🔴LIVE: MBOWE na LISSU wanaunguruma muda huu baada ya KUACHIWA na MAANDAMANO yao kuzuiwa

  Рет қаралды 19,657

Habari Digital

Habari Digital

Күн бұрын

Пікірлер: 17
@justinjimmy679
@justinjimmy679 2 ай бұрын
Makamanda wote meza kuu ni wachaga😂😂😂😂
@BonaventureJohn-mk6xh
@BonaventureJohn-mk6xh 2 ай бұрын
Hivi hii nchi kuwa mchaga ni kosa? Kama unataka kutuaminisha kuwa meza kuu wote ni wachaga then what? Niseme tu ww unayepanda chuki dhidi ya wachaga huna tofauti na waliokuwa makaburu wa south afrika, ushindwe na ulegee na unahitaji Tiba ya namba ya kufikiria kwako.
@Deoathanasmbongo
@Deoathanasmbongo 2 ай бұрын
Kwani kuwa wachaga ni dhambi?
@MickyMgeri
@MickyMgeri 2 ай бұрын
Kawalete na wajomba zako waha 😂😂
@SaidiLuvedelo
@SaidiLuvedelo 2 ай бұрын
Hiii nchi wahalifu namba moja ni jeshi la police
@elizeusstambuli3431
@elizeusstambuli3431 2 ай бұрын
Kichwa cha habari na habari yenyewe ni vitu tofauti
@JaphetMwasenga-p6u
@JaphetMwasenga-p6u 2 ай бұрын
Demokrasia Tanzania haipo
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 2 ай бұрын
Makamanda wamekamatwa na makamanda wenzao kwahiyo hapo hakuna shida
@JovinPeter
@JovinPeter 2 ай бұрын
Comedy zimeanza
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 2 ай бұрын
Kazi unayo iutapasuka mdomo
@JeremiahMwakanyamale
@JeremiahMwakanyamale 2 ай бұрын
mdomo hupasukaje? nyie ndo vibaraka msio nafaida yoyote nchini..vichawa nyie,nchi inayumba nyie mnaona sawa2/maisha yanawagonga lakini hamuoni shida..mnakera!!!
@RashidHaroun-c2j
@RashidHaroun-c2j 2 ай бұрын
Kwaiyo sauti ya wanachadema na jumuia za nje ndo zimefanya wanachama na viongozi kuachiliwa au kauli ya katibu wa CCM Nchimbi ndo imefanya kuachiliwa hebu tuekeni sawa makamanda 😂
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 2 ай бұрын
Hapo naona uhun tuu unafanyika
@febronialyimo8585
@febronialyimo8585 2 ай бұрын
Bado wewe bado una ukabila badala ya u Tanzania?😮
@samwelgabriel2175
@samwelgabriel2175 2 ай бұрын
Kama viongozi wa ccm hawajawahi kukamatwa na polisi na wa wapinzani wanakamatwa na kuteswa basi ccm ndo wanaokqmata wapinzani,kuwaibia kura, kuwatesa, kuwaumiza, na kwa sababu ni ndugu zetu, baba zetu, mama zetu,dada zeta na watoto wetu, wananchi inatakiwa tauwambie haha ndugu zetu polisi watched taboa mbaya, watched kutumika
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 2 ай бұрын
Makamandaa😅😅😅
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 2 ай бұрын
Kundulisu hoyeee
🅻🅸🆅🅴 : MBOWE ANAFUNGUKA MAZITO MUDA HUU...
1:18:21
JAMBO TV
Рет қаралды 94 М.
Это было очень близко...
00:10
Аришнев
Рет қаралды 6 МЛН
HATIMAYE KAMPUNI YA TIGO YAMJIBU TUNDU LISSU TUHUMA ALIZOZITOA
10:22
HABARI KIGANJANI
Рет қаралды 62 М.
Tropical Storm possible in the Caribbean...
16:55
Mr. Weatherman
Рет қаралды 26 М.
President Ruto speaks at the Tobong'u Lore Turkana Festival
29:29
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 568
DU!!TUNDU LISU NA LEMA PAMOJA NA MAASKOFU TUKATWE MIKIA? HIVI HAWA WASIOJULIKANA WANATUONAJE?
24:30
Mauno ya ASKARI wainogesha LAND ROVER FESTIVAL kwa NYIMBO za Kijeshi
10:43