Kama unaamini yangabingwa hakuna wakumzuia tujuane kwa like
@WokovuWangu2 ай бұрын
Hakuna kujuana hapa simba bingwa
@youngyayoo28052 ай бұрын
😂😂😂😂😂@@WokovuWangu
@youngyayoo28052 ай бұрын
@@WokovuWanguYanga hii moto sana
@WokovuWangu2 ай бұрын
@@youngyayoo2805 simba bingwa
@rashidsaid10922 ай бұрын
Lazima awe bingwa sababu akikutana na mnyama kayoko anamaloza gemu
@RevithaRevitha-f5q2 ай бұрын
Asanteni wanajeshi wetu ila tunaomba mkue mnazitumia Sana nafasi zinazotengenezwa siku hizi nafasi 8 magoli mawili 2 kweli 😢 🙏 Paccome punguza chenga mingi toa pass watu wapasie nyavu😢
@issashabani-c7r2 ай бұрын
Kwaiyo wewe ulitaka yote manane yaingie kwani netball hii au basct ball
@RevithaRevitha-f5q2 ай бұрын
@@issashabani-c7r yaliyokua yanaingia last season ndo ilikua netball??? Ama unaongea tu ukujua nn nilikua namaanisha??
@PauloBeatus2 ай бұрын
Hakuna level yetu hapa bongo🎉
@RizikiJulian2 ай бұрын
Yanga bingwa
@mweyoms55482 ай бұрын
AHMED ARAJIGA.Hazina adimu na adhimu ya waamuzi Tanzania. The pride of Tanzania
@ypdsitv2 ай бұрын
Congratulations our team
@kelvinkumila47082 ай бұрын
BAADAE UTASIKIA"WEE SIDE UKO NJE YA 18 ,WE KIMWAGA TULIA HUU NAUDAKA TU HAINA SHIDA"😂😂
@petrochikawe17972 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@JosephatMassae2 ай бұрын
😀😁😂
@dreusebiusjmikongoti2482 ай бұрын
Tayari ashatoa side ndo imenifanya nije hapa😂
@JohanesK2 ай бұрын
😂😂😂
@StevenPhilipo199982 ай бұрын
Yanga tamu yanga Tanzania bisha tena
@GoodrichEmmanuel2 ай бұрын
Huyo mzize nibala Sana anajua mpira😂😀😀
@MaulidiAbdalla-n4eАй бұрын
Yanga hii
@dj_davietz2 ай бұрын
Jkt mmecheza vizuri Sana ni mmefungwa tu
@JohnWamylon2 ай бұрын
Nasema hivi yanga ishuke Dalaj ishuke sihamii muniuweee😂😂🎉
@edsonpalpitesdefutebol33332 ай бұрын
O maior da Tanzânia
@dizodi_vituko2 ай бұрын
chama so mzee bhn
@Kasika-hi6hf2 ай бұрын
Huyu mtangazaji ni mzuri, ila acha mbwembwe za kizamani mara kujifanya unachanganya kiarabu, ENZI LUGHA YETU YA KISWAHILI
@arnaldo73192 ай бұрын
Yanga Amecheza na kikosi cha kawaida na Kafunga😂😂😂
@MasoudNyoni-g8o2 ай бұрын
Hongera Sanaa yanga African wamejipanga vya kutosha
@elardmassawe55132 ай бұрын
Yanga champ
@Ommywhity72 ай бұрын
Chamaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah nakukubali brother kipaji unachooo daaaah ukisema ni Ronaldo ukakosea minadha we ni Beckham 😂😂😂❤❤
@youngyayoo28052 ай бұрын
Ukiskia umepangwa na yanga bora msusie mechi
@Masanjamasangu12344 күн бұрын
Yanga bingwa kwa ligi ipi labda mchangani 😅😅😅
@CharlesMs25Daghaly2 ай бұрын
❤❤❤❤
@damianmcba95252 ай бұрын
Nani kawa Man of the Match? Maana pacome alikuwa Moto leo
@jacksonmathayo65102 ай бұрын
Ni pacome
@mursallbilal61322 ай бұрын
Kasika sio rahisi kwa watangazaji wa Tanzania kuchanganya na kiarabu ina leta raha kwa wasikilizaji ila kama kwako inakukera wengine tunainjoi
@mwajumampokileomckapela75412 ай бұрын
Daima mbele nyuma mwiko button 💛✅🟩
@daudyunus12322 ай бұрын
Wakwanza kuangalia leo second ya 50
