Why Tanzanian residents are trafficked and forced to beg in Mombasa county

  Рет қаралды 27,303

Nation

Nation

Күн бұрын

Пікірлер: 124
@hashim6411
@hashim6411 2 жыл бұрын
Its good to see a learned county officer.kudos. good job madam umeeleza perfectly.
@tanzanite9944
@tanzanite9944 2 жыл бұрын
Send them home TZ immediately since they are liars pretending, they are disabled. Tanzania has a lot of food for them to feed on, there's no reason for them to be trafficked in another country to beg.
@musadays8083
@musadays8083 Жыл бұрын
Kabisa...
@abdallakhamisi387
@abdallakhamisi387 2 жыл бұрын
Hawa niwatu waongo wamejazana sana kule kwetu zanzibar wametoharibia ustaarabu wetu na kwakua watendaji wengi pale zanzibar hususan wenye zamana zakuchukua hatua ni watu wa Tanzania Bara wanafumbia macho haya matukio also wametujazia umalaya kuna maeneo kama pale kilimani CCM sisi wazanzibari ikifika magharib tunashindwa hata kupita na wazee wetu kwa vitendo hivi. Very sad
@abdulazizsalim6607
@abdulazizsalim6607 2 жыл бұрын
I was in Mombasa recently and the beggars are so many every 20 to 30 steps some woman or young kid is asking you for money. I was wondering why are these kids not in school…now I know they are not Kenyans..disgusting indeed
@reginamwikali2140
@reginamwikali2140 2 жыл бұрын
Sio Mombasa peke yake hata nairobi wamejaa wakitokea tanzania
@samkamoche
@samkamoche 2 жыл бұрын
Tanzania should include them when counting money from the diaspora
@dhakomodherooherokoko6037
@dhakomodherooherokoko6037 2 жыл бұрын
Not only in Mombasa but also in Nairobi and Kisumu. They are alover the country
@levinaringoma
@levinaringoma 2 жыл бұрын
Wako wengi sana mombasa hao fake beggars, i really hate them especially when they approach me,the government should deport them back to tz. For those that are real beggars are being abused by their so called guardians, spending a whole day in the sun and sleep in a very pathetic place. Am sure Mama Samia knows this she should take action. fake & real beggars from Tanzania are all over in mombasa and Nairobi. Wale wa Nairobi wamekodishiwa nyumba sehemu za Kariobangi.
@seifseifmohamed7118
@seifseifmohamed7118 2 жыл бұрын
Zanzibar ni tanzania lakin pia tunashida hiyo pia hapa zanzibar wameletwa wengi sana na serikali ya county (mkoa) mjini waliwakamata wengi na wakarejeshwa makwao lakin hurudi na kurudi tena na tena.
@alkatsharma4439
@alkatsharma4439 2 жыл бұрын
Plz send them back to tanzania
@hassanalhussein3982
@hassanalhussein3982 2 жыл бұрын
They deported them before but they came back again.
@mlionea
@mlionea 2 жыл бұрын
No. Take care of them.
@nafisaharoon8020
@nafisaharoon8020 2 жыл бұрын
Begging should banned and should be prosecuted
@omarkioko3602
@omarkioko3602 2 жыл бұрын
Good work madam chief operation commander ...make more routine check of these fake beggars
@Trendingnewstubes
@Trendingnewstubes 2 жыл бұрын
Saa hii ugali iko Tanzania sio Kenya
@aineakhalifwa8820
@aineakhalifwa8820 2 жыл бұрын
Hata Nakuru, Eldoret na Kisumu
@mcback4384
@mcback4384 2 жыл бұрын
Lies all lies if someone can lie she's a disabled how sure she didn't lie about her nationality.
@alexandermutune6131
@alexandermutune6131 2 жыл бұрын
There is a lot of human trafficking Kwa hii dunia.But the worst part is where the disabled are used by fully able bodied persons kuombaomba.
@faisalmohamed2025
@faisalmohamed2025 2 жыл бұрын
Swali ni wameingia Kenya vipi Kwasababu hawana vibali wote Wako majumbani kama yaya na hata Askari majumbani jee nani karuhusu hii? Mkenya hawezi ingia Tanzania hata ukiwa na passport bila kusumbuliwa na utowe number ya simu ya mtu ako Tz apigiwe Na ujauru na maswali ya kukajeli Na upuuzi
@blessingsroots8558
@blessingsroots8558 2 жыл бұрын
It's high time Tanzanian government sort out this mess it's becoming too much am sure magufuli was a_ live could have sorted this mess long time ago.
