❤KAMA UNAMUKUBALI KIPARA NIPE LIKE NA S'ABONNER WATANZANIA❤ SIMICHOANGU NISHAACHA
@user-zu8yr7mh4hАй бұрын
Like kwajili ya kipara tafadhalini naomba
@JigoSengiyumva-ln9xfАй бұрын
Wa burundi wanao mukubali kipara wanama ao kipara jaivah tuko niaciy like nzangu bas✌💨💣
@All_Star_Music_LabelАй бұрын
Leo naombeni like jamani 🇲🇿🇲🇿
@OdemoDennis-ku8eoАй бұрын
Kazi safi mmbea kipara 🇰🇪🇰🇪
@hellismtotowakifalme4009Ай бұрын
Kazi nzuri sana BANA na kubwa hii nimependa tu sana nipo Mombasa kenya hapa jomvu like zenu bn❤❤❤❤ tuonyeshe upendo bn
@ngabungabrain6574Ай бұрын
Wakwanza toka Uganda like zangu
@Monystar01Ай бұрын
Hongera kwa director kije madevu 🔥 🔥
@DonMooFILMES_ExpressАй бұрын
SANDRA nilianza kumuona kwenye Tamthilia ile akiwa na JUMA JICHO 😂 Tangia nianze kumuona nampa tuzo zake ktk uigizaji anaweza sana......
@CarolyneNaliaka-gf8mr21 күн бұрын
❤❤❤napenda sana hii from kenya
@fridacharles4173Ай бұрын
Kipara Wana man hongera sana kaka Kwa kazi nzuri plz mwisho uwe mzuri msiishie njiani 🔥🔥🔥💥💥
@zephbarakaАй бұрын
Ikiekewa ubunifu mzuri huenda ikawa filamu nzuri ya kutazama.....kazi nzuri naifuatilia toka Kenya
@aganzerogerАй бұрын
Kipara ana lo😂😂😂🎉🎉🎉🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@GabrielYohana-e1fАй бұрын
Kaz nzr kipara
@JoynessMshaijaАй бұрын
Wa kum na mbili mim nampenda kipara igwe 🤣🤣🤸
@DeogratiusKandaАй бұрын
Move Kali kinoma Ila una chelewa kuileta.tuwaishie sawaa jaiva
@VailethYusiАй бұрын
Wa Kwanza mim naomba like zangu kutoka Dodoma
@mtzhalisi2232Ай бұрын
@@VailethYusi uko Dodoma maeneo gan?
@mansoursilima6620Ай бұрын
Jaman leo wa mwanzo naomba like japo 10🎉🎉🎉❤
@mansoursilima6620Ай бұрын
Kipara brand nakukubali sana ktk series zako hongera kipara brand😀✌️
@mc-bii228Ай бұрын
Kipara 😊🔥
@husnansabimbona4496Ай бұрын
Sawa all in all😂😂😂
@collinsouma-cv1uoАй бұрын
kipara napenda ukiongea kiingereza😂💔
@OmaryMbaruku-ob8teАй бұрын
Leo wa kwanza jaman naomben like zangu ❤❤❤❤ from tanga korogwe
@energeticmbn4596Ай бұрын
Kipara wana man au kipara eeeeeee- ! 😅
@abdulazizitwalib5859Ай бұрын
Big story Kipara una kitu Utafika mbali 🤜🤛
@crazykea2032Ай бұрын
Kipara jaiva aweeeh😂😂
@PacifiqueKalenga-we5hfАй бұрын
Kipara brand 💪
@DonMooFILMES_ExpressАй бұрын
Hizi ndizo aidia ambazo mnatakiwa muandae sasa Clam Vevo Gang ❤ Naona kwaupande wa Mr CHIBU kaachia Tamthilia yamoto sana na Kipara huku umeachia tamthilia yamoto sana. Sasa nasubiria Mr BUTUA naye aachie tamthilia yamoto. Mimi ndio yule fans sugu wa Mr CHIBU & Mr BUTUA soon ntamuongeza Mr KIPARA kama atakaza aidia kwenye stori zake namna hii ❤
@VincentGamboMuye12 күн бұрын
