Mwanza: Maajabu ya Mti Kupiga Kelele Ukipinga Kung’olewa

  Рет қаралды 6,235,996

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

AMA kweli ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni! Taarifa zilizosambaa mitandaoni zimeeleza kuwa wakazi na watumiaji wa barabara ya Pasiansi Jijini Mwanza, walipigwa butwaa baada ya kushuhudia kimbwanga ajabu cha mti kutoa sauti kama binadamu ukipinga using’olewe.
WEBSITE: globalpublishe...
FACEBOOK: / globalpublishers
TWITTER: / globalhabari
INSTAGRAM: / globalpublishers
Visit globalpublishe..., Subscribe / uwazi1
Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chaneli yetu kwa kubofya…
/ uwazi1
/ uwazi1
/ uwazi1

Пікірлер: 849
@ابنعثمن
@ابنعثمن 5 жыл бұрын
Yeyote anayesikitikia MB zake alizotumia kuangalia video hii naomba like hapo chini
@amaniney6033
@amaniney6033 4 жыл бұрын
Mh
@rashidomari8690
@rashidomari8690 3 жыл бұрын
@@amaniney6033 tr5&6++06
@annambowe9073
@annambowe9073 4 жыл бұрын
Kata mti Kama unaungana nami like
@teresiamarko5792
@teresiamarko5792 6 жыл бұрын
poleni watu wa Mwanza kwa maajabu ya mti
@robertokemwa3365
@robertokemwa3365 5 жыл бұрын
Achana na hiyo story kabisa
@khanjanki8207
@khanjanki8207 5 жыл бұрын
Nyinyi wacheni vitu vya mungu yeye ndie muumba wakila kitu duniani
@kivungemoses42
@kivungemoses42 4 жыл бұрын
Ni sawa na lile jeneza linalofunguka lenye mishumaa ndani kule kariakoo. Kila aleulizwa alisema ameambiwa na flani mpaka mwisho wa siku hakuna mtu alewahi kuliona
@Devilinintungwawc2vk
@Devilinintungwawc2vk 4 ай бұрын
Mwanza Asante mumenifanya nikuwe
@mabenaluca6824
@mabenaluca6824 6 жыл бұрын
Iman tu za watu
@farajamartinbajora4504
@farajamartinbajora4504 4 жыл бұрын
Sanaaaaaaaaas tuuuu
@nyotasalim6702
@nyotasalim6702 6 жыл бұрын
Hii sasa Kali!
@robert.jacobo8744
@robert.jacobo8744 5 жыл бұрын
Jamla
@robert.jacobo8744
@robert.jacobo8744 5 жыл бұрын
Jamla
@castoatanas414
@castoatanas414 3 жыл бұрын
Wao wafungwe tu hata wakileletewa kocha wa kihindi au mzungu ni yaleyale tu, na benchi la ufundi mpaka lichunguzwe
@halimamdemwa1856
@halimamdemwa1856 4 жыл бұрын
Global TV keep it up
@cacquiremohamed8315
@cacquiremohamed8315 4 жыл бұрын
Toen taarifa za kweli achen upuuz
@rachelsimbani6394
@rachelsimbani6394 6 жыл бұрын
acheni kuamini imani za kishirikina mungu pekee ndiye anayeiniwa
@rechosanga9816
@rechosanga9816 4 жыл бұрын
Asanteni
@venancemwalukasa6197
@venancemwalukasa6197 5 жыл бұрын
