Wito Wangu S08EP08 na Sr Roselyne Wambani Wafula Fsp,Mmisionari wa Shirika la Mabinti wa Mt. Paulo

  Рет қаралды 5,341

Jugo Media Network

Jugo Media Network

Күн бұрын

Пікірлер: 23
@naanjelamsangi2711
@naanjelamsangi2711 Жыл бұрын
Hongera sana Sr Roselyn Sophy... Mungu akubariki na kukuimarisha ktk utume..❤🙌🏽
@Bulemela
@Bulemela Жыл бұрын
Watoto wetu wamepata mafundisho mazuri sana kutoka kwenye historia yako. Mungu azidi kukutunza na kukubariki.
@ChristinaKembe
@ChristinaKembe 5 ай бұрын
HAMUMJUI ndo maana mnampongeza
@valentineowino3705
@valentineowino3705 Жыл бұрын
Hongera sana Sr. Roseleyne. Baraka za Mungu ziwe juu yako🙏🙏🙏
@kemuntojosoro4486
@kemuntojosoro4486 Жыл бұрын
Hongera Sr. Roselyne. Nakuombea baraka tele kutoka huku Bungoma, Kenya.
@tukaejehabibu2412
@tukaejehabibu2412 Жыл бұрын
A
@macrinamsigwa8781
@macrinamsigwa8781 Жыл бұрын
Nimependa sana maelezo yako mazuri sana
@maniratungageorge6797
@maniratungageorge6797 Жыл бұрын
Tumikia kanisa Sister wetu mimi napenda hio maisha yakuzitoria Mungu nimaisha ya amani sana utuombeyee Sister wetu Yezu urichaguwa pia nimuzuli gushinda watu wote
@rosemarybassey5086
@rosemarybassey5086 Жыл бұрын
Hongera sana sista wangu. Mungu akubariki!
@lynnafulah7340
@lynnafulah7340 Жыл бұрын
Asante Sr Rosemary mdogo wangu shirikani.
@kudraisrael1068
@kudraisrael1068 Жыл бұрын
Umuulize huyo Sister Roseline ikiwa anamfahamu Fr . Calistus Wafula, OFM Cap. wa kule Kenya, rafiki yangu alitepata Upadre mwaka 2010...Sr. Rosaline Wafula, Hongera sana...! ??
@germanabernardswai6162
@germanabernardswai6162 Жыл бұрын
Waaaaaaaaoooooo 😁. Hongera sana Sr Roselyne kwa historia ya kusisimua ya wito wako wa utawa. Umenigusa nikakumis zaidi my dear Sister. Mungu azidi kukutunza na kukuimarisha katika wito wako.
@wagabaliz6475
@wagabaliz6475 Жыл бұрын
Wow! Asante dada
@lynnafulah7340
@lynnafulah7340 Жыл бұрын
Thanks dada!
@brigidnafula6096
@brigidnafula6096 Жыл бұрын
Hongera Sr.
@lynnafulah7340
@lynnafulah7340 Жыл бұрын
Asante dada
@edwardkalesi3238
@edwardkalesi3238 Жыл бұрын
amina sister
@alexandermutakha882
@alexandermutakha882 Жыл бұрын
Huyu sasa ni mu TZ Kwa kilugha.
@kudraisrael1068
@kudraisrael1068 Жыл бұрын
Ling'wentu, ni wakutoka kwetu? Ruaha, Massage /Ulanga? Weh! Mpogoro?Gwakashina mtuwa !!//Ila huyo Binti /Sister Roseline ni Poa sana.... Daughters of St. Paul...
@solomonnanguni2688
@solomonnanguni2688 Жыл бұрын
Sr Rose hadithi mzima tumeipokea, lakini mbona hugusii yule boyfriend wako uliyempa masharti magumu matatu manne hivi, yaliishiaje naye? Mumeshaonana naye tena? Mbona umemvunjia wakati wake, ukijua fika wito wako kiroho na ndoa ilivyo.
@revk7747
@revk7747 Жыл бұрын
Story yako ni nzuri sana. Lakini kubwa kuliko yote ni jinsi ulivyo fanikuwa kuongea kiswahili kilicho nyooka. Yaani hakuna dalili yoyote ya kujua kama wewe ni Mkenya. Hongera sana.
@josephatbaynit6074
@josephatbaynit6074 Жыл бұрын
T if
@lynnafulah7340
@lynnafulah7340 Жыл бұрын
Asante mpendwa. Tumshukuru Mungu kwa hili.
СИНИЙ ИНЕЙ УЖЕ ВЫШЕЛ!❄️
01:01
DO$HIK
Рет қаралды 3,3 МЛН
ASANTE YANGU BY MWITA ISACK
6:00
FAMILIA TAKATIFU CHOIR. MT YUDA TADHEI STAKISHARI
Рет қаралды 603
WEWE UNASEMA UNAOGOPA KUOA HALAFU UNAKULA KWA WAKE ZA WATU "PASTOR MGOGO
1:19:25
Pastor Daniel Mgogo
Рет қаралды 592 М.
#1# OMBI FUPI SANA LAKINI MATOKEO MAKUBWA SANA (SEH YA 1)
35:22
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 57 М.
Thousands of Christians Convert to Islam After Humiliating Muslim Boy
17:20
SHETANI HATAKI UTAMBUE NGUVU HII NDANI YAKO
42:30
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 58 М.
СИНИЙ ИНЕЙ УЖЕ ВЫШЕЛ!❄️
01:01
DO$HIK
Рет қаралды 3,3 МЛН