@mohammedkidody56182 ай бұрын
Poa
@taturamadhani-w7q2 ай бұрын
❤
@methuselajackson63172 ай бұрын
Gonzo kaingia na kufungwa inauma 😢
@BbasuleBasule2 ай бұрын
Chamaaa
@namdigumagwenge1932 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉❤❤
@ashuraally90642 ай бұрын
Mwenye timu atajulikana kimataifaa
@elizabethismile68272 ай бұрын
Na kamba anafungiwa kipa😂 ila wanajikuta kumuiga diarra afu inawacost maskini😂😂
@emanuelakaro14232 ай бұрын
Hata yule wa upande wa pili kilichomponza siku Ile ni kujifananisha na Djui Diarra
@GentleGiant-pj2rk2 ай бұрын
Hizi tabia za kumuiga Diarra zitawagharimu wengi
@chusseboywcb28082 ай бұрын
Kimataifa ndio jibu kamili lakini mpila watiz mchongo tutaona atakae wahi kuludi nyumbani 😂😂😂😂wale wabebwaji watajulikana
@Alex-k1i8k2 ай бұрын
We uko kombe gani mpaka turudi wote we uko part 2
@PriscaMaswaga2 ай бұрын
@Alex-k1i8k 😂😂 kwakwel📌
@AlfaMwasofu2 ай бұрын
Pacome
@DaudiWaswa2 ай бұрын
Second goal is supposed to be a goal kick,direct ball ❤uwezi funga direct bana yafaa angeanzia mtu ,bt refa Hana hio ufahamu
@Fgldesigns2 ай бұрын
Kwamba wewe ni mtunga sheria za mpira?
@afterfull-time1348Ай бұрын
Utopolo imechoka na kuoza vibayaa saivi ni bahasha uchawi na majini ndo vinashinda
@stevenemwakasimba-pt8er2 ай бұрын
Tunasubiri makolo walalamike jkt timu ya GSM
@SamThedon-n4g2 ай бұрын
Hutaki utataka
@RahmaKitundu2 ай бұрын
Jaman Ile barua ilio Tumwa ilisemaje
@saidhamza53182 ай бұрын
gamond umefanya sub gani ...😳👀 unamtoa job ..usirudie tena mchezo huo. Umeingiza wachezaji wasio kaba wanakimbia hovyo kina azizi..ebboh.
@skylider772 ай бұрын
Ni unyamaaa
@daudiniyonsaba11132 ай бұрын
Yanga Bingwa 2024/25
@nahimanafiston65182 ай бұрын
Ivi YANGA nikuroga wa goalkeeper tuu wangine hatujuwii
@StellaMwaulambo2 ай бұрын
Huyu mtangazaji huuuh,,, hata kusema kunamabadiloko yani haeleweki kiukwer
Sasa hv timu nyingi wakicheza na yanga wanakuwa na presha mpaka wanafanya makosa cwalaumu ni moto yanga wanaowapelekea
@lwagamwakalinga80382 ай бұрын
Mmmh ila mzizee
@Zainabkhamis-d2s2 ай бұрын
Kipa bado anahamasisha😂😂😂
@hijakinina17932 ай бұрын
Mbona mchezo wa tarehe 19 viongozi wa yanga waliwapongeza wachezaji wenu
@Muhammedually2 ай бұрын
Wakati wazee wa makolo wanalia lia chama ana wanyoosha
@SunDinesh2 ай бұрын
Chamaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa😂 though mi ni Simba ila chama mme okota dodo chini ya muembe🦁
@christinajohn88912 ай бұрын
Halafu Kuna mijitu inasema kipa kaonewa kula umeme anaendaje kudaka ndani😢
@jerrysonjulius71062 ай бұрын
Ubwege walijua ball lini
@Chinga-k2k2 ай бұрын
Yanga nimabingwa
@ramadhanmasiku41052 ай бұрын
Ukiwa na d2 utagundua kipa kafanya mpango muamala umesoma
@babacaren18012 ай бұрын
Bigwa tena
@AbdallahSalim-q1y2 ай бұрын
Kichapo
@RobyJoh2 ай бұрын
Ila mzinze😂
@theteacherchance67502 ай бұрын
Umeme ♥️: hawa JKT wote ni wa-TZ, hivo mpira hawajui ila kwa domo, bla bla bla za kutosha. Hayo ndo matokeo yake.
