Rekebisha kauli sio mmeumizana ila wewe ndie ulieumiza wenzako 😮😮
@getajo1153Күн бұрын
Huyu jamaa ni fala sana, alijimaliza akiwa na fikra mgando za kukariri maisha,,, hakufanya siasa ila alikuwa anamshambulia mtu kwa mambo binafsi...
@solomtz7049Күн бұрын
🙏🏾🙏🏾
@RamaHRIzmaelovКүн бұрын
Huyo Mengere na wenzake akina Chiduo hawatakiwi hata kuukaribia uongozi wa Chadema..Hão ni watumishi wa Abdul na wapo tayari kuendelea kuitumikia system...
@MichaelmotikaLaiser-dl6wm16 сағат бұрын
Yeriko hovyo sana
@josephkulija293Күн бұрын
Watu wawe wanabakiza maneno wanaposema jambo.
@JumanneKigori-fm1nnКүн бұрын
Huyu Jamaa hajitambui kabisa hajui hata maana ya kutofautiana kisiasa.Anaweza kusamehewa ila asiwekwe karibu na viongozi atulie aandike vitabu.
@nsubilimusyani80310 сағат бұрын
Huku juu wapi ambako yupo huyu bwege ?
@nkoydavid9658Күн бұрын
Yerico ni muongo mm nilipingana nae tu kuhusu vita ya Urusi na Ukraine akaniblock na sikumtukana..
@emmanueldeogratius3969Күн бұрын
Huyo chawa nilimpa za uso mpaka akaniblock. Na vitabu vyake vya kopi and pest amuuzie mbowe
@omaryirro928517 сағат бұрын
Ulimtandika kumbe alistahili huyu
@Goofyplayz-fj3ceКүн бұрын
Usidharau watu wa chini
@SmilingAnacondaSnake-sp8ct17 сағат бұрын
Ukiona mtu ndani ya chadema anamchukia tundu lisu au anatoa kashifa ujue huyo ni mapandikizi akiwemo huyu na yule aliefukuzwa uenyekiti maana hawa ni (ccmchadema) ndio walikuwa hawamtaki lisu nina uhakika hawa mmoja baada ya mwingine watarudi walikotoka
@MichaelmotikaLaiser-dl6wm16 сағат бұрын
Hujui siasa wewe Fala njaa tu wala humuwezi kikwete wewe njaa tu
@lusajomwaipopo5042Күн бұрын
Duh nimegundua watu wanachuki binafsi na huyu jamaa jambo ambalo sio zuri kabisa,tujifunze kwa lissu na mbowe mbona hawana bifu za kishamba kama tuzo mwelekzea yerico??
@benny4345Күн бұрын
Vitabu gani? hivyo anavyokopi kazi za watu na kuunganisha?
@salminmaylaКүн бұрын
Yericko Nyerere c mwamini anaweza kuwa mamluki , alakataa katakata kwamba tundu lisu hatoshinda na kwa kibano
@FahadAbubakari-y3fКүн бұрын
Yerricko Nyerere ni mtu aliejipa kua anaakili sina ni mtu mwenye uwezo mdogo sana , anachofanya nikukusanya taarifa na Habari zilizoandikwa au kutolewa nakuwekwa pamoja na kuita eti kaandika kitabu , ni mkusanya vilivyooandikwa sehemu tofauti na kuweka pamoja na kujiita muandishi, na kwakua wengi ni wavivu wakujua na kufatilia vitu tunaita mkusanyo wa Habari eti ni utunzi wa yericko
@issackmashauri4577Күн бұрын
Fanya ivyo na wewe ndg zangu tuache kudharau mtu uyu jamaa kasha pewa hadi tuzo basi tumukubali kwa ayo anayofanya kama anafanya ivyo hadi anapewa tuzo haisee wewe ukifanya tofauti ndo utakuwa tajili wa dunia kabisa
@polycarpykavishe9001Күн бұрын
Copy and past@@issackmashauri4577
@DullahIweniКүн бұрын
Hana akili.
