio kumkashifu mbele ya watu na kumaziri na kumvunjia hishima aibu aibu aibu kwa baadhi yetu sisi watanzania 😢😢😢
@damsonwilson5202
@damsonwilson5202 Жыл бұрын
Huyu Mama hamna kitu
@condegsubscribes7911
@condegsubscribes7911 10 ай бұрын
Huyu mkuu wa mkoa kagera anabusara sana hakika wanawake wa hivi kuwa viongozi ni wachache ongera mkuu wa mkoa
@abdisalim7900
@abdisalim7900 10 ай бұрын
Hongera sn RC kwa kutatua matatizo ya wananchi lkn kwa upande mwingine maelezo bado hayajathibitisha kuwa hy mama ni tapeli ila kuna mkwamo fulani tu ktk masuala yake ya kifedha yamemkwamisha,ingekuwa busara kwa Mkuu wa Mkoa kuwasiliana moja kwa moja navyanzo anavyovitegemea ili kupata assuarance ya malipo hayo
@jackmabirangacharles9398
@jackmabirangacharles9398 Жыл бұрын
Huyu Mama natamani angekutana na Waziri wa Kilimo
@estakapufi7582
@estakapufi7582 Жыл бұрын
Ila kilimo jamani kinaumiza sasa mkiwa mnawafanyia hivi hawa wakulima kweli wataendelea kupitia kilimo kweli, haya mambo ndio wanawakatisha tamaa wakulima na kuwafanya waonekane wakulima masikini maana hawapati pesa kwa wakati ili watatuwe matatizo yao
@edisonmaliva1719
@edisonmaliva1719 Жыл бұрын
Inatia huruma,wanawake wanapitia mengi sana. M Nadhan n mambo tu ya biashara yamemwendea tofauti,alitegemea akusanye auze then alipe pesa Za wakulima.
@ashachitemo7816
@ashachitemo7816 Жыл бұрын
Asa biashara haiko hivyo unatKIWA UWE NA SOKO LA UHAKIKA UWE NA MTAJI NDIYO UANZE KUKUSANYA BIDHAA NA KULIPA
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
​@@ashachitemo7816KWELI SIO KUBAHATISHA KWA MALI ZA WATU
@jumalupanda6886
@jumalupanda6886 Жыл бұрын
Hongera RC
@delsonandrea5223
@delsonandrea5223 Жыл бұрын
Wadada na wamama wamekua matapeli mpaka mitandaon kuibia watu hela zao
@user-vy2lf2zv1k
@user-vy2lf2zv1k Жыл бұрын
Rc tusaidie huyumama hajui mkulima anavoumia
@Mzena4343
@Mzena4343 11 ай бұрын
Daaaaah inauma sana
@user-xr6pu6cj3m
@user-xr6pu6cj3m 11 ай бұрын
Biashara ngumu nyie😢😅😅😅kama huna moyo wa ugumu unazimia😅
@saashishamafuwe
@saashishamafuwe 11 ай бұрын
Hongera Mhe RC
@majaliwamsigwa6206
@majaliwamsigwa6206 Жыл бұрын
Hao ndo natapeli wanaowalaghai wakulima,kama mzigo uliuchukua maelezo yanini?lipa hiyo minoti,vinginevyo awajibike
@Nedjadist
@Nedjadist 11 ай бұрын
Kumbe tuna wanawake wanaojua uongozi. Uongozi lazima: 1- ujue kuzungumza 2- Usisite kuchukua hatua kali 3-Uwe muwazi, mwadilifu, mhurumia wanyonge.... Ongeza.
@DM_15
@DM_15 Жыл бұрын
Wa mama sikuhiz matapeli sana sikuhiz hata huku mtaa tunasumbuliwa hatali
@kigomakid74
@kigomakid74 Жыл бұрын
😂😂😂
@ElisioVicenteMadimba
@ElisioVicenteMadimba 11 ай бұрын
Mdai fedha wa macho mekundu mbona camera inamnasa sana kwni vipi kunanini machoni? Au kala nini??