@sabinasabinam-e1z2 ай бұрын
Punguza makasiriko😅
@upgo61122 ай бұрын
Simba wanaongea asee
@POWERMANGWANA2 ай бұрын
Bingwa wa kubebwa
@ChijaLugola-xe5tn2 ай бұрын
Hakn timu hapo mwisho wa msimu mtasema
@LatifaCharles2 ай бұрын
Uchawi tu kwa yanga hamtoboi
@issashabani-c7r2 ай бұрын
Unafakaje mpira nnje ya box
@rehemawamwarami38542 ай бұрын
Makolo milango yenu yafaham ikoje uko 😂😂😂😂
@leomika84732 ай бұрын
Yanga Amna kitu mnabebwa tu
@IshaeryMwampyate2 ай бұрын
😂😂😂🙌
@OmarSuleiman-o8o2 ай бұрын
Kil nikikumbuk et wanatak kombe l africa et kwa mpir huu
@Abuu-gs1yi2 ай бұрын
Dah tumewaPdidy tena bhana kama akina Deborah
@gonelahassakwa66502 ай бұрын
Tukienda Afrika tunakuwa wakali ligi ya hapa hatutumii nguvu 2 zinatosha sana na pointi tatu.
@amanizo962 ай бұрын
Chura bwan watu wako pungufu dakika za mwanzon Wana shindwa kushonda bao nying 😂😂😂
@muktarmashukura9502 ай бұрын
Kushonda 😂
@evansmtalo94062 ай бұрын
Tuna shida na point 3. Hata goli moja kama tulilowafunga inatosha.
@emanuelakaro14232 ай бұрын
Tumechoka kushona mtu nyingi ndo maana hata kwako tumeamua kushona chache ila huwez rudisha
@emanuelakaro14232 ай бұрын
Pamoja na Yanga kuamua kushinda magoli machache lakin Bado Yuko juu ya simba kwa kufunga magoli mengi
@jerrysonjulius71062 ай бұрын
🤣🤣🤣kushonda waah ubwege jaman
@malkavoice25702 ай бұрын
Wasenge sana mshazoea kubebwa mwisho wenu huu hapa hatimaye. Yaani muwe na kikosi kipana bado mnanunua game mnahonga marefa mpaka wazee wa ramli dadeki! Jkt 9 na hamjafanya k2. Sheria gani kipa adake nje kidogo ya uwanja asipewe adhabu ndogo eti anapewa red. Kama sheria za mpira msumeno basi Kayoko hana kazi naye saivi agekuwa Mahabusu Segerea. TFF mnazingua kinoma
@FatmaMiraji-od4rr2 ай бұрын
Simba 11 walikula chuma 5 😂😂😂😂 yanga bingwa kwa mara ya 4 halaf safari yenu ya kuhama ligi imeishia wapi
@malkavoice25702 ай бұрын
@@FatmaMiraji-od4rr ilikuwa sasa mnaweza bila Kayoko na chenyewe cha kujifunga,manina. Mkiambiwa msishangilie kabla ya dakika 90 mnahisi mnaonewa. Huu mwezi hamuendi po pote niko paleee
@adamnguvu10202 ай бұрын
Sheria kipa akidaka nnje ya box naakiwa yy ndomtu wamwisho nikadinyekundu ww kma hujui sheria kaakimya mihemko haina faida
@malkavoice25702 ай бұрын
@@adamnguvu1020 kama refa wote wanajua sheria lile goal la juzi walitafsiri sheria gani,ikiwa mpira umetoka ukarudi ndani mchezaji wenu kacheza na sio kama alifunga na alishangilia kama kafunga. Hizo sheria zimetungwa kwaajili ya kuhalalisha makosa ya team pinzani za Yanga pekeyake sio? Zile faulu alizofanyiwa Kibu na Ateba je,Goal la Kibu kwann iwe ofside na la kenu lisiwe goal kick?
@dennissamora7292 ай бұрын
@@malkavoice2570we kolo huoni aibu kuzungumza utumbo? Unajidhalilisha bora ukae kimya kama moira hujui.. bado huna timu ya kuufunga yanga! Ngao ya jamii tulinyimwa goli tatu za wazi, tukawafunga kimoja mkatoka mnashangalia.. 😂
@AlliMohamed-q2y2 ай бұрын
Mukikutana na simba mnabebwa 😂😂
@gonelahassakwa66502 ай бұрын
Simba lazima watubebe sisi baba.
@stevenhassan2692 ай бұрын
Mechi ya mchongo ndio maana wazee wa simba wanaongea