Ndugu zangu Yesu ni Kwa wakristo na huyo anajiita Mungu hapo mwanza Yesu Wa nazareti ni uzao Wa kwanza na mwisho na hapaswi MTU mwingine kuabudiwa namna hiyo napitisha ujumbe huu ski Kwa tukio hapo juu asomaye na afahamu binafsi nampigs kabisa ache kupotosha watu tupime kila roho kama ni Mungu Wa Ib "is na yak
@mwechizumbabaraka5165
@mwechizumbabaraka5165 5 жыл бұрын
Uyo yesu mwenyw afai kuabudiwa acha kupotosha wa2
@jacobnghwali4531
@jacobnghwali4531 5 жыл бұрын
Watanzania wanapenda mambo yakipumbavu ya maana hawafuatilii
@JoyseMbinga
@JoyseMbinga 3 ай бұрын
Jamani Haya Mambo Niyakweli? 2:59
@kennix6457
@kennix6457 5 жыл бұрын
Waafrika na Imani potovu ya kipumbafu kweli
@natmentwan8242
@natmentwan8242 4 жыл бұрын
Fine video
@EdwardClement255
@EdwardClement255 2 ай бұрын
Video
@janemart5772
@janemart5772 3 жыл бұрын
After 3 years KZbin recommended this for me
@Devilinintungwawc2vk
@Devilinintungwawc2vk 4 ай бұрын
Mamb
@aminabhaya1518
@aminabhaya1518 4 жыл бұрын
Wallah najutia mb zangu maana wabong mmezid uwongo
@crushdancer0471
@crushdancer0471 4 жыл бұрын
Kama umesikia neno gireda gonga like
@bakarymray4288
@bakarymray4288 4 жыл бұрын
beka taito mung ni mkubea
@bakarymray4288
@bakarymray4288 4 жыл бұрын
mung ni mkubwa jaman
@johnadmos80
@johnadmos80 5 жыл бұрын
Mh!! Jamani tumludie mungu wetu , hizi imani no hatari kwa vizazi vyetu,
@michaelakonaay9141
@michaelakonaay9141 6 жыл бұрын
Hahahaha! Aisee naona wanataka kuupamba mti uwe kwenye maajabu Saba ya dunia
@martinkiragu9491
@martinkiragu9491 5 жыл бұрын
Michael Akonaay.kweli hio ni kinaya hapo mbona hawatuonyeshi ukiongea ama aliyesikia mti ukiongea
@ZainabuTano
@ZainabuTano 4 ай бұрын
Kuweni na imani jaman
@mahewamahewa6461
@mahewamahewa6461 4 жыл бұрын
Wabongo kwa uongo mh
@jamalitrueboy1610
@jamalitrueboy1610 7 жыл бұрын
jamani kifo kinahatar sana sio watu wanachezea ...kama hujawahi kufiwa usiombee kabisa* naihisia nafsi yangu pamoja na wenzangu tumuogope allah
@nanatuffour2897
@nanatuffour2897 4 жыл бұрын
Very nice
@jenifamligo5199
@jenifamligo5199 4 жыл бұрын
Ni nomaa
@saidyhaji2942
@saidyhaji2942 7 жыл бұрын
subuhanallah ama kwel dunia imeisha jaman
@joshuamgaya4269
@joshuamgaya4269 6 жыл бұрын
Wote.mapimbi
@awafallfall502
@awafallfall502 6 жыл бұрын
saidy haji y
@mathajoseph444
@mathajoseph444 6 жыл бұрын
Kingi majuto
@bakarmakam3105
@bakarmakam3105 3 жыл бұрын
Tukiambiwa afrika kweli African mumeshalewa nyinyi
@rmtofficiel8319
@rmtofficiel8319 3 жыл бұрын
Nice
@BrotherNassir
@BrotherNassir 7 жыл бұрын
dahh Subhanallah
@baltazarassey315
@baltazarassey315 7 жыл бұрын
Brother Nassir
@baltazarassey315
@baltazarassey315 7 жыл бұрын
Brother Nassir
@BrotherNassir
