Amina mama Terry,kipindi cha Leo kizuri sana!hongereni! Wanawake upendo!!!!
@silverman69305 жыл бұрын
Mama Terry Big up my mama 😂😂😂 I love you ❤️❤️❤️🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧
@abdallahkiliaki72994 жыл бұрын
Pamoja na kwamba kipindi chenyewe kina kichwa cha "Kiingereza" (Women Matters), naomba mnapozungumza tumieni KIswahili, tena Kiswahili sahihi. Watanzania wengi, au niseme jamii ya Ki-Tanzania, inafurahia zaidi Kiswahili kuliko lugha ngeni. Mwl Nyerere aliwahi kusema kuwa kipimo cha msomi wa kweli ni yule anayeweza kuelezea sayansi ya NASA kwa mkulima wa kijijini na bado yule mkulima akaelewa vilivyo. Ahsanteni
@melangongo64905 жыл бұрын
I like women's thank you so muc🙏🙏🙏🙏🙏h I'm Florida I'm Congolese
@isakamanisaka86524 жыл бұрын
Hi Florida...whats the meaning of boss ya mbotee😁
@IlhaamMarshed5 жыл бұрын
Napenda sana mahojiano ya wanawake sahihi ❤️❤️
@franklinemoi85165 жыл бұрын
Amazing
@Sonyambulo4 жыл бұрын
Asante sana mama kwa kusema ukweli! Wanaume ni adui sana kwa wanaume wenzao ni vile tu hawasemi Kama sisi wanawake!
@mwikamwika48515 жыл бұрын
Wasafi mko vizuri na mmejipanga sana.
@samiraallykayitesi76425 жыл бұрын
Nawapenda sana from kigali
@bosslilyg43904 жыл бұрын
I love you wajina Lilian Mwasha wa MC Luvanda 😊❤❤
@isakamanisaka86525 жыл бұрын
Ni Rafiki na sio Lafiki, hongereni kwa kazi
@frenchygigi5 жыл бұрын
Wanawake hatupendani juu ya wivu and pia sisi tuko na tabia mbaya na roho mbaya.
@lovenessdiva33705 жыл бұрын
Amazing 👏👏👏 najifunza jmn I don't want friend Ooooh
@luckydavid74755 жыл бұрын
Mama nimekukubariii unaenda sawa Na kasi ya dunia 😁😁😁
@تةامممن2 жыл бұрын
Mm shemeji nilimuchamba mpaka basi kabisa
@veronicadaniel11225 жыл бұрын
Nampenda huyu mama Terry anaongea yalokuwepo nayaliopo najifunza kitu,mbarikiwe sana
@jacklineswallo36435 жыл бұрын
Mada nzuri n kuelimixha jamii....
@pendohumphrey75885 жыл бұрын
The best show in tz
@gracepeter32005 жыл бұрын
Mama kaongea point sana
@تةامممن2 жыл бұрын
Mm lewo rafiki yangu mpaka kifo sitowaye kumusame mpaka kiyaama 😭😭😭😭🥺😢
@mutwalesylvie74434 жыл бұрын
Wanawake atufaii kwakweli sio watu utamkuta mtu kagombana na mmewe wewe ndo unajifanya kujileta bila yakujuwa kama yatakuja kukukuta pia kama yolomkuta shoga angu
@wahidashabaz59824 жыл бұрын
Mwenye kimini cheusi kusikia maneno ya mama teri kabana miguu na kushusha kimini.😁😁
@omanjahaziipojuusanaphone65634 жыл бұрын
Isee da liliani mm nilitendwa na rafiki yangu mpaka leo hata kuongea hatuongei
@jessymalembeka61815 жыл бұрын
Mama Terry umenikoshaaa sana.