@jonathanm.sirjon2165
@jonathanm.sirjon2165 2 жыл бұрын
Now this people have shifted to malindi and the number is growing daily, I personally did a minor investigation on a certain boy about 10-12yrs and actaully did talk to him and all i could read from him was fear to give more info as i proceeded questioning but he did tell me he is Tanzanian and all he wants was to go back home not be on the streets begging. Again he did mention that they are 3 of them all disabled. I tracked them to a local lodging and got to know they have 3 able adults as their handlers who always move them daily to their strategic positions of their business. The county of assembly should address this issue specially now that one of the beggars happen to be always positioned on the first corner of rhe perimeter wall of mawasco right on the county assembly entry road.
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 2 жыл бұрын
Ho ni wa tanganyika sio watanzania , wanatutia aibu hata sisi kwetu zanzibar wakamateni wote, wapelekeni kwao uko wakalime
@naimamohammad8870
@naimamohammad8870 2 жыл бұрын
Weee hapa Nairobi ni wengi tena wote kutaka Tanzania ! Kwa room moja wanalala karibu watu 20 !Na wengi wale uwaleta wana Magari manzuri kweli sasa ubaya hata kuoga hawaogi !
@abdulazizsalim6607
@abdulazizsalim6607 2 жыл бұрын
Abdulswamad the new governor should do something about this….wasombwe wote waregeshwe Tanzania na hao wanao waleta wapelekwe kamiti
@SA-xj8hc
@SA-xj8hc 2 жыл бұрын
Wamefukuzwa Zanzibar wamekimbilia Mombasa. Smart 👍
@nyembomajidi3027
@nyembomajidi3027 2 жыл бұрын
pamoja na haya zote ni wafrican sio wazungu wamefukuzwa waende ulaya, mwafrican kuna siku ana weza jivunia kama yeye ni mwafrica
@habibasalim3092
@habibasalim3092 2 жыл бұрын
Watoeni wote hadi wanaofanya kazi za ndani,,hapa Mombasa sisi wakenya hatuwezi omba mshahara wa kueleweka ,hatuwezi jiandik7sha kwa union of workers, kwasababu ya watanzania, wakiwa employed wanaletana wengi, kuna flats zingine special zaitwa za watanzania sababu hawaruhusu wakenya wafanye hapo,
@nyembomajidi3027
@nyembomajidi3027 2 жыл бұрын
mwafrica na roho mbaya, ulaya unaenda tafuta kazi huwezi sikia eti hatutaki wafrica kutumika kwetu wana tuaribia kazi huwezi sikia, wale wanaowajiri watu ndo wamechemsha
@machaggechacha3422
@machaggechacha3422 2 жыл бұрын
Samia Suluhu na mafisadi wake kazi zao nini? Tz hakuna viongozi bali mafisadi na majizi wachumia matumbo yao. Wapumbavu wote.
@Fearless_Dreamer
@Fearless_Dreamer 2 жыл бұрын
Lol the fact that East African nations think Nairobi is Dubai just amazes me 😂 from Ugandan maids, Tz beggars, Congolese hair stylist & don't let me get started with Somalia 😂
@trendinggossip8692
@trendinggossip8692 2 жыл бұрын
🤣🤣 true, once they know you're Kenyan they hike the prices
@mlionea
@mlionea 2 жыл бұрын
But don't belittle them they are our people still. I never look down upon them. Kenya should take care of the handicapped tz and if possible be like USA. They have type of jobs for them in factories. So do it for our Kenyans + tzs. Treat ug house girls with kid gloves. As of Somalis, they have been growing Horns - discriminating against Kenyans in restaurants. They should be denied hotel permits
@Fearless_Dreamer
@Fearless_Dreamer 2 жыл бұрын
@@mlionea 💯
@sophiahmedza929
@sophiahmedza929 2 жыл бұрын
You forgot to add Jordanians wale wa juzi..... So its not East Africa pekee
@daniells71
@daniells71 2 жыл бұрын
Kenya is actually one of the best places for a black/African person to live in the world if you factor in racism. That is partly why a good amount of people return even if they have their residences outside of Kenya.
@saadali838
@saadali838 Жыл бұрын
Njooni makadara green lodge (makadara ground )muone Street families.
