Wimbo unafariji sana kama unausikiliza 2024 gonga like twende sawa
@RibinIbochwa6 ай бұрын
Wimbo uu ni faraja sana kwangu.
@OlivierNduwimana-pq3rd3 ай бұрын
On 🍀 ojjnbjbnjn le JB n nb j'ai ko'.@@RibinIbochwa
@richardmbaluka590517 күн бұрын
Amina
@thepowerofsilentsoul21353 жыл бұрын
Never give up 🙏💪💪💪💪💪💪💪 am working Saudi but Kenya my life change I thank God kumbe maid unaeza Kua madam boss,,,, Wana hammam wapi like zenu
@terachesrem53822 жыл бұрын
Yeah that bless from lord
@jamilairakoze66002 жыл бұрын
Yeah never give up
@muhindosifa63062 жыл бұрын
💪💪💪💪I can't give up
@emillyoketch3888 Жыл бұрын
Very good 👍
@emillyoketch3888 Жыл бұрын
I will never give up l will be strong 💪 🙏 💪💪💪💪💪💪💪💪💪🙏🙏😘😘😘😘😘😘😭😭😭 l will not be afraid
@Johnmbwambo-vo1lw8 ай бұрын
Hakika dada matha katka nyimbo ambazo umeimba huu wimbo ni wimbo wa kuponya mioyo ya watyu Tanzania na dunia nzima mungu akuinue mara elifu unanipa imani ya kusonga mbele
@charleskuyeko44002 жыл бұрын
Napenda kumwambia Binti yangu Martha kwamba huu ndiyo wimbo bora sana kuliko nyimbo nyingi alizowahi kuimba kwa jinsi ambavyo unagusa nyoyo za watu. Nilipousikia kwa mara ya kwanza kabisa akiimba kule Mlima wa moto mimi na utu uzima wangu nililia machozi. Kipawa alichokupa Mungu kilianza katika gia ya juu sana sana kuonyesha upendo wake kwako. Ninabarikiwa sana na nyimbo zako zote lakini siachi kurudia tena na tena kuusikiliza wimbo huu ulioniliza. Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu.
@happynessfrancis3707 Жыл бұрын
Yan San tu
@15gvng926 ай бұрын
Nimeskis wimbo huu asubuhi ya leo n ninatumainia mungu atajibu maombi yangu 😭😭maisha ni magumu lakini namtumainia mungu atatupitisha🙏🙏
@TomLone-jd9vf6 ай бұрын
Ni mwaminifu Mungu.usikate tamaa
@faithblessings6211 Жыл бұрын
What am going through now in Lebanon imefika point nime give up 😭😭🙏 remember to pray for me guys 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 depression will kill me
@FaustinaMulamfu10 ай бұрын
Never give up
@jovitaaugustine7 ай бұрын
Mungu wa mbinguni aendelee kukutia nguvu nakukupigania 🙏🏾
@Chivatsi-Isaac7 ай бұрын
jipe moyo..psalms 27:14
@flaviabaruti76024 ай бұрын
May God heal you dear , I recommend you to listen to more encouraging songs it will heal. It's only a matter of time
@RehamaMary3 ай бұрын
Weka tumaini kwa yesu atakupigania jaribu haliji kukuangamiza Bali kukuinua kwa kiwango kingine zidi kumuita yesu atakushindania
@elizabethowudi71392 жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏 Nina tumaini siku moja nitanyamazishwa😭😭 n kueshimiwa 🙏🙏
@BarackOtieno-ws4qw Жыл бұрын
Ni kweli tusikate tama, atakama tunashushwa chini siku moja tutafanikiwa na Mungu ❤😮
@BarackOtieno-ws4qw Жыл бұрын
The best gospel song for encouragement, may God bless you ❤
@levinahachieng659 ай бұрын
Amen
@PerisMwamsae-uq2vz9 күн бұрын
amen
@dominicantweve21312 жыл бұрын
Nakumbuka sana mwaka 2012 unatoka huu wimbo nina maisha magumu yani ya kukata na shoka nalala njee nipo na jamaa angu BRAITON CHAULA wakati huo tunachinga vyombo sumbawanga tunakanyaga kwa mguu jamaa maangu akawa na simu ndo tunaweka huu wimbo😭😢😢😢tunalala njee huko Asante mungu kwa neema yako juu ya mikono yangu hakika umeibaliki 🙏🙏🙏nitakutukuza milele
@munyaburangacharles74152 жыл бұрын
Munguyupo
@dominicantweve21312 жыл бұрын
Hakika mungu yupo tena yupo hai nitamwimbia milele
@costanciaraphael6062 жыл бұрын
Daah hakika mungu ni Mwema
@brisbanesokoth55412 жыл бұрын
Heee sema pole pole this was 2012 nakula mboga haina mafuta unafunika ndani ya sima,na beba gunia godown thank you God for your blessings aki
@naomiatieno94242 жыл бұрын
Amin dadangu mumgu azidi kuku inuwa
@criscirhuza711111 ай бұрын
