KIKEKE ambana kwenye kona DR. SLAA “Rais Kunivua kama CHAPATI” CCM, Nitawasikiliza

  Рет қаралды 63,254

Crown Media

Crown Media

Күн бұрын

Пікірлер: 203
@CalvinNjovu-w6e
@CalvinNjovu-w6e Ай бұрын
Slaaaaaaa mtu wa maana sana yani umetisha mzee baba mungu azidi kukuweka
@samirsamson3996
@samirsamson3996 2 ай бұрын
Kikeke is the best one in all Host in Tanzania no one else
@ligosihaule5862
@ligosihaule5862 2 ай бұрын
Seems like huyu jamaa ame KU outsmart leo. Next time ukihoji watu smart kama hawa fanya research yakutosha tupate madini mengi. Achana na issues za kadi
@JoyceKabula-in1sh
@JoyceKabula-in1sh 2 ай бұрын
Uko vizuri
@George-jz3jg
@George-jz3jg 2 ай бұрын
Mzee Dr. Slaa upo vizuri sana
@Mwakaismsociety
@Mwakaismsociety Ай бұрын
Very talented kikeke,wengi wajifunze kwako.
@raheemsaleh14
@raheemsaleh14 2 ай бұрын
😂😂 kikeke fundi sana , inabidi utulie sana ukimjibu vinginevyo utajichanganya utachoreka mamae 😂😂 The guy hes so smart
@paccomabula1456
@paccomabula1456 2 ай бұрын
Kikeke elewa bwana ....mbona Sisi tunaelewa....
@banagakatabazi9648
@banagakatabazi9648 2 ай бұрын
Huyu Kikeke ni Mwandishi kweli kweli. Anauliza maswali magumu ya mtego
@chrissfadhaa216
@chrissfadhaa216 Ай бұрын
Anajua ndio maana alikuwa BBC
@edsonpetro3754
@edsonpetro3754 2 ай бұрын
dkt akili kubwa sanaa
@GeraldElias-s7j
@GeraldElias-s7j 2 ай бұрын
Kams unamkubali kikeke gonga like yako hspa
@edwardasumwisye3010
@edwardasumwisye3010 2 ай бұрын
Aliyemuelewa Huyu Dr. SLAA anieleweshe
@charlesmkisi8052
@charlesmkisi8052 2 ай бұрын
Hata mimi sijaelewa lkin mwanzo chadema
@JackKanyigo
@JackKanyigo 2 ай бұрын
Nyerere aliwahi kusema kuwa..."kuna wanasiasa malayamalaya,wananunulika,utu wao una bei,ukitaka afanye jambo la aibu anakuuliza una sh.ngapi?" So hata pale Serena ulilipiwa na CCM ile press ili uvuruge UKAWA
@SimonShija-h7h
@SimonShija-h7h 2 ай бұрын
muda mwingi kikeke umeumaliza kwenye kadi ya uanachama wakati Kuna maswali mengi tu ambayo ungeweza kumuukiza yakatusaidia kama nchi uanachama unatusaidia nini sisi wananchi leo umebolonga sana
@JewsJews-c8w
@JewsJews-c8w 2 ай бұрын
Kikeke kamuulize askofu wa Kkkt kwa Nini ametoa kauli kinzani.au amepokea rushwa aseme.viongozi wa dini wengi wapo kwa ajiri ya maslahi Yao sio ya kusimamia haki.pole sana Mzee shoo
@FintanMkeshi
@FintanMkeshi Ай бұрын
Saf San slaaa
@danielmwaipopo8042
@danielmwaipopo8042 2 ай бұрын
salim kikeke the best. nikukubali kinomaaa bro.
