WILLY PAUL FINALLY BREAKS SILENCE ON WHAT HAPPENED AT FURAHA FEST | DIAMOND | NEW POZZE SHOW LIVE

  Рет қаралды 16,063

Munene Digital

Munene Digital

Күн бұрын

#willypaul #ericomondi #diamondplatnumz #news

Пікірлер: 151
@Q_lax255
@Q_lax255 Ай бұрын
Hata ukirudi kwenye gospel songs hautuwezi waTz 🇹🇿 ni kwere kwerekweche
@christophermilambo8746
@christophermilambo8746 Ай бұрын
Kuwa na nidhamu utafika mbalii acha umimi wenzako wako United pia organize na manager wako ajifunzee vile watu hufanyaa! Diamond ni next level mzee
@christopherjefa1689
@christopherjefa1689 Ай бұрын
Ww kijana ulikua mtu wa church na ulianza na Gospel vizuri sana. Sasa mungu anakutafuta umalize ile kazi aliyo kupatia ya kubiri neno lake kupita your music. Izo vitu unasema unapitia ni mungu anakutafuta urudi kwa njia yake.
@hamisisalim
@hamisisalim Ай бұрын
All the best guys sisi kama mafans tuko nyuma yenu wanamziki wetu wa Kenya come on guys
@jumamanzi4531
@jumamanzi4531 Ай бұрын
We Zombie Haujuiiii!!!, la masimba la masimba dangote hii sautitu imewazidi wanamuziki wa 🇰🇪 nzima😂😂
@izzomsafike4020
@izzomsafike4020 Ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/pYeqhXeBYt9pnacsi=SdphLW50iOhvnmvT
@shadrackdimata
@shadrackdimata Ай бұрын
Vitisho Baridi
@svt3
@svt3 Ай бұрын
​@shadrackdimata Diamond kutoka kenya hiyo siku kaingia studio ufaransa kutoka ufaransa ameingia Morocco ku performs CAF pozee tangu tangu hiyo siku hajavuka border yuko tu kibera
@Q_lax255
@Q_lax255 Ай бұрын
Imba nyimbo yako tu usiimbe nyimbo ulizo fanya collaboration na wa Tz🇹🇿 fala mmoja ww
@mash3775
@mash3775 Ай бұрын
For the first time nimejikuta napenda Kenya,,
@dextech2023
@dextech2023 Ай бұрын
Erick Omondi mnafiki sana
@Team_mapozi
@Team_mapozi Ай бұрын
😂😂😂😂
@1741sammy
@1741sammy Ай бұрын
Fani ya sanaa si ya nchi moja let us celebrate together😊
@Trona254-i1z
@Trona254-i1z Ай бұрын
Pozze you are good artist
@diehansi
@diehansi Ай бұрын
Diamond hakuwahi twambia waTanzania tuungane kusuport mziki wetu, na sio diamond even Nigeria, America hakuna msanii alisema waungane wamerekani au wanigeria wapeleke mziki wao mbele. You have to do it. Your altitude, identity and efforts will determine how people respond on what you do na kuinua mziki wa Taifa lenu kiujumla
@SaidiYahya-t1c
@SaidiYahya-t1c Ай бұрын
Wabaguzi in est Africa
@davidfondo827
@davidfondo827 Ай бұрын
Ulitushusha hadhi wakenya. Acha wivu na usitaje Mungu coz kazi unayofanya hampendezi Mungu wa kweli. Huna talent ya mziki.
@jaypaultheman4690
@jaypaultheman4690 Ай бұрын
No talent
@Alexkaingu-u3u
@Alexkaingu-u3u Ай бұрын
Nonsense kama Huna talent ni wewe posee to the world 💪💪💪💪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Alexkaingu-u3u
@Alexkaingu-u3u Ай бұрын
Nonsense kama Huna talent ni wewe posee to the world 💪💪💪💪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@officiallazarothomas6555
@officiallazarothomas6555 Ай бұрын
Ukenya mwingi kuliko Africa mashariki
@PROMKALIMANI.
@PROMKALIMANI. Ай бұрын
Sasa mnataka kuja kutu rule ama, Kenya ni nchi yenye ningumu kuielewa bwana proud to be a Kenyan
@IssaKaduma-q6j
@IssaKaduma-q6j Ай бұрын
Ila wakenya mnazingua sanaa
@fadhilipagallo1770
@fadhilipagallo1770 Ай бұрын
GOD BLESS EAST AFRICA
@suzzannitahlovatic9470
@suzzannitahlovatic9470 Ай бұрын
This is the pozee we wanted
@tyronemofekeng7152
@tyronemofekeng7152 Ай бұрын
Ur plan worked Pozee.. The kiki helped you. Now a lot of peoples knows u.
