Mungu awabariki sana katika jina la bwana wetu Yesu Christu kwakufikisha ujumbe niko kati ya walio pokeya kabisa ujumbe nirudi kuomba.
@jessemach44592 жыл бұрын
Huyo mchungaji Mungu ambariki amelea kanisa bila wivu...akiinuka na kipawa anashikilia mpaka inakomaa.Mungu awabariki.
@Christendom-c8d2 жыл бұрын
Kabisa, Mungu ambariki mchungaji kiongozi, kazi yake ni njema.
@abigaeljeptoo62632 жыл бұрын
Yeah may God bless you mchungaji
@gladdyskaluse53392 жыл бұрын
Nimejiona n mtupu mbele za bwana YESU KRISTO, nashukuru MUNGU kwa hizi shuhuda zimenibadilisha niishi maisha matakatifu ya kumpendeza MUNGU wangu na kuacha njia zangu mbaya, Promover mbarikiwe sana na MUNGU anayeishi.
@PromovertvTz2 жыл бұрын
Amen
@quintavitalis926 Жыл бұрын
Mimi kabisa nilijua nimeokoka kumbe mimi ni takataka tu , tunahitaji kujikana na kumrudia kwa roho na kweli
@reginaldmassawe6417 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu aturehemu , Mungu atusaidie tumgeukie yeye , damu ya Yesu iponye mioyo yetu kwa Jina la Yesu🙏
@janemujuni7642 жыл бұрын
Barikiwa kwa kuwa na ujasiri wa kutoa ujumbe wa Bwana Yesu.Mungu afungue milango kwa ajili ujumbe huu kulifikia KANISA,huu ujumbe ni halisi kabisa, KANISA TUAMKE TUSIMAME MAHALI PALIPO BOMOKA, Barikiwa sana mtumishi wa Mungu,Tupo na wewe
@bitihaywajean35632 жыл бұрын
Mungu akuzidishie ujasiri pia atusaidie tuwe imara ktk huduma
@ibunikalikenya9219 Жыл бұрын
Hizi jumbe za kutubu zimekua nying sana juu ya taifa letu la Tanzania inatubidi kuchukua hatua juu ya jumbe hizi let us back to Jesus Kwa moyo wa toba nikweli mtumish gathabu ya na asira zake ni nying San juu ya taifa letu maan tumeonyeshwa kweny ndoto juu ya asila za bwan juu ya taifa letu la Tanzania
@janemujuni7642 жыл бұрын
Nawasihi wote tuliomwelewa huyu mtumishi tuchukue hatua ya kuanguka mbele za Bwana tuomboleze kwa ajili ya KANISA, Wamama jeshi la Bwana Yesu!!!!!!!Tupo???????TUCHANGAMKE BASI
@alphoncealmack92402 жыл бұрын
hakika hakika na kweli tusichukulie masihara hata kidogo ktk kubadili mwenendo wetu, wapo ambao wameujua ukweli lkn tayari wamekwisha kuchelewa maana walishakufa kimwili wakati tayari walishakufa kiroho wanatamani ht wapewe sekunde 1 tu waje watengeneze lkn hakuna nafasi tena, sasa ss bado tupo hai nafasi tunayo kwanini tufanye migumu mioyo yetu.barikiwa mtumishi wa MUNGU.lkn pia usijal kupingwa maana ndio lilivyo neno la MUNGU walioitwa ni wengi lkn wateule ni wachache.BWANA tupe mwisho mwema AMEN
@annehaysanday9214 Жыл бұрын
Ee Mungu katika ghadhabu yako kumbuka rehema.Hakika ni Mungu anasema na sisi mwenye sikio la kusikia na asikie na kurudi kwenye njia impendezayo Mungu.