@franciskobelo
@franciskobelo Жыл бұрын
RC UPO MAKINI SANA MUNGU AKUJAALIE
@EastOneDiamante
@EastOneDiamante Жыл бұрын
Unawazungusha sana wakulima
@jumashedafa
@jumashedafa Жыл бұрын
Nimependa hil toka Kwa RC na ni jambo zur...Ila nadhan kuna udhalilishaj ktk huyu dada na mbay zaid ni mtandaon...Cjajua wanasheria wanasemaje ktk hil?...Ila naona ipo haja viongoz wetu wawe wanasoma sheria hasa wale ambao hazkuw professional zenu vyuon. Motivation speaker hap nahis kuna mchango wenu ila jaribun kuwaelez watu njia sahih na kwa kiwango sahih...kwa milon mia 6 hapan Na benk gan kwa harak ikaprocess kiwango hik NB; japo mama anaviashiria vya utapel
@maraone_techonology
@maraone_techonology 11 ай бұрын
Sofia alinizima mi 5, nikamuachia Mungu mwenyewe maana ndie aliekataza dhulma, na hupokea dua ya wale wenye kudhulumiwa,,, Mola azidi kumlipa kwa dhulma zake,,,
@abdulvunja6551
@abdulvunja6551 10 ай бұрын
Kwa kiasi fulani nilifikiri RC amekua mkali dhidi yake kupitiliza kwa sababu hakumuelewa juu ya changamoto ya kukosa pesa mahali alipotegemea kumbe hata wewe umepoteza haki yako kwake!
@davidsika5292
@davidsika5292 Жыл бұрын
Huyo mwanamke ana maneno makali sana atakuwa wa kusini huyu
@pendombinga3584
@pendombinga3584 11 ай бұрын
😂Yp huyo
@ridhiwanikhalifa9036
@ridhiwanikhalifa9036 10 ай бұрын
biashara wakati mwingine inakua na changamoto
@masoudshabaniayaanzulisadn9209
@masoudshabaniayaanzulisadn9209 10 ай бұрын
Hongera mama kalibu tabora
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 Жыл бұрын
Huyo jamaa mwenye macho yake, nae anadai hela zake?. Daaa ana jicho lekundu mbaya😂😂😂😂
@fettyrashid9042
@fettyrashid9042 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@avitusmichael5
@avitusmichael5 Жыл бұрын
Ana hasira kinoma
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@desolz3809
@desolz3809 Жыл бұрын
Ataondoka na kichwa cha mtu hapo
@mumyhendry2919
@mumyhendry2919 Жыл бұрын
😂😂😂nlifkir nmeona mwenyew daaah watu nyieee🙌🙌🙌
@faithmapondo7370
@faithmapondo7370 Жыл бұрын
Yaan tapel huwa anakazana kujitetea
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
UMEONAEEE 😂😂😂
@gidionmanwingi8936
@gidionmanwingi8936 Жыл бұрын
Jamaa anajicho jekunduuuu huyoo mama mshara biashara hamuogop jamaaa
@shetanoathumani2904
@shetanoathumani2904 10 ай бұрын
Huyu nitapeli
@muhammadmassoud3576
@muhammadmassoud3576 Жыл бұрын
Maneno yako yana ukakasi
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula Жыл бұрын
Naanza kumuona RC wa mkoa wangu kiwajibika.
@alimkumbukwa8363
@alimkumbukwa8363 Жыл бұрын
uyu Mam n tapel yan ukftlia wkulm wlvo kuw wkillamka unwez muwsh vbao
@saidasimba9979
@saidasimba9979 Жыл бұрын
Haha huyo tapeli nimemuona
@hellenamwenda8292
@hellenamwenda8292 Жыл бұрын
Vanilla yenyewe kununuliwa ni kizaazaa,wakulima wanapiga makofi lakini wanajua ukweli,...mbona wamekuwa wakali kama mama huyo amekula hizo vanilla ,na wakati yeye mlanguzi tu,...Nan ajitolee kununua au kutafuta soko badala yake yeye?
