No video

Yanga SC 2-0 Singida Big Stars | Highlights | NBC Premier League 27/10/2023

  Рет қаралды 208,215

UTV Tanzania

UTV Tanzania

9 ай бұрын

Maxi Nzengeli amepiga magoli mawili ndani ya dakika 10 (dakika ya 30 na 39) akiipa Yanga ushindi wa 2-0 dhidi ya Singida Big Stars kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
Tazama highlights....

Пікірлер: 38
@denisrukangula2227
@denisrukangula2227 9 ай бұрын
Lidhika hawakuwa wanacheza ndondo huu ni mpira mazee .. kumbuka walitoka kupambana na timu ngumu ambayo yenyewe ilipigwa 3-1 kwa SABABU walitumia energy kubwa sasa angalia kilicho wakuta kwa namongo. Kwa hiyo yanga kushinda hii game ni sawa wala shabiki wa mpira hautakiwa kulaumu ... Mshukuru Mungu
@amaniomar1755
@amaniomar1755 9 ай бұрын
Waziri wa raha akiwa kwenye kazi yake maalum ya kugawa raha kwa wananchiiiiiiiiiiiiiiiiiii
@MagdaCruz-qe9nf
@MagdaCruz-qe9nf 9 ай бұрын
Wa kwanza kucomet like kwangu
@DanielAksanti-cs1pf
@DanielAksanti-cs1pf 9 ай бұрын
kiswihili
@linusrohomoja8856
@linusrohomoja8856 9 ай бұрын
hili goli la pili unaweza hata ukaombea mkopo benk
@user-lp7uq9ql2p
@user-lp7uq9ql2p 9 ай бұрын
Maxiiii - best Konkon - best Yaooo-👍👍👍👏👏 Kiiii - be Zozuaaa - 👏👏👍👍👍
@emmanuelmashauri1430
@emmanuelmashauri1430 9 ай бұрын
Waziri wa raha skudu makudubelaaa mwanang Sana
@nicolebitendelo1420
@nicolebitendelo1420 9 ай бұрын
💚💚💚💚💛💛💛💛
@user-lp7uq9ql2p
@user-lp7uq9ql2p 9 ай бұрын
Ukiwa shabiki wa Yanga na mamelodi rahaaaaaaaa
@raphaelnkulamasala108
@raphaelnkulamasala108 9 ай бұрын
Pamoja tunashinda lakini wamaliziaji kufunga ni but sana Gamondi ajipange akina Kokoni hawanafaida kabisa kazi kupaisha tu
@user-pt4ts3ho3g
@user-pt4ts3ho3g 9 ай бұрын
Love you Yangaaaaaaaaaaa 💚💚
@mwambalazimalazima8252
@mwambalazimalazima8252 9 ай бұрын
Hiyo ndio yanga ya gamonnd
@AliAli-uv5gw
@AliAli-uv5gw 9 ай бұрын
Tumeshinda ila tumepoteza nafasi kadhaa za kuweza kustawisha ushindi wetu
@ahmedsdk6736
@ahmedsdk6736 9 ай бұрын
Huyu skudu atadhalilisha weeng 😂😂
@AngerFideli-hz5tp
@AngerFideli-hz5tp 9 ай бұрын
Yangaaaaaaaaaa💛💛💚💛oyeeeeeee
@jacksonmathayo6510
@jacksonmathayo6510 9 ай бұрын
Skuduuu😂😂😂💚💚🤸💪
@sheysarahnjeno5207
@sheysarahnjeno5207 9 ай бұрын
Yangaaaa vivaaaaa
@ramadhanabdul114
@ramadhanabdul114 9 ай бұрын
Konkoni n mtuu mpen muda. Ata professor watu walikuwa na mashaka. So n muda tuu yupo vzr konkoni
@ThedyDaniel-xk5my
@ThedyDaniel-xk5my 9 ай бұрын
Kabisa atakuja kuupiga mwingi anajua
@josephkapinga652
@josephkapinga652 9 ай бұрын
Sijaaridhika kwa kweli ni fupi sanaaa
@HizaHiza-
@HizaHiza- 9 ай бұрын
Tafuta ndefu utaridhika
@user-bj5uo1lz1c
@user-bj5uo1lz1c 9 ай бұрын
Watuachenamaxwetu😅😅😅😅
@saidhamza5318
@saidhamza5318 9 ай бұрын
Dah Hy konkon namashaka nae sn.👀
@SharifRwema
@SharifRwema 9 ай бұрын
Makudubela hee kijan hatari sumuu kabisa
@user-mi1vy8xn4n
@user-mi1vy8xn4n 9 ай бұрын
Yangaa
@yohanekopilato-wn3lo
@yohanekopilato-wn3lo 9 ай бұрын
Yanga ni Burudani kwa wote
@mwambalazimalazima8252
@mwambalazimalazima8252 9 ай бұрын
Bado amjasema paka mseme
@alicenice1711
@alicenice1711 9 ай бұрын
Hivi uyu mauya bado yupo yanga anafanya ninj
@FilbertKalembe-fy4oq
@FilbertKalembe-fy4oq 9 ай бұрын
Konkoni aondoke anamaliza posho ya bure
@SayuniEnock-tu4pf
@SayuniEnock-tu4pf 9 ай бұрын
Uhakika
@danielmabeyo9780
@danielmabeyo9780 9 ай бұрын
Kicheche
@hassanmoshi
@hassanmoshi 9 ай бұрын
Mh hatar
@NkwabiMihayo-sl2sm
@NkwabiMihayo-sl2sm 9 ай бұрын
F🎉
@bullekisimikwe3852
@bullekisimikwe3852 9 ай бұрын
Konkoni hatufai hata kidgoo
@piliissa5461
@piliissa5461 9 ай бұрын
Anarukaruka tu kama Maharage 😂
@thadeylyimo9772
@thadeylyimo9772 9 ай бұрын
Konkoni mda aliocheza angepewa mzize dk zote angefanya jambo. Anakosa nafas za wazi akiwa yeye na golkipa... Nafasi ambazo striker hapaswi kukosa
@bullekisimikwe3852
@bullekisimikwe3852 9 ай бұрын
@@thadeylyimo9772 Konkoni ni sample za kina Yipe Nyamie hamna mtu pale
Simba SC 1-5 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League 05/11/2023
12:02
UTV Tanzania
Рет қаралды 1,6 МЛН
لااا! هذه البرتقالة مزعجة جدًا #قصير
00:15
One More Arabic
Рет қаралды 51 МЛН
👨‍🔧📐
00:43
Kan Andrey
Рет қаралды 10 МЛН
ISSEI & yellow girl 💛
00:33
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 17 МЛН
0% Sportsmanship but it gets increasingly more disrespectful
12:27
Simba SC 1- 5 Yanga | Highlights | NBC Premier League - 05/11/2023
12:02
Magoli yote | Simba SC 1-5 Yanga SC | NBC Premier League 05/11/2023
9:40
لااا! هذه البرتقالة مزعجة جدًا #قصير
00:15
One More Arabic
Рет қаралды 51 МЛН