Ww kama unabety weka mpunga wa kutosha ujishindie mihela mingi❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@AminoKhalifАй бұрын
Wananchi watatowa wachezaji wetu dozi nzito inshallah kesho mungu awabariki
@ismailmasoud6001Ай бұрын
Kweli kabisa quality ya YANGA ni kubwa ,...nakumbuka KOLO tulimkanda goli Moja , akawa anashangilia kapunguza MAGOLI...!..hii ndio LEVEL ya MACHAMPION
@fatmaomar8335Ай бұрын
Ikila la heri inshaallah daima mbele nyuma mwiko 💛💛💛💛💛💚💚💚💚💚
@HajiHaji-v9fАй бұрын
Mungu atupe na ari na mafanikio kuliko mpinzani wetu amin
@JoshuaeliasLugwishaАй бұрын
Price Dube atafunga magoli mawili na Azz k goly moja na Nzengery goly moja Bareke goly moja Naitakia ushid mnono sana tim yangu ya yangu tunaingia hatua ya makundi kibabe haswa
ALIKAMWE SAHVI ANANICHEKESHQ SANA SAFI wananiita Mwalimu
@SinzaRobertАй бұрын
Jamaniiiii yanga🎉
@MalinoKadwame-u1cАй бұрын
Bravo wananchi
@kassimomar7589Ай бұрын
Kila lkaher my tim
@IbrahimThomas-w1qАй бұрын
Huyo anae sema sisi ni topology na timu yetu hizi pesa unazo changia hata kusema na kutazama umeingiza kwa ally kamwe kwanza ukija wewe tutakugonga gold 7
@ahmedsalehe9489Ай бұрын
Tudanganyeni tu alafu mbeti tuliwe 😢
@JoshuaeliasLugwishaАй бұрын
Siku ya jumamosi tim yangu ya Yanga naitakia ushindi wa magoli matano
@AbdallaAbdalla-i3fАй бұрын
vibonde wapo shirkisho al ahaily tripol kafungwa na biashar unashindwa kumfunga haha makolo mnateseka san mar hii hamuend popote
@JoshuaeliasLugwishaАй бұрын
Ali kamwe pamoja sana semaji letu huna mbambaba kaka tunakupenda sana ila wadau wanauliza watapataje kadi wahamu sana na kadi
@JoshuaeliasLugwishaАй бұрын
Kesho moto utawaka ktk uwanja wa Aman complex zikipingwa goly nyingi katika uwanja hhuo
@mapanjajuniorАй бұрын
Wananchiiiiii
@MaryKagomaАй бұрын
simba ndo kwishaaaa
@barikilangoy4737Ай бұрын
Kibatala awe mwanasheria wa yanga
@MwandaroАй бұрын
Anasema vibonde aje yeye ale5
@ReachalStephanoАй бұрын
Mwendo wa kufyeka
@AhmadRashid-x1iАй бұрын
Tukutana amani ntakuwepo
@terrence9477Ай бұрын
Ally punguza mdomo!! unatoa siri za kambi. Hujui kwamba unaposema hayo ndio unawapa motivation ya maadui kuongeza silaha za kutuangamiza? kwa kumbukumbu zangu, kila mara ukisema magoli yatakuwa mengi, ndio huwa wanafunga kiduchu. Unaongeza maadui msemaji!!
@tcariellaАй бұрын
Lazim mzize afunge goli
@amanizavalaАй бұрын
Utopolo mnakutana na vibonde mnajisifu
@emanuelkazungu7058Ай бұрын
Utopolo walikushona 8
@abdunnurahmedsilim7456Ай бұрын
Makolokwinyo tumeshawazoea... mateso mnayopitia yanawafanya muwe mahasidi, mazuzu, wanga, wachawi....mkiambiwa kwamba sasa hivi ni USIKU nyie mnasema MCHANA...na mkiambiwa ni MCHANA mnasema USIKU....sasa huoni kwamba nyinyi ni machizi mazuzu
@DoreenMlay-e8gАй бұрын
wew dunduka ukiwa mmoja wapo wa vibonde wa yanga 😅😅😅
@JohanesEmilyАй бұрын
Tafuteni na ninyi timu dhaifu,Lakini hata kule umangani hamjafunga hata goli Moja.kolo
@laurentmakoye4069Ай бұрын
Kibonde wa kwanza ni wew kolo umekufa goli 8 mech 3 mtaalia
@kabhikachambala3392Ай бұрын
HIVI TUNAFAHAMU KWAMBA CBE HAWANA MECHI NYINGINE YA CHAMPION 🏆 LEAGUE TOFAUTI NA HII?