@Scott_adi
@Scott_adi Ай бұрын
😂 because of platnumz
@Goodluck-p9y
@Goodluck-p9y Ай бұрын
"We are doing this for Kenya" Willy paul, Kaa apo apo wenzako wanafanya for the world 👽👽👽
@tulolejaphet7758
@tulolejaphet7758 Ай бұрын
Wewe huwezi peleka mziki wa Kenya mbele na huyo Eric anakudanya kuwa unaweza.usiwasumbue wakenya kwa vitu vya kijinga.😅😅😅
@WycliffeAbdulLigare
@WycliffeAbdulLigare Ай бұрын
Umeongea ukweli🎉
@godfreymwikola8232
@godfreymwikola8232 Ай бұрын
Kwaiyo mungu aliwambia mtafte kiki kwa diamond si ndio mnampa mungu majukumu ya kishetani mlio yafamya kwa mipango yenu
@BinoAmos
@BinoAmos Ай бұрын
Mbona hatusikii maswali mnanong'ona mnaogopa ninii
@fredgonga
@fredgonga Ай бұрын
Omondi kapata pa kuongelea sasa baada ya kupotea kwenye fani
@all4970
@all4970 Ай бұрын
Matapeli wawili... Hakuna talent hapo hiyo revolution inatoka wapi??? 😅😅😅
@SaumuChengo-s9b
@SaumuChengo-s9b Ай бұрын
Erick waenda adi tz kujitengeneza zaidi pozee mshenzi yy Yuko Kenya TU awache ujaluo mshamba Mombasa atutaki mjinga kaaa ww pozee mjinga
@LloydsTech
@LloydsTech Ай бұрын
Pozze and you friends there, i think you should focus more on building your career and stop the hate and the mentality ya kwamba us as TZ we you enemies we aint bro , we just dont bragging around instead we choose of focusing on what matters
@PetroNicodemus-g3p
@PetroNicodemus-g3p Ай бұрын
Mka support mkenya mwenzenu ana talent kubwa sana😂😂😂 mpk sahii ameachia kiki kubwa sanaaa 😂😂 😂😂😂😂😂😂
@SaumuChengo-s9b
@SaumuChengo-s9b Ай бұрын
Mm nasaport msanii yoyoye anaye toa mziki mpoa uwezi fikia diamond tafuta chipukiz from Tanzania mshindane..mond ashindani na ww kama wataka kiti atakupa kitanda ukalale.,...
@ayubushabanisonge9689
@ayubushabanisonge9689 Ай бұрын
Nadhani hii imekaa wazi kuwa kaka aligitaji nafasi ya watu kumpa macho na masikio NIMIDA WAKUITUMIA VIZURI FURSA HII ila kaka unagombanisha mataifa ma wili kaka hii nadhan ni UBINAFSI SAANA ila kila jambo linaamuliwa kwa wakati now day tunaanza bagunaa 🇹🇿🤝🇰🇪MUNGU BARIKI EAST AFRICA
@james_romanos_tz
@james_romanos_tz Ай бұрын
kenyan artists you're not serious
@ayoubhailala1298
@ayoubhailala1298 Ай бұрын
NJOO NA TANZANIA TUKUPONDE NA MAKOPO NA VIATU STEJIN NAONA HAUTUJUI MAKU WW
@BONGOHOODTV
@BONGOHOODTV Ай бұрын
Diamond kawasaidia mpaka wakenya Kimziki😂😂😂😂
@SaraJinalangu
@SaraJinalangu Ай бұрын
😂😂huyu ndo asukume muziki wa Kenya Ukifika anapo sema nipo hapa mniite mbwa Muziki hautaki roho mbaya wala ubaguzi muziki wake hautosikilizwa Kenya peke ake aaache ubaguzi
@dianajohnson7268
@dianajohnson7268 Ай бұрын
Anaroho mbaya , you don't own Kenya
@mzeke-r9h
@mzeke-r9h Ай бұрын
Si atoe nyimbo ili trending yake iishe.