@dicksonmagari8803
@dicksonmagari8803 Жыл бұрын
Si ndiyo hii wanatangaza kilo moja milioni moja?
@davidsika5292
@davidsika5292 Жыл бұрын
Ni kweli vanila 1 kg ni 500us dollar ambayo ni sawa na Tsh 1 150 000
@hemedbakari8997
@hemedbakari8997 Жыл бұрын
Mbona huku kwetu wananunua 35,000 kg1
@sir_ENOCKMACHA
@sir_ENOCKMACHA Жыл бұрын
​@@hemedbakari8997duh wapi huko mnakopigwa hivyo
@aminafocus8421
@aminafocus8421 11 ай бұрын
@@hemedbakari8997 wapi wananunua kwa bei hiyo?
@davidsika5292
@davidsika5292 11 ай бұрын
@@hemedbakari8997 mnapigwa saaaana
@banagakatabazi9648
@banagakatabazi9648 Жыл бұрын
Kwa upande wangu natamani badala ya mama huyu kubezwa asaidiwe atatue changamoto zake ili aweze kuwalipa
@demicratia4071
@demicratia4071 Жыл бұрын
huyu mama abskya mjali kwa Sophia kama hajui changa moto ya biashara mwezi mmoja ni mfupi saaana sass alitaka alia Serekali inadaiwa miaka mingapi
@IsraelKisaila
@IsraelKisaila Жыл бұрын
Kweli AISE wangemsaidia
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
YANI ATAPELI WATU HALAFU ASAIDIWE 😂😂😂😂😂
@hassansaul7098
@hassansaul7098 11 ай бұрын
Mweny kusaidiw ni mweny kukubaliana na makosa, bado mbishi mbele ya kiongozi😢
@bockerbocker8495
@bockerbocker8495 11 ай бұрын
@@salimmalaka256 atakuwa tapeli mwenzake
@mbondelotv8380
@mbondelotv8380 Жыл бұрын
Mama angu anauchungu amemchamba kitanga tanga Ubarikiwe
@fidelismasaka2735
@fidelismasaka2735 11 ай бұрын
Huyo jamaa mwenye machomekundu huyo anatamani amuoe huyo dada mana sio Kwa Kwa macho hayo😊
@michaelmfumia6695
@michaelmfumia6695 Жыл бұрын
Mugabe hoyeee ,wamama Kama Hawa wapi wengi, Safi Sana msaidie doctor samia
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 Жыл бұрын
Huruma ya nini aisee na ame chukua mazao ya watu ina maana wakulima wame Lima bure au?
@delsonandrea5223
@delsonandrea5223 Жыл бұрын
Huyu pengne alitaka achukue mzigo akauze ndo aje kulipa anatengeneza uongo
@UJENZIUBUNIFU.
@UJENZIUBUNIFU. 4 ай бұрын
Nilisikia Vanilla kilo moja bei yake ni M1 na points, mbona hii vanilla inauzwa elf 15 tena kwa mkopo?
@bagenihuduma1569
@bagenihuduma1569 11 ай бұрын
Anakuchukuliaje RC
@user-bw5wj8dw5q
@user-bw5wj8dw5q 11 ай бұрын
Mara ameprocess mkopo mara anasubiria wachinaaa
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
Ni tapeli huyo achukuliwe hatua za kisheria kuwe na utaratibu wa mnunuzi kuonyesha bank statement ya millioni nyingi tu kabla ya kuanza kukusanya mazao ya wakulima
@sudymgeni701
@sudymgeni701 Жыл бұрын
Uyu tapeli mkubwa kachukua mali ili auze apate pesa kwanza. sasa wateja wake wakagoma kununua ikawa ivyo
@stellah3844
@stellah3844 Жыл бұрын
Hawa wote wa Vanilla ni matapeli wote nashangaa bado wanaendelea kujitangaza na Serikali haifatilii
@issamuhammedi
@issamuhammedi Жыл бұрын
Huku zenj siwaoni siku hizi AO wa vanila si watu wazuri
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 Жыл бұрын
Huyu mama tapeli sio vizuri kuwa dhulumu wakulima watu wana Lima kwa tabu sana 😢😢
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 Жыл бұрын
Toa helaaa wacha longo2,Huna aibu na jasho la wenxio?? Lipa hukooo.