Mr chibu n gani
@DonMooFILMES_Express12 күн бұрын
@@VincentGamboMuye andika CHIBU TV itakuja channel ya huyo jamaa. Amecheza kwenye Snake Boy kama baba yao na wale mabinti wawili ambao wanaishi na CLAM VEVO.... jamaa ni hatari sana
@user-lj5sw4xw6mАй бұрын
Kazi Yako naikubali sana ila kazi zinachukua mda kutoka tunasubili sna
@UmiMazariАй бұрын
😂kazi safi sana
@gendaekafilmproduction4678Ай бұрын
Kaz kaz
@user-yd2dw5nt7rАй бұрын
Kipara kazi nzuri kaka❤❤❤
@fguy2687Ай бұрын
Safi sana
@Oscarowen-tf1bxАй бұрын
Kipara Wana man, au kipara jaiva aweeee😅😅😅😅😅
@sharifamohd385720 күн бұрын
olooooo in oloooo😂😂😂
@SafaniaWafulaАй бұрын
Kweli
@ImmaKerenge-iz2ybАй бұрын
Mkemia apa from Tanga Tanzania kaz nzur sana tuko pamoja mwanzo mwisho
@aminakatana8721Ай бұрын
Nimefika wala sichelewi kabisa
@kinananyuni9732Ай бұрын
Aweeeee bonge lishapagawa na chizi😂😂😂
@pasqueensebastian9930Ай бұрын
Kipara after vevo.. Kipara vevo😅
@HirammbindyoАй бұрын
Kipara uko genius sana,mambo ipo sawa❤❤❤❤❤❤
@LovelyDandelion-dv5htАй бұрын
Ongeza dakika bwana kipara movie nzuri dakika n kidogo 😢
@valuboy4335Ай бұрын
Kipara the genius ❤❤❤😂😂😂😂 wapi subscribe zangu ❤❤
@hamisikamanda9933Ай бұрын
Kali kali kali kali saaaaaanaaaaaaaa
@Hawadadi-kt9bzАй бұрын
good job
@coolbz133Ай бұрын
Kipara hebu tulia na hicho kizungu chako daaaa watueka njia panda ulisomea wapi na mm nirudi shule😂😂😂
Sema una chelewesha sana kipara wanaman au kipara Jaiva movie Kali sana ii 🔥🔥✔✔✔✔✔
@Mariam-fm8vqАй бұрын
Kipara lakin unatueka sana bwana utasema watu wanasubiri kiama 😂😂😂😂
@KASIMILKIBANOАй бұрын
First one
@user-xk8si6bo9bАй бұрын
Kipara jayva hongera sana kwa kazi nzuri naomba ongeza dk kidg kwa maan ni 🔥 mkali ❤❤
@TheddyAlistarick-dn4tgАй бұрын
Mnaweka muda mchache bhna Ata huenjoy
@MzeeRacaАй бұрын
Kazi nzuri broo safi sana kipara wana man ❤💯
@zenamtembezi4921Ай бұрын
Jaman miwamwisho nipeni like zangu
@user-ee7xd5wu1n14 күн бұрын
Kazi nzuri kipara ❤
@user-ex2id7sw4xАй бұрын
Safi San kipara KAZI inaonekan Kwa kwel n nzur xan wallah big up xan kipara Wanaman mzungu WA Tz
@FrankLuhaha-dt5shАй бұрын
Oya mbeaaa wa kiumee kaz yko nzulii sanaaaa
@halemasuliman-js8ugАй бұрын
Kazi mzuri kipara lete vituu
@UmiMazariАй бұрын
Çhizi omba kipara asijue ukweli
@YoungblackPeople-qf7vx29 күн бұрын
Kipala wana man aweeeeeeeeeee😅😅😅😅😅😅😅😮kama ume cheka gonga like 👍 😊
@InnocentfilmАй бұрын
Kweli ni bomba. Nipe lik zenu na subscribed
@abdallaali025Ай бұрын
Kazi safi kipara
@ErickyTz-ku7dtАй бұрын
Kipara ndo mridhi wa clamvevo
@charlesjbjb8513Ай бұрын
Sandra anacheza na akili zetu
@athumannambombe4334Ай бұрын
Aweeeeeeeeeeeee!