Still playing the song in 2024 when facing terrible and strangely difficult moments and this song makes us feel comforted. God bless u Ms Mwaipaja, your work will never end and I believe even in the heaven God will let us sing this masterpiece
@AnuariteKaviraNDAVARO Жыл бұрын
Tuna farijika na nyimbo zako. Endelea mbeletuu
@GiseleKilombazeka14 күн бұрын
Mimi Niko dr apa kongo iyi nyimbi zina kusaidiya kuelewa Neno la Mungu ndani ya maisha yangu ya mutoto wa Mungu
@EvodiaDominic6 ай бұрын
Enzi hizo martha na leo alivyo ni tofauti kabisa,, Mungu niinue niheshimishe nami,, nasikia natiwa nguvu kila nisikiapo wimbo huu
@SaidiSalanje6 күн бұрын
Naitwa grace da Martha hapa' umenifarij sana nilikosea tumain mungu akubarik sana maana' mh hali Yangu sio
@faithiagift66146 ай бұрын
Ooh my God , see how God is good look the way he changed the life of our sister Martha!!! Wooow so long way with God. Looking pretty and innocent. Nice song
@AlphaUgwaro-z7f14 күн бұрын
I love you so much. Sorry even if I am not capable to write Swahili but I listen. Mungu akubariki Mom Martha ❤
@asiahmariam39426 жыл бұрын
Mi ni Muslim ila huyu wimbo ulichangia kunifariji kipindi nilikuwa kwenye wakati mgumu nilikuwa nikiskia ujumbe huu najiskia faraja mnooo Mungu ni mwema sana Hongera dada Martha Mungu azidi kukuongoza katika kazi zako
@pascalsamson47216 жыл бұрын
Aise nilikuwa kwenye kipindi kigumu sana wakati huuu wimbo unatoka.nilikuwa nausikiliza kwa siku zaid yamra kumi
@pascalsamson47216 жыл бұрын
Mungu yumwema
@asiahmariam39426 жыл бұрын
@@pascalsamson4721 unafariji mnooo wimbo huu
@andrewmoka74526 жыл бұрын
@@asiahmariam3942 kweli kabisa
@angellahmusangi84945 жыл бұрын
Asiah Mariam good God bless you dear
@beatriceakinyi-dn3vy9 ай бұрын
hii wimbo inanipeanga nguvu sana wakati nilikuwa n shida niliona kaa nmebaki pekee yngu but God always good may God bless u Mama Martha to continue ❤❤❤
@akidajulius15818 ай бұрын
HUYU ndio Martha , huu wimbo hautakuja kufutika ktk maisha yetu wanadam , maana tunapita ktk changamoto, na huu wimbo ni faraja kwetu
@richiusfrancisco9244 Жыл бұрын
It's 2023 nasikiliza huu wimbo. Mungu awasaidie wote wenye shida mbalimbali wanaoteseka muda huu, awapatie mahitaji yao. Amina🙏🙏
@ANTONYWASILWA Жыл бұрын
When I watch this song I feel like crying, I lost my job, when miserable life started, I lost all my friends and my marriage, God bless you
@mariamariam4555 Жыл бұрын
Mungu akupiganie,, kumbuka wakati washida ndo unajua marafiki na familia
@JeffBizimana23 күн бұрын
Only God,,mwenyewe ndie mpambanaji wetu
@Paulo-jy2fn6 ай бұрын
Mungu akubariki sana dada yangu huu wimbo nikama ni wakwangu
@Favouredone-c3p2 ай бұрын
Kwa kweli imetoka mbali endelea Kutembea katika njia za Bwana yeye ni mwaminifu siku zote ❤
@muirupiusMup Жыл бұрын
This song is still live...It doesn't loose it's message... God raises people from far...Mwaipaja is doing great now
@Vaskevil Жыл бұрын
For sure
@JessicaSalama-x8n Жыл бұрын
Your right
@NtilaJibson-by3ly Жыл бұрын
Mdogo wangu matha naiheshimu sana huduma yako sana mana umepewa na mungu mwenyewe.ila kumbuka wakati unaanza huduma hii nahapa umefika kuna kupanda au kushuka.Niko Devi's cona
@BerthaMwajuma6 ай бұрын
❤❤❤
@SuzanaEliakunda2 ай бұрын
2012 nilikuwa mgonjwa saana nilikuwa nimelazwa bugando miezi 3 nilikuwa napenda kuusikiliza huu wimbo Asante Mungu Leo hii mie mzima kwa kuwa wewe unajibu kwa wakati wako
@LinetAtieno-m3i2 ай бұрын
I'm still listening to this song right now Oct 2024
@danielmsuya720 Жыл бұрын
Wimbo mzuri ninakumbu huu wakati marehemu Mke wangu anaumwa pale muhimbili ndipo wimbo huu mzuri ulitoka. Ulinitia moto sana.