@ezekieljolam39615 жыл бұрын
Naomba mnialike mm naweza shauli hili well 2020 revolution in love no pain
@mohamedomar76925 жыл бұрын
Ni kweli binaadam asili yetu hatupendani haijalishi m/ke Au m/me hata wateule wa Mungu walikiona kimbembe kwa manufaa yao ni ni jukumu la kila mtu awe mzuri kwa mwengine
@تةامممن2 жыл бұрын
Maana lafiki yangu lewo anaishi na mume wangu mpaka sasa sina hamu nawo 😭
@pendohumphrey75885 жыл бұрын
Nahitaji part 2 please
@maombikonga5 жыл бұрын
ooh Liliani utaharibu Akomae tu kukataa na si kukwambia
@reheemabib65745 жыл бұрын
Wanawake kweli tubadilike wamama mpo sahihi sana wanawake ndo kikwazo kwa wanawake wenzao
@israelmollel31824 жыл бұрын
Mambo mazurihayo
@kingangiejansie77315 жыл бұрын
Jamani jifunzeni kuandika kiswahili kwa ufasaha...ni Rafiki na sio Lafiki.
@mariaamuri96275 жыл бұрын
True
@fashiontrendstv32075 жыл бұрын
Narcissisim imetawa msikilizeni mama Terry pia ni mwisho wa dunia tubuni muuone ufalwe wa Mungu
@beatricetenywa43675 жыл бұрын
Kwel kabisa mama Terry,chance cha yote hayo nikukosekana upendo😥
@mayaalshukairi94855 жыл бұрын
Nimekipenda sana kiapindi hiji
@sofiarugoye79292 жыл бұрын
Huyo dada mwenye nyeusi mkao wakwanza ulikua sio
@fauziyaomar7090 Жыл бұрын
Usongo kweli
@Sonyambulo4 жыл бұрын
Kivunja mtaa 😀😀
@veronicadaniel11225 жыл бұрын
Kipindi cha Leo kitamu nampenda yule mama
@ashaali71545 жыл бұрын
Mbona kizazi hiki wanaume ndio wanaongoza kwa udaku na umbea mfano kina Juma Lokolle kina shilawadu baadhi ya watangazaji wa media halafu wanajisifu kuwa umbea ndio unawaweka mjini.
@ilovejesus93035 жыл бұрын
😂😂😂 wapi Dr kumbuka? Tena wamejenga, Wana maisha yao mpk na mimi natamani nifanye umbea
@nyamkamawanjara295 жыл бұрын
Baby sky unamimba nini hongera
@veronicadaniel11225 жыл бұрын
Nyamkama Wanjara Kwavile mnene ama
@seifabdallahamad30295 жыл бұрын
Mimi ndiio nasema wakiongokaa wanawakee imeongoka jamii
@a.8565 жыл бұрын
🙏🏻👍🏼
@hekimamliga21395 жыл бұрын
Lafiki ni nani editor🤔nice kipindi
@tanzaniaoman64235 жыл бұрын
😍😍😍😍
@susans44905 жыл бұрын
Sio marafiki tu wanokutenda hata ndugu anaweza kukutenda na kukuchukia mpk shetani akashangaa.
@alhamdulillah57965 жыл бұрын
Kuna wale wanaofanya yao siri lkn wakaekwa mitandaoni na baadhi ya watu wakawashambulia mm binafs huwaonea huruma (mana anaetenda kwa siri hujaambiwa umfedhehi) lkn wale wanaojieka wenyewe mitandoni wakafanya upuuzi na ujinga ilhali wap wenyewe wanajiona ndio wapo sawa kwa kua tu wanaingiza pesa au vp mimi siwaonei huruma wakishambuliwa. Mana kushambuliwa kwao ndio angalau kunaeza kuwafanya na wengine waone ni kitu kibaya kile, wasiige.
@fatmakombo75845 жыл бұрын
Nakupenda hichi kipindi
@luhanyamipawantobi68885 жыл бұрын
Mama tel kumbe anakiweza kinge!!