@AdamCheze
@AdamCheze 2 ай бұрын
Kama Umesikiliza Vzr Na Kama Umesoma HAVANNA kama Sisi Watu Wa CUBA basi Umegundua Kuwa CCM hata Iweje Nchi Hii Hawawez Kutoka Madarakan,Hao Tunaowaita Wapinzan Asilimia90 Wote Ni Watoto Wao Wenyew
@yateramadavaathumanmmbaga7776
@yateramadavaathumanmmbaga7776 2 ай бұрын
Umesema ukweli 100%
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 2 ай бұрын
Kikee muulize rais wenu wa mchongo pia maswali magumu. BIG up DR.SLAA
@jeremiahmagau8623
@jeremiahmagau8623 2 ай бұрын
Kikeke leo umenikosea sana. Next time ukijua unaenda kutana na wazee vichwa vinachemka do your research vizuri ili tuweze kupata madini mengi kutoka kwa hawa wazee wetu, leo umeenda kwa mazoea ndo maana unaona mzee ana ku outsmart, maswali ambayo ni unnecessary yamechukua muda mwingi sana 😢
@prothodommy
@prothodommy 2 ай бұрын
Hivi mbona naona kama anafanana na Mrema wa Chadema🤔🤔 😮😮 au ni macho yangu!! Hadi sauti 😅
@abdulmsuya8542
@abdulmsuya8542 2 ай бұрын
Kikwe elewa, mbona Mimi nimeelewa,ulisha uliza swali akakujibu, Bado unamuuliza swali lilelile, amesha kwambia hana chama, lakini akiitajika kwa ushauri kwamaslai ya taifa ataenda kokote kwa ushauri😮😮😮😮
@AthumanAthuman-b6q
@AthumanAthuman-b6q 3 күн бұрын
Slaa niwachokonozi .
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA 2 ай бұрын
UMENG'ANG'ANIA KADI WAKTI aliinunua ni ya kwake shida ni nini hasa? DR.SLAA anaupeo mkubwa WA KISIASA NA KISHERIA hamuwezi kumsumbua na kumuuliza maswali Magumu.Ni Mzalendo wa kudumu kwa Manufaa ya Taifa
@kaundasutikaunda7769
@kaundasutikaunda7769 2 ай бұрын
Dr Slaa ni akili kubwa sana , kwa mtu mwenye akili ndogo ni ngumu sana kumuelewa. Wewe ndio uliifanya chadema kuwa bora sana enzi zile lkn sasahv wapo wapo hawajui nini wanasimama nacho.
@abuumuhammad7133
@abuumuhammad7133 2 ай бұрын
@@kaundasutikaunda7769 akili au udini na njaa ndio inamtesa anakojoa bila kunawa na kunya na kujipangusa na karatasi
@HarunaShabani-hy8mx
@HarunaShabani-hy8mx Ай бұрын
mbona humpi nafasi ya kuongea daa hiyo ndio bbs kweli
@WilliamMlama
@WilliamMlama 2 ай бұрын
Muulize maswali ya msingi tufaidike.hspo km mnabishana tu.
@FrederickThadeo
@FrederickThadeo 2 ай бұрын
Hawezi tena kua mwana siasa tena mungu alimupa ulaisi akaubadilisha na chupa ya beer akauza wa Tanzania wote hatumitaki na mungu aliisha mupenda akamuchukiza kua wa chawa wa ccm aendeleye kama mulema fimbo itashuka ju yake
@PIUSSEBASTIAN
@PIUSSEBASTIAN 2 ай бұрын
Vipi alimshambulia askofu shoo kumsifia mama Mzee huyo sio mkwer ni muongo muongo sana dini ilimshinda na ndio kazi ya mungu hiyo siasa haiwezi kabisa
@MarwaWambura-l7u
@MarwaWambura-l7u 2 ай бұрын
Huyu mzee mnafiki mluki .LA ccm alitaka aingie chadema aivuluge alichokifanya chadema wanamjuwa ss watanzania hatumzikilzi amekoza uwa minifu.huyu ni kama polepole
@abasmwika3432
@abasmwika3432 2 ай бұрын
Kikeke utamuua huyo Mzee.