@Dismasmigoha-nm6cd
@Dismasmigoha-nm6cd Ай бұрын
You are doing music for Kenyans only brother? Doing quite wrong all time to mention Kenyan kenyan kenyan like music deserve for your people
@richkaja3317
@richkaja3317 Ай бұрын
Willy Paul jau sanaa
@capitalshymes
@capitalshymes Ай бұрын
since upate fame umesaidia nani wewe Diamond ametoa rayvanny Akatoa. Amonize Akatoa. mboso Akatoa. Ravarava Akatoa. divoce Akatoa. zuchu Nawengine wengi wewe umetoa nani since upate fame . kwenda uko atukutambui
@johnmwamadi-n3j
@johnmwamadi-n3j Ай бұрын
Sasa who is "Ravarava" 😂😂We pia kwenda ukajue spelling then uje hapa matako sana!
@SAM-ko5ey
@SAM-ko5ey Ай бұрын
😂😂😂😂😂 Ravarava , divoce, amonize Omg bro can't spell
@BarBeach-j5s
@BarBeach-j5s Ай бұрын
Hiv ni nani hajapata point kutoka kwa huyu jaamaaa na kwambia na usije tz kwa sababu umetuzalilishia chui wewe GOD will pay for you 🙏🙏🙏🙏🙏🔥😡😡
@MsafirGervas
@MsafirGervas Ай бұрын
Ila kuna huyu eriko niamini kwenye kupata show tanzania 🇹🇿 sahau😂😂😂😂😂😂unawajua wabongo ww.
@DeeZote
@DeeZote Ай бұрын
Mzee kuonekana tu unaweza kidogo unazarau walio kusaidia wenzio ni wakongwe na hawana zarau we utaweza kweli
@naimafaiz5274
@naimafaiz5274 Ай бұрын
Eric don't lie to willy he can't make it
@AnthonyLeonard-b3z
@AnthonyLeonard-b3z Ай бұрын
Hili lijamaa halijui mziki!! poveee ponyeee boya 2 weeee
@kingwerason7319
@kingwerason7319 Ай бұрын
yan kenya bana ujinga sijui mtaanza lini
@MsafirGervas
@MsafirGervas Ай бұрын
Huyo Paulo ukifika mbali 😂😂😂kwa Kiki hizo niitwe mbwa.
@ibrahmwendy919
@ibrahmwendy919 Ай бұрын
Mtoto mdogo sana wewe hujafika level za simba... kuwa mpole hata ujifunze kwake
@MwemajaphetyZackalia
@MwemajaphetyZackalia Ай бұрын
Kenya paka inafika kama akuna msanii atakuja kufunika EST African kwanza awajui kuongea wanaongea kama watoto
@SuleimaniabdelehmaniChitanda
@SuleimaniabdelehmaniChitanda Ай бұрын
Kenya msanii mkubwa wa music ni otile brown hipop ni khalagraph Jones wengine hamna kitu
@QueensilverQs
@QueensilverQs Ай бұрын
Wasani east Africa community we are one so musiache ugonvi wenu usababishe cyuki 😢😢😢 no no no and no!!!!! Ebu muombane msamaah kwasababu niniwote mumezinguwa simba kosa yako ni hukuonekana kwenye stage wakati sisi tulilipa tiketi ili tukuone uki perform you disappointed us🇹🇿🇰🇪hata wewe willy poul umekoseya kwasababu mgeni akija inchini kigeni nilazima apewe chea kuliko wenye nyumba so namahanisha hugepaswa kupiganiya nafasi yasimba 😅😅😅muombane uruma ou msamaha turundishe umoja yani east Africa community💪🏼💪🏼💪🏼💪🏼💪🏼💪🏼💪🏼
@raymondedson2488
@raymondedson2488 Ай бұрын
Kaka Eric unajiongope ukisimama kusema Kenyan for Kenyan ni uongo Tanzania iliwapiga chini ilipo tambua show bizz sio kupanda stage to na dancer's Bali ni kutafta collaboration na wasanii wakubwa na kutengeneza hit songs nyingi kuanda midia na fan's wa music ya kizazi kipya pia kupokea na kujifunza kwa walio fanikiwa kumefnya sisi kua hapa kabla ya daimond tulianz na AY then Alikiba alafu daimond tukasaport kwa nguvu zote kumuweka juu the rest ni history na kufungua soko la east Africa so music it's not about Kenya's it's about feelings and melody Kama munataka kuinua soko la Kenya tafuta Bien,bensol nyashiski hao mtu tata watakupa njia ya kupita kwenda juu then utafnya show buzz mpka uchoke
@Mkombozi255
@Mkombozi255 Ай бұрын
Hahahaha 😂😂😂jina ya Diamond imeingiaje hapo😂😂
@eliahmwakibolwa4516
@eliahmwakibolwa4516 Ай бұрын