@georgegichuki5656
@georgegichuki5656 2 жыл бұрын
Nakuru pia sai ni wengi i go to town daily and i see the same faces at specific locations and a always keen with their ascents they sound like tanzanians so now i see my guess was right
@Davistoto1949
@Davistoto1949 2 жыл бұрын
Walemavu wasaidiwe na serikali zote wapewe mushahara wasome bure African need to raise
@yusufmwangichannel6692
@yusufmwangichannel6692 2 жыл бұрын
Wewe hata akili yako aiko... Wenye wanaongelewa hapa ni walemavu wa kujifanya na si walemavu
@Davistoto1949
@Davistoto1949 2 жыл бұрын
@@yusufmwangichannel6692 ww ukitumia. Hio akili yako iko sawa haujui hata mlemavu hatakama anajifanya wako wengi wanaonekana
@naimamohammad8870
@naimamohammad8870 2 жыл бұрын
Iwa kweli TZ hakuna mkenya Aweza kufanya hivio bila kushikwa ! Walemavu wa kenya wengi kufanya biashara za kuuza vitu kidogo ! Wengine hushona vitamba nawana pata riziki yk!
@jum4771
@jum4771 2 жыл бұрын
Picha mbaya kwa tourist a kenyan government inapatia walemavu pesa
@mohamedhamdan4956
@mohamedhamdan4956 2 жыл бұрын
Mombasa tuna ukarimu sana kwa kweli
@Wfidelis
@Wfidelis 2 жыл бұрын
Let them go back tanganyika infact Tz u can't enter especially ukiwa mkenya ovyo ovyo.
@ramadhanmusa2878
@ramadhanmusa2878 Жыл бұрын
Watanzania mna nn lakini omba omba nchi za watu
@williamoduor2398
@williamoduor2398 2 жыл бұрын
Hao mabosi wao ndo twataka muwamulike.
@josephmasha3197
@josephmasha3197 2 жыл бұрын
Mimi naonelea munge shika wale wenye hupush hawa watu
@saadali838
@saadali838 Жыл бұрын
Bado wako wengi na wanazidi na sisi tunamakosa kuwapa.
@musadays8083
@musadays8083 Жыл бұрын
Warudishwe kwao wote, na hata watanzania ambao hawana kazi wala kibali kuwa kwetu Kenya warudishwe kwao 😴
@makeituseit_2020
@makeituseit_2020 2 жыл бұрын
KEN COMPUTTERS got free ADs..
@abduleve8688
@abduleve8688 Жыл бұрын
Wanaume wao ni majambazi
@brayo001
@brayo001 2 жыл бұрын
Wapelekeni jela kama nchi yetu jirani wanavyofanya wakenya
@MitchellErmina
@MitchellErmina 6 ай бұрын
Mombasa wametoka sasa sikuhizi wako vijiji
@faragaali5937
@faragaali5937 2 ай бұрын
Wacheni eyondio reski yao
@virginiamutisya6216
@virginiamutisya6216 2 ай бұрын
KODISHENI TAHMEED IWAPELEKE TANGA TANZANIA WAENDE VIJIJINI KWAO EASY JOB JUST DROP THEM THEIR
@sanaamedia8177
@sanaamedia8177 2 жыл бұрын
KRA yafaa imfuate huyo mama mwenye maploti
@hassanalhussein3982
@hassanalhussein3982 2 жыл бұрын
Kiswahili gani Hicho ? Mara kiingereza mara kiswahili. Watu nyinyi munatoka wapi jameni? Si watu wa Mombasa hawa ambao wanaoandikwa kazi za county.
@s.koileken369
@s.koileken369 2 жыл бұрын
Anazungumzia jambo muhimu na lengo lake ni ujumbe iwafikie wakenya wengi, si watu wamombasa peke yao - kuchanganya lugha vile anavyo fanya inaweza kuwafikia wasikilazaji ama wadau wengi.
@hassanalhussein3982
@hassanalhussein3982 2 жыл бұрын
@@s.koileken369 Lugha ya kiswahili ni lugha ya watu wa pwani. Pili, hakuna mtu ambae haelewi kiswahili Katika nchi hii. Jambo la kusikitisha ni kua hii lugha yetu tunaojivunia inaanza kuharibiwa na watu kama hawa. Tatu huyu alipewa vipi kazi hiyo na si mtu wa Mombasa? Maana Hana lafti hata moja ya kiswahili Cha Mombasa. Huyu kwao ni Bara na huko alipotoka hakuna mtu wa pwani hata mmoja kwenye county zao vipi wao waandikwe kazi kwenye county za pwani ?
