Si si awa apa. We're still listening to it even though it's an old one. May God bless Marthe endlessly
@jonathanlukabya75586 ай бұрын
Jonathan Lukabya from the DRC
@jackline86745 ай бұрын
We are here
@stombagsteel20552 ай бұрын
From Dodoma
@florabuzoya3948Ай бұрын
Tupooooooooo 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿from Europe
@florabuzoya3948Ай бұрын
Yesu nisaidie 🙏🏿usiniache Yesu wangu🙏🏿Wewe ni Mwamba imara usiotikiswa.
@musicperz9 ай бұрын
Mungu unifikishe salama huu mwaka na wanangu tuliodharauliwa na watezi wetu,sasa hatuna makasi lakini naomba utuonyeshe pa kuficha uso wetu
@RhodaMwampagama5 ай бұрын
😢😢
@CleraAwuor2 ай бұрын
Indeed its a really blessing song
@winnieagolla40992 жыл бұрын
2023 nimemuamini Mungu Kwa Mambo yaliyo makuu this is my song 2023
@emmanueltumusifu2189 Жыл бұрын
Hatuna shaka na Mungu kweli alie tenda kwawengi nasi atatenda Martha Mungu akutie nguvu ukuwe namwisho mzuri saidi
@makokhaalvin90026 ай бұрын
I WILL LEAVE THIS MESSAGE HERE, ANY TIME YOU LIKE👍. I WATCH THIS SONG AGAIN AND AGAIN AND AGAIN......❤❤
@robertclinton-vg1ft Жыл бұрын
who is still anointed with this song. give it a like🙏🙏🙏🙏😊😊
@AmosKmedia Жыл бұрын
Am here sept2023 also saying nilikotoka ni mbali kweli,ni mara nyingi nimeanguka lakini umekuwepo kwa ajili yangu...asante yesu🙏
@FlorenceKirigo11 ай бұрын
Ahhh kweli Martha umetoka mbali nimekufwata sana nhimbo zako Wacha MUNGU abaki kuwa MUNGU. 🙏🙏🙏🙏♥️♥️
@edwinaggrey977111 ай бұрын
Ooh God i need you more in my life..May God answer your prayer you who is watching this song 🙏
@DaisyMamajayden10 ай бұрын
Amen
@GetrudeMariango10 ай бұрын
Amen dear 🙏
@jonathanlukabya75586 ай бұрын
Amen dear
@jesusisenough64225 ай бұрын
Amen
@asbelevaline79735 ай бұрын
Amen
@georgeochieng9901 Жыл бұрын
Reminds me of Oct 2021 went to job as usual , police were called to arrest me of something I knew nothing about ,the painful part of it is that acatholic priest whom i had worked with for 7 solid years, slept in cell arraigned in court,for two years have been up down in court but with God I overcame it, this the only Gospel song hunipa nguvu Amen
@charlesodondi9898 Жыл бұрын
Strong brother!!
@peterkiprono9362 Жыл бұрын
Gid is always has a reason
@williamwasema11 ай бұрын
Pole sana
@princesaintnewton417510 ай бұрын
Pole
@annejosphine208910 ай бұрын
Amen mungu alifanya njia
@BeatriceAuma-vf8kj Жыл бұрын
Amen,,dada nyimbo zako zinapendeza
@BeatriceAuma-vf8kj Жыл бұрын
Smrt song
@MaryWambui-j5o3 ай бұрын
Wimbo huu unanigusa kweli😥. Kazi nzuri sana Martha, wapiga guitar pia mbarikiwe sana.
@IreneNdungu-t6r2 ай бұрын
Bila shaka Wewe ni MUNGU HAKUNA MWINGINE KAMA WEWE.AMEN ASANTE MUNGU.