Pumbavu zenu hamna wanoma hapo, na mtaendelea kupigwa, mtoe Mungu kwenye upumbavu wenu
@naimafaiz5274
@naimafaiz5274 Ай бұрын
What about Africa not Kenya only
@FredEden-j9e
@FredEden-j9e Ай бұрын
Kazi ya mziki uwezi labda uwe security wa Tifa
@edwinelias8554
@edwinelias8554 Ай бұрын
Kiswahili cha Kenya kinauzi Masikio kusikiliza 😂😂 Ongea English hili likishwangilish halieleweki unaloongea km Konokono😂
@Vijanalessons
@Vijanalessons Ай бұрын
Wewe huwezi kulingana simba, wewe ni mtoto sana ktk mziki wa Africa usitafute Kiki kwa lazima fanya kazi yako bro utaoneka tu Acha ufala wewe
@tyronemofekeng7152
@tyronemofekeng7152 Ай бұрын
Mmh Mungu hqpangi upuuzi... yupo busy sana
@ramadhanishabani2712
@ramadhanishabani2712 Ай бұрын
Hivyo mlikua mnatafute Kiki ya kukuza muziki wa Kenya through diamond
@mashakacharles3230
@mashakacharles3230 Ай бұрын
tatizo ynaroho mbaya sana Kaka kufika mbali itakua ngumu sana sisi tupo tutaona sisi
@jumaathumani50
@jumaathumani50 Ай бұрын
East Africa nzima sio kuungana 2 wakenya
@obyigogo9920
@obyigogo9920 Ай бұрын
Salamua watu wako 😂😂😂
@MsafirGervas
@MsafirGervas Ай бұрын
Roho mbaya haijengi niamini paulo
@MrishoMambo
@MrishoMambo Ай бұрын
Wewe unaongea kama nani wakati meneja wake yupo
@simonmadiba2053
@simonmadiba2053 Ай бұрын
I don't get the point.
@SaumuChengo-s9b
@SaumuChengo-s9b Ай бұрын
Broo uwezi lazimisha watu kula sima wote kila mmoja kwa hoteli ula anacho taka so sijawai kua shabik Yako coz from from gospel to kupotea ..msanii Gani waongelea Kenya badala kiongelea Dunia shame on you
@ezramichael7038
@ezramichael7038 Ай бұрын
WAKENYA KINACHO WASUMBUA SANA NI UKABILA KAMWE AMUWEZI ENDA MBALI KAMA MKIACHA UKABILA, DIAMOND NI NUMBER MOJA AFRICA WEWE UMEACHA KUIMBA KWAYA SASA UNALILIA BILA SABABU, RUDI KWA KANISA WEWE
@Kaizani-ez8pp
@Kaizani-ez8pp Ай бұрын
Kwann kila mtu anataka kutafuta kiki kupitia mond
@JobConstantine
@JobConstantine Ай бұрын
See mkenya mwanamusic bora anatia kichefu chefu Si mabaunsa wa tz ukija kwa show tz tutakupiga mbwa.
@mashakacharles3230
@mashakacharles3230 Ай бұрын
umesha feli ati😂😂😂😂😂
@SeifRugero
@SeifRugero Ай бұрын
You know what you can do, but you haven't shown us anything
@bahatiandre6222
@bahatiandre6222 Ай бұрын
wakatimwingine fikiri kabra yakutenda unatafta kiki.alafu unaharibua watu sitarehe.fanya kazi acha ufara heshima itajireta yenyewe
@allyulaya9697
@allyulaya9697 Ай бұрын
Punguza chuki Diamond yupo juu
@kipala1
@kipala1 Ай бұрын
kichwa maji,acha madawa.
@reubenpaulomabula6098
@reubenpaulomabula6098 Ай бұрын
Ww fanya mziki acha utoto
@gabagambi
@gabagambi Ай бұрын
Mistake mistake, you guys must go down and history and check hustle ya wanamuziki wa Bongo in the 2000 ndio mtajua kwa nini sasa wako top, any effort ya kuwaweka chini it will end bad for kenyan music,
@SaidiYahya-t1c
@SaidiYahya-t1c Ай бұрын
Hakuna kitu unajua ulienda apo na watu wenye umepatia pesa wamdis diamond
@nelsonyesaya7987
@nelsonyesaya7987 Ай бұрын
Mmmh mbona haelewek huyu ana maelezo
@hydo8027
@hydo8027 Ай бұрын
Anaongea kiswhili.gani 😮😮😮😮
@ReginaSarah-b6e
@ReginaSarah-b6e Ай бұрын
Keep it up bro
@dismaspascal6198
@dismaspascal6198 Ай бұрын
Fala wew
@johnstoncharles9966
@johnstoncharles9966 Ай бұрын
Huna akili
@westtv9002
@westtv9002 Ай бұрын
Diamond isn't anything to us kwanza nime unsubscribe 😂
@selemanijumaselemani7191
@selemanijumaselemani7191 Ай бұрын
Kwaiyo muulizeni atakuwa ni kupiga Kenya tu? au atakwenda nchi za wenzie na roho ya kwanini aliyokuwa nayo.