@Godbless-o6cКүн бұрын
Sio faini....ni fine
@lusajomwaipopo5042Күн бұрын
Watu bado hawajui kshindana kwa hoja ndiyo usitarabu baada ya uchaguz mapambano dhidi ya adui yetu cmm uendelee
@richardnganya2311Күн бұрын
Yerico yafaa ajiendee anakojua. Ni kivuruge.
@stevesungura6789Күн бұрын
Ila ziko tuhuma za kufatiliwa
@davidkawesa3594Күн бұрын
Aende zake boya huyo
@FahadAbubakari-y3fКүн бұрын
Kaja huku baada yakuona Hali mbaya mtandaoni
@emmanueldeogratius3969Күн бұрын
Na tumeshajua huyo jamaa ni ccm. kama bwana wake mbowe kakubaliana na matokeo na yeye fuata mkia eti anajifanya kakubal
@VIPSwahiliКүн бұрын
Majority wachache?😂😂😂
@emmanueldeogratius3969Күн бұрын
Huyo jamaa ni chizi tumeshamjua. Chawa wa mbowe anayetegemea kukaa mjin kwa hela za mbowe
@Goofyplayz-fj3ceКүн бұрын
Kuhusu Plagiarism, kwamba ulikopi kitabu Cha Matojo, ni kweli?
@baghimabula5710Күн бұрын
Waliitana wao kuwa anabudu mizimu
@MwakaHappyКүн бұрын
Yeriko nyerere mbwa kachoka huna lolote mnafikishi wa watu ulikuwa unatakabmbowe na lisu wauwane mtu mbayabsana wewe
@omaryirro928517 сағат бұрын
Wewe si ulisema haitapita miezi mitatu lissu atashindwa kuongoza chama kwanza hana hela hata ya kujikimu mwenyewe atamuongoza nani hii kauli utaifuta au utabaki na kauli zako za kijinga maana ulimshambulia mtu binafsi
@PeterNaftalkichere-bm2wpКүн бұрын
Yani wewe yerico hufai kua mwanachama wa chama chochote duniani kwa matusi na kejeri nakuambia huu ni mwisho wako ni mda tu
@solomonmsomba1677Күн бұрын
Chadema mmwangalie sana Yeriko ni mchonganishi. Kwa maana halisi ni puppet wa aina fulani.
@Leodimk-n5cКүн бұрын
Waache kelele wauache uongozi mpya uchape kezi. Pia akumbuke Mbowe hata km angeshinda ingekuwa ni dhidi ya wajumbe tu tena baada ya kutumia nguvu kubwa mmno ya fedha lkn ushindi wa Lissu umebeba mapenzi ya umma wote mashabiki na wanachama
@mostshareking3051Күн бұрын
Kwahiyo unataka kusemaje
@Joe-tr2vkКүн бұрын
Atulie aache uongozi mpya uchape kazi@@mostshareking3051
@mandelasamson8401Күн бұрын
Vile vitabu vya ujasusi huwa haandiki yy huwa anatafsiri vilivyoandikwa na wengine,,mf,anatueleza habari za 1950,ndo ujue ni za kutafsiri
@sadikidaudi460Күн бұрын
Sasa jasusi kashindwa kujua Mbowe atashindwa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@DiwaniMwafongoКүн бұрын
Mwizi wa vitabu vya watu, CHAWA mkuu!
@gilbertkayera3660Күн бұрын
Mjinga uyo hajitambui
@BichongolaInvestmentКүн бұрын
DEBE TUPU ALIMCHAFUA SANA TUNDU LISSU
@PeterMponeja-t4eКүн бұрын
Unachokiongea hapo hakiendani na unayo yaandika kn mtabdao pimbi wewe. Kama ulikuwa unashabikia bila kuhushwa kn hela za Mama Abdul sasa wenzake wanajipoza nazo wewe ......