@BrotherNassir 7 жыл бұрын
Baltazar Assey naam brother
@fadyanasser4826
@fadyanasser4826 7 жыл бұрын
jee ni kweli hiyo
@abuuhasann9549
@abuuhasann9549 7 жыл бұрын
Brother Nassir kaswida
@abdulsharo7003
@abdulsharo7003 4 жыл бұрын
Hayo mahajabu yanaitaji maombi
@watamusuperonlinetv561
@watamusuperonlinetv561 7 жыл бұрын
hoi hii ni kali sana dunia imeisha
@vintanmaria7159
@vintanmaria7159 7 жыл бұрын
Christine Mangi hiyo ni lama ya Doctor Shika
@KhijaNgalu
@KhijaNgalu 4 ай бұрын
❤🎉😂 Mambo jamani vp
@JonasKampisa-u5n
@JonasKampisa-u5n 3 ай бұрын
Hivi ni kweli
@sidejuma6791
@sidejuma6791 4 жыл бұрын
Mtukusho mwamoto
@majidihamis4617
@majidihamis4617 3 жыл бұрын
Allah ni mjuzi hayupo wakufananishwa na Allah nakama yupo ajitokeze Allah ni mwingi wa rehema
@marylandkweliclement1348
@marylandkweliclement1348 4 жыл бұрын
Wa bongo ndo kazi zenu hizo kiki
@josephngosasia9660
@josephngosasia9660 3 жыл бұрын
That's historical in the world
@halimamaden9674
@halimamaden9674 4 жыл бұрын
Mnatunimalizia mb zangu za buree tuuu🙄saiv vifurushi bei kaliii mnoo🤔🤔🤔🤔
@mwacheniissa304
@mwacheniissa304 4 жыл бұрын
Ahaha
@sarapaulo4718
@sarapaulo4718 3 жыл бұрын
Hy ndo 🇹🇿bn kola cku vituko watu kutoka nje wanafanya kaz waendelea wao wanataka maajabu
@innocentsakaya5493
@innocentsakaya5493 4 жыл бұрын
Duuh mbona n shida
@gabrielmugabo9223
@gabrielmugabo9223 5 жыл бұрын
Wabongo bwana! Mbona mti wenyewe ulishang'olewa na barabara inapitika vizuri tu?
@kavcletus1010
@kavcletus1010 6 жыл бұрын
uzushi sio mzuri ndugu zangu
@charomasha5353
@charomasha5353 4 жыл бұрын
Erreeeeeee kubaya xn tz
@musandewele2549
@musandewele2549 3 жыл бұрын
Mwanyonyoma
@karimhamza5774
@karimhamza5774 5 жыл бұрын
mamae wabongo punguzeni matangazo 2namaliziana MB
@naomikakingo7070
@naomikakingo7070 5 жыл бұрын
Bora umeliona matangazo kibao alafu taarifa yenyewe ya kidwazi tu
@anisiamkalawa7167
@anisiamkalawa7167 4 жыл бұрын
Haiwezekan 🌲🎋
@edmondmhina8321
@edmondmhina8321 4 жыл бұрын
Nice video
@mussapeter9907
@mussapeter9907 4 жыл бұрын
Nyie global mmeanza ujinga
@giftmwanakulya7497
@giftmwanakulya7497 4 жыл бұрын
Acha uongo andika vichwa vya habari vyenye ukweli
@joshuamsinjili9350
@joshuamsinjili9350 3 жыл бұрын
Inapendeza
@brysonsulle1322
@brysonsulle1322 5 жыл бұрын
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa shida wanaimani potufu
@lovethildah7340
@lovethildah7340 5 жыл бұрын
Duh Maneno hayo,yasikizee
@teychriss3248
@teychriss3248 5 жыл бұрын
Wa TZ kwa kuzua mambo jamani na kuyathibitisha harujambo! Tunahitaji kupewa tuzo ya Dunia!