@BahatiHolela
@BahatiHolela Ай бұрын
😂😂😂
@frankmsai7461
@frankmsai7461 Ай бұрын
Pamoja na kufanya kiki na unauza tiket miez miwili mbwa nyie hamna akili
@nabilsaid3187
@nabilsaid3187 Ай бұрын
Unataka sympathy hamutoshi kwa wabongo
@PeterJohn-sg4oe
@PeterJohn-sg4oe Ай бұрын
Acha kumsingizia Mungu wewe!
@idrissnyanje
@idrissnyanje Ай бұрын
Wivu uache, kazi ndo inaongea maneno sio kitu, wasanii wote wa Afrika Mashariki mpendane hapo ndo mtaenda mbali kimataifa, kama mtu amekuzidi kubali tu. Hivi ndo watu hu learn.
@sixmundleonard2135
@sixmundleonard2135 Ай бұрын
Hana mwonekano wa kisanii
@nabilsaid3187
@nabilsaid3187 Ай бұрын
Coz haujui kuimba mshamba wewe poze nini matako tu watafuta kiki
@judithkirenga9977
@judithkirenga9977 Ай бұрын
Kimekuramba Puazee 😂
@chegeb
@chegeb Ай бұрын
Mbona simwelew
@nshaijatedy5512
@nshaijatedy5512 Ай бұрын
Ubaguz unawatafuna , ukabila nais ndio chanzo
@RashidiRamadhani-x2l
@RashidiRamadhani-x2l Ай бұрын
Msanii mkubwa ata interview inamshinda hahaha wakenya bhna
@GodfreyJuma-y6c
@GodfreyJuma-y6c Ай бұрын
We zombie haujui
@jacksonmalisa3844
@jacksonmalisa3844 Ай бұрын
Kama kuongea tu ajui kuimba ndoo utafika mbali kabisa ajui kitu.
@silivianjonh6851
@silivianjonh6851 Ай бұрын
kwaiyo mnafanya kwa kulazimisha trending
@GeraldMakala
@GeraldMakala Ай бұрын
Kwanza anawimbo gani mbona kama alishakufa iv kumbe yupo hai
@InnocentBamboo-my7lr
@InnocentBamboo-my7lr Ай бұрын
NI MUNGUMU GANI 😂😂😂😂😂 SASA HAPO UNAONGEA NA WA KENYA TUUU WA BONGO HATUKUELEW
@Younomane
@Younomane Ай бұрын
Mnaona Jamayetu vyenye yuko smat Kamaraisi wainchi vire$
@tyronemofekeng7152
@tyronemofekeng7152 Ай бұрын
Maskini. Kumbe ilikua ni kutafuta kujulikana though diamond! Mungu hapa umemuachia nini hapa? Kwani hata wakenya pia hawakufahamu?
@dariusirakoze4518
@dariusirakoze4518 Ай бұрын
Mimi murwanda but pozze Acha kusumbua diamond coz hana shida nawewe tena hakuchukii shida yako unajifanya mujuaji na hauna heshimu penye uko sai usione kesho unashuka kimuziki na hii mwaka ujiandae coz sioni kukiwa sawa😊
@Bigenergy94
@Bigenergy94 Ай бұрын
Kasupport Bruce na Ben mambo ya kenya achia wa kenya stop kissing ass
Cassypool's Tough Advice to Willy Paul on Diamond Platnumz Drama
41:28
Condos Cigars Carnvasations
Рет қаралды 7 М.
BABA LEVO AWACHAMBA COMEDIANS NA WASANII WA KENYA||HAWAINVEST!!!
30:28
Mseto East Africa
Рет қаралды 20 М.
Вопрос Ребром - Джиган
43:52
Gazgolder
Рет қаралды 3,8 МЛН
I Sent a Subscriber to Disneyland
0:27
MrBeast
Рет қаралды 104 МЛН
Kimani Mbugua: Money Matters Uncovered!
10:43
Obinna TV
Рет қаралды 11 М.