@moviezupdates1705 жыл бұрын
Kwa sababu hampendani
@sharifaally94045 жыл бұрын
Nimemiss aunty Sadaka jamani
@jokhaali91875 жыл бұрын
Jamani mimi hili nalipitia ss hv nnavo andika. Nilimkaribisha shoga angu kula mishkaki just kufurahi hio ndio ilikua kosa langu nilianza kumkosa mpenzi wangu Mara busy nitakutafuta mpk siku nikamuuliza hebu nambie Kuna nini kimejificha sikielewi? Alinijibu natakiwa kumuona mtt wa mjomba wangu niliumia Sana lakini nili accept kwakua sikua na chaguo kwakua tulipendana Sana na mpenzi wangu Sana Sana mpk tulikua km tunaekti move. Ni mtu mwenye kujali na anajua majukumu yangu alishaninunulia Gari nilikua na siku km 15 tangu kutoka lecen. Yule shoga angu kuona kumbe ss fulani a naenda kua mtu fulani zaidi yangu kwa nini na mimi ni mzr kuliko mbona? Bc nikapoteza netwak na mpenzi wangu kabisa kabisa mpk akanambia usinitumie sms wala Sim nilishangaa kwa hilo liliniumiza nikasema mbona km Kuna kitu? Ss kuanzia hapo nikaanza kutafakari lazma Kuna kitu huenda hata hii ndoa sio kweli nikamuelezea shoga angu mwengine mbona mimi naona huyu bwana km hajaoa nahisi yuko na mtu fulani km mungu alikua ananiletea matokeo mpk siku tukapanga kufumania MN huyu shoga mwengine anafanya kazi na huyu shoga alie ni chukulia bwana bc ni kaenda pale kazini nikavaa ninja nikasubiri km nusu saa hakika baada ya nusu saa niiona Ile Gari alioninunulia bwana angu hio I nakuja niliona mwili unanitetemeka. Nikangoja Gari mpk imefika I kafanya kunipita kidg baada ya kusomama Gari ni kaenda nikafungua Gari mlango wa dreva mwanaume alishtuka nikamuuliza huyu ndio mtt wa mjomba wako uliooa? Alishindwa kunijibu alibaki kuniuliza nini nini nikamjibu Sawa nikaondoka nikawa acha hv nnavo andika jumamosi hii iliopita wameoana mimi nimemshuku mungu. Wanawake hatupendani na huyu mwanamke sio mimi wa kwanza kunifanyia ni kawaida yake kumbe
@lipymuscat47794 жыл бұрын
pole sana
@cadzabibu98715 жыл бұрын
Kweli hausemi uongo
@kiazikitamu39855 жыл бұрын
Mama Tery umenifurahisha eti Dunia ipo ICU, watu wana matatizo yao baadhi ya watu wamepoteza dira waanatafuta kuchafua wenzaio ili wawe wengi walioshindwa shindwa, watu tuache kukoment ukakasi tucoment chanya kila mtu anataka kusikia mazuri badala ya kuendelea kumkandamiza mtu vibaya kwa koment toa pole tu itatosha.
@sophiasophia97135 жыл бұрын
Rafiki jamani, hicho kichwa cha habari kinaukakasi, lafiki ndo nini 🙄
@keyla36414 жыл бұрын
Mada imenigusa sana lilian nitakutafuta
@erastodsm97365 жыл бұрын
Darasa la 7 unamaliza na miaka 11, Form 3 kwenda 4 unamiaka 14 , sawa Dada apo sasa hivi unamiaka mingapi
@maombikonga5 жыл бұрын
Na hilo limewarahisishia wanaume kuwaongoza wanawake na kuwafanya watakavyo
@deogratiasyagomba2875 жыл бұрын
Kipindi ni kizuri lakini kitakua kizuri zaidi kama mtafuata ushauri huu,muachiane nafasi ya kuongea na si kwa muda mrefu kwa mtu mmoja hata Kama yote anaongea ni point mengine ataongezea baadae.Kufuata point kwamba kwa mdano. Tunapo sema wanawake hampendani maana yake nini?,sababu ya wanawake kutopendana ni nn?,kwanini inatokea hali hiyo?.Nini kifanyike ili kuondoa tatizo hilo?.Hapo pia kuna kua na watu wa gender pia na wengine kama hao ili kupata mtazamo wao na source wengine wa muhimu.Nawapenda sana mimi ni Deogratias Yagomba ni mwana tasnia mwenzenu sema nipo mkoa 0762956366
@brandinakizito35415 жыл бұрын
Anti sadaka Yuko wapi?
