Jamani naomba tumpongeze zébu kwa kutomchukia nola kama wengine gonga hapa kama umefurahishwa na zebu
@hadijamshimbula76163 ай бұрын
Hii ndio maana halisi kuwa huwezi Pentwater na kila mtu na huwezi chukiwa na watu wote❤
@MugabeMedard-yf9jn3 ай бұрын
@@hadijamshimbula7616 uhakika ndugu yangu
@JEREMIAHMADAMA19873 ай бұрын
❤❤❤
@AndrewFabian-l2p3 ай бұрын
Ee❤ 0:00
@VeronicaMusa-br4bn3 ай бұрын
❤❤❤❤🎉🎉🎉
@JullianaEmmanuel-tm5xg3 ай бұрын
Hii movie mwanzo mwsho n kucheka tu, ila kaka Likoma bwana, hongeren sana Mungu awatangulie ktk Kaz zenu
@WinSuleiman-h2qАй бұрын
Da
@CollisBill-mu3zp3 ай бұрын
Plan B imekuwa ya moto ..Mr money ni zaidii ya motooo🎉🎉🎉🎉
@BrendaKenzie3 ай бұрын
Mzee likoma kazi safi sana kwa kweli ni nzuri sana wow congratulations kwa kazi nzuri mnayoifanya mungu awajalie maisha marefu mno
@Mummywamulumewe3 ай бұрын
Nimemcheka KP mm wooooiii😂😂😂😂😂 hio sura waaah🎉🎉🎉❤❤❤
@MwajabuMtitu-co6wx3 ай бұрын
Ht mm nimecheka hd kwa nguvu
@BagumaJulienBagumaJulien-k8g3 ай бұрын
Huuummm wao twendeleye ku enjoy na mr money shey shey mupe salamu muganga matikisa (kisai)💚💛💛💛❤
@JosephineMomanyi-jp8tv3 ай бұрын
Zebuu endelea ivo ivo nora ni mdogo wako heri mwangamize uyo bibi. Ongera kp kwa kufanyia uyo mpuuzi kazi nzuri alidanganya ati ni ww ulipeleka kanga kwake ❤❤❤❤movie
@YusraMshomary3 ай бұрын
Mungu atupe maisha marefu na atufungulie milango ya ridhiki na atujalie mwisho mwema amiin 🤲inshallah 🙏loe wa kwanza like zangu ❤❤❤
Like yangu mzee likoma Nice one aky likoma n dibozi nawapenda sana nyote very soon ntacome dare salaam
@bettylove2543 ай бұрын
Aye ndoche nomogusii eeei wao nao lazima dare saalam
@MillicentMoraashMongeri-s8p3 ай бұрын
@@bettylove254 yes We uko wapi juu mm dare salaam n Kwa aunt yangu naenda
@JacklineNyiranzizaАй бұрын
Imagine ❤😂🎉
@JohnSimba-x8h3 ай бұрын
Mungu awape maisha marefu movie 🎥🎉nzuri sana❤❤
@FanuelMSimon3 ай бұрын
Mbavu zangu weee😂yani kp ,zebu na Nora. Na mzee likoma 😂mmenichekesha kweli 😂 na hogereni sana kwa movi nzuri
@HadijaKassim-l5t3 ай бұрын
Mungu awape maisha marefu awaepushe n mabaya awazidishie vipaji vyenu Amin y rabii❤❤❤❤❤❤❤ nawapenda nyote ❤❤❤❤❤ ❤
@saumodzumbo96713 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 yaani kp jamani mbavu zangu 😂😂😂😂
@PaulCecyl-jz4mr3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@LéonardHabayimana3 ай бұрын
Niko Burundi nazani nimekuwa wa kwanza Burundi oyeeeeee Tanzanie nawapenda saana
@NuruNdegwa-yg2bm3 ай бұрын
Kutoka kenya nawakubali sana😊
@SylvesterMgangala3 ай бұрын
Tunakupenda pia
@angelmollel20023 ай бұрын
Waoooh kazi nzuri sana, congratulations guys❤
@mohamedlopa84103 ай бұрын
Asalamu walekum bwana yesu asifiewe utakayesoma hii comnent uwe na siku mungu akuondeleee mabalaaaa ..🤲🤲🤲🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝
@HalimaMichael-x6x3 ай бұрын
Ameeen yarrab kwa sote
@Arafa-dt9sh3 ай бұрын
Ammin yaa rabby nawewe pamoja
@rehemajulias-p9c3 ай бұрын
Amina kwa sisi sote
@HappnessChacha3 ай бұрын
Amina mpendwa nawe pia
@swamleyzJuma3 ай бұрын
Aminaa inxhaallah 🙏
@AminaHinzano3 ай бұрын
Jmn😂😂😂😂😂 mzee likoma ww kwa kuimba kihindi hongera sn
@Fatuma-t7h3 ай бұрын
😂😂😂😂😂Yani episode hii imenivunja mbavu pamoja sana nawakubali kwakazi nzuri 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@DalmondLaurent3 ай бұрын
Mzee likoma Safi sana kumtetea nora alafu kp umenifurahisha leo 😂😂😂
@mwajumalubuva3 ай бұрын
