Ooh My God!!!What a lesson Kaka Max,Mungu akuzidishie Hekima na Busara ulizonazo,Uwe Baba mwema na Mume Bora daima!!!I love you!!!
@babyhamisi53314 жыл бұрын
Yaani namskiza hadi nanogewa
@azizakwileka16864 жыл бұрын
Aisee Max is the best, anazungumza kama Iddi Makengo.. Kwa kweli huyu anajua anachozungumza👏
@scholasticalaurent15424 жыл бұрын
nguzo za mahusiano 1. Kuheshimiana 2. Uaminifu 3. Mawasiliano 4. Mikakati kwa pamoja Kwa kumalizia Max anajua anachokiongea
@maureenmohamed28524 жыл бұрын
Max anakili sana Big up bro
@nicksonfrancy60434 жыл бұрын
Uliwapanga vizuri " viraza walikaa peke yao na ma genious walikaa peke yao harafu wote musician
@tawfiqmbagwa94074 жыл бұрын
Nimempenda sana Max yuko systematic ktk uongeaji, I appreciate
@reginaedward46454 жыл бұрын
Yaan hii show naipenda Kwa sababu ya mama zuchu, naipenda Sana sauti yake na jinsi anavyo ongea. Uishi miaka mingi khadija kopa❤️🤗
@vodacomhalotel80962 жыл бұрын
😀😀😄😄😀😄😄bi khadija unanichekesha
@ThePHARESJ4 жыл бұрын
Show nzuri sana.. Hongereni. Naomba nikosoe kwa Misingi ya kujenga. 1. Kuwe na Interval nzuri za kuongea, mfano Max akiwa anaongea, basi mwingine asiingilie. 2. Kwasababu huu ni mjadala na wala sio mashindano kila Mmoja ajenge hoja. Mfano huyo Dada Violet anaonekana kupinga Max anachoongea kwa Ku interrupt anachoongea. Nafikiri, kila Mmoja akijenga hoja binafsi show itapendeza zaidi. 3. Kila MTU akiongea kwa wakati Mmoja ni fujo. Ni hayo Tu. Hayo ni mawazo yangu, naipenda sana Show na Nina ona Mpo pahala sahihi sana. Cheers.
@yudatadeshayo44344 жыл бұрын
Natamani wasomee hii comment umemaliza
@vevo31304 жыл бұрын
sio issue ya kujua anachojaribu kufanya Lilian ni kuleta watu wenye mitazamo mbalimbali ina maana kila watu lazima wawakilishwe...kuna watu kama yeye wenye mitazamo hiyo na anawawakilisha vema sana...i like her
@babyhamisi53314 жыл бұрын
Uko sahihi Nami nitamfikishia Lilian comment yako, shukran Sana
@alamnyopo97394 жыл бұрын
Mada nzuri ila haina mpangilio,,ni kama makelele tu,,,kudandia dandia...
@veronicadaniel11224 жыл бұрын
P J 😍😍😍😘
@binurusm88864 жыл бұрын
Binafsi kipindi hiki kinanielimisha sana, ila mpeane nafasi katika kutoa hoja, Hongera sana Lillian, Mwenyezi Mungu akuinue zaidi, Aamina.
@dayana5513story4 жыл бұрын
Bi khadija kawanyosha🙌
@nicksonfrancy60434 жыл бұрын
Max ni mtu mwenye utambuzi na uvumbuzi I appreciate u bro .
@mariamyoyote81724 жыл бұрын
Walah khadija kama khadija na makopakopa yake nakupenda sanaaaa na kaka max nawapenda Yan msikosage kabisa kipind broo max you speak true point 💕❤️
@pillykinabo87224 жыл бұрын
I really appreciate you max. Mkeo anabahati sana. Akupende na akutunze daima asikupoteze.
@aminajuma38374 жыл бұрын
Shoo nzuri sana kuliko zote zinazohusu wanawake,na enjoy kutazama
@thedeo4724 жыл бұрын
Dada Hadija Mimi nimekupenda. Pole sana kwa kumpoteza mume wako.
@mwajumakassim66324 жыл бұрын
Kaka max salute kwako...!ukishindana na mwanaume jua ww mwanamke ndio utaumia,upo sahihi kaka max
@nouraalaoui49964 жыл бұрын
Show nzuri sana, mada nzuri lkn max hakupewa haki yake, huwa napenda sana ktk show zako anapokuwepo max, kwani max hudadavua mada kiundani na anakipaji lkn Leo hakuweza kutufikia kama tulivyomzoea kwa sababu alikuwa akikatizwa katizwa kuzungumza, tafadhali turudishie max ktk show ijayo na pia tunaomba ufatilie hili. Tunashukuru sana lilian hongera kwako.