@user-dt9uv3hj6n
@user-dt9uv3hj6n Жыл бұрын
MAMA KONGOLE SANA ALLAH/MUNGU AENDELEE KUKULINDA HAKIKA UNAFANYAKAZI NZURI SANA
@AbuubakarLinus-sr5ox
@AbuubakarLinus-sr5ox Жыл бұрын
Dada mzuri kwa sura wa kuolewa akatulia kwa mume wake lakini mwizi . Milioni 600 sio mchezo jamani huyu anatafuta kufungwa
@lifeinmiddleeast8179
@lifeinmiddleeast8179 Жыл бұрын
Anaezulum mkulima😢😢😢
@joachimhancemwakoba8283
@joachimhancemwakoba8283 Жыл бұрын
Kuna mwamba ana macho mekundu balaa😂😂😂
@mymunalucas1097
@mymunalucas1097 Жыл бұрын
😂😂
@marychris8224
@marychris8224 Жыл бұрын
🤣🤣🙌
@avitusmichael5
@avitusmichael5 Жыл бұрын
Ana hasira kinoma
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
ANA TAMANI AMPAKUWE 😂😂😂😂
@danieljoseph1610
@danieljoseph1610 11 ай бұрын
Tapeli mamaangu ni tapeli tu, Wala haogopi kukodoa macho tena makavu bila aibu!
@chankamba
@chankamba Жыл бұрын
Wezi hawa matapeli kilo 1m kidogo mke wangu auvae mkenge 😂😂
@sir_ENOCKMACHA
@sir_ENOCKMACHA Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@AnwariteBariki-hf9im
@AnwariteBariki-hf9im Жыл бұрын
Au aliweka hela MTFE 😂😂😂😂 huwez jua
@FreeGod368
@FreeGod368 Жыл бұрын
😂
@Adammbogo
@Adammbogo 11 ай бұрын
Vanilla kwani inatengenezea nini,,????
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
keshatapeli wanyonge
@user-jr6vq6rw3c
@user-jr6vq6rw3c 11 ай бұрын
Huyu Mama mnunuzi ni tapeli,huyo alitaka kuchukua mali kauli,yaani achukue mazao kwa mkulima akauze kisha achukue faida bila kuwa na pesa ya msingi.
@kassimomar7589
@kassimomar7589 Жыл бұрын
Saa sa tajiri gani unategemea mkopo
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
​@@salumalriyamyBAHARESA 😂😂😂
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
@@salumalriyamy RIYAMII NALIELEWA HILO LAKINI HUYO DADA NI TAJIRI??? TAPELI HUYO TENA HANA AIBU 😂 😆 😆 😂 🤣
@twiseghekisilu8845
@twiseghekisilu8845 Жыл бұрын
Wakulima wanateseka jamani wasaidieni!!
@user-rs4vz2vt9z
@user-rs4vz2vt9z 10 ай бұрын
Hivi ni watu binafsi tu wanakopaga?.ingekua serekali ingekuaje?.
@Adammbogo
@Adammbogo 11 ай бұрын
Mfanyabiashara hewa😢
@michaelndilima6210
@michaelndilima6210 11 ай бұрын
Hii ishu inafanana na kilimo cha mgonge.
@paulinaobiria9649
@paulinaobiria9649 Жыл бұрын
Wamsikilize huyu dada, anapitia changamoto za kibiashara
@mwinukafundibombanjombe
@mwinukafundibombanjombe Жыл бұрын
Hao wa vanilla washaliza weng
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
Ni tapeli huyo
@joharimanyanda3358
@joharimanyanda3358 Жыл бұрын
Kweli kabisa
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 Жыл бұрын
Kabisa mi nimeumia sana hampi nafasi aongee inakera ila atapata wakumtetea na pesa itapatikana tu sioni kama ni mwongo japo anamtukana ati mkavu sasa alitaka akae legelege
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
​@@cheiknamouna2058WACHA KUMTETEA TAPELI BASI NENDA KAMLIPIE.
