WOLPER KUHUSU WEMA "ANAONA ATAANDIKWA MWENYEWE HAJAZAA, MIMBA ILITOKA, SIJAWAHI KUTAFUTA MTOTO"

  Рет қаралды 22,027

Millard Ayo

Millard Ayo

3 жыл бұрын

Mwigizaji Jacquline Wolper amejibu swali kuhusu mwigizaji mwenzake Wema Sepetu na ishu ya kupata mtoto ikiwa ni baada ya Wolper kujifungua moja ya watu waliompongeza na kupost kwenye page zao za Instagram alikuwa ni pamoja na Wema Sepetu, sasa Jack amefunguka haya. PLAY kutazama

Пікірлер: 19
@irenejames3459
@irenejames3459 3 жыл бұрын
Mungu atampa asijali tunamwombea
@abuusahya6130
@abuusahya6130 2 жыл бұрын
Muongo sana hili Dada
@laylatmlacha4729
@laylatmlacha4729 3 жыл бұрын
Mbn kuna mtu alisema anakupa fetlbooster tena alikuwa status afu we unasema hujawahi kutumia dawa
@neemanziku5403
@neemanziku5403 10 ай бұрын
Ww ni mwongo ulikuwa hupati tu mtoto ww sema tu Mungu amenipa,hivi wanaume wote ulio tembea nao usinge pata mimba? Na unasema hujawahi tumia uzazi wa mpango? Wadanganye watoto wadogo
@kulway4669
@kulway4669 3 жыл бұрын
Hii
@neemanziku5403
@neemanziku5403 10 ай бұрын
Sasa unasema hujawahi tumia uzazi wa mpango kwa hiyo ujawahi deti na harmonise je na ulijuaje kama huwezi kupata mimba? Je unge beba mimba ya hamo hakuwa mtu sahihi kwako?
@veronicaefrahim6864
@veronicaefrahim6864 3 жыл бұрын
😘❤️
@frankmpanda5850
@frankmpanda5850 3 жыл бұрын
Kazaa na nan sasa
@kiri5807
@kiri5807 2 жыл бұрын
Wema hilo uterus / fuko analo ? kuna watu hutoa mimba mpaka wakaathirika mauterus ikisha wanashuhulisha wanamzulia Mungu kuwa hajawajaalia kumbe kashauwa sana huko nyuma .
@neemanyerere5160
@neemanyerere5160 3 жыл бұрын
Duuuh
@epifaniasawaki3315
@epifaniasawaki3315 3 жыл бұрын
Kwani mayai yake amekaangiaa chipsi uzeeni anataka mtotooo .....wanawake tunatumia ujana vbya ukifika mda unaitaji mtoto unataka watu wakuhurumieee tupunguze kutoa mimbaaaa ili tuwe na mwisho mwemaa kuzaa kunaraha atakama mwanaume atamkana mtotoo
@tiamo726
@tiamo726 3 жыл бұрын
Who r u to judge her we mwenyewe unaweza uwe na mabaya mbele ya mungu muombe mwanamke mwenzio mabaya yake.mama naseeb si Ali flash mwanake daimond do huyo mungu husamehe binadamu shida
@epifaniasawaki3315
@epifaniasawaki3315 3 жыл бұрын
@@tiamo726 nimjudge naniii wasanii maisha yao tu ni fake waushi kiuhalisia tutaacha kuwajudgeee..mungu anaruhusu abortion kwann wasizae wanakimbilia ujanaaaaaa ambao aunamaanaa
@tiamo726
@tiamo726 3 жыл бұрын
@@epifaniasawaki3315 mama kila mtu ana thambi...na mungu huwasemahe...hata mapastor wengi shuhuda zao zatisha.hata malaya huolewq na malaya ndio alim annoint yesu...hata mimi ulama wangu ulikuwa ubaya lqkini nimebadilika nlkua naishi na mume bila ndoa...thambi ni thambi ila kama mtu anabadilika basi muombe huyu wema haujui usiku ye anaemia nini mwaona ya inje mungu ywaona ndani let's respect people's journey.she will be a mother one day...na mummy just because mtu amezaa ama hajafanya abortion haimanishihuyo mtu ndio better wengine hata na watoto bado umalaya
@epifaniasawaki3315
@epifaniasawaki3315 3 жыл бұрын
@@tiamo726 naonaa unakazana kumuweka mungu ktk kitu ambacho sijazungumzaa kuhusu mungu mm hapoo naongeaa kuhusu kitu tunachofanyaaa wasichanaa soma comment yngu vizuri utaeleewa tupunguze kutoa mimbaa usichanaaa wetu ili tujetufurahie uzao wetu naona unakazanaa kucommrnt vitu visivyokuwepoo
@nurukwilabya2790
@nurukwilabya2790 Жыл бұрын
​@@epifaniasawaki3315alikua anazitoa ili aendelee kula ujana, walikua wanamcheka Zari anatimu ya mpira 😂😂, Hamisa pia anaakili alijizaliaga mapema anakua na wanae wanakua safiii
@abuusahya6130
@abuusahya6130 2 жыл бұрын
Kakojoe ulale
@arleneakimana9681
@arleneakimana9681 3 жыл бұрын
Wema. Ni mzee.
@kulway4669
@kulway4669 3 жыл бұрын
Hii
Useful gadget for styling hair 🤩💖 #gadgets #hairstyle
00:20
FLIP FLOP Hacks
Рет қаралды 7 МЛН
Cool Items! New Gadgets, Smart Appliances 🌟 By 123 GO! House
00:18
123 GO! HOUSE
Рет қаралды 17 МЛН
Пранк пошел не по плану…🥲
00:59
Саша Квашеная
Рет қаралды 6 МЛН
Задержи дыхание дольше всех!
00:42
Аришнев
Рет қаралды 3,4 МЛН
Robert Greene: A Process for Finding & Achieving Your Unique Purpose
3:11:18
Andrew Huberman
Рет қаралды 10 МЛН
BREAKING: ALLY KAMWE ATANGAZA KUJIUZULU YANGA SC
2:01
Millard Ayo
Рет қаралды 23 М.
Useful gadget for styling hair 🤩💖 #gadgets #hairstyle
00:20
FLIP FLOP Hacks
Рет қаралды 7 МЛН