@fatumajuma9388Ай бұрын
Oro ovo oro much love from 🇰🇪🇰🇪😂😂😂 kipara nakukubl na icho kizungu 😂😂
@barakathdthekinda3722Ай бұрын
Kipara kazi nzuri sana na tunaifatilia kwa kina ila kuna sehemu zinakuwa Ima director au Script inakosewa mm binafsi sijaona sababu ya Abby kuwa mkali kwa mke wake kiasi hicho kisa anamuwazia dada anaejifanya kuwa ni chizi content inakujaje wana ishu gani na yule mdada mpaka imefikia mahala mpaka kumuwazia kiasi ambacho akose maelewano na mke wake? Maana kwa kawaida hauwezi kumuwazia mtu ambae hauna ishu nae kiasi kwamba ukakosa maelewano na mke wako so kuna sehemu za kurekebisha maana wanaotizama ni wengi na sio kila anaetizama anaangalia tu! Hapana mwingine anaangalia vitu vingi sana kuanzia shorts,movement ya msanii Script,director,reaction ya artist na vingine kibao ni hayo tu! Kwa uelewa wangu mdogo shukran sana
Nimempenda sandra, anajua kigiza sana, natafuta movie zake nione
@MR_BAD_SHOOTАй бұрын
Mnipe namba za kipara nimwambie kama Sandra sio chizi 😂😂😂
@melomusictz1079Ай бұрын
Kitu cha moto 🔥 balaa hatujakataa ,kazi inanguvu hatari hili sipingi , tatizo dk chache kipara jaivah kipara wana man kipara marley kipara oh my tunakuomba part 4 dakika kuanzia 25-35 kipara konde please
@jumaboy4918Ай бұрын
Kipara big up😊
@user-vo7yb6wp1mАй бұрын
Kazi safi Sana hongereni next plz 🎉🎉❤
@user-qq4zr3sk2gАй бұрын
Kipara Jaivah aweeh bibi hajasema hapo aweeh 😂😂😂ila udiwani na kipara mmmmh... mhuu🙌🙌
@sharifamohd385720 күн бұрын
orrrrrro in orrrrrrro
@AmaniNangerembeАй бұрын
Good nice one job mr wanaman🎉🎉
@mc-bii228Ай бұрын
Watu wa Clam Vevo Gang 🤣🤣🤣🤣 Aloooh english imewapitia kushoto sana
@AsumaniSikituАй бұрын
Nakubali sana kipala❤❤❤
@user-rl5zb1jc9kАй бұрын
Much love from Kenya 🇰🇪
@VictoriaMaundaАй бұрын
Nakukubari kipara
@user-yk4xn2qp6sАй бұрын
Finally am the first 😂
@celestinss4045Ай бұрын
Yani tamu sanaa
@mtzhalisi2232Ай бұрын
Tuongezee muda kipara wana man
@Edith-rq3mmАй бұрын
Haraf wanasemaga et mwanaume ni kama mtt et anahitaj kubemberezwa ASA km mme Wang namuuliza ananifokea unadhan ntarudia ten ck ingne cwez kurudia kabisa
@Dianaf774Ай бұрын
Kipara Niue na hicho kizungu tu 😂😂😂ila mnaweza team kipara hii kali❤❤😊
@user-ec2cj5om7vАй бұрын
Kipara❤❤❤❤❤❤❤❤
@ladyjoomahegga9407Ай бұрын
Kipara kwenye hii umeniboa huna umbea umbea
@paulinekombe375320 күн бұрын
Kazi poa sana 🎉🎉
@ramabig990721 күн бұрын
Sadra bonge la muhigizaji endelea ivyo ivyo
@PoleenNjeru15 күн бұрын
Hivi hiki kizungu kingi hivi mmekitoa wapi jamani🤣🤣🤣🤣 from 🇰🇪👌