@witnesrobson
@witnesrobson Жыл бұрын
Hana hata huruma kwa wanawake wenzake
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 Жыл бұрын
Huruma ya nini aisee na ame chukua mazao ya watu ina maana wakulima wame Lima bure au?
@evarusimbala770
@evarusimbala770 11 ай бұрын
Maskini nimewaona wakulima wa kijijin kwetu 😢😢😢😢😢😢
@adamapollo9859
@adamapollo9859 11 ай бұрын
Inahuzunisha sana mkulima analima kwa shida afu anadhulumiwa😢😢
@shukranjulius9526
@shukranjulius9526 11 ай бұрын
Kiukweli wengi siku hizi huruma hawana
@user-mb1nw7jd5j
@user-mb1nw7jd5j 11 ай бұрын
Vani hihii ya Saimon mkondya anayo tuambia mil1kwa kg1
@davidpaschal778
@davidpaschal778 Жыл бұрын
Skuiz wanawake ndo matapel
@akimu-gl7zp
@akimu-gl7zp Жыл бұрын
Siomwaminifu huyo
@swahilitherapytv3846
@swahilitherapytv3846 Жыл бұрын
KILIMO CHA MTANDAONI WAZIRI BASHE ALIISHA KATAZA
@makambiluse3565
@makambiluse3565 11 ай бұрын
Mbona mazao yote ya biashara ni ivyo ivyo tu mnauza Leo pesa mwakani ndo maana vijana wengi wamekuwa boda boda
@nassormessi-zk5cz
@nassormessi-zk5cz Жыл бұрын
John Pombe Magufuli Respect
@salummbunga4167
@salummbunga4167 Жыл бұрын
NDIO NANI HUYO???
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
​@@salummbunga4167WATU WAMETAPELIWA YEYE ANALETA UPUUZI UPUUZI TU
@ashachitemo7816
@ashachitemo7816 Жыл бұрын
Halafu huyu dada namjua
@fettyrashid9042
@fettyrashid9042 Жыл бұрын
Asha kweli ?
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
VP HUYO SI TAPELI LA MJINI AU VP???
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 Жыл бұрын
Million 🧐600 stini Subhanallah Subhanallah hizo pesa zote 😢 Jamani mbona hivo 🙂 wakulima wanaishije??pesa ni nyingi mama huwezi jitetea wakakuelewa!🧐
@queenmwasanguti2370
@queenmwasanguti2370 Жыл бұрын
Huyu dada ni mpambanani ni changamoto za biashara..
@hussenaaghe2760
@hussenaaghe2760 11 ай бұрын
Watu kama haya ndio wakiumbuliwa ndio wanaenda upinzani kukosoa serekali ndio alafu wanakutana watuta bangi kisiasa
@GeofreyKalo-ot3we
@GeofreyKalo-ot3we 11 ай бұрын
Changamoto ya biashara hiyo
@complex7582
@complex7582 11 ай бұрын
Huyu dada mzuri lakini
@rucaserasto8154
@rucaserasto8154 10 ай бұрын
😂😅😂😂
Spot The Fake Animal For $10,000
00:40
MrBeast
Рет қаралды 210 МЛН
لقد سرقت حلوى القطن بشكل خفي لأصنع مصاصة🤫😎
00:33
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 30 МЛН
Fortunately, Ultraman protects me  #shorts #ultraman #ultramantiga #liveaction
00:10
奧特羅羅 Ultraman
Рет қаралды 4,4 МЛН
Вы чего бл….🤣🤣🙏🏽🙏🏽🙏🏽
00:18
MTOTO WA MRISHO MPOTO AWALIZA VIONGOZI KWA UCHUNGU
17:36
MrishoMpoto
Рет қаралды 133 М.
Spot The Fake Animal For $10,000
00:40
MrBeast
Рет қаралды 210 МЛН