YALIYOJIFICHA NYUMA YA AGIZO LA KUBOMOA JENGO KARIAKOO, NDUGU WAMKANA DADA YAO UKWELI WOTE HADHARANI

  Рет қаралды 8,108

JAMBO TV

JAMBO TV

Күн бұрын

Пікірлер: 50
@tumainiellyimo4657
@tumainiellyimo4657 5 сағат бұрын
Dada namna unavyoongea I wish to see u aisee maana walahi upo safi sana.Unaongea kwa mpangilio safi ikionyesha umwkomaa.Mungu akusimamie na kukuongezea hekima hii uliyonayo izidi kuongezeka
@Leodimk-n5c
@Leodimk-n5c 7 сағат бұрын
Duuu dada yuko vzr kaeleza vzr sana
@samwelmwangi9185
@samwelmwangi9185 2 сағат бұрын
Mnawapa watu faida isiyo na maana, gawaneni kwa kuliuza au mwenye uwezo wa kuwatoa wengine/ wengine wanne mumtoe mmoja wenu ambae hayupo na ninyi wanne ili kuondoa utata uliopo. "Taratibu za mgawanyo wa mirathi ufanyike,ili AMANI ipatikane" 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@KaburaNimrod
@KaburaNimrod 2 сағат бұрын
Hapo kuna mkono wa kigogo mmoja ambaye anataka mfikie uamuzi wa kuuza hilo ili yeye alinunue. Tafakari sana hili utakuja kunishukuru.
@alihussein4303
@alihussein4303 7 сағат бұрын
Uzeni jengo mugawane ugomvi hautoisha huo ndugu wote ni Dhulma tu kama mm nilivofanyiwa na Dada na kaka zangu ( Baziad Mtaa wa Livingstone Str Kariakoo)
@TBCLINICKYELA
@TBCLINICKYELA 6 сағат бұрын
Hapa ni kuuza tu, na kama mmoja wao ana maokoto anunue kutunza legacy ya familia hata kwa mlango wa nyuma.
@vinny.morales
@vinny.morales Сағат бұрын
Jengo bovu dada. Ongea umalize lakini jengo linastahili kubomolewa
@tayt4086
@tayt4086 7 сағат бұрын
Uzeni jengo mgawane helaa matatzo km haya yataishaa
@kwisa4899
@kwisa4899 3 сағат бұрын
Usifikulie wao wajinga wanajua wanacho kifanya
@MAGARITanzania
@MAGARITanzania 4 сағат бұрын
Mali ya urithi ni kugawanywa pale tu mzazi anapofariki yakilamaliza maziko tu kama aliviusia Mtume wetu Mohammad (sallallahu alayhi wasallam)
@MbarakSoud
@MbarakSoud 4 сағат бұрын
Bismilaahi rahmani raahim namshukuru mungu tena sana alhaamdulilaah na yeye ni mfalme hakuna mwingine zaidi YAKE AMIN AMIN AMIN yaarab AMIN alhaamdulilaah namshukuru mungu tena sana kua mwislam dini iliyoo nyookaa na isiokua na shaka juu yake alhaamdulilaah uislam unakataza sana Kwa Mali ya babaa enu mnagombania na mwenye Mali yupo kaburini Sasa nyinyi kaaeni vizuri nyinyi ni ndugu maaali mtaachaa apaaa apaaaa duniani huo ni msibaa mkubwa inaaa lilaahiii wainaaa ilaahi raaajuhn poleni sana lakini bora nyumba iuzweee mgawane ndugu ndiyo mtaheshimianaa mshakuwa wakubwa hiyooo duniani tuuu JAMANI msijishauuu uzeniii nyumbaa
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 8 сағат бұрын
Masikini DC wali mshutumu bure eti kala rushwa 😢 nivizuri tuwe tuna sikiliza bande zote
@abdullramadhanii626
@abdullramadhanii626 3 сағат бұрын
dada hatakwachooo inaonyeshaa imechoka mkuu wa mkoaa anagalia masilahi ya sisi watanzania kuliko watu wanne
@MohammedJaizan-yf5yt
@MohammedJaizan-yf5yt 2 сағат бұрын
Hilo jengo kwa muonekano wake ni jengo hatarishi wewe umeongea vzr ila kumbuka Kuna roho za watu usije kuja juta kwa sababu ya maslahi