@abdulbogoyo1243
@abdulbogoyo1243 6 жыл бұрын
Inakera sana, asa kama ni habari za uongo weka sawa kichwa cha habari
@khamisjumazume8477
@khamisjumazume8477 4 жыл бұрын
Maisha ya vijijini kila kitu ni ajabu ,tembeeni ndugu zetuu,amkeniiiii
@rwinzajeff9686
@rwinzajeff9686 4 жыл бұрын
God bless our country
@AyubMwenda-f8l
@AyubMwenda-f8l 3 ай бұрын
Mapambazuko ya machwoea na hadithi nyingine
@zunguboy6178
@zunguboy6178 6 жыл бұрын
ungooooo bwanaaaa mti hauwezi kuongea ama kupiga kelee
@ogwanginnocent2288
@ogwanginnocent2288 4 жыл бұрын
How are you doing
@munirahmed7753
@munirahmed7753 4 жыл бұрын
Hawa warongo sana hizo kelele za mti wala hatusikii tunasikia wao wanavodanganya tu
@Yoelfabian
@Yoelfabian 3 ай бұрын
Miungu makao makuu yake ni chini Ya mti mkubwa hapo kuna miungu
@linaalexx2021
@linaalexx2021 7 жыл бұрын
safi sana blood @ muhemi tz
@robertmaingi4635
@robertmaingi4635 5 жыл бұрын
Mbona nyinyi watanzania mnakuanga na ujinga hivyo na imani ya ushirikina endeni makanisani nyinyi
@selinaalbert9564
@selinaalbert9564 5 жыл бұрын
Tena wasukuma ndo kabsaaa
@nassorhaji5179
@nassorhaji5179 4 жыл бұрын
Ah waongo tu ah mutanilipa mb zangu ah!!
@asmahassan7570
@asmahassan7570 4 жыл бұрын
😂😂😂😂
@lazarokasili2136
@lazarokasili2136 3 жыл бұрын
Vyote vya kwake
@faidaeliza2084
@faidaeliza2084 4 жыл бұрын
Acheni uongo mti uweziongeya kamwe ni miujia walaaa.............
@Akabenzer
@Akabenzer 4 жыл бұрын
Can someone explain what's going on in English.
@clemenceboniface4146
@clemenceboniface4146 4 жыл бұрын
thanks
@agustinomwata1393
@agustinomwata1393 3 жыл бұрын
Ukweli uchawi upo
@shuuathuman9327
@shuuathuman9327 6 жыл бұрын
jamani yawezakana hata kijiji kimoja kinaitwa mangaka kipo mtwara.kuna mbuyu wachina wameshindwa kukata hawongei ila wameshindwa kukata wemevisha nguo nyengekundu na barabara kipande hicho wamechepusha
@mujahidatmamsoor8102
@mujahidatmamsoor8102 6 жыл бұрын
Jana I wanadamu wenzangu acha uzushi.
@ramadhanally4207
@ramadhanally4207 6 жыл бұрын
Mnatumalizia mb zetu tuu
@irenelucas15
@irenelucas15 4 жыл бұрын
Mm nimkula mbog bila nyanya nimenunua embb nasema hiv kwapumbav huu mbb zang mtalipa shenz yiee
@ابنعثمن
@ابنعثمن 5 жыл бұрын
Yalaa MB zangu!
@rutegebenjamin8332
@rutegebenjamin8332 4 жыл бұрын
mamb vp
@aniahamisi7944
@aniahamisi7944 3 жыл бұрын
@@rutegebenjamin8332 hhh
@steveswakei9600
@steveswakei9600 5 жыл бұрын
Ushirikina wa tz hata pasipo jambo wanaona tu maajabu
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@maheligati2936
@maheligati2936 5 жыл бұрын
Watanzania ni waongo
@AlexMatho-j2r
@AlexMatho-j2r 2 ай бұрын
Waongo
@andrepaskali5431
@andrepaskali5431 3 жыл бұрын
Hi
@papaakizwii8418
@papaakizwii8418 7 жыл бұрын
HATA IRINGA SIKU ZA NYUMA WALIZUSHA MUHINDI UMEONGEA UKWELI HAUKUPATIKANA
@lukasmikomangwa6949
@lukasmikomangwa6949 4 жыл бұрын
Jiganzasu mbi
@lukasmikomangwa6949
@lukasmikomangwa6949 4 жыл бұрын
SUmbi
@ShakiraMrembo
@ShakiraMrembo 4 ай бұрын
Dunia ,,,kiyama teyar tuabudu tu jaman
@maulidmtowi3937
@maulidmtowi3937 4 жыл бұрын
mwandishi na mwandaji wa hii habar apigwe na corona
@hamisimsei5499
@hamisimsei5499 4 жыл бұрын
JAMANIEE KWAIYONIKWERI MTIUWO URIONGEA
@paschaziarwoto117
@paschaziarwoto117 7 жыл бұрын
Tatizo linaanzia kwa viongozi. Hivi hamjamsikia Magufuli aliposema mti uligoma kutoka kwa Mzee Mangungo? Yaani kiongozi anayeaminiwa anaamini ushirikina kiasi hiko je waliomchagua unategemea kiwango chao cha ujinga si maradufu
@solomonipeter6741
@solomonipeter6741 6 жыл бұрын
paschazia rwoto brucle
@annastaziavenance1735
@annastaziavenance1735 5 жыл бұрын
Wallah we mkimbiz
@jifunzetehama.7789
@jifunzetehama.7789 7 жыл бұрын
imani haba kabisa
@esterelias8189
@esterelias8189 4 жыл бұрын
Amina..shetani kawakalia juu utosini mbona huo mti hatuusikii ukiongea???