@mgenimohammed6084 жыл бұрын
Maa Adhija kopa hoyee 😀😀lazima tujue majukumu yetu jamani kama una kazi ni kazi yako na mume ni mumeo si kila kitu dada wa kazi jamani ❤️❤️
@winfridamwigilwa21074 жыл бұрын
Khadija Kopa oyooooooo! Msitoe kwenye hiki kipindi
@laylasuliman58054 жыл бұрын
Max mstaarabu Masha Allah
@silverman69304 жыл бұрын
Max my Guy ... knowledge is power ... you speak sense bro 🙏🇬🇧💯💎
@eliyachaly85894 жыл бұрын
Harry silver man kipind kizur saf sana khadija kopa
@janethpaul15534 жыл бұрын
Khadija Kopa na Kaka Max wameongea vizuri sana
@binurusm88864 жыл бұрын
Hapo akiwepo Mama Teri, Anty Sadaka Na Hadija Kopa Elimu hiyo inakua ya kiwango, Kwani hapo watatu niliowataja hapo juu, wameona mengi katika maisha, bado nakupa hongera Lillian Mwasha Kwani umebuni kitu MashaAllah.
@zainabukassim99244 жыл бұрын
Naomba kaka maxrioba...aachiwe Muda...na awepo Kila siku..........but...lady in red thanks for ur contribution plz.....give us a tym to mic u
@jokaykaygee82744 жыл бұрын
Keep it up.... GOD 🙏 bless .....you all speak the truth.... I say it again keep it up .... God bless 🙏 you.
@Maryam-yt8lw4 жыл бұрын
Umeongea point da khadija
@babyhamisi53314 жыл бұрын
Bi khadija kwakujishebedua hongera
@benbenedict27204 жыл бұрын
Kudos woote kweli nyie ni wa faida, wazungumzaji wote mpo VIZURI!
@azizakombo376 Жыл бұрын
Mma khadija unasema kweli zanzibar ndio mila yetu mma
@ismailyusuph7404 жыл бұрын
Hadija kopa ‘umeongea KI MKE na KIMAMA....!...Lkn Huyu dada mwenye nguo nyekundu anaongea kama mwanamke ambae hujui thamani ya NDOA’ anachojua yy Mwanamke wa Sasa ni kudanga na aishi anavyotaka’...! Mwanamke wa leo badilika usijidanganye ‘ haimaanishi huwezi kuishi mwenyewe na kujihudumia mwenyewe ‘ NDOA ina misingi ‘ mbali na kuhudumiwa KULA ‘KULALA’ na mengineyo ...! ANGALIZO: Mwanamke asiyekua na EFFORT ya kuendeleza familia na mumewe kimaendeleo ‘ basi wakati wote atakua analalamika...!
@shaabankagobe93474 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣bi khadija yuko vizuri🙏🙏
@blandinamnyinga83184 жыл бұрын
acha kabisa anatuchana makavu live.
@Kidotii4 жыл бұрын
Jamani mwachen Max aongee point zake za kibingwa! halafu mnamkatiza!
@linarmakengo10644 жыл бұрын
Mwenye nguo nyekundu jaman mpk kero haaachi wenzie pumzi ya kuongea !!mwenye suti nyeusi anaongea vizuri mpaka raha
@azizaalmas96244 жыл бұрын
Arafu Hana ata point anaongea pumbaa tuu
@paulagastopaulagasto70494 жыл бұрын
Kifupi anaaribu kipindi mwenye gauni lekundu..Mbishi sana ..Ata kama Mtu ujafunzwa ukiolewa ..saanyingine tuwe Tunajiongeza wenyewe Inahusu
@zainababdullsadik12474 жыл бұрын
Mwamme ni mwanmme hata kam unapesaa anasimama palepalee,khadijaa mashallah anaongeea point,red zéro anaonekana kivivuu
@lareineminah13534 жыл бұрын
Hajuwi lolote😏😏😏😏
@rahyakikoti95374 жыл бұрын
Naanzaga kuangalia video uku nasoma na comment😆😆 nmegundua most of comments dada mwenye nyekundu anaongea sana awapi wenzie chance😂😂😂
@joannemakena994 жыл бұрын
Huyo wa gauni nyekundu should learn to give others a chance to talk and respect there chance while talking
@linarmakengo10644 жыл бұрын
True
@superdorina32384 жыл бұрын
Gud if u have also seen:as if she knows much😊than others.
