Feel Free Church ni KANISA LINALO ONGOZWA NA PASTOR MASANJA MKANDAMIZAJI, NA HII NDIO KWAYA YAKE NA HII NDIO NYIMBO YAO YA KWANZA INAITWA (Feel Free)
Пікірлер: 214
@hoseamligula80924 жыл бұрын
Haya ndo yakutupostia mtumishi sio nyimbo za siasa, nimebarikiwa sana kwa hili Mungu akubaliki sana
@mrbuzukabuzuka90593 жыл бұрын
Wimbo safi ujumbe mzuri zaidi mapigo poa Dada zangu sauti nzuri kupita maelezo, Mbarikiwe
@annamichael96603 жыл бұрын
Wimbo mzur Sana nimebarikiwa hongereni kwa kaz nzur Mungu atukuzwe na Mr Emanuel Mgaya Barikiwa mtumishi wa Mungu
@honhonhaule9232 Жыл бұрын
Hongeraaaa masanjaa
@saumudaniel9051 Жыл бұрын
Nimebarikiwa na huo wimbo mbarikiwe sana 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@wilfredelimeleki45433 жыл бұрын
Hapo muandishi ungesema KANISA LA MUNGU linaloongozwa na Masanja naona ingekuwa sawa zaidi
@jacksonayubu73093 жыл бұрын
Dah mmetisha sana mungu awabaliki🇰🇪🇹🇿🙏💪
@thomasdunde16983 жыл бұрын
Hakika ni wimbo mzuri na waimbaji wanaimba kutoka moyoni....BIG UP
@amanishiughaaa6345 Жыл бұрын
I.m like to freel Free fo jujsus hongeren ujumb mtam na mzur
@elieskiamshana13793 жыл бұрын
Kama huwezi kucheza mbele ya mkweo,itakua ajabu kucheza mbele Za Mungu aliyeumba mbingu na nchi,
@charleslupenza38793 жыл бұрын
Unene nditigila ubarikiwe
@robarthmkwela1112 жыл бұрын
Huuyoo Dada kasolo sizuri sana kanikosha moyo wimbo ni mzuri
@fikirinijonathan41863 жыл бұрын
Chapa kazi ya Mungu By Mch. Fikirini Kileha
@aslayjoshua84893 жыл бұрын
Tam sanaaa vip audio
@JerryMasele3 жыл бұрын
Kazi nzuri, ujumbe mzuri, awesome beat
@badieakida83512 жыл бұрын
Thanks for the nice gosper song I really enjoy very much from the pastor masanja
@josephjacka32703 жыл бұрын
Mpo vizuri LAKINI kwakuwa hilo kanisa nichanga Zinga tieni sana MAVAZI HASA KWAWANAWAKE WAVAE SKET NDEFU NA SIO ZINAZOISHIA MAGOTI
@joycenyakiha81213 жыл бұрын
Hata Mama mchungaji kavaa mini
@honhonhaule9232 Жыл бұрын
Umenibariki sanaaaaa
@imanmwashitete52433 жыл бұрын
Mungu awabaliki waimbaji hongereni sana
@heavykingdomworship4 жыл бұрын
Ameeen vijana watumike kwa YESU
@andreamandari7089 Жыл бұрын
Barikiwa mtumishi wa Bwana Yesu Kristo
@christophermgoli12363 жыл бұрын
ASANTE sana vijana wetu kwa ujumbe wa neno jema la MUNGU.
@silviakipingi3778 Жыл бұрын
Mungu awabaliki Sana
@christophakawishe51523 жыл бұрын
Mwimbaji chipukizi gospel Kilimanjaro Tanzania, hongereni Mungu mwema awabariki
@happykabanje22713 жыл бұрын
Safiii Muinuliwe zaid
@aidaraphael1956 Жыл бұрын
Wimbo mtamu saanaaa!Utukufu Apewe YESU.
@hilgathjoshua88044 жыл бұрын
Safiì MUNGU akubariki sana mtumishi nimebarikiwa mno na ujumbee huu
@viviandaniel55863 жыл бұрын
Waoooo wimbo mnzuri sn unapatikan wapi jaman nimeupenda san
@yohanambwagha15613 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mchungaji Emanuel mgaya kazi yako ni njema
@ayoubkikoti63443 жыл бұрын
Safi sana hongereni sana kwa kimtukuza MUNGU,,
@elieskiamshana13793 жыл бұрын
Ni mwiko kumsifu Mungu kwa kumchezea
@dismasymassawe167 Жыл бұрын
Asante Kwa wimbo mzuri Mungu awabariki mno. But nataman kufika hapo nipo Kigamboni nafikaje jaman
@rahmbanzi620 Жыл бұрын
Uyo Dada Ana sauti nzr sana mungu ambariki
@jentamwadime59103 жыл бұрын
Awesome. I can't get enough of this song
@kelvinmwalunenge3093 жыл бұрын
Masanja unaenda viwango vyaa juu juu mnoo
@akberyuda59503 жыл бұрын
HONGERA MASANJA KWA KUANZISHA HUDUMA LAKINI JITAHIDI KUSIMAMIA MAADILI HASA UVAAJI HUDUMA ITAFIKA MBALI
@m.mmarckus62983 жыл бұрын
Ushauri mzuri sana
@sweetluc26602 жыл бұрын
Mungu akubaliki Sana wimbo una ujumbe mzuli sana
@christophermgoli12363 жыл бұрын
Very good God bless Baba Mchungaji
@user-ng6yt2od7l3 жыл бұрын
Dah wimbo mtamu huu God bless all
@wilfredkizanga56043 жыл бұрын
Ubarikiwe kwa huduma nzuri
@upendokininki6897 Жыл бұрын
Safi Sana kweli tupo huru .mbarikiwe kwa ujumbe mzuri.
