Yani pesa ukizipata kwa bahati alafu huna akili ndo matatizo kama hayo lazima yatokee
@nyamkamawanjara293 жыл бұрын
yule mama mwanasheria jana sikumwelewa kabisa asante kwa huyu mwanasheria wa kiume ameelewesha vizuri
@depabloescobar92653 жыл бұрын
Sijaona mwanamke mshamba wa hela kama mama diamond. Anasikitisha sana. Amejisahau sana
@habibrwegoshora66243 жыл бұрын
YULE MAMA ILE KUSEMA MZEE ABDUL ALIIKATAA MIMBA HAPO INAONYESHA KUWA NI YA HUYO MZEE(KWA WENYE FIKLA)..HAPO UJUE KUNA ULIPIZAJI KISASI KWA HUYO MAMA
@fadharzanzibar39123 жыл бұрын
Ukiwa na elimu hupati tabu.. everything on point absolutely..katika watu wote waliozungumza bro unazungumza kwa sheria na clear point
@ghhhhy18123 жыл бұрын
From 🇧🇮 Saudia mzee Abdul usikubali kupimwa wew muwashie mama yake tu
@everlineeverline1053 жыл бұрын
Asante sana huyu henry ni wakili kamili.
@wazirmlogi75323 жыл бұрын
Live huyu ni mwanasheria wa kweli na aliyekomaa cz anaongea vitu na mtu unamuelewa,saf sn
@petermtandu25843 жыл бұрын
Daimond nenda katubu kumbuka pesa ni maua mungu anaklijua hilo muogope sana mungu ndy aliyokupa utajiri.Hy mama yako anakutafutia lahana tu kuwa makini sana.
@nusumkate1233 жыл бұрын
This guy is a good lawyer...he knows what he is talking about.
@liliankemuma94753 жыл бұрын
Am watching from Nairobi Kenya
@aliaas43023 жыл бұрын
Watching from Germany, makubwa haya, madogo tuyapishe kidogo waahhh
@irenejohn81943 жыл бұрын
Ningekuwa Diamond ningeenda kuwashitaki hao wazazi wangu kwa nini walinizaa bila ridhaa yangu 🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️
@jedidahbintidaudi82413 жыл бұрын
Naseeb Abdul / Sunura Bukuku aka bi Sandra, hata hili litapita tuu. just give it time. may the Grace of our Lord Jesus Christ cover you. Mungu Awashike. Munaombewa sana kwa Mungu msijali
@tatuta65293 жыл бұрын
Mzee abdul wewe muachie 2 mwenyezi mungu yeye ndo mjuaji
@josephmarwa18653 жыл бұрын
kweli huyo mamake na diamond aruhusiwe tu na serikali ya tz ili acheze filamu za ngono manake akili yake na wale wacheza filamu za ngono no different.
@fatumahassan32053 жыл бұрын
Mzee muachie mungu madoctor pia wataongwa
@souvenirweber71693 жыл бұрын
I'm watching from switzerland🤔 tusikilize aibu hii ya Tz kwa mwaka hui 2021.
@mubahamed84443 жыл бұрын
Ata wakienda kupima kaz bure mzee abdul ana pesa gan yakuonga mond ata milion mia anaweza kutoa coz ndo wameshadhamiria kumdhalilisha
@halimahassan30313 жыл бұрын
M/mungu atunusuru akina mama na ulimbukeni huo inshaallah