Asante sana Kaka umeonesha uthubutu na hivyo Raisi na wananchi Kwa ndio matakwa yetu
@mwanaishazain79852 жыл бұрын
Wenenu wenyewe hao. Mnakula nao
@abkhamsalshamte4294 ай бұрын
Hee mpaka muburuzwe 😢
@omaryahya3372 жыл бұрын
Raisi wenyewe misingi ya utawala wake ni wizi au yeye anahisi hakuna mahama ya kumuhukumu, kesho mele za mungu na yeye tutampandisha kwenye mahakama ambayo haki ya mtu hipotei
@kassimhanga17632 жыл бұрын
haya tumeyazoea wapo wengi na watakuja wengine na kuendeleza wiz na hawatafanywa lolote
@truthspeaker20622 жыл бұрын
Si mulisema hamufukui makaburi
@mohamedhaji22002 жыл бұрын
Hayo makaburi mapya hayajafukuliwa
@truthspeaker20622 жыл бұрын
@@mohamedhaji2200 tunazo habari zenu .kesi za miaka 2 mpaka mitatu nyuma mmefukua. Na rais alitangaza akasema hatufukui makaburi . Hatuingilii kazi ya serikali lkn jitahidi sana munapotoa hukumu muhakikishe mara 10 10 kama mtu ameiba kweli .
@amstain49902 жыл бұрын
Ao muheshmiwa rais mwinyi wasipewe dhamana ikiwezekana wanyongwe mabilioni waloyaiba tukiwapa dhamana hao wanakimbia nchi
@mwanaishazain79852 жыл бұрын
Mtangazaji unajifunza kusoma?
@truthspeaker20622 жыл бұрын
Alafu munafatutia kesi za vibua . Kesi za mapapa hamuzifatilii .
@abdulrahmansalim97732 жыл бұрын
AWAMU ZOTE ZILOPITA KUANZIA SHENI SIO WACHACHE TUU UPUMBAVU