@elshaarawymuhabesh3165 жыл бұрын
Kipindi Kipo Vizur...
@luckydavid74755 жыл бұрын
Hakuna kitu sipendi Kama kusema wanaume wameumbwa ivyo, maninaaa zao
@OnlyRuky5 жыл бұрын
Hii mada mlitakiwa mumshirikishe na maimartha aulizwe haya maswali because she's the one huko insta
@koimobomba47405 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 umeujua kunichekesha
@annedavienyamhanga47385 жыл бұрын
😂😂😂😂
@lydiaakimana79885 жыл бұрын
Jamani kipindi nimekianza tu nikakutana na story inayonihusu nilifanya mistake ya kumuamini rafiki saana ile hata nikijikwaa ukucha tu namupigia namueleza yaani kwa ufupi tu nilikuwa simfichi la inje mpaka la ndani lakini alichonifanyia nilikuwa na mchumba tunakaribia kuowana ila yakawa yanatokea mambo mambo ambayo siyaelewi nikawa namuelezea hadi tukafikia kuachana badae kidogo tukaja tukaachana chakushangaza bada ya mda kidogo tu nilikuja kugunduwa kama yale yoote yaliokuwa yanatokea yalisababishwa na huyohuyo best yangu yaani nilikuwa nikigombana naye kumbe zile sim zote nilizokuwa nikimupigia nikimulilia mara nyingi alikuwa amekumbatiana na aliekuwa mpenzi wangu daa nilipata mshituko mkubwa baada ya kugunduwa kuwa tulivo achana tu alihamishia makazi kwake nikafanya mwezi mzima nikiendelea kulia nae bila kujuwa chochote mwishoni akatokea rafiki yake mwingine niliekuwa simufahamu akanionea huruma akanieleza kila kitu na kunitumia videos akiniongelea vibaya yaani sikuamini mpaka sasa hivi hicho kitu kimekataa kuisha kwenye hakili yangu 😭😭😭😭😭😭
@advocatekarama49175 жыл бұрын
Lydia Akimana poleee dear
@janethkilonzi42604 жыл бұрын
Pole mpenzi
@jnnn12735 жыл бұрын
Wasafi make sure you look your spell before you post ni Rafiki and not Lafiki
@chunanachu25295 жыл бұрын
Mie shost wangu kanichunia bila sababu
@alphincealex91125 жыл бұрын
Mi binafsi naishi marekani lkn Tz kuna sehemu kabisa kunashinda ata apa African imebarikiwa tukitowa dollar tunabaki na kingereza tu
@mbukumagiubukumagu4065 жыл бұрын
Tatizo la wanawake ni tamaa ndio kitu kinawaponza?mfano wa huyo Diamond platnumz alikuwa anatembea na wema sepetu na rafiki nwa Wema sepetu VJ Penny na hataJokate.
@alhamdulillah57965 жыл бұрын
Umeamua kueka mambo yako mtandaoni unategemea nini? Wapo watakaokukosoa kwa nia safi ili uongoke ingawa utaudhika, wapo watakaokukosoa kwa chuki na wapo watakaokusifu.
