sms 8084523 send to 811, to get this song as your SKIZA tune subscribe for more videos / @muhubiriproduction69 remember to hit the bell for Notifications
Пікірлер: 237
@sharinv88643 жыл бұрын
Asante roho mtakatifu shuka baba niko hapa asante mtumishi wa mungu nani mwengine yuko hapa namimi nipe like tubarikiwe woote.
@charitykaimuri13324 ай бұрын
Shuka roho WA mungu nko hapa l like the song may Almighty God bless you mtumishi WA mungu 🙏🙏 nyimbo zko zinanijenga Tena haswa zinanipea hopes kwamba mungu yuko pamoja nami
@masiachungwa5 ай бұрын
Ubarikiwe sana Mtumish Wa Mungu nyimbo zako zinanipa furaha ya wokovu
@salomelaitete50103 жыл бұрын
Roho wa Mungu ni kweli nina majeraha chungu nzima! Natubu nikijiachilia kwako unigange ndani nje mwanao mimi!!! Yelima barikiwa teletele!!!
@Beviy2 ай бұрын
Roho wa mungu shuka uniguse,moyo wangu unavuja damu.n kama kwamba ninefika mwisho,I feel like😭😭😭😭😭😭
@LydiaMusimbi-zp1dn6 ай бұрын
Amen 🙏🙏 kama si Mungu singefika mahali nipilipo.Last year nimepita magumu sana lakini nilipo kumbuka huu wimbo nilianza kuuimba huku machozi ikinibubujika.Hapo ndipo niliposikia sauti ikininenea ikisema mwanangu usijali nitakusaidia.Niachie kila kitu mikononi mwangu,hapo ndipo niligundua juwa Mungu huwa halali.Asante sana Mungu😂😂❤❤❤
@EstherHeghon-qw5yw Жыл бұрын
Mung akubariki nyimbo zako zimenifikisha mbali mtumish
Ameen mbali kiwe sana Apostle Ngoma ya AJABU na ya kubariki sana
@user-cc6mu8km7t10 ай бұрын
Usiniache Mungu,shuka tu kwa ajili yangu
@user-ob5ly9qm5t Жыл бұрын
Huu wimbo una ponya moyo wangu sana thank u
@everlynndunge61665 жыл бұрын
Roho wa Mbinguni nihudumiye Niko hapa........nyimbo za ukombozi kweli...... Nineno Jema, Nguvu ya MUNGU na Roho wa mbinguni.......lazima Yesu afanye kazi yake ndani yangu...hata kama hayo matatizo yana umri wa MTU mzima ama sughu kama jiwe la mtoni.
@yusuphluyungu81425 жыл бұрын
Roho wa Mungu Shuka nihudumie niko hapa Mwanao Nipo nahitaji Msaada wako Kwa kukimbilia sina Bila wewe Siwezi kwenda Ktk Mipango yangu Mahusiano yangu na wewe hayawezi kwenda bila Msaada wako Mungu
@user-bz6mr8fv8y6 ай бұрын
Roho wa mbinguni shuka ukanijibu kilio Cha moyo wangu nisizame
@user-nq4mk3bk8u6 ай бұрын
Roho wa mungu shuka niurumia nko apa
@trijaywairimu83672 жыл бұрын
Moyo wangu wakutamani roho wa mbinguni nihudumie niko hapa nakungoja 🙏🙏🙏 Shuka roho wa Mungu🙌🙌🙌
@lillyf4265 жыл бұрын
Amen..roho wa mbinguni shuka nihudumie niko hapa...
@maggiewambui11125 жыл бұрын
Mungu wangu,niguse natamani kukutumikia milele Jehovah.
@alvinsotieno50412 жыл бұрын
Yessssss 🙌🙌🙌🙌🙌🙌😑😑😑 talk with me oooh lord 😔😔😔😔
@user-qv6zw8sc8d11 ай бұрын
Powerful songs ,pastor let God bless u.lam real blessed.
@paulngige42862 жыл бұрын
May God ever bless you with the Spirit of worship, you bless my soul the servant of the most high Jehovah
@MihesoEugene3 жыл бұрын
It's 2:48AM and my spirit is elated. OOhh My...thank you Holy Spirit . Continue using your servant. I pray for you my brother, may the Lord continue depositing in you and send His Angels to guard you.
@LillianYatundu-yh2cn10 ай бұрын
Roho wa mbinguni nihudumie niko hapa🙏
@mbonigabawilibard12804 жыл бұрын
Mungu ni guse siwez bila wewe
@wilkisteregesa90135 жыл бұрын
Roho wa mbinguni shuka nihudhumie niko hapa niguse roho nina haja na nawe roho niguse siwezi bila wewe nimekungoja roho Aaaamen
@DavidAtikaWanjala-sn6lz Жыл бұрын
Asante mungu wewe ni mwema
@mohamedcharo30563 жыл бұрын
Huduma ya ko iko sawa edeleya
@brendawekesa11082 жыл бұрын
Nyimbo zako huwa zinanitia Moyo kabisa
@sheilanafula97144 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi nisikixa ktk kenya
@Happey-lx3rl5 жыл бұрын
Naimani hata mm mungu atanigusa maana nina haja nae...Amen