@EuniceOdinde9 ай бұрын
If I want to listen to gospel songs...... I pray through your songs
@FadhilaNdovya3 ай бұрын
Ndiyo kabisa ,mungu anatutiya nguvu katikati ya jaribu
@florabuzoya3948Ай бұрын
Nimesikia tu roho Mt.akiniongoza kuimbaa ndani ya Moyo wangu ,nikabidi niuwekeeee…….Daaah Thank you Jesus ,Nilikotoka ni Mbaliiii aiseee by Flora from Europe 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿Amazing God🙏🏿You have Done Me well🙏🏿My father my God🙏🏿You have done me well🙏🏿
@immamicky88513 жыл бұрын
Mungu azid kukupa ili utupe na sisi neno kupitia nyimbo barikiwa
@raymondmratemo529911 ай бұрын
It's takes me to another level in faith. My dad was down with sickness, with alot of pain but God has healed him
@DaisyMamajayden10 ай бұрын
Hallelujah 🙌 God is good 🙏🙏
@lecoltech15857 ай бұрын
Amen
@wilhardaugustine94399 жыл бұрын
Kweli tulikotoka ni mbali...hii inaonesha katika kumuomba Mungu kuna hitaji uvumilivu sana...maana huchelea ila mwishowe hutumiminia baraka zake kama mvua za vuli...ubarikiwe dada Martha.
@azeymussa798 жыл бұрын
Da Martha unanikosha sana na nyimbo zako bwana akutangulie katika kazi zakoo
@azeymussa798 жыл бұрын
Mama chungaji mungu aibariki kazi za mikono yakoo
@beatricemulama90463 жыл бұрын
Icant control my tears,this song really bless me despite the normal challenges.whoever listening may God bless u.
@MaryWambui-j5o3 ай бұрын
Me too, I feel like crying everytime
@SophiaNyangau-ld1qt9 ай бұрын
Amen dada Martha be blessed ❤
@shabanmohammed34392 жыл бұрын
Balikiwa Sana Na Wimbi Wako Mzuri Marth Hiii 2022 Namuomba Mungu Uwe Mwaka Wa Neeema Kwangu ....🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@carenmsafiri8498 Жыл бұрын
Usilie usilie Mungu atatufikisha ng’ambo
@robbymgori46423 ай бұрын
Mungu nifikishe salama bila wewe mm siku
@reubenkuloba-pz9ip Жыл бұрын
I have Kam from far, it's only God knows my journey.. I have passed so many challenges. This song has a message... Thank you God
@hildamutola555 Жыл бұрын
Hugs bro In life we need to be strong and to depend on God
@florabuzoya3948Ай бұрын
Glory to God🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@florabuzoya3948Ай бұрын
Imani nitailinda kamwe sitaiacha 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@chimamicute3164 жыл бұрын
Sina shaka na mungu, penda sana this song
@faithlukosi713 жыл бұрын
2021 hii nyimbo naiangalia ni kama imetoma Jana ,nakupenda sana Martha ,mungu akuweke ,,, asante mungu kwa kuwa uuu kiongozi wa safari yangu
@robinsonnjoroge56767 ай бұрын
Back nikiwa Kiwayuu Island..today in the streets of London. Mungu ni mwema. Martha asante
@Malindz3 жыл бұрын
My number one Gospel artist, nimesikiliza kutoka Africa Kusini. Nakupenda sana Dada yangu ur voice drives me crazy.
@abrahamtirorastogiceo8042 Жыл бұрын
Let that voice drive you near to our Lord God the most high
@mwanamisimwaka54966 ай бұрын
Amen 🙏
@genestekwi.nibizi86315 жыл бұрын
Nakupenda Sana mama pamoja na nyimbo zako. Yaani zinanigusa Sana. Be blessed.
@upendomjema66499 жыл бұрын
Mungu ni mwema skuzote naamin hutaishia hapo atazid kukuinua ufikie malengo yako amina
@quinterann9295 жыл бұрын
Amen
@PriscillaMashaАй бұрын
Nabarikiwa na nyimbo kila wakat mungu atupe uvumiliv hii ni ndefu lkn tkimumain atatufikisha t
@luciewajesus7316 жыл бұрын
naiangalia 2018 lakini inanga nakubariki zaidi.saa imetimia watu wabarikiwe 🙏
@MoureenKhavakali-bb7fx Жыл бұрын
Naamini mungu mwenye amefikisha hapa atanivusha salama
@SimoneKapumba25 күн бұрын
J'ai compris l'importance de cette chanson c quand vous avez chanté : Mambo yamebadilika❤❤❤❤
@rachelkisali77242 жыл бұрын
The song reminds me how far God has brought me. I thank Him with all my soul
@joellaniyonkuru89085 жыл бұрын
Umenitia nguvu dada martha
@Wazi2748 жыл бұрын
Asante mart kwa nyimbo zako zime ningusa.
