Kumbe kufanya mziki mzuri mnaweza Ila mnajitoaga tu fahamu kutufanyia mziki wa kuunga unga! Kazi nzuri Sana hii na hii kwangu ndio ngoma yako Kali kuliko zote ulizowahi kuimba! Video Kali sana
@rajahmustapher26023 жыл бұрын
Hapana bhana kuna ngoma inaitwa turn me on...
@unus255abdul-ziz93 жыл бұрын
Kweli kabisaaaaaaaaa
@henryetteespe80383 жыл бұрын
Umeonaaa nikweli
@RioIpo3 жыл бұрын
Turn me on pia nzuri bro
@abdallazakaria69533 жыл бұрын
Na mi amor je?
@beneboybeneboy43863 жыл бұрын
Wale wa mbinguni wapi like kwa wozu
@mussatendeli69093 жыл бұрын
naona wakenya ndo wengi hapa kwa coments nawakumbusha tu whozu ni Mtanzania halisi big up whozu ngoma kali sanaa
@ppesampingo90423 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@amanilyimo74273 жыл бұрын
Kali san
@nuwairapatrick80563 жыл бұрын
Umetisha sanaaaaaaa
@emmashantax28163 жыл бұрын
Ngoma imetlia sana💣💣 like za whozu hp👇🏻kama umeikubal hii song kam mm✌🎸🎤🇹🇿
@zaibizaibi81543 жыл бұрын
Ngoma kali sana kabisa
@hendryprosper99503 жыл бұрын
Alie irudia hii ngoma Mara moja au mbil au tatu mpaka 10 like plz
@davidarimbaarimba10583 жыл бұрын
Kenya tunampenda kazi yako
@vituving3 ай бұрын
Wapi 2024 🎉🎉❤❤❤❤nyimbo kwa ajili mpenzi wangu niah nampenda sana ❤️
@fatmanassor4683 жыл бұрын
Nakupenda sanaaaaa whozu nimeipend san iyo nymb by tumally
Kweli Dingoli Mazoea yanatabu mtoto mzur mpk haelewe
@fidesmmasy30603 жыл бұрын
Atar mazoea Yana tabuuu
@mashabikiwaharmonize3 жыл бұрын
Wakenya tuko wapi hapa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@marynderu98463 жыл бұрын
Tuko hapa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@oscarmills08193 жыл бұрын
bongo kuna watu wachawi sana.. hii ngoma ni tamu sana at kitaa imehit lakn chek views!!!
@yussufyrn15903 жыл бұрын
Ka nyimbo kametulia sio fujo good vibe very nice whozu
@rehemakweliramadhani43573 жыл бұрын
Kweli mazea yanatabu
@LonyBway3 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥
@sunrisemusician94603 жыл бұрын
Bway
@djasaphtz15823 жыл бұрын
nyimbo kali sana kaka
@adolphmwangoje28873 жыл бұрын
Tunamaliziana bando bna ngoma gan hii wozu umezingua niletee ngoma nyingine jombaa
@joycenyato4093 жыл бұрын
My disere ....wangu mwayaaa..... Whozu.....anaimba....bhanaaa
@joycenyato4093 жыл бұрын
Hakika
@shafikhofficial54313 жыл бұрын
Mzeee baba mwamba kama mwamba
@tinajoseph23013 жыл бұрын
Cute yan naipend sn hii ngoma hatl
@othumanomary32983 жыл бұрын
Daah kijana humu umeua sana dingoo pini kali sana
@amanilyimo74273 жыл бұрын
Daah kali sana asee kama hizi tuu ndio kali beat amazing and maneno amazing, sio zile za kivuruge hizi ndio nzuri😍
@ismailamour91223 жыл бұрын
Kalii mwanang whozu
@jocomateci68813 жыл бұрын
Whozu mziki wake anauharibu mwenyewe, Tulimujua na mziki wa vichekesho ambao ulimupa umarufu kwenye hii game, saa hii ameuacha kabisa
@QBSGANG3 жыл бұрын
Whozu tunakuaminia tangu enzi za Comedy Kenyan love. 💉💥 #QBSMUZIK
@ahmedyissa47773 жыл бұрын
dakika ya 2 sekunde 27 kuna sauty inaitia oooh ooooh kama ya diamond ngoma kali sana
@marynderu98463 жыл бұрын
Thanks whozu coz, hii ni Kenyans vibes 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@fidencia1873 жыл бұрын
Huu wimbo mzuriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii..🔥🔥🔥🔥🔥 Hongera Oscar!!!!