@JeremiahYohana-br2bd
@JeremiahYohana-br2bd 7 сағат бұрын
Dada yao kadata na mapenzi mpaka kasahau mali za familia kaamua kuzivuruga ila atajutia baadae.
@jimmyhabarugira4232
@jimmyhabarugira4232 6 сағат бұрын
Nchi yeyote rushwa iki kithiri haki huwa inatoweka
@victormalelemba4324
@victormalelemba4324 9 сағат бұрын
Duuh haya mambo ni noma
@fatnasaidi3027
@fatnasaidi3027 Сағат бұрын
Mitanzania vichwa vibovu dada aneshaeleza vizur kabisa
@KuruthumBilali
@KuruthumBilali 9 сағат бұрын
Innalillah wainna ilàih rajiuna
@abdullramadhanii626
@abdullramadhanii626 3 сағат бұрын
Jengooo limechoka hata kwaachp linaonyesha
@khadijasarkaly5588
@khadijasarkaly5588 6 сағат бұрын
Akili ya Arafat ni kumdhulumu Jamila kutokana na ulemavu wake na huyoo warda kwani hajui the dom alivyo .sabaha mtete Jamila simama nae dada yako Jamila sabaha yupo vizur na Hana njaa mashalah kwani warda kafulia nn mbona analeta ujinga kwani nyumba ya upanga tayar kauza au samir kamwachia
@mustafarajabu4005
@mustafarajabu4005 3 сағат бұрын
Warda dhumuni lake ni nn mpka hanataka kubomoa ili hapate nn?.akibomoa hataweza kutengeneza tena au hanataka kuuza kiwanja.sasa si bora hauze jengo jatapata pesa ndefu kuliko kuuza kiwanja.sijajua yy hanadhumuni gani?
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 2 сағат бұрын
​@@mustafarajabu4005 siku hizi si wanawapa wabia tu kujenga
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 2 сағат бұрын
Wewe sabah unazuwia maendeleo ikibomolewa si itajengwa gorofa refu zaidi na maduka yanakuwa mengi na mapato yenu yataongezeka sasa mnazuwia kwa sababu gani au ni kumkomoa tu warda kwa vile nyinyi mmetosheka?! Acheni ujinga acha kupoteza na kuwashawishi ujinga dada zako! Mimi siwajui wala hamnijui bt nimesikiliza maelezo ya warda vizuri hana nia mbaya na nyinyi anataka mfaidike wote
@samwelmwangi9185
@samwelmwangi9185 2 сағат бұрын
Mali yoyote ya urithi ni vizuri kugawanywa ili kila mmoja apate mgao wake. Mambo ya kusema ni mali ya pamoja, yamepitwa na wakati. Ninyi mabinti watano UZENI jengo lenu kila mmoja awe na mali yake. Huyo Arafati ni tapeli AANGALIWE vizuri na vyombo vya dola.
@AbdulMsafiri-s6c
@AbdulMsafiri-s6c 9 сағат бұрын
Arafath mbooo za nyuma zilisha mchanganya
@TheodoraAnatory
@TheodoraAnatory Сағат бұрын
Si wanakaribia kugawana za kiinua mgongo baada ya miaka 5 ziko zinawawasha hata kwa kuua ili wajimilikishe mali.
@asha-v1e
@asha-v1e 8 сағат бұрын
Kila kitu kina mwanzo na mwisho
@seifmohamed8725
@seifmohamed8725 18 минут бұрын
Hili jambo ni rahisi mnoo .fuateni mirathi ya kiislam kwa vile nyie ni waislam .hapo hamna mzozo.
@Leodimk-n5c
@Leodimk-n5c 7 сағат бұрын
Na hawa wasiojulikana jamani wanaingia kila mahali
@ramadhanimumba
@ramadhanimumba 5 сағат бұрын
Hili jengo lakini mbona limechakaa pamoja na migogoro yenu mtakuja kuuwa watu
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 4 сағат бұрын