@adelinapetro40055 жыл бұрын
Mungu akutie nguvu dada kwa kaz yake barikiwa
@kaliwazi510410 жыл бұрын
Nothing is impossible when believe in the living God, be blessed Martha nyimbo zako zinanipa mwongozo maishani
@cellinateshaable7 жыл бұрын
caroline katana @
@tumainiayo16394 жыл бұрын
Mungu nakutumainia wewe tu,imani yangu na maombi yangu kwako nitoke salama. Yesu nisimamie
@gabrielsimasi77917 ай бұрын
Tumemwamini Mungu kwa mambo magumu naamini atatenda....
@vestinasimon94987 жыл бұрын
ubalikiwe Dada kwa kujitoa kumutumikia mungu mungu akutie nguvu
@joelmachila74727 жыл бұрын
Nashukuru Mungu akubariki nyimbo zako hunitia nguvu ninapo hisi kuchoka
@zadokodira94606 жыл бұрын
naipenda hiyo nyimbo Sana,naomba siku moja nataka kuona huyu life,keep on spreading gospel to reach for those who have not received the words of God
@saraatieno24762 жыл бұрын
Aki hii mwimbo yanikumbusha Mali nimetoka,nahamini mungu anaweza kutowa chini na kuhuweka juu🙏🙏🙏🙏
@joellaniyonkuru89082 жыл бұрын
tuliko toka ni mbali sanaaaa na hapa ninapo fika ni mbali na ninako kwenda naona nimbali.sitakata tamaaa wakati wakufika umekalibia kitambo hapa naendelea kumutumaini BWANA ndio tumaini la wengi asiye sidwa kamwe ,ntashuhudia kwa maco jalibu hili akiliyeyusha🙌😔😔😔😔😔🙏🙏🙏🙏🙏05.11.2022
@maryally22626 жыл бұрын
Mungu ni mwema Dada nyimbo zako zinanibariki zaid
@janetjackson55698 жыл бұрын
Sina Shaka na mungu kila aliemkimbilia Amekuwa salama
@florencehaluwa2191 Жыл бұрын
huu wimbo unanitia moyo sna
@julianajaphet8864 Жыл бұрын
Uzidi kubarikiwa dada martha... Huduma yako ilindwe na Yesu Mungu mkuu...
@WisdomAram-xx5yq Жыл бұрын
Powerful message of this song reminds me where I was and who I am today.Truly God is everything and when we are on his shoulder we become confident
@neemantundu46815 жыл бұрын
Nabarikiwa siku zote na wimbo huu.Mungu ni pendo maishani mwangu
@juliethnnko37006 жыл бұрын
Sina shaka na Mungu alietenda kwa wengi hata kwetu atatenda ubarikiwe Martha❤❤❤❤
@jeffmuhindo19892 жыл бұрын
Mungu akujaziye baraka mtumishi Wake
@agnessvicent65912 жыл бұрын
Sina shaka na mungu tumain langu, kimbilio langu natiwa moyo sana na huyu mungu
@glorykareem47914 жыл бұрын
Usilie ,jikaze,usilie,beba msalaba tutapumzishwa naMUNGU,usilieeeeeeeee, glory be to god, 5/4/2020 alietazama, asilieeeeee
@catewaziri36442 жыл бұрын
Sinamashaka na kesho maombi yangu sii bule na sinashaka na Mungu
@Noela-Wilfred-Kimasso Жыл бұрын
Ushuhuda wangu kwa Mungu Hakuna ambaye angesema kama Leo Noela angeweza kufika nje ya nchi angesoma na angemaliza Ila alikonitoa Mungu Ni Mbali Imani Yetu Si Bure wala maombi Yetu Si Bure ,Leo hii naandika kutoka Norway na bado ninakokwenda atanifikisha 🙏, Mungu na asikilize Hitaji Lako Wewe usomae comment hii na usikilizae nyimbo hii Tusiwe na Shaka na Mungu Kama anatenda kwa wengine na kwetu atatenda.
@carenmapenzi20762 жыл бұрын
Am blessed with song yan nais kufarijika tuu🙏🙏🤲
@jacklineoduory14832 жыл бұрын
I don't get enough of this song my sister ,
@husseinsaid63703 жыл бұрын
Nyimbo hii inanipa faraja mpka Sasa wakati napitia mateso nahii nyimbo inatoka dah,am so sad😭😭😭 lkn bado inanipa nguvu nilipotoka ni mbl