@neemamustafa22333 жыл бұрын
Nisha urudi Zaid mala kumi na bado umebamba unaniusu huu wimbo maashaallah umeuwa kipenz 🔥🔥🔥🔥
@thomasaugust2253 жыл бұрын
bonge langoma sema kwa wapenda nyimbo zamatusi hii haiwafai hinyimbo Ni kwa wastarabu tu bonge la ujumbe whozu umekua ila acha na tunda ana ufelisha man yule Ni wakudanga man
@RioIpo3 жыл бұрын
Weee msenge ushaanza kutuliza kichwa chako sasa... nyimbo kali mjomba
@Cristianocr7-k2b3 жыл бұрын
hiiinyimbooo daaah
@abasizuberi8173 жыл бұрын
Beat kwa mbali.mwish kama jeje ya mjanjaa waoo bongo
@charlesmachilika4063 жыл бұрын
Ngoma kali sana bro
@mohammedsaid46743 жыл бұрын
Katika nyimbo zako zote io ndio ulitulia ,sijui uliuumizwa kweli nini
@soniaissa82433 жыл бұрын
Wengine hawana ulicho nacho🥰nani kaskia hapo🔥
@millsonemmanuel9844 Жыл бұрын
Mzee Whozu huu wimbo wako wapili kwangu kuna 1:Turn me on 2:Mazoea
@ayoubjuma55652 жыл бұрын
Bro nakubali sana hii kazi you made it. It's so sweet 👌👌👌
@zifunazifu86263 жыл бұрын
We msenge kuimba unajua
@macdemaxsamuel3987 Жыл бұрын
Amazing song from talented northern boy
@henryetteespe80383 жыл бұрын
Nyimbo nzuri yakumtowa Nyoka pangoni ongera sana
@fineboydebana83893 жыл бұрын
Dingoo hii nyimbo hatari sana yani moto fire 🔥🔥🔥🔥🔥💥🔥💥💥💥💥💥💥💥💥💥👑💯💯💯💯Uko vizuri
@siyeyetv3 жыл бұрын
unaitwa moto wakuotea mbali nakubali💣💥
@diamondplatnumz6493 жыл бұрын
Oyoooooooo dingoo
@zairashidi59003 жыл бұрын
Kumbe nyimbo zuri unajua kuimba zile za kujitoa ufahamu achana nazo
@MPONDAKOMARY3 жыл бұрын
Aiseee kazi nzuri , push brother 💪
@esmeysoud63813 жыл бұрын
Love the song sautii nzurii sana yaani kajimbo kakali sana keep it up ❤️❤️
@djkibo013 жыл бұрын
Big up Dingooooo umewasha mzeeee moyo wangu umeuweka pazuri sanaaaa one ♥️ 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@broza_Tv3533 жыл бұрын
Babah unajuaaaaaa
@jacobmokatz52233 жыл бұрын
Nyimbo Kama hizi uwa haziend upumbavu ndio unatutesa Bonge moja la wimbo whozu appreciate bro
@anneynattaliamathew2113 жыл бұрын
This is what am talking about🔥🔥🔥this song is so good it makes me wanna cry😢😢been a long time since Tanzanian artists made some good slow jams. aiiiiiii straight up love from Arusha ❤️❤️❤️❤️❤️
@daddycham13743 жыл бұрын
💚💚
@daddycham13743 жыл бұрын
Chuga stand up.👊🏾
@mathapaulo61903 жыл бұрын
Nakuku baly Sanaa 🥰🥰🥰
@genxonlinetv22193 жыл бұрын
Unastahili pongezi bro kazi nzuri
@JayJay-qd1yn3 жыл бұрын
Hili goma Kenya tumelikubali
@agwajr16513 жыл бұрын
Uko juu mzee baba...kiruuuuu
@blackpanther48253 жыл бұрын
Nimeiona kwa mara ya 1 leo Wasafi nikaielewa sana ngoma. Nimeiweka into my fav kwenye streaming platform. Ngoma kali mzee Wazhou
@abdallahmsofe48703 жыл бұрын
As Roma said, hizi ndo zenyewe mzeeeee!!! Umetisha saaaanaaaaaaa!!!! 💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@justizziebwoi20466 ай бұрын
2024 apa ngoma haichoki🔥
@jacquelineshauri36333 жыл бұрын
Bonge la ngoma🔥🔥🔥🔥
@dishangib Жыл бұрын
Kweli Kabisa Aiseeeeeee 🔈🔉🔊🇰🇪🇰🇪❤️❤️💉💉
@mapalwa-online-tv3 жыл бұрын
Brother whozu! Hii Ni nyimbo Kali Sana! Nimeipenda Sana kuliko zote
@magixk57533 жыл бұрын
wapi like Zombie mnyama s2kzzzy on the beat
@yonasytitusy3373 жыл бұрын
Nakubali sana muhuni wangu ngonga like
@matildajosefu13573 жыл бұрын
Hizi views hazifika 1M tuu kwa ngoma kali kama hii jamani
@margaretnthenya31373 жыл бұрын
imeweza whozu.....Too Much Money for life 🔥🔥👍💯
@thomasnyarugembe15333 жыл бұрын
Mziki mtamu video wayaaa yqni kila kitu 🔥🔥🔥🔥🔥
@NireraJeanine3 жыл бұрын
My favorite song 🎧 big up whozu we love you from America 🇺🇸
@jeimclassic48663 жыл бұрын
Mazoea kwetu 🇧🇮 ni mengi sana
@asaphag98353 жыл бұрын
Afro beat, swahili lyrics Bado Bongo flavour ipo ndani #Great work Bro!