@danielmsuya720 Жыл бұрын
Ulinitia moto kuendelea kuwa imara maana. Ulinitia moyo nisikate tamaa.
@stacykhavai30787 ай бұрын
Listening this in 2024😊
@liliankaveza34506 ай бұрын
❤
@TwasuGeorge2 ай бұрын
Huu wimbo uliona mbali sana mama yangu maana Mungu amekuweka viwango vya juu sana mpaka sasa 2024 barikiwa sana
@Gracechege-iv6sr6 ай бұрын
Aki human unanibariki na hizo songs zko❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@esthernandy9508Ай бұрын
Waaaah🤔God will change my situation 😢too in Jesus name🙏🙏
@sospetertimothy3976 жыл бұрын
Wimbo una mafundisho halisi kabisa ...MUNGU azidi kukubariki mtumishi wake kwa nyimbo zako nzuri
@Anna-rr5gd Жыл бұрын
Napenda kusikiliza hii wimbo
@JOSEPHJOHN-zt7qc11 ай бұрын
Wimbo bado unafanya vizuri... Mungu ni mwema saaaana, wakati tungali na pumzi tuendeleze ibada ya kumsifu mungu ktk roho na kweli.
@luciewajesus7317 жыл бұрын
Ubarikiwe dada sitakataa tama natamani Mungu awe na asimame nami asiniache ingawaje nalia leo namtumaini atakuwa Mungu peke kwangu
@stellachipalamoto14084 жыл бұрын
Ubalikiwe sana Dada Martha
@bhokeshinta17796 жыл бұрын
Sifa zivumee zirudi kwake yeye mungu wetu....kweli mungu yu.mwema kwangu ...acha tu sifa zivume kwangu...Amina Amina...nafarijika sana ktk kipindi hichi kigumu nikiwa muscut Oman
@damienmallow2778 Жыл бұрын
Whenever I listen to this song I become strong to face any challenge in life without fear knowing that one day I'll make it 🙏🙏🙏
@JosephJuma-n7m11 ай бұрын
Wakati huu wimbo unatoka maisha yangu yalikua mabaya lakini baada ya kusikiliza huu wimbo ukanifundisha mimi kutokukata tamaa ❤❤❤
@nafasithabestismessikalika21024 жыл бұрын
Mimi nafasikalika when I listen this a get strong God please u 👍👍👍👍
@JamilaAbdallah-i9i2 ай бұрын
Huu wimbo nakumbuka unatoka 2012 nilikuwa ktk wakati mgumu, nilikuwa naimba huu wimbo nalia. Ubarikiwe martha
@erickhaule86806 ай бұрын
12/06/2024 nyimbo ni tiba kwa nafsi iliyojeruhiwa
@NeemaMussa-i4b4 ай бұрын
Kwakweli anaimba vizur kwa utulivu zinapendeza sana huwezi choka kumsikiliza
@paulsituma50912 жыл бұрын
Ooh my God! It's totally grace.. May the grace pass to my kid in Jesus name.. God bless you Martha for transforming souls
@patricemichael6743 Жыл бұрын
2023 hii song nikiskiliza hua namkumbua msiba my parents 😭😭😭😭😭
@paulineajiambo42556 жыл бұрын
Nakupenda sana nazipenda nyimbo zako kwa kunifariji nimeteseka vyakutosha lakini sikumoja ipo nitainuliwa
@stephenmathuku69323 жыл бұрын
Unaenda kiwango kingine
@castormwaikimba16402 жыл бұрын
Mungu mwema
@UWIMANAJeanClaude-s5z9 ай бұрын
Ooooh nice song If Gd still on your side anything is change Just believe God 🙏
@albertwafula3339 Жыл бұрын
I used to listen to this song during corona time,I listed my job the country was locked,I had no many and I had to feed my family and my parents, what a hard time,but God stood with me, interesting and what apromising song Wau!