@fanuelmulumba99764 жыл бұрын
Joanne Makena Kwa show zote huwa anajiona yeye ndo anajua sana
@ancillabura14574 жыл бұрын
Woah, She loves food.
@edgarmwambene42614 жыл бұрын
Wamemuweka kwa ajili ya comedy nadhani, she sounds so childish and immature.
@aminanamoyo834 жыл бұрын
Red colour gauni, hii mada hukutakiwa kuwepo sorry ni mtazamo wangu tu ,bora angekuwepo mama Terry au aunt sadaka. ❤
@mumyhendry29194 жыл бұрын
Ha ha haaa,kelele nyngi
@eileenmanda87754 жыл бұрын
Ana kelele alafu hajui kitu
@yudatadeshayo44344 жыл бұрын
Mweupe kichwani hajui chochote
@esthersimon44274 жыл бұрын
Na wewe umeonaa ee Bora kabisa wamtowe 😏
@aminanamoyo834 жыл бұрын
😁
@zabibunduwimana46124 жыл бұрын
Asant sana Max na Hadija nimewahelewa
@liobajoseph82554 жыл бұрын
Kipindi kizuri, big up Lilian and whole team
@hadijapazia82554 жыл бұрын
Lilian jaman unaniacha hoi na hayo makofi yko na heeeeeey...😂😂😂😂😂
@fashiontrendstv32074 жыл бұрын
Ivi 2020 kuna mwanamke anaesubiria kukombolewa hamjifunzi tu kwa kina Tanasha
@vlogvlog85224 жыл бұрын
Yote tisa tunaomba hadija koppa aendelee kuwa kwenye shooo kwakweli anavutia na Mara zake pamoja na mama Teri anti sadaka na mama mchungaji na max na wewe lilian mnaifaaa Hii show
@babyhamisi53314 жыл бұрын
Uko sahihi lakini kwaajili ya majukumu lazima wabadilishane sana
@lovenessdiva33704 жыл бұрын
👏👏👏
@mariamyoyote81724 жыл бұрын
Walah khadija kama khadija na makopakopa yake mama shupavu nakupenda Sana uwepo siku zote
@khadijajuma14084 жыл бұрын
Maa shaa Allah Mmengea vizuri
@aminanamoyo834 жыл бұрын
Mongi kweli handsome mashallah, max usiwe unapotea,your the best pia bi khadija uwe unakuwepo kila mara please.
@a.8564 жыл бұрын
Show nzur asanteni Lilian punguza zogo lakini pls🙏🏻
@edistakundy62044 жыл бұрын
Max na khadijah mnaongea point
@medicalphysicsbiomedicalen17074 жыл бұрын
Big up brother Max.... much love... watching from Italy
@queenmilan20242 жыл бұрын
uko Italy wapi ?hata mimi niko Italy Milan sijui mtanzania hata mmoja
@delmamwanga63924 жыл бұрын
Huyu Dada mwenye nyekundu si mumtoe jamani khaaaa, muwekeni Mama Terry nafasi yake.
@irenegilbert23104 жыл бұрын
Max uuuwiii Nakupenda kufaa
@hshshsshjdjejjejejejej98232 жыл бұрын
Masha Allah 🌹
@magreth79814 жыл бұрын
Duh Max you have been missing, leo aunt Adijaa&Max Konkiiiii na team yote, 👌😅😅😅 @Lilian as usual much respect !👍
@slayingtee60444 жыл бұрын
Violet namkubali sana super woman wa hali ya juu
@hawraymuncw98934 жыл бұрын
Huwezi kuwa mcha mungu ukataka mwanamke asiyekuwa cha mungu,na huwezi kuwa mtu muovu ukamtaka mwanamke mcha mungu hapo ni uonevu na kuishi ni ngumu chukuwa unayeendananar kitabia tu ndio salama tako
@nicksonfrancy60434 жыл бұрын
Safi sana khadija kopa mama max orioba mmetoa point nondo "ila dada wa vidredy anavyo vifanya ndio anavyo viongea hajanifunza hata.