@mrnickke
@mrnickke 6 жыл бұрын
Kumbe Tanzania pia kuna ujinga kama Kenya.
@peacepking5277
@peacepking5277 6 жыл бұрын
Bora!!!
@peacepking5277
@peacepking5277 6 жыл бұрын
Maajabu ase
@akosuaoduro1401
@akosuaoduro1401 6 жыл бұрын
Please can someone translate it
@valenakomba7686
@valenakomba7686 9 ай бұрын
WATANZANIA ACHENI MAJUNGU. HIVI HAMNAGA KAZI ZA KUFANYAA?
@janewacera7812
@janewacera7812 7 жыл бұрын
Hatari
@254sexiest4
@254sexiest4 7 жыл бұрын
Jane Wacera nakwabia swee
@janewacera7812
@janewacera7812 7 жыл бұрын
254 sexiest hii dunia twa elekea wapi jamani
@jacobmarocha3981
@jacobmarocha3981 7 жыл бұрын
+254 sexiest ok
@tutitv450
@tutitv450 7 жыл бұрын
Jane Wacera
@tutitv450
@tutitv450 7 жыл бұрын
Jane Wacera
@papafikiri
@papafikiri 7 жыл бұрын
ishara ya njaa
@vidermghase1465
@vidermghase1465 5 жыл бұрын
Mwamposa
@lusitoally5623
@lusitoally5623 3 жыл бұрын
Sababu mojawapo ya umaskini ni ushirikina
@antonelasto3638
@antonelasto3638 7 жыл бұрын
izo imani sio
@silvaabdara6557
@silvaabdara6557 4 жыл бұрын
Izoimanipotofu
@jamesloosidan9551
@jamesloosidan9551 6 жыл бұрын
Haya ni maajabu duu, mwanza Kuna ushirikina wa kufa mtu yaan
@zakayoulele5013
@zakayoulele5013 6 жыл бұрын
jamani mm siamini kama my unaogea mila za kijiga
@shauriwangu4170
@shauriwangu4170 4 жыл бұрын
Sawaa
@yussmyissa1003
@yussmyissa1003 4 жыл бұрын
Mizimu yao hiyo
@yussmyissa1003
@yussmyissa1003 4 жыл бұрын
Mizimu yao hiyo
@minnahjay7676
@minnahjay7676 4 жыл бұрын
Ila iyo shule ina mauzauza ya isenga nimesomea apo matukio ya ajabu yapo maana shule yenyewe imezungungwa na makaburi
@malimamashaka9380
@malimamashaka9380 4 жыл бұрын
Mahajabu ya wana mwanza
@kevinjackson7472
@kevinjackson7472 4 жыл бұрын
Duh tuachane na mambo hayo
UFC 310 : Рахмонов VS Мачадо Гэрри
05:00
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 1,2 МЛН
She made herself an ear of corn from his marmalade candies🌽🌽🌽
00:38
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 18 МЛН
RR7125 TRANSKEI: SOUTH AFRICA'S BANTU HOMELAND
26:11
AP Archive
Рет қаралды 39 М.
TAZAMA MELI YA TAITANIC ILIVYOZAMA NA KUUA MAELFU YA WATU
19:08
Wasafi Media
Рет қаралды 10 МЛН
Raw sewage spilling compliance probe
17:31
SABC News
Рет қаралды 2,7 М.