@thierrykatusi566 Жыл бұрын
Kutoka dr Congo kwa kweli iyi mwaka 2023 nilianza n'a kukata Tama Alakini hu wimbo ulinitiya nguvu Léo n'a ishi vizuri mungu azadi ku pewa sifa
@mercylinejumba31769 жыл бұрын
This song Rilly encouraged m e when I was losing hope with life back 2013 but now am blessed. God bless u Martha
@maarlifasichamba9547 жыл бұрын
wimbo huu huwa unanifarij saana ubarikiwe dada
@Nicoletatuabel5 ай бұрын
Dada Mungu akubariki napenda Mungu aniongoze Siku sote za maisha yangu..
@johnmwambito6 жыл бұрын
May the God of Abraham,Isaac and Jacob bless your singing ministry
@sechelelafungo18849 ай бұрын
Huu wimbo natembea nao usiombe kuzarauliwa na ndugu unaowategemea inaumiza sana ila MUNGU yupo
@faithsiakilo2163 Жыл бұрын
This song is a blessing to me I had given up in life ,,,,then I woke up singing this songs ,such a wonderful song
Martha nakupenda sana.nyimbo zako zinanifariji moyo.Mungu akuinue juu zaidi.
@NeemaBaraka-l7l9 ай бұрын
Hi nyimbo miyaka 2019-2022,nilipita kwenye mtiyani yanguvu sana kila mara mungu alikuwa nanituliza na hii wimbo , lakini mungu ni mukubwa kweli leo namushudiya mungu.
@jacklineokoti95088 жыл бұрын
I like Martha's songs very encouraging. Giving up is not a solution coz God sees us in all we go through and allows it to happen for his Glory. God bless you so much for these touching songs
@adelalohay31115 жыл бұрын
Ubarkiwe
@maryweswa77502 жыл бұрын
I love this anointed song. The best.may the Lord continue to use you sister Martha.🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@mmbogadiana3952 жыл бұрын
True he is always with us
@BrianGwai11 ай бұрын
Wow🎉🎉🎉 huu mwibo unatia moyo sanaaaa Jamani msifuni MUNGU mnapokua na huo mdaa
@phina8426 Жыл бұрын
For real if you confess anything by faith in God ,he will never let you down as I have seen mwaipaja of 9years back and of now you see the biggest difference between having faith in God and of the world ❤ may good lord continue blessing you through gospel songs and your nursing alot of wounds through your songs, I myself am really treated by all your songs martha adui anjui song it says alot to my life ❤🎉🎉🎉
@siphoranahimana6695 Жыл бұрын
God bless you. This song make me Strong
@ghatimakuri10 ай бұрын
fact martha wa huu mwaka na huyu wa 2024 nitofauti kabisa
@levinahachieng659 ай бұрын
Amen
@agneskimondo90092 жыл бұрын
This is Martha then☺️ truly there is God, waiting for my turn 🙏
@benardmecha35792 жыл бұрын
This song truly inspires me always ❤....can't stop listening to it...asante Martha
@dontweve52593 жыл бұрын
Nakumbuka mwaka 2011 nilikataliwa na kila ndugu yangu isipo kuwa dada yangu ndo alikuwa mfaliji wangu Ila saiz huwezi amini mwaka 2021 mungu kapindua meza kila mtu anataka niwe kalibu yake Asante mungu wewe sio adhumani umeniweka kwenye viwango vingine umenikumbatia bwana
@brisbanesokoth55412 жыл бұрын
This year 2012 is very fresh in my mind when the song was out,was going through hell almost committing suicide nikibeba gunia godown mombasa natembea mguu kutoka port hadi bamburi thank you lord for your blessings
@glorianyarusa850 Жыл бұрын
Amen
@mapendoumoja8003 жыл бұрын
Wakongomani tumezarauliwa sana 😢 Hatutakata tamaa kunawakati tutahashimiwa Mungu yupo 🇨🇩
@viviandavid99746 ай бұрын
Daaa hadi machozi yamenitoka nilikuwa na wakati mgumu sana nimemaliza chuo kazi sina nauza kahawa nnje ya geti la uwanja wa mpira sheamri abedi karibu na stendi ya basi la loliondo maisha yalikuwa magum sana
@TomLone-jd9vf6 ай бұрын
Mungu yupo hakika
