WILSON ORUMA ASHANGAA MZIZE KUGOMA KWENDA WAYDAD, ASEMA ATAJUTA, WAIOMBA YANGA IMUACHIE AONDOKE

  Рет қаралды 2,895

Evvy Digital

Evvy Digital

Күн бұрын

WILSON ORUMA ASHANGAA MZIZE KUGOMA KWENDA WAYDAD, ASEMA ATAJUTA, WACHAMBUZI WAIOMBA YANGA IMUACHIE AONDOKE
#yanga #yangasc #yangatv #yangaleo #yangalive #caf #cafcl #azamfc #jkupdates #simbasc #simba #simbaleo #simbalive #simbaliveleo #simbatanzania #simbatanzania #nguvumoja #daimambelenyumamwiko

Пікірлер: 18
@ScardySangah
@ScardySangah Ай бұрын
When deal is so good, think twice!
@yunusimchala6569
@yunusimchala6569 Ай бұрын
Hawa ni makuma msuva ilibidi asaidiwe na kocha kuishi kule wydad
@yunusimchala6569
@yunusimchala6569 Ай бұрын
WW ni Kuma
@hassanmwallimu5767
@hassanmwallimu5767 Ай бұрын
Nyinyi malizeni maneno yote mpaka wydad watoe offer yanga wanayoitaka
@zachmaselle6635
@zachmaselle6635 Ай бұрын
Hawa vibaraka. Aondoke sababu ya jina au kwa sababu ni nje? Msuva si alikuwa huko ilikuwaje? Si ni hawa waliokuwa wanamshindilia Fei Toto aondoke Yanga,? Je sasa hivi kimataifa Fei anafahamika? Hawa jamaa wanidharau Tanzania na wanaona popote nje ni bora, kwa maisha yapi? Ya kubaguliwa? Asiyetuza kwao ni mtumwa. Naona Usimba na Yanga umejaa.
@chuchumeta8374
@chuchumeta8374 Ай бұрын
Ebu tukumbusheni ya msuva huko Morocco
@ElishaMwita-v2z
@ElishaMwita-v2z Ай бұрын
Jaman mapokezi Kwan hapati yanga kumbuken hao watu walivo mfanya msuva
@lingwamalagila3003
@lingwamalagila3003 Ай бұрын
Ni mchezaji gani alienda nchi za uarabuni morroco misri Algeria soka lake likakua huko anaenda kupotezewa kipaji tu na pia hiyo ni hujuma kwa Yanga
@twahakabajemi9716
@twahakabajemi9716 Ай бұрын
Msimdaganye hamkumbuki issue ya msuva?
@MohammedJaizan-yf5yt
@MohammedJaizan-yf5yt Ай бұрын
Hapo hakuna mchezaji wa kuchezea widad mistake kutufanya mafala
@JovinPeter
@JovinPeter Ай бұрын
Uruma nimsenge tu
@husseinchalamila2624
@husseinchalamila2624 Ай бұрын
Maboya nyinyi yanga kubwa kuliko hiyo timu hiyo
@amaniomar1755
@amaniomar1755 Ай бұрын
Hata mseme nini uamuzi anao mchezaji mwenyewe na bado ana iheshimu club yake mama
@Q_Lax
@Q_Lax Ай бұрын
Nyie hamjielewi mzize hawezi kkubali kuondoka bila yanga kkumruhusu aondoke ninyi mnashinikiza ili iweje au mnataka aondoke mzize ili kuidhoofisha yanga
@amaniomar1755
@amaniomar1755 Ай бұрын
Hapo kwenye kuidhoofisha Yanga SC ni uongo mbona Fei Toto aliondoka na bado Yanga SC iko sawa
@canibalgazaboy8325
@canibalgazaboy8325 Ай бұрын
Wew Uruma ni mgonjwa wa akili na Abysay wako wote akili amuna Mzize yupo sana Yanga tutamuuza pale atakapokuwa kaiva ko mtulie matako yenu hapo
@katikirocharles1403
@katikirocharles1403 Ай бұрын
Wenger aliwahi kusema kuna watu wanalipwa kuongea tu wakati hawajui namna na gharama kiasi gani za kutengeneza mchezaji mmoja! They have never turned up a single player, alisema! Ifike hatua Ujue, pamoja na wenzako, mtu kama Engineer Hersi anaongoza na kaibadiri taasisi kubwa kama Yanga, na hivyo anajua anachokifanya! Zaidi ya kuongea ongea, kitu gani Oruma unaweza kuwaonyesha watu kama mafanikio yako, you Mr-knows-it all?!!
@matiankomola2391
@matiankomola2391 Ай бұрын
Hawa jamaa hawajui wanachokichambua! Undeni Timu zenu muwauze huko! Kama ni Yanga haiwezekani huna mpango naye wa kuifikisha timu fainali club bigwa kama ilivyo kwa Azizi ki , Yao Yao, Pacome, Dube, Maxi.kwani hawa Hawataki malisho mazuri mbona walipata malisho mazuri hao wamebaki pamoja na Mzize ili kukithi mahitaji ya Yanga! Achani maneno, maneno!
STARS YABANWA MBAVU NYUMBANI, LAWI NA COASTAL UNION   WAMALIZANA.
1:53:54
How Strong is Tin Foil? 💪
00:25
Brianna
Рет қаралды 58 МЛН
MAGIC TIME ​⁠@Whoispelagheya
00:28
MasomkaMagic
Рет қаралды 36 МЛН
Mom had to stand up for the whole family!❤️😍😁
00:39
HAJI MANARA NI MUHUNI _ WILSONORUMA
9:16
KITENGE TV
Рет қаралды 52 М.
KAY MZIWANDA AWALIPUA YANGA/ UTOPOLO WANATIMU MBOVU SANA
9:01
TOP 10 TV TZ
Рет қаралды 3,3 М.
MWENDA AWALIPUA MANARA NA MEJA, ADAI AKIFA AZIKWE NA BENDERA ZA SIMBA
5:26
How Strong is Tin Foil? 💪
00:25
Brianna
Рет қаралды 58 МЛН