Naomba uniunganishe na daktari anisaidie nateseka lilian
@saidakessy31755 жыл бұрын
Very informative thank you baby sky big up
@evelyinipaja12025 жыл бұрын
Samahani kwa hili, lakini ingekuwa vizuri Lilian angeacha KU interrupt wakatii Doctor anaelezea.
@mariamothman74044 жыл бұрын
Napendelea lilian aje sns jmn nampenda sana jmn
@rahiimal-shuwehdy12035 жыл бұрын
Baby sky, please if you can post the address of the doctor , we will really appreciate that ... so we can pass to our family members who are having problem of getting pregnant so they can go for checkups thanks dear.
@deborahboke4025 жыл бұрын
Nipo Kenya na nawafuatilia sanaaa Hongereni kwa kuzindua kipindi hichi Binafsia nawapenda mnooo Msalimieni mama Deborah na aunty sadaka,I love you guys mmmmmmwwaaàaa💋💋💋
@bahatikamaghe46495 жыл бұрын
tatizo hawatoi namba au adress ya huyu doctor sijui wanaponya jamii au vp
@davidlelo6192 Жыл бұрын
Naomba mnisaidiee nateseka sn mm blid imekata na miaka 40 nifanyejeeeee.
@davidlelo6192 Жыл бұрын
Bb umenitisha kwaiyo mm natatizoo????
@NotukeriaMapunda Жыл бұрын
Naomba namba ya huyo daktar
@sharonndowo69225 жыл бұрын
Mmh uzee unatisha kwa kweli
@hamadsaidy87525 жыл бұрын
Sharon usiomgope
@azizacleny86775 жыл бұрын
Masomo konk thanks womens matter
@gideonburton4675 жыл бұрын
Naomba namba ya huyo doctor
@lydiamichael84492 жыл бұрын
naomba namba za huyu daktari
@priscillaamossen82495 жыл бұрын
Elimisha daktari
@jennifersirikwa74492 жыл бұрын
Kilichonisikitisha hapa ni kwamba hamumuachi doctor akaelezea maelezo mpaka mnadakia sana . mnamuingilia sana na kumkatisha doctor, mnaongea sana
@NotukeriaMapunda Жыл бұрын
Naomba namba yako
@davidlelo6192 Жыл бұрын
Mimi imenipata na 40
@priscillaamossen82495 жыл бұрын
Akina dada muwe mnaenda kuona gynecologist every 2 yrs.. ndivyo tunavyofanya wenzenu huku, tunachekiwa kila miaka miwili...
@chainbre2755 жыл бұрын
Doctor alisomea sex and reproduction wow bigup kwako na walio kuwezesha
@snapkingtv67934 жыл бұрын
Ulizeni dalili za mwilini zinazojitokeza wakati wa menopause
@lisabruno56705 жыл бұрын
Punguzeni kucheka cheka kwenye mambo ya msingi
@chainbre2755 жыл бұрын
Lilian wanifurahishaga sana eti uzee nao shida hahahaha
@maryannajoseph30875 жыл бұрын
Hello baby sky I would love to have Dr number or name of work place thanks
@roseedwin29665 жыл бұрын
Ety babysky nini huwa kinakuchekeshagaa ety
@mariamothman74044 жыл бұрын
😁😁😁
@Tanzania..cashauro2 жыл бұрын
@@mariamothman7404 tuachie my wife Tanzania 💯🇹🇿🙏 mungu nimwema amutunze