@justinemwakyasima50074 жыл бұрын
Ameeen nabarikiwa sana nam nakuja kujiunga uko
@stansilauskapani54093 жыл бұрын
Barikiwa Sana mtumishi wamungu
@kusanjaemmanuel86863 жыл бұрын
Iyeleee iyelee iyeleeee... Feel free! Merci beaucoup
@seleliupile80564 жыл бұрын
Ipo vizuri sana nimeipeda kuisikiliza.
@anithagilbert72833 жыл бұрын
eeeeeh Mungu. nakuomba na mimu uniweke huru niachane na mambo yasiyo wkupendeza🙏🙏🙏wimbo mzuri sanaaa mubarikiwe
@bahatisunga16423 жыл бұрын
Amina aaa
@lidyajohn93803 жыл бұрын
Wako vzr Sana mungu awatie nguvu ktk kazi yake
@felistamwashibanda7764 Жыл бұрын
Mungu mwema dear
@magrethcharles86763 жыл бұрын
Amen barikiwa
@kahoribonga92804 жыл бұрын
Amen mungu awabariki sana
@issayaahimidiwe96813 жыл бұрын
Mungu awabariki
@janetchriskagona8312 жыл бұрын
We're indeed free so powerful song thanks
@nelsonfesto71373 жыл бұрын
Woooow wimbo mzr san
@lilianntulwe76723 жыл бұрын
Nice song congole!!
@newtonchamkongo68223 жыл бұрын
Nice 4 the Glory of God
@veronicaerasto72494 жыл бұрын
Hiyelee hiyelee hiyeleeee Feel free👏👏👏👏🔥🔥🔥
@theosaimon69333 жыл бұрын
I feel sooo blessings in Jesus name
@Riis_media3 жыл бұрын
Bwana Yesu Asifiwe...Natamani kujumuika nanyi, nipo Bunju B
@lucykanuti61383 жыл бұрын
Mungu awabaliki sana kwa nyimbo yenye ujumbe mzuli
@heriethinnocent32834 жыл бұрын
MUNGU awabariki sanaaaaaaaaa. Hakika nipo huru
@zengogospel3 жыл бұрын
Melody hii naipenda Sana mbarikiwe
@marthambilinyi223 Жыл бұрын
Wimbo mzuri sana barikiwa Sana
@ezekiamgimba45644 жыл бұрын
Jamaniiii nyimbo nimezipenda sana
@lilianphilemon9073 жыл бұрын
Dada sauti nzuri mnoooooo Kama chang'ombe choir
@manmaster5362 жыл бұрын
Asante masanja
@bishoptvalbert41123 жыл бұрын
be blessed man of God
@devothatabura22443 жыл бұрын
Nimewapenda.mbarikiwe.
@zubedanaskizanikiwanairobi4154 жыл бұрын
Nabarikiwa sana nikiwa nairobi Kenya
@salmahassan35214 жыл бұрын
Finally, Monica you become mama Pastor, hongera Sana, chunga kondoo hao, sikiliza sauti ya Mungu kufikia malengo. Msipende Sana viduku sio vizuri kwa watu wa Mungu
@daudimgaya7253 жыл бұрын
Umenena vema
@shalomizrael6673 жыл бұрын
Amina
@rahabumsalilwa80793 жыл бұрын
Saivi mama askofu
@gosbertmuta54213 жыл бұрын
Kondoo wake waiskia saut ya mchngj wao Sasa uslazimishe waiskie saut yako mchngj wao Hana shida na viduku na vimini nk
@gestinabunganiekuya63003 жыл бұрын
Lini kipofu akamuongoza kipofu mwenzie mchungaji mwenyewe amenyoa kiduku sembuse hao? Hapo kunakutoboa kweli? Kweli ni feel free
@theombwilo4803 жыл бұрын
Safi sana wimbo huu unanibaliki sanaaaaaa huku ilinga
@daudjohn5003 жыл бұрын
Hongereni ujumbe mzuri
@joyceenos43973 жыл бұрын
AMEN Mungu awabariki
@mashakakalamba5193 жыл бұрын
Safi sana ! Hongera.
@rebekaanania82793 жыл бұрын
Hongera Sana mtumish masanja yesu akubarik kwa huduma hii waimbaj wapo vizur asifiwe yesu
@oscarbareke32672 жыл бұрын
Mbarikiwe sanakwawimbo mzuri San amin
@stanleymathias78773 жыл бұрын
Massanja kwaya inaimba vizuri sana ila jitahidini iwe inapiga live itapendeza sanaa
@deegasmaglobalmusic34283 жыл бұрын
Barikiwa masanja
@samonkilanga47833 жыл бұрын
Hongelen ujumbe mzur
@mosesblessing6142 жыл бұрын
Free in deed , so powerful song❤❤❤❤❤❤
@millicentakinyi5504 Жыл бұрын
Safiiisana💖💝💖💃💃💃🇰🇪🇺🇬amina
@lengachapati37282 жыл бұрын
Uwo wimbo inabidi uwapereke wakaushuti uko vinzuri sana nilikubari tangia ile Siku ya mkutano pale Kibaha mkoani Pwani hongeraa sana
@deodatusmagagura67933 жыл бұрын
Ingawaje nyimbo iko sawa
@alexkasea55533 жыл бұрын
Mungu hana complication nyingi kama sisi tunavyodhani keep it up rev.masanja