@charleskingimwakasagule5752
@charleskingimwakasagule5752 2 ай бұрын
Tunakuomba mbowe ka na dkt Silaa agombe mwakani kupitia chadema tunanpenda sana huyu Mzee anamsimamo sana
@gidongailo7174
@gidongailo7174 2 ай бұрын
😂😂😂Kikeke kizazi kipya. Hajui kama kuwa na kadi ya CCM wakati wetu ilikuwa ni zaidi ya cheti cha kuzaliwa leo
@realswahilicultural8140
@realswahilicultural8140 2 ай бұрын
Kikeke mbona unamchanganya slaa badala ya kusikiliza na kuelewa unaanza kama mandishi wa wale watafuta kujulikana 😢
@axmedcumar6196
@axmedcumar6196 2 ай бұрын
Umeonaeee Eeh Yaani maswali ya kizembeee
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 2 ай бұрын
Hata Mwambukusi TLS yeye anasema kua ni mwanasiasa
@amosihokororo9702
@amosihokororo9702 2 ай бұрын
Kaishiwa
@joshuamolleli3471
@joshuamolleli3471 2 ай бұрын
Crown mnatisha
@eliamlenda7853
@eliamlenda7853 Ай бұрын
Tashwishi kweli kwel😂
@mtesigwamaugo8200
@mtesigwamaugo8200 Ай бұрын
Anajichanganya! Kama kanisa haliruhusu kuwa mwanachama wa chama cha siasa yeye alikuwaje kiongozi wa siasa akiwa padri huko Italia?
@EmanuelMandoo
@EmanuelMandoo 17 күн бұрын
We hujielewi
@mahdsalim
@mahdsalim Ай бұрын
Kikeke got humbled this time 😅
@PIUSSEBASTIAN
@PIUSSEBASTIAN 2 ай бұрын
Ulienda kutumikia ubolozi wa serikari ya chama Cha mapinduzi mbona hukukataa na Nini kolichokutoa chadema
@hassanshame5385
@hassanshame5385 2 ай бұрын
Huyu Hajielewi kwanza..Maana anajichanganya hata kujib hayo maswali... Hana hata sifa ya kua kiongozi!!
@fadhililihinda6491
@fadhililihinda6491 9 күн бұрын
Salim mbona unauliza maswali as if hukuwepo as za mwalimu? Aina ya maswali unayouliza is like vijana wa sasa ambao hawajui historia ya Tanzania. Ni kweli kwamba zamani hata unapomaliza darasa la 7 tu, ulikua unapewa kadi ya UVCCM then form 4 unapewa kadi ya ccm; ukitaka passport ilikua lazima uoneshe kadi ya ccm; Salimu hujui hilo bro?
@leonardnyange7152
@leonardnyange7152 2 ай бұрын
Uyu mzee ovyo sana
@JohnKatwanga-l1g
@JohnKatwanga-l1g 2 ай бұрын
Wewe ndo ovyo
@AbdulmujibAhmed
@AbdulmujibAhmed 2 ай бұрын
Huyo mzee mnafiki sana
@George-jz3jg
@George-jz3jg 2 ай бұрын
Ujinga wako tu
@axmedcumar6196
@axmedcumar6196 2 ай бұрын
Yaani Kikekee umechemshaa kweli hil interview umeiharibu mwenyewe Yaani ume Act kama unprofessional maswali ya kitoto ameshikilia card ya Chama wee card ya chamaa kisha anaingilia mazungunzo hamuachi Dr Slaa aji Express You’ve blow it Bruv
@NDEWARA
@NDEWARA 2 ай бұрын
Dr Slaa ni malaya wa siasa. Kuweni makini sana na huyu Mzee 😢
@Gelenya-ne2ip
@Gelenya-ne2ip Ай бұрын
Huna jipya mzee!