Hamaanishi jengo lisibomolewe'anachotaka wamiliki wote wahusishwe kwanza kwa wote 5,kisha wakubaliane kwa umoja wao, sio vitu vinafichwa bila wao kujulishwa, hata yeye anataka jengo libomolewe ila kunaujanjaujana umetumika hapo, hata kabla wao wana ugomvi, mmoja wao anataka kujimilikisha na kubomoa jengo bila kuwa na ushirikiano na wamiliki wengine
@FatmaMohammed-s3k
@FatmaMohammed-s3k 3 сағат бұрын
Acheni tamaa mtaua watu jengo lazaman sana liuzeni au tafuteni wawekezaji walijenge upya
@vintz338
@vintz338 14 минут бұрын
Aaaagh jenho limechakaa bhana la kubomoa tu
@khalidmdotta3843
@khalidmdotta3843 4 сағат бұрын
Huyo Arafat mijinga tu kumbe msimamizi njoo Dada ni kuoe nikunyoshe huyu mbwa wiki utokaa imsikie hatambi tena
@labunaabouna6122
@labunaabouna6122 9 сағат бұрын
Hawa wana mpiga bao mwenzao kisheria anawezaje kua harisi wakati yee no babaake huo mchongo tu
@bakariomari24omar21
@bakariomari24omar21 4 сағат бұрын
Arafat awekwe ndani inamaana baba mzazi alimjua Arafat mapema ndio nyumba kaigawa ktk uhai wake
@MohamedSaidMojr
@MohamedSaidMojr 4 сағат бұрын
Fukuzeni na ikibidi mfungulieni kesi wizi huyo arafat hafai mwizi mkubwa akatafute mali yake sio kudhulumu wadada wa watu pumbavu zake
@khadijasarkaly5588
@khadijasarkaly5588 6 сағат бұрын
Mama mtamumiza jaman kumbe mkubwa dada yupo Sasa mkitaka jua mohamad akili kubwa alijitoa mapema
@MohamedIbrahim-bn1gz
@MohamedIbrahim-bn1gz 4 сағат бұрын
Serekali yenu dhaifu sana ingekuwa Uarabuni huyu Arafat angekipata cha mtemakuni walahi tena - kwanza asingethubutu
@mohdahmed5389
@mohdahmed5389 3 сағат бұрын
Wallahi munatia aibu ,waungwana wazima mmekuwa watwana wa mali za baba yenu ,aibuu tupu
@MohamedSaidMojr
@MohamedSaidMojr 4 сағат бұрын
Huyo Arafat jengo halimuhusu hana haki ya usimamizi mbona wadada hao tayari watu wazima?akatafute mali yake sio kudhulumu wadada wa watu inaonekana hata huyo ndugu yako warda keshalishwa summu na arafat awageuke ndugu zake huyo arafati afukuzwe haraka na hiyo familia tena akae nao mbali kabisa mwizi mkubwa huyo
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 6 сағат бұрын
Waliozuia lisivunjwe, na wameshaligonga nyundo, likoanguka DC ANALO
@Leodimk-n5c
@Leodimk-n5c 7 сағат бұрын
Huenda kuna wakubwa watakuwa wamelishwa mlungura hapo 😮😮😮
@tumainiellyimo4657
@tumainiellyimo4657 6 сағат бұрын
Wafungwe hao,wanamwingizaje waziri mkuu katika mambo yao ya ajabu?
@antipasjohn62
@antipasjohn62 6 сағат бұрын
Nyumba ibomoleeeeweee isike ikaangukia watu
@abdullramadhanii626
@abdullramadhanii626 3 сағат бұрын
Ivunjweee
@antipasjohn62
@antipasjohn62 6 сағат бұрын
Bomoaa muuaji wewe, jengeni upya ndo muanze kuzozana
@shabir0
@shabir0 7 сағат бұрын
😂
@MrishoHakim
@MrishoHakim 3 сағат бұрын
@wasafi
How to treat Acne💉
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 108 МЛН
Арыстанның айқасы, Тәуіржанның шайқасы!
25:51
QosLike / ҚосЛайк / Косылайық
Рет қаралды 700 М.
We Attempted The Impossible 😱
00:54
Topper Guild
Рет қаралды 56 МЛН
MWANAMKE ALIYERUKA MAKACHU UCHI AIBUA OFISI YA MUFTI MKUU ZANZIBAR
7:10