@mwikamwika48515 жыл бұрын
Kipindi ni kizuri sana. Kubwa peaneni nafasi ktk kuongea
@Boaz225 жыл бұрын
Hua najiuliza women matters ni wanawake,.mwanaume hua unafuata nini,?angalia sasa wanawake wote wanacheka ila jamaa kimya,.yaani it’s embarrassing
@rahillhamidu25445 жыл бұрын
Nisawa kwa wanawake na wanaume kwasababu bila mwanaume hakuna mwanaume lakini Hawa wa nakosea kipindi wa nacheka Sana Wana shindana Sana hawapeani mda wa kila mmoja kuongea na kumaliza
@vevo31305 жыл бұрын
Ntamani nisikie mawazo ya aunt Sadaka na najua atasema kuwa sio kweli...mi pia siamini sema tu kwa sababu imewekwa hvo kama divide and rule....mi i love women and mostly huwa tupo fresh tu...sitaki kuwa na mihemko kwenye hili...next topic please.
@Nyamisango5 жыл бұрын
Let’s not clap Jmn pls
@susans44905 жыл бұрын
Ss huo mziki ni wa nn wakati mnaongea
@alhamdulillah57965 жыл бұрын
Hapo penye mtoto umwambie yy ndo alomfuata mumeo, loo! Mume ni mtu mzima kabisa, yy ni wakulaumiwa kwa hali yeyote ile hata km mtoto amemfuata yy.
@cadzabibu98715 жыл бұрын
Niwivutu
@fashiontrendstv32075 жыл бұрын
Mabeste amemuabuse mkewe adi akapata Post Tramatic Stress Disorder
@veronicadaniel11225 жыл бұрын
Amemuabuse ndonini
@luccabosslugendo97225 жыл бұрын
Kama kupendana kwenyew ndo kutetea upuuz wa mke wa mabeste skubali. Unatembea na rafik yng ??
@janethkilonzi42604 жыл бұрын
Kat ya hao kuna mke wa mabeste?
@latriciah01augustino675 жыл бұрын
Babysky unamtetea tu lissa kiukweli.....! Kapitia mengi na story yake ukisikiliza kweli amepitia mengi na alisimama na mumewe lkn kwenda kutembea na rafiki ambae alikuwa anafahamiana na mumewe Tena wakafikia hatua mpka ya kumuamini na kukubali familia yake ikasheherekee sikukuu nyumban kwa rafiki yenu leo mnaachana unaenda kusema ni rafiki yako wewe sio yeye😩 unasahau ulimu introduce kwa mumeo na akawa pia rafiki wa mumeo sio sawa kabisa......! YANI HAPO LISA ALIKOSEA SANA KWENDA KUTEMBEA NA RAFIKI YAO JAPO NAE ALIKOSEWA NA KAPITIA MAGUMU
@silverman69305 жыл бұрын
Lafiki??? 🙄🙄🇬🇧🤔
@mrsliverpool42355 жыл бұрын
Rafiki mnafiki
@Boaz225 жыл бұрын
Mi rafiki yangu akichukua Demu wang nauaaaaa....😏
@kaysamson11675 жыл бұрын
mama debora yuko wapi
@neemayona50575 жыл бұрын
Mnakera kimoja tu unavyojadili kitu jaribu kuongea kiswahili siyo kila msikilizaji ni mzungu.
@susans44905 жыл бұрын
That tu tu is so annoying
@lajo.5 жыл бұрын
Nan kaona kama mtangazaji ana mashauz hadi anakera, et kipindi bora kuliko vyote afu anajishtukia na kauli yake duh! tulia ww cc ndo wataalamu ubora wa kipindi wanaujua watazamaji na cyo ww, we endesha kipindi utapewa maksi zako tu alah.
@mauchamakh47565 жыл бұрын
Laurent Jordan umeandika gazeti kuubwa inaelekea kauli yake imekuuma au vipi? Na kuna ubaya gani mtangazaji akisifia kipindi chake????
@christianainea6155 жыл бұрын
🤣🤣🤣cjui kaumia nini
@davidmathew20875 жыл бұрын
mdogo wangu usimalize bando lako kwa kushow hate kp da opns to urself
@jessydaktari52095 жыл бұрын
Ndo akili zako zilikoishia...wala hatutokulaum😁😁...common sense is not common