@mwangamariam46033 жыл бұрын
Nyimbo kalii sana watz wote like hapa 😍
@hitkheeds3 жыл бұрын
Naomba subscribe yko
@blessedalfie60233 жыл бұрын
You're my beautifier Take me higher oh my love My desire, wangu mwaya🔥🔥🔥 Team KE🇰🇪🇰🇪
@marynderu98463 жыл бұрын
🇰🇪
@febroniabarnaba23133 жыл бұрын
Nan kakwambia whozu mkenya🤔🤭😅😅😅😅😅😅
@dicebwouy77203 жыл бұрын
Whozu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 kali bro
@angelzumo66473 жыл бұрын
Mesikiliza zaid ya Mara 1000000😘😘😘😘😘
@gogwa1products1863 жыл бұрын
Is just a suprize! Huyu ndio whozu nnaemjua mimi...
@husseinally98833 жыл бұрын
Kwl ngoma kal brooo umetisha xan kaz nzr Kama hiii iendelee
@husseinally98833 жыл бұрын
Kwl Kali xan
@giddyyunky70253 жыл бұрын
Bro this is hitfrom you💯💯💥
@charleserney17673 жыл бұрын
Noma mkuu umetisha 👏👏👏
@kutokaughaibuni3 жыл бұрын
Color Nzuri Sana Nice Victual Brother
@dcyutco91183 жыл бұрын
Whozu hukoseagi yaan bro 🙌🙌🙌🙌
@putinvladimir47883 жыл бұрын
Nakupenda ukicana Rap🔥🔥🔥🇧🇮🇧🇮 acana na kuimbaaaa
@kaidekite78713 жыл бұрын
❤️wat a song: broo umeuaa💯
@rahyakikoti95373 жыл бұрын
Nliskia Melody tu nkaja uku mwenyew🤗🤗 nymbo kalii🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@anoldodo72503 жыл бұрын
Np pek angu😲😲...!! Ngom khalii sanaa mkl....!! Appreciate u broh
@lannyboy65403 жыл бұрын
Hii niyakimambere kaka nimekubali sna from Rwanda
@fedrickmapunda6153Ай бұрын
Bro unajua wish ufanye ngoma na fire boy walai itakuwa best hit Yana kwa afro beat tanzania ur the best. 💯 Well done
@petridakiatu78623 жыл бұрын
Ila hii ngoma Latisha mnoo yanii 💥💥💥 yaani kwangu zmepita ata zile zake nazopenda kuzi bengii
@omarymuhusin Жыл бұрын
Daa hii ngoma haichoshi kusikiliza ❤❤❤❤
@allykhan5003 жыл бұрын
Congratulate for whoz umetisha sana humuu Mzee. Wangu
@moladyj84223 жыл бұрын
Watu wa moshi arusha tujuane apa.......Whozu z from moshi tena kasoma Majengo sec kipindi ya Bro Lyimo
@tmcmusicpower67373 жыл бұрын
Goma kali
@fatmanassor4683 жыл бұрын
Nakupenda sanaaaaaaaa yaani nyimb imenigusa sanaaaaaaa kiukwel zid bidiii whozuuuu lv you
@upendomayemba50823 жыл бұрын
Dah bonge la ngoma.♥️♥️♥️♥️penda sana
@newmanmbise21843 жыл бұрын
Whozu ameanza kufanya vizr sasa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@newmanmbise21843 жыл бұрын
Ningekuwa najua wapi anapo kaaga nimpe zawadi kama shabiki yake namkubali sana mwamba ni 🔥
@johnsontheodore99123 жыл бұрын
Nimeiskiliza leo hii ngoma man noma sana asee ✊🏾
@rashidjuma24743 жыл бұрын
Bonge la hit song blood 🔥🔥
@VinnieBaite3 жыл бұрын
This song reminds of 1996. . . . . . . I wasn't born then but it doesn't matter
@davymontanah3 жыл бұрын
whozu unajua sana mwanangu ngm worldwide hii yaani unaisikiliza huku ume relax
@thekingcr73653 жыл бұрын
Whozu jamaa yangu we ushakuwa Level nyingine kabisa. Nakubali sana kazi yako