@everlinenyaboke960711 ай бұрын
Nakumbuka 2018 mtoto wangu alikuwa mgonjwa marafiki walijitenga na mm.Huu wimbo ulinitia nguvu nikajue rafiki wa ukweli ni mungu pekee yake
@queensarah8604 ай бұрын
In August 2024 I am still listening to this beautiful masterpiece 🙏❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@jamessimidi39704 ай бұрын
We are here too
@bahatisayenda10197 жыл бұрын
Tusikate tamaa....kuna wakati upo tutaheshimiwa..asante sana mtumishi wa Mungu endelea kubarikiwa na uzidi kumtumikia Muumbaji wetu..
@gladwellgathara16322 жыл бұрын
One thing l love about this video or song is the true simplicity and humbleness and most of all the message. This is the reality based on biblical facts. These days,whereby the world has walked away from God,the song is a true message. Blessings
@philiysmeso53906 ай бұрын
Umenikubusha mbali kwa maisha yangu, ubarikiwe Amen.
@gladyskibugi87376 жыл бұрын
Eeh Mungu wangu. Wimbo huu unanitia faraja sana..2018 🌸
@samuelwekesa14756 жыл бұрын
nxuri sanaa
@musinamusa79036 жыл бұрын
M
@gladysnaliaka79855 жыл бұрын
Nikisiliza huyu wimbo I start carrying
@MufapuEva4 ай бұрын
God will bless me too after watching this song , I have hope in
@habinamwishoclement84602 жыл бұрын
I can't stop to listen this song because he continue give me hope in my life and comfort me. Amen.
@emmahsaul Жыл бұрын
Me I thank God for everything has been done for me.i can't stop praising God
@swaumshaban897 Жыл бұрын
Ee mungu nisaidie siko sawa jmn mungu nisaidie napitia magumu sanaa hv kwel nami nitakuja kusahau haya yote 😭😭😭
@joscamkulalinda63403 ай бұрын
Wimbo unanibaliki sana ❤ asante mama ubalikiwe
@erivaniyanugwakera86349 жыл бұрын
May God always be with you and continue to bless you. This song is very encouraging. I sometimes find myself playing it over and over again because something similar to this happened to me and when I listened to this song I felt like I'm not alone.
@catherinenagudi2497 Жыл бұрын
IDidn't know that God's always With his people, after ihard this song I've never giveup 🙏
@ShadrackMurikijoseph11 ай бұрын
Kweli umetoka mbali@@catherinenagudi2497
@FransiskaSagdayeАй бұрын
Kwel nifaraja tosha ila Mungu nipe wepesi 🙏🙏🙏
@fridahakinyi34858 жыл бұрын
people say am your sister 😮just because we look alike.Be blessed Martha much love
@thepowerofsilentsoul21353 жыл бұрын
Thru your songs am madam boss nilitubwa but Mungu akawa upande wangu,, walio nipa mimba wakanitupa ,,,but sahii Niko mbele I thank God,,, Ni nyimbo zako zimefanya my life to change,, Kwa Yesu Kuna Maisha Mazur kweli kweli
@barakaselemoni73323 жыл бұрын
Nazipenda xana nyimbo zako martha hakika zinanifariji
@thepowerofsilentsoul21353 жыл бұрын
@@barakaselemoni7332 Ameeen
@charitychao55138 жыл бұрын
oooh Martha Mwaipaja your songs a really touching,God bless you
@raelmakanda94682 жыл бұрын
Kila mara nasikiza wimbo huu nabarikiwa najipata nko na nguvu ubarikiwe motha mungu akupe maisha marefu
@queenjovenary87046 жыл бұрын
Amen huu wimbo huwa unanifaliji sana kwenye wakati wa matatzo wow kila ktu kinawakat wake jaman barikiwa sana kwa ujumbe
@charlesobeidmaganga30346 жыл бұрын
Y
@queenjovenary87046 жыл бұрын
Charles Obeid Maganga coz n mzurii kila kitu na wakat wake
@SporahEmmanuel-gc7lw Жыл бұрын
Kupitia wimbo huu nimepata ujasir jmn mungu akubariki kwa ujumbe mzur nimejifunza kitu
@fredrickotsola24507 жыл бұрын
I am ever rejuvenated both spiritually and inspired in the matters of life upon listening and watching your songs,proceed till the limit.