@deuspetro56174 жыл бұрын
Nimekupenda saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana.bc maada unazoziongea zinanifunza sana
@saumumboka89384 жыл бұрын
Nimeipenda hii
@hellengelwin69354 жыл бұрын
Big. Up show nzuriii
@rukaiyarukaiyaa33674 жыл бұрын
Santeni sana jamaa ,,big up
@sharonke74424 жыл бұрын
Nampenda sana bi khadija
@joyceh.kanuti47564 жыл бұрын
Yaani nimemwelewa sana dada Adija kopa
@cadettedenise14234 жыл бұрын
Nawapenda sana sana muno
@hawraymuncw98934 жыл бұрын
Tatizo ikotokea mmoja wapo kampenda mwenzie basi kichwa huvimba na huanza kumtesa mwenzie,hatujui mapenzi na heshima za ndoa.
@salehemsumi37524 жыл бұрын
Kwakweli huyu dd alievaa gauni jekundu hajui kbs anabwajaja tu.
@lovenessdiva33704 жыл бұрын
👌
@nadrasalim52984 жыл бұрын
Dah kipind kizuri sana ntmn km niongee na ww dada liliy. I think I have a stry to tell
@fatmasuleiman52424 жыл бұрын
Nawapenda sana kwa bihadija usikose
@samirarashid81864 жыл бұрын
Nawapenda sana
@khadijasalum23024 жыл бұрын
Da khadija na max na man nimekuungeni mkono
@silvanajoseph29724 жыл бұрын
Vai jaman ananogesha kipindi nampenda vailet mwenzenu 😘
@sarahtaste28764 жыл бұрын
Khadija kopa anatumia fursa ya msosi vzr
@vevo31304 жыл бұрын
Kitu kimoja napenda kuhusu hiki kipindi kuna very good representation of minds za watu wa jamii zetu…..which is good. Kila mtu kavaa uhalisia vizuri sana big up Lilian
@Sppah6974 жыл бұрын
Violets hafai kuwa kwenye kipindi! Mtoeni anachemka sana anapayuka ovyoo!
@abdalahtwahil52024 жыл бұрын
Najifunza vitu vingi sana kwenu ...nawapenda
@faithmtoi23814 жыл бұрын
Khadija hajaja kucheza 😂😂 safiii piga menu mama !!!
@giftlyimo16544 жыл бұрын
😂😂😂😂
@joselinajosephat89844 жыл бұрын
Anakula atr
@zainabukassim99244 жыл бұрын
My maxxxxxxriiioobaaaa..........😍😍😍😍😘😘
@mariamlohhay5384 жыл бұрын
Hongera max..bi Khadija pia ni vyema kupeana nafasi ktk kuongea ili point ya mtu ieleweke vizuri na kuleta maana kwa anayewatazama ama kuwasikiliza
@sarahtaste28764 жыл бұрын
Mwenye nguo ya red asirudi kwenye show anakwaza
@hawraymuncw98934 жыл бұрын
Wewe uliyevaa nguo nyekundu unaongea mambo ya kitoto sana tuliza kichwa
@sanekwilabya44534 жыл бұрын
Huyu bado hujamjua. huyu ndie anamchango mkubwa wa kuibua hisia na mawazo mapya kwa kuonesha ukinzani wa mada. anaelewa kila kitu ila anajaribu kuwasemea wale vipofu wenye tabia tofauti.
@bellakaombwe7384 жыл бұрын
Pole sn
@sharonke74424 жыл бұрын
Max umeshamaliza juice dakika kumi tu😆😆😆 ila kaka nimekuheshimu, unajua sheria Yaan umalize kula kwanza ili mjadala ukianza you concentrate
@misssharonerasmus4 жыл бұрын
Lady in red should give more chances for people to speak and stop going against everyone's point rather discuss
@atuganileswedy48304 жыл бұрын
Anaingilia mpk anabore
@hawaibrahim96094 жыл бұрын
Love love your show from kenya
@habibahamis55324 жыл бұрын
HUYO DADA MWENYE NGUO NYEKUNDU ANAMUHURI WAUBISHI MOYONI MWAKE😀😀
@shamomar6294 жыл бұрын
Mwanamke in red anadhani anajua kila kitu, yupo so argumentative anakera sana
@shamimushittindi14184 жыл бұрын
Ndio zake huyo mpaka kwenye magroup
@vickgodson46054 жыл бұрын
Nimeipenda show
@jacklineswallo36434 жыл бұрын
My favorite show
@sanekwilabya44534 жыл бұрын
I love you, Sam upo gentleman just like my fiance. Asante mama Hadija.
