0:00 Adam,Nuhu, Ibrahim na Isaka hawakuwa waadilifu,mnahalalisha uchafu kwasababu ya mtu mmoja muovu aliyejipa utume,Ndoa za wake wengi zilianzishwa na waovu ndipo na wacha Mungu kama David, shlomon na wengine wengi wakaiga kwa hao lakini tangu mwanzo Mungu aliumba mtu mke na mtu mume.Msihalalishe kuoa wake eti kwasababu suleman alioa wake wengi
@hemediyassini86963 ай бұрын
"Ndoa za wake wengi zilianzishwa na waovu ndipo wachamungu wakaiga" Haya maelezo umeyasoma kabla ya kuyapost au umekurupuka tu na mihemko yako ya ki-imani??