@nabothsilasie20206 жыл бұрын
wimbo mzuri na umeimbwa kwa hisia sana...hongera mpendwa
@nabothsilasie20206 жыл бұрын
ubarikiwe kwani umetubariki sana...
@raissanyarukundo5808 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana sana uwimbo umenijenda sana myaka mingi wakati maisha yarikuwa ayaendi reo mungu amebadirisha mungu akubariki ajaze mafuta yake akupe yare uriyo muomba nayare usiyo Amboy ayakupe hakika yesu akirudi akuvike taji❤
@sterwardsofthemysteriesoft47912 жыл бұрын
Mercurial voice vibrating in all suffering humanity with powerful doxology to the sovereignty of GOD in all things. My all time great worshiper from Tanzania. Love you Martha
@winniemarieta8269 Жыл бұрын
Enyewe this is a testimony to that song of 'Amenitengeneza' Naomba pia mimi Mungu anibadilishe na anitengeneze
@churchilwinstone74669 жыл бұрын
Good work sister through ua song many souls get transformed n salvated
@danielbutoyi8327 ай бұрын
Uyu Wimbo unafariji sana wakati wa shida tunapita Emo Mungu aendeleye kumubaliki Mwaipaja.
@gershonkomando43168 жыл бұрын
martha nakuombaaa usijee badilio stailii ya kuimbaaa nyimboo zakoo.....xo amazing sanaaa tunazipendaaaa na ninazipendaaaa sanaaaa........love ur song sana GOD BLESS YOU.
@inkurunziza8 жыл бұрын
mungu akubaliki sama merci Dada yangu Mimi kweli nabalikwa na nyimbo zako tens sanaaaa yesu weeeeee
@fransiscamapunda29318 жыл бұрын
nafarijika sana
@fransiscamapunda29318 жыл бұрын
+naomba maombi yako
@edgarchristopher43936 жыл бұрын
Good song
@hannahmwambela11358 ай бұрын
Umenitia moyo sana matha kwa wimbo huu..Mungu akubariki
@DavidPrinceKIBASOMBA7 ай бұрын
Saeqii
@hildergacheri43188 жыл бұрын
Martha may God continue expanding your territories u really blesses me.
@eliamtatiro3803 Жыл бұрын
Dadaangu Mungu akubatiki akupe moyo usio wa majivuno Unanikumbusha mbali nikiwa mlinzi nalinda huku naenda shule 2010 wapo watu wa kunisaidia tena ndi ndugu zangu ila walijitenga nami HAWAKUWEZA KUNISAIDIA NIKABAKI NA MUNGU YESU mwinua wanyonge atakuinua
@ihanomadili9 ай бұрын
Pole sana Mungu ni mkuu wa yote.
@lucygichuki75477 жыл бұрын
Wow.. umetoka mbali 👏👏 God keep on blessing you, Martha, you are a blessing to us
@Wemafadhili-2310 ай бұрын
Dad this used to be pur favorite...but you went to be with lord last year December........i sing this everyday i know ur in a good place🥺🥺🕊️
@kevinyegon8457 жыл бұрын
The song has really transform my life,,, God bless you so much Martha
@Esther-n3t Жыл бұрын
Munguu kamaa ametendaa kwaa hawaa wote atendee naa kwangu kupitia wimbo huu mm kamaa mwanadamu nimeshindwaa
@headdpphs31984 жыл бұрын
My best song. it always reminds me of what i have gone through but i thank God because so far so good. My adversaries can testify with me that God can bless you from a nobody to somebody. Amen
@MiriamJohn-e3z8 ай бұрын
Amen itoshe kusema YESU ni jibu la maswalii yetu utapita ile siku ya kutufuta machozi itafika