@sanekwilabya44534 жыл бұрын
i mean Max
@judithmwambe47674 жыл бұрын
Suti nyeusi nimependa the way you think deeper and way you talks.
@mhogofelwa4 жыл бұрын
Huyo dada nguo nyekundu hajielewi kabisa mmemtoa wapi anaharibu kipindi
@azizaalmas96244 жыл бұрын
Hawa Ndio wale wanaake wanaolewa ilituu watu wajue kaolewa lkn ajui hata mumee ninani katika nyumbaa ajui Kama Mume Ndio pepo yakeee anatakiwa kumuheshim kuliko mzazi wakeeee japo wazazi umuhim wake Ni Zaid Kwenye maishaa yetuu
@anethmahera44534 жыл бұрын
Juhudi Shadrack 4G kizaz chke anapotosha point anachotka kukiongea anakikosea
@mwajumakassim66324 жыл бұрын
Ananiboa huyuuu
@paulagastopaulagasto70494 жыл бұрын
Huyo Mdada inaonyesha Mume wake ana tabu San.. Ukiona mtu kilakitu anapinga ujue Tabia zake mbaya
@fatmaayyoub83654 жыл бұрын
she is so bored
@fanuelmulumba99764 жыл бұрын
kipindi kizuri ❤️❤️🔥🔥
@gullaalex65904 жыл бұрын
Big up hadija kopa
@therealhansjfour79904 жыл бұрын
Kama umemuona Lillian kaiondoa ile chupa chaaap, Na umejua kaiondoa kwa nini piga like 😂😂😂😘😚😍
@rosemarypeter18404 жыл бұрын
Huyo dada mwenye nguo nyekundu kipindi kijacho atoke,anatuchosha maana badala ya kuongea point anachamba khaaaa!!!
@devothaemmanuel11454 жыл бұрын
ndo maana ya urafiki jamn mkiwa marafiki kila kitu kinawezekana mkiwa marafiki atakusaidia baadhi ya kaz 👌
@hawraymuncw98934 жыл бұрын
Dini ndio mkombozi wa mwanamke na mwanaume katika ndoa
@scholasticalaurent15424 жыл бұрын
Dada Lilian tunaomba huyo mwenye red umpumzishe kidogo yaan anadakiadakia utadhani muongoza kipind aiseee uwarudishe mama terry, abt sadaka, mama mchungaji muongeze bi Khadja na Max wakiwepo hawa tunapata madini ya kutosha
@tunsumegideonmwamboneke96394 жыл бұрын
i looooveeeee me some aunt kopa, she is soooo really.
@azizaalmas96244 жыл бұрын
Uyuu dada Mwenye nguo nyekundu ajiekew kabisaa ajui hata umuhim wamume Kwenye nyumbaa yaan yy kazi ndio mumeweee ndio Hawa waumezao wakitoka njee wako saloon kulala mikaaaa
Waooo max jamani ndo kanileta hapa nampenda yaniii😍
@fanuelmulumba99764 жыл бұрын
Huyu dada mwenye nguo nyekundu kila show anajiona yeye ndo anajua sana
@blandinamnyinga83184 жыл бұрын
hapo ndipo wanawake tunapofeli, unataka ushindane na mumeo badala ya kushirikiana nae.TUSISHINDANE NDANI YA NDOA BALI TUSHIRIKISHANE.
@ilovejesus93034 жыл бұрын
Wapo wanaume konki hata ukitaka kushirikiana nae hataki, hivyo inabidi uwe ka sumaku ili mambo yaende. Sio wote lakini nawatetea wanawake wapole alafu wanaonewa kwa ndoa ndio wanaamua kuwa hivyo
@charlesjanny82324 жыл бұрын
Wapo wanaume kama max Ryoba aiseeeeeeeee uwiiiiiiii
@malongosalim68264 жыл бұрын
Max salute kwako🇰🇪
@superdorina32384 жыл бұрын
Jmn khadija anakula huyooo😂😂😂😂😂
@perepetuasmalochoperepetua67484 жыл бұрын
Super Dorina kumbe umeona
@giftlyimo16544 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@mutomubaya4 жыл бұрын
Kweli kuna kazi viongozi wa kijamii wajikwatue wawaelimishe ndugu zao kuhusu umuhimu wa kujilinda ili mtu asitumbukie kwenye dimbwi la anasa.