@s.koileken369
@s.koileken369 2 жыл бұрын
@@hassanalhussein3982 7
@s.koileken369
@s.koileken369 2 жыл бұрын
@@hassanalhussein3982 Mama huyo anafanya kazi ya serikali, jana wakati Uhuru alikuwa akipokea zawadi kutoka kwa wanajeshi, viongozi wengi walikuwa wakizungumza kiswahili safi kutoka pwani. Ina maanisha kwamba serikali haibagui kama unadhani - na waimbaji wengi wa pwani wana mashabik wengi kutoka bara (ma milioni kuzidi watu wengi wanaoishi Mombasa). Mama huyo ni mkenya, haujui historia yake, kwanza mavazi yanatambulisha dini yake - ya Kiislamu - pengine alioleo na mtu wa Pwani, na hata yuko na watoto hapo. Kwa hivyo punguza mawazo yasiyo leta ummoja wa taifa na dhana zingine potofu za kishamba.
@hassanalhussein3982
@hassanalhussein3982 2 жыл бұрын
@@s.koileken369 Huyo mama ni mkenya kama ulivyo sema. Hujui kama Pwani si Kenya ? Mkataba baina ya Kenya na pwani ulitiwa sahihi December 10 1964 kua pwani itakua Kenya Kwa miaka 50 Sasa ni miaka 59 Bado wanaendelea kutawala pwani Kwa mabavu. Mkataba umekwisha. Kua muislamu hakumaanishi mtu ni mpwani. Hapa pwani yako makabila ambayo ni ya dini nyengine. Nieleze county ya kiambu iko na wafanya kazi wangapi kutoka Pwani? Kenya Moja ni pwani peke yake ? Mimi ni mwanaharakati wa MRC na sita Nyamaza. Na jua munasikia uchungu mukiambiwa pwani si Kenya. Niite mshamba unavyo penda lakini ukombozi wa pwani utandelea. Hadi mkoloni mweusi arudi kwao Kenya. MRC hiiiiii!
@SA-xj8hc
@SA-xj8hc 2 жыл бұрын
Wakenya mnajikaza tu mnaogopa kuwatia kwenye mabasi mkatutupia omba omba wetu hapa Dar. Hamjui tutachukua maamuzi gani, mara tunasema ni marufuku kuuza bidhaa yoyote ya chakula nchini Kenya au tunazuia mipakani kuenda Kenya. Au bomba la gesi tunazuia kutoka Tz kuenda Kenya. 🤣🤣🤣
@waleedbinali3211
@waleedbinali3211 6 ай бұрын
Hamuezi fanya hivyo mana nyinyi maskini sisi ndio matajiri wenu.endeleeni kupanda maindi kwa wingi,vitunguu ,machungwa na tomatoes sisi matajiri tutanunua tu.Alafu hawa omba omba wenu tutawazalisha watoto wa nje ya ndoa ndio tuwarudishie mutulelee kenge nyinyi
@virginiamutisya6216
@virginiamutisya6216 2 ай бұрын
USE SWAHILI OR ENGLISH PLZ MADAM
@estherthea8180
@estherthea8180 2 жыл бұрын
This is old news. Its been going on for years now and every year its in the news. Chunguza where those under age house girls in the coast come from. The TZ government needs to act more responsibly. These minors are supposed to be in school in TZ not wasting their years begging on the streets in Kenya.
Lazy days…
00:24
Anwar Jibawi
Рет қаралды 8 МЛН
УДИВИЛ ВСЕХ СВОИМ УХОДОМ!😳 #shorts
00:49
How Much Tape To Stop A Lamborghini?
00:15
MrBeast
Рет қаралды 256 МЛН
Governor Nassir bans Muguka in Mombasa County
5:39
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 94 М.
ORIGINS: The beginning of Mombasa City
21:27
The Kenyan Historian
Рет қаралды 42 М.
THE MOST POWERFUL RUQYAH REMOVES Djinn IN THE HUMAN BODY AND BLOODSTREAM
1:40:25
Case Files: Likoni Boys PART 1
13:21
KTN News Kenya
Рет қаралды 36 М.
Property worth 18million destroyed in Mombasa
3:27
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 41 М.
LIVE: Exclusive with Gachagua
1:00:18
NTV Kenya
Рет қаралды 305 М.