napenda nyimbo zenu sana .kila ninaposisikiza roho yangu huchangamka na hakika mnanibariki.barikiwa Sana waimbaji
@alaisolendikon33367 жыл бұрын
Mnaimba vizuri sana na napendezwa sana na nyimbo zenu ila toeni lock basi ili tuweze ku download. Mungu awabariki sana
@user-ek5er9eq3q10 ай бұрын
Muzk ulio pangwana nakukamata unanifurahxha xana ntarud kwenye umtume wamgu xauti yatatu by michael marandu
@nahsonmkit11835 жыл бұрын
mabogo hyu mungu awe nae jmni so kwanyimbo hii
@ambrosefulgence56436 жыл бұрын
duuuuuu,,,,,,, kbko n huy organist,,,, I feel proud of him
@vedastusmathias31887 жыл бұрын
mnaimba vizuri sana namwomba Mwenyezi MUNGU alilinde kundi liendelee kuwa pamoja. hongereni sana.
@erneuslugusi12598 жыл бұрын
yaaap sifa kwa Mungu aliyeruhusu yafanyike haya .nimeguswa sana huu wimbo Mungu awabariki sana kwaya ya mt thadei ktk uinjilishaji
@jojopidosa94068 жыл бұрын
Sifa kwa Mungu.......... ! Mbarikiweeeeeeeeee! Nyimbo nzuri saaaaaaaaaaana... Sauti saaaaaaaaaaafiii ,
@happinessngoitanile66688 жыл бұрын
hongereni kwa kazi nzurii; mbarikiwe sana tuu yaniii
@innocentcleophace8583 Жыл бұрын
You made it my day .... ❤❤❤❤
@leojames66589 жыл бұрын
Kazi nzuri sana nawaombea mungu awazidishie na nguvu.
@alicejosephat34982 жыл бұрын
Mungu awabariki sana
@rubenbright787710 жыл бұрын
Kwa damu ya Yesu Kristo tuna msamaha wa dhambi na uzima wa milele. Site na Ọbara nke Jizọs Kraịst na anyị nwere mgbaghara nke mmehie ndụ ebighi ebi. Nipasẹ awọn j ti Jesu Kristi ti a ni idariji fun ese ati iye ayeraye. Ngegazi likaJesu Kristu esinawo ukuthethelelwa kwezono nokuphila okuphakade.
@amosedanielmwale52947 жыл бұрын
Thanks to this channel. Even here in Lilongwe (Malawi )we are hearing these nice songs
@benjaminmasala76386 жыл бұрын
your welcome
@immaculathawilliam46538 жыл бұрын
Asante....napenda kuimba..mnanifurahisha sana! Nauliza CD enu ya JIKAMILISHE...Ntaipataje
@Alice_Kazaura5 ай бұрын
2024 I’m here ❤
@munirakhalidikimaya42672 жыл бұрын
Ahsante sana mungu awabariki mpiga kinanda yupo vizur mungu akulinde
@devothawilson96518 жыл бұрын
Mungu awabariki mnaimba vizuri xana hongeren
@Maahjames-jm5lc Жыл бұрын
Mungu awake nini kwaya hii naowapenda xana mmejariwa sauti na kucheza hongera amina sana mungu awazidixhie vipaji jmn
@carolinaadolf6955 Жыл бұрын
Catholic for life 🥰
@wabulegrace63352 жыл бұрын
Thanks so much for the choir. Even in Uganda we are listening.
@edwinkente36219 жыл бұрын
Kazi inapendeza sana. Mungu awabariki.
@christianmabena72276 жыл бұрын
mungu awabariki kazi nzuri
@clodwickndumbaro99756 жыл бұрын
safi napenda Sana nyimbo zenu
@rehemauseja98376 жыл бұрын
Gd
@claramwanyalila32810 жыл бұрын
Mubarikiwe sana kwa uimbaji mzuri kwaya ya Yuda Thadei Mbeya Mjini.
@davidamundala972010 жыл бұрын
Aksananti na wimbo mzuri sana inyotangaza utukufu na uwezo wa Mungu pia yana leta furaha kubwa kwa kusikia maajabu yaka Baba Mungu. Baba awabariki wote. P.amundala 0039-3669936194
@nancymwangi94382 жыл бұрын
Glory to God in the highest I love the song
@herietybasil50089 жыл бұрын
asanten kwa sauti zenu tamu
@kelvinnyagah24947 жыл бұрын
Oooooh my God wonderful Amen
@happinessngoitanile66688 жыл бұрын
ni kweli kabisaaaaa; sifa ni lazima ziende kwa Mungu
@juliekiarie52536 жыл бұрын
woooooooow! i like this.
@patrickmukambilwa5845 жыл бұрын
Sifa kwamungu aliyeruhusu yafanyike aya yeyendiye muweza wayote
@bonitutah10 жыл бұрын
HONGERENI...SAUTI TAMU SANA
@kidenyajohn21436 жыл бұрын
Safi sanaaaaaa
@patricklugarata23816 жыл бұрын
Najivunia kuwa mkatoroki
@liydiafaustine78526 жыл бұрын
Mbarikiwe kwa kumtukuxa mungu
@liydiafaustine78526 жыл бұрын
Sifa kwa mungu aliyeruhusu yafanyike yote haya milele sifa ni kwake