@FrancisRogears-w7i
@FrancisRogears-w7i Ай бұрын
Uyo Ni mwana siasa
@talibsaid8096
@talibsaid8096 2 ай бұрын
Hhhh uongo unamwisho wake, angalia mzee anavyo jikanyaga, muongo mzee heshimu umri wako
@ChancellorFelix-vm5yp
@ChancellorFelix-vm5yp 2 ай бұрын
Kikeke unazngua uyo Mzee hadhina ya taifa unaacha kumuuliza maswal yenye maslai pana Kwa taifa unauliza maswal ya mtu binafsi ambayo ashaulizwa sana na vyombo vingne vya habar mnaboa waaandsh wa habar maswal yenu ya kijinga
@edwindezidery632
@edwindezidery632 2 ай бұрын
Kumbe ndivo ulivo Malaya hivo we Mzee kumbe chadema hacha wakufukuze maana unatamaa sana na ukienda motoni uendelee kuwa na tamaa hivohivo
@wazinzatv3152
@wazinzatv3152 23 күн бұрын
Hakufukuzwa katu
@MohamedIbrahim-bn1gz
@MohamedIbrahim-bn1gz 2 ай бұрын
CCM ILIZALIWA TEREHE 5 MWEZI WA PILI 77
@manjoriwakunesa7006
@manjoriwakunesa7006 2 ай бұрын
Hapa nijua ukweli
@frednjau5662
@frednjau5662 2 ай бұрын
Mze kajiegesha akili mtu wangu
@MaikoRashku
@MaikoRashku 2 ай бұрын
Njaa mbaya dhiki mbaya umasikini mbaya ufukara mbaya,,,mzee kachoka
@EmanuelMandoo
@EmanuelMandoo 17 күн бұрын
Labda babako
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 2 ай бұрын
Crown mwendo wa 5G
@Sangaadam
@Sangaadam 2 ай бұрын
Huyu Mzee mtata sana..... Imagine Kama Angekua Rais!!...
@musa-v3f
@musa-v3f 2 ай бұрын
angekuwa Rais mzuri sana kutokana na kuwa integrity na msimamo imara
@mohamedhaji9950
@mohamedhaji9950 2 ай бұрын
Hakuna lolote.
@HamisiSamweli
@HamisiSamweli 2 ай бұрын
Kumbe ulikuwa kwenye maandamano 😊
@GodfreyMwamaso
@GodfreyMwamaso Ай бұрын
Nakuu kauli ya Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuna wanasiasa wengine ni malaya malaya wanafanya siasa za kimalaya malaya
@EricUbalijoro-x1l
@EricUbalijoro-x1l 2 ай бұрын
Wote mnaompinga ni mazwazwa yaani machawa hana baya aliloongea
@omarkapula588
@omarkapula588 2 ай бұрын
Huyu keshachoka hakumbuki mambo mengi akae nyumbani apumzike
@fadhilisecha4268
@fadhilisecha4268 2 ай бұрын
Padre wetu
@mataypanga5262
@mataypanga5262 2 ай бұрын
Dr Slaa ubarikiwe, endelea kufanya mapambano ya ukombozi wa mtanzania
@AdilOmary
@AdilOmary 2 ай бұрын
❤❤❤
@leonardnyange7152
@leonardnyange7152 2 ай бұрын
Uyu mzeee atari sana kwenye ili taifa anatabia alizosema MWALIM NYERERE
@ridhiwankanjoe2078
@ridhiwankanjoe2078 2 ай бұрын
Muhuni tu huyo mzee Safi sana kikeke umembana kwa maswali anajitafunatafuna tu hapo.
@suweydcreativestudio458
@suweydcreativestudio458 Ай бұрын
Mpiga dili tu
@MustyHamza
@MustyHamza 2 ай бұрын
Maskini mzee anababaika kujibu maswali...dah ila kikeke
@CharlesMisungwi-f8t
@CharlesMisungwi-f8t 2 ай бұрын
16:19 16:21 Uanachama haunamaanayoyote wewekamasi.Mzalendo wanchi wakwelikweli kwa nchi yako wangapi leo niviongozi wakubwa lakini kazi nikuibamaliza wananchiwao. nakuuzanchizao kwavisingizio vya iekezaji nakuwaweka utumwani wanachiwao. wakifanyiakazi mataifa yakipepari ndani yanchizao .wanufaika wakubwa .