Jamani mzee Likoma haya yote uliyataka 😂😂😂❤❤❤Jamani manshallah vipenzi Nawapenda wapedwa mungu awalinde vipenzi wote
@DianaMkembelwa3 ай бұрын
175,jamani nimecheka sana,Zebu and kp.naomba like😅😅😅😅😅😅😅
@moïsevasco-w2y3 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 shei shei anajipendekeza
@NzembiNyamai-u6l3 ай бұрын
😂😂😂😂Kp umearbu mapenz ya kisai hahaha ❤❤🎉🎉
@JenniferAndrew-u6v3 ай бұрын
Maajabu leo nimewahi like zangu hata kumi tu
@BarakaKomba-q9j3 ай бұрын
Ety mama pesazangu😂😂😂😂
@Beibshinninglight3 ай бұрын
😂😂😂KP hatari, hongera sana zebuu kuwa pamoja na NORA❤❤❤
@JaphethTumbu-f6j3 ай бұрын
Napenda Sanaa kazi zenu nzur sana 👍👍👍👍👍👍👍👍👍🔥 🔥🔥🔥
@CarolyneNyanchama-yk1gf3 ай бұрын
Show Iko lit I love it mzee likoma akiwepo Kila kitu Kiko sawa nampenda sana kinauma yaani ❤❤ila cjui kisai anakula Nini jamani amenenepa amenenepa otherwise nawapenda team likoma feel blessed 🙏🙏❤️
Nani amependa kitendo alichofanya kp kwa kisaii😂 tumlenga na mayai vizaa😂😂😂
@NimbonaUdhaifa-jw2lo3 ай бұрын
Kwani urimupiga saaana😂😂😂 walhi eti kidogo tuuu😅😅😅 nimechek mpaka tumbo rinaniuma
@issaLamadhan3 ай бұрын
Story tamu hii San maua yenu🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@DjlytaMbuga-b4c2 ай бұрын
Ahahaaaaa oya mzee likma eeeeee utatuuwa bn wengine hatuna mbavu za kuchekea jamani daaaah izo ngumu izo daaa si mchezo mungu awape nguvu kwakwer muenderee kutupa laha kama izi😅😅😅😅😅😅 2:37
@alfredtebeka24973 ай бұрын
Mr money imekuwa umeme😍 plan B ni waya ya umeme ❤ watu wangu ❤❤ ila huyu KP siku zote anamaliza bando yangu mpaka akili itanikaa sawa😅
@JacklineNyiranzizaАй бұрын
Hi ❤❤❤❤❤
@Hadijawashuma3 ай бұрын
Jaman mtuongezee dakik 😢😢😢😢
@LebonAlliance3 ай бұрын
Kazi zuri kabisa musikawe kutocha nainpenda sana usisheleweshe
@happinesssamira-fp4hh3 ай бұрын
Nawapenda wote kazi nzuri❤❤❤❤
@JaguarEscobar3 ай бұрын
Zebuu anavo simama na Norah kumtetea nimependa❤❤❤😊
@aishaomar22873 ай бұрын
Ila likoma😂😂😂 kwanini kiss hua zinakufanya unazimia...hii team yenu imeiva,hongereni 🎉🎉🎉
@AnicethaLaurent3 ай бұрын
😅😅 jamani kp kidogo uniue mimi kwa kicheko na hiyo sura
@AishaJafar-l9e3 ай бұрын
😅😅😅😅nimeipenda iyo kp 😂😂nice 👌 🎉
@NambinhoNamba3 ай бұрын
Wakwaza kutoka Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@EvelyneNathan3 ай бұрын
Nimecheka kp huo uso kwa zombi et hapo ndo kazmis dah🤣🤣🤣
@ShadaCharles3 ай бұрын
😅😅😅 nilijinunisha lakin nimecheka
@NaomiDononda-dp9ds3 ай бұрын
😃😃 eeeh mbavu zangu mm jamn likom baad ya kusikia moshi huko nd kazinduka eeh na cha kwanz kuokoa kwake is money
@LightnesssOmari2 ай бұрын
Mzeee likoma nakupenda bure mpo vizur na kikosi cako😅😅❤
@KaziloLulabhi3 ай бұрын
Ela zangu 😂😂😂 kwahy pesa ndo zmefanya uzinduke mweeee nmecheka 😂😂😂
@VeronicaMusa-br4bn3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 kaka mtu alivyotoka baada ya kupingwa na sufuria😂😂😂😂
@OmanMobile-v7h3 ай бұрын
Hii nyumba wote siyo wazima❤❤
@FRAIKOSUNGWA3 ай бұрын
Kweli siyo wazima be kasoro norah
@RamadanPaul3 ай бұрын
Kumekucha 😁 😁
@روززنجبار3 ай бұрын
Dah hii movie ukianglia usipocheka utakuwa unamatatzo cyo bure yni mwanzo mwsho vituko😂😂😂😂
@LuteshiKelvin3 ай бұрын
Mungu awalinde sana
@NeemaEli-wl1dz3 ай бұрын
Waoooooo kazi nizuri sana mungu hahinuwe juuzahid
@abeidymwashalah3 ай бұрын
Munguuuu awasaidieeee sanaaaa
@KadzehaSophia3 ай бұрын
Wow leo nimewahi jamani
@Chimamy87023 ай бұрын
Mzee likoma napenda sana move zako M/mungu azidi kukuzidishia riski za halali 🥰