@richie_Jk
@richie_Jk 18 күн бұрын
.. huyu mzee bhana mbona anajing'atang'ata kuhusiana na card ya uwana chama wa ccm.
@PatrickNdomba-u6s
@PatrickNdomba-u6s 2 ай бұрын
Yaani Hadi Haeleweki
@sir_ENOCKMACHA
@sir_ENOCKMACHA 2 ай бұрын
.😁😁😁😁😁😁
@ABDULRAHMANIDAS
@ABDULRAHMANIDAS 2 ай бұрын
Huyu mzee ni dr uchwara anaongea pumba tupu, madokta uchwara kama huyu mzee wataliangamiza taifa.
@monicamwita7865
@monicamwita7865 2 ай бұрын
Hebu wewe ungea tusikie hija zako. Eti pumba leta strong hoja zako tuzipime kabla hujasema pumba zako
@chrisostomruta-cw3zf
@chrisostomruta-cw3zf 2 ай бұрын
Masheikh wenu wanaouza udi mbona uwaongelei?
@PaulMsema
@PaulMsema Ай бұрын
Slaa mbona anajibu hoja vzr,tatizo tunatofautiana kuelewa
@josephkiwale374
@josephkiwale374 Ай бұрын
Tatzo udini angekuwa anaitwa shekhe abdulhaman ungekuja kumpongeza
@pena_tz
@pena_tz 2 ай бұрын
Mzee kama anakuja anakataa
@RemyObota
@RemyObota Ай бұрын
Kikeke emission ya bien
@charlesmkisi8052
@charlesmkisi8052 2 ай бұрын
Huyu nae ni jipu
@HanifaUrassa
@HanifaUrassa 2 ай бұрын
Ndumilakuwili
@hasanimkamba8377
@hasanimkamba8377 2 ай бұрын
huyu Mzee akalee wajukuu tu Hana jipya
@ObeidChamila
@ObeidChamila 2 ай бұрын
Jmn ,jmn !! Huyu MTU ni hatari sana Slaa ,ni mnafiki,munongo ,mzandiki kbs ,fimbo ya mungu inamchapa Kwa umalaya huu.
@benyavan5774
@benyavan5774 2 ай бұрын
Kwa nini
@josephlorri431
@josephlorri431 2 ай бұрын
Acha matusi ndugu, huyo mzee ni umri baba/babu yako.. jenga hoja,sio matusi
@CalistusTitus-s5o
@CalistusTitus-s5o 2 ай бұрын
Hana mvuto slaa kila jambo na wakati wake
@George-jz3jg
@George-jz3jg 2 ай бұрын
Kwa mjibu wa wewe wengine tunamuelewa sana
@kinjekitilew
@kinjekitilew 2 ай бұрын
Salim kikeke baba wa habari africa asante sana
@HatibuSozi
@HatibuSozi 29 күн бұрын
Umechanganyikiwa ww mzee
@EmanuelMandoo
@EmanuelMandoo 17 күн бұрын
We ndio
@mauamkamba4906
@mauamkamba4906 2 ай бұрын
Kazee kanafki sana hako. Yaani interview nzima anaumauma maneno tu
@George-jz3jg
@George-jz3jg 2 ай бұрын
Katika nchi hii dr slaa ndo mwanasiasa aliyenyooka asiyebabaishwa na swali lolote
@George-jz3jg
@George-jz3jg 2 ай бұрын
Ila wewe ndo hujijui mahali ulipo
@George-jz3jg
@George-jz3jg 2 ай бұрын
Ki akili
@PatrickNdomba-u6s
@PatrickNdomba-u6s 2 ай бұрын
​@@George-jz3jg Humjui Kumbe
@MagrethOnlinemedia
@MagrethOnlinemedia 2 ай бұрын
Mnatuchanganyaaaa
@HarunaShabani-hy8mx
@HarunaShabani-hy8mx 2 ай бұрын
muwachi mtu aongee daa
@abdallahmsham-eb7jz
@abdallahmsham-eb7jz 2 ай бұрын
ccm uyooo muongoo
@richie_Jk
@richie_Jk 18 күн бұрын
kwahiyo anahisi yeye bado balozi haahaa
@fadhililihinda6491
@fadhililihinda6491 9 күн бұрын
Sosometimes jisumbueni hata kusoma soma sheria au vitabu. Rais anaweza kumteua JAJI leo but hana uwezo tena wa kunyang'anya UJAJI wa huyo aliyemteua au aliyetuliuwa na mtangulizi wake, same as balozi. Halafu kua makini sana na kauri za wana siasa wawapo majukwaani, utekelezaji wa chochote huaga ni maandishi, rais anaweza kutamka jambo jukwaani halafu akifika ofisini haandiki ng'o. Nadhani ndicho anacho kisema Dr. Slaa hapo. Cha mwisho, hivi kweli Salim hajawahi kufanya kazi serikalini? BBC sio chombo cha serikali?
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 2 ай бұрын
Haka kazee kapelekwe mirembe 😢😢😢😢😢
@abuukarata9653
@abuukarata9653 2 ай бұрын
Wewe ni chadema moyoni.
@lgffumbuka183
@lgffumbuka183 2 ай бұрын
Huyu jamaa ni muongo. Mwaka 1979-1980 mie nilikuwa Ulaya kwa ufadhili wa Serkali sikuwa kuombwa Kadi ya CCM
@ernestkhalifa1414
@ernestkhalifa1414 2 ай бұрын
Kikeke waue baba ...hawajui kuǰibu maswali
@Evangelism2023
@Evangelism2023 2 ай бұрын
Kikeke umeshaingia kwenye mfumo
@mshanguzontulwe1068
@mshanguzontulwe1068 2 ай бұрын
Mvurugano, nafikiri ndio maana hata upadre ulimshinda.
@chrisostomruta-cw3zf
@chrisostomruta-cw3zf 2 ай бұрын
Point yako ni ninj?
@zver7342
@zver7342 Ай бұрын
huu Ni uzee au huyu jamaa Ni zero? Ilikuaje CHADEMA wakampa cheo cha juu? 😢😢😢
@ourearthmatters5206
@ourearthmatters5206 Ай бұрын
Wewe ni tahira. Unazo akili za kushindana na slaa? Show us what you have done for this country
@deniwisdomsanga6561
@deniwisdomsanga6561 2 ай бұрын
mwandishi anatafuta ushindi wa papatupapatu.😂😂
@lwelenjalferdinand671
@lwelenjalferdinand671 2 ай бұрын
Huyu ameshapoteza ramami. Anahangaika tu
@protassilayo4200
@protassilayo4200 2 ай бұрын
Humfaham huyu Mzee wewe...FUTA kauli Yako hakuingia kwenye siasa kutafuta hela...kama hujui unaongea nn nyamaza hutakaa umuone Tena akigombea chochote na aliamua hivyo.
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 2 ай бұрын
huyu alihongwa ubalozi akawatosa chadema!!akavuliwa ubalozi akajenga chuki kubwa kwa raisi na serekali!!
@scalionmulokozi9566
@scalionmulokozi9566 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂 Mzee muongo huyu
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 2 ай бұрын
huyu slaa ni mtafuta tonge,akiambiwa awasaidie fremason yupo tayari,mradi mkono uende kunywani!!!
@sir_ENOCKMACHA
@sir_ENOCKMACHA 2 ай бұрын
😀😀😀😀😀😀😀😀
@francisdavid001
@francisdavid001 2 ай бұрын
Interview nzuri ila Kikeke ajifunze kuacha mtu amalize kuongea kha
So Cute 🥰 who is better?
00:15
dednahype
Рет қаралды 19 МЛН
MO DEWJI AZUNGUMZIA KUHUSU KUTEKWA KWAKE
28:50
BBC News Swahili
Рет қаралды 1,6 МЛН