@marianaduncan63302 жыл бұрын
Nakupenda sana BABA yangu wa mbinguni YESU KRISTO, Utukufu na heshima ni Kwako milele na milele, Ameeen
@liliankwayosa59102 жыл бұрын
Amina,hakika tumlilie Bwana Yesu aturehemu
@rechomethod82882 жыл бұрын
Asante kwa kumutumia mtumishi wako
@faithlutembeka52162 жыл бұрын
Ujumbe ni mzito Bwana Yesu tusamehe kama taifa na uweke ndani yetu shauku ya kweli katika kutenda kazi yako
@boazkafula17282 жыл бұрын
Asante promover tv nipo Asia nimeupata ujumbe wa Bwana kwaajir ya nchi yetu
@marymbodzembodze27072 жыл бұрын
Amen barikiwen sana watumishi wa BWANA
@emmanuelluhozya39092 жыл бұрын
asante sana mama mtumishi wa MUNGU,umuamini sana mungu ili akutendee makubwa katika jina la yesu 📖📖📖📖🙏🙏🙏🙏🙏🙏🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@Lighthopetv12 жыл бұрын
Mungu akubariki sana dada
@JaneKuyokwa-ng2qf4 ай бұрын
Mungu akubaliki
@carenhilary80672 жыл бұрын
Bwana Asante kweli unatupenda wanadamu,tusaidie Bwana Yesu
@happykajeli54532 жыл бұрын
Amina mzidi kubarikiwa
@mashaurintambala12172 жыл бұрын
Hakika mtumishi kazi ya bwana uliyoagizwa umeifanya, kila mtu kwa nafasi yake anatakiwa kuchukuwa hatua, ubarikiwe sana mtumishi wa bwana.
@الوردالورد-ز4غ2 жыл бұрын
Wow Jactan Msafiri mpaka Bwana Yesu anakujua
@marypeter45842 жыл бұрын
Bwana Yesu Asante Kwa kutupenda, tusaidie tutubu na kuacha yote. Tukurudie wewe Bwana
@mariamyinga21412 жыл бұрын
Bwana Yesu uturehemu tusaidie tusipotee, irehemu nchi yetu utakaporudi utukute tayari kukulaki
@rebeccasaid91812 жыл бұрын
Hongeren kwa kuipata saut ya MUNGU msiiache muitunze n MUNGU mwenyewe mtafka mbal
@isayanyingi66222 жыл бұрын
Promover tv be blessed with God,,,,,ameeen
@mugishomwenda34152 жыл бұрын
Amina mtumishi ninaamini KWAMBA hiyo ni kweli maana hata muonekano wako unakushuhudia KWAMBA umutumishi
@dianaatieno112 жыл бұрын
Mungu akujalie dadangu..sipendi hivi vipawa vita ni mingi
@اماحمد-ض4ه2 жыл бұрын
Bwana Yesu naomba rehema zako kwa kanisa lako na nguvu zaku simama kwenye nafasi
@angelalaizer38952 жыл бұрын
AMEN. SIKIO SIKIA PLEASE. MUNGU ANATUPENDA SANA. INGIENI SAFINANI.
@violetnasimiyu87182 жыл бұрын
Mungu tuhurumie sisi wanao maana tumeacha mafundisho yako utusamehe Bwana.
@quintavitalis926 Жыл бұрын
Shuhuda za promover , zinabadilisha maisha hakika MUNGU yupo
@perischari36302 жыл бұрын
Bwana Yesu Kristo aturehemu na dhambi zetu zote.Ahurumie kanisa na taifa
@annehaysanday9214 Жыл бұрын
Ujumbe umetolewa vizuri sana na unaeleweka vizuri.
@rosepeter89962 жыл бұрын
Following...niyasikie yaliyo mema.🙏
@margretokuku82202 жыл бұрын
Mungu. Anisaidie. Na. Anibadilishe. Nitembea. Uwepo. Wake. Na. Nifanane. Na. Yeye
@wanjakaranja77002 жыл бұрын
God bless you all
@editarichard35902 жыл бұрын
Amina
@bubasharajabu30682 жыл бұрын
amen mungu akulinde
@joswamjosiabagenda49792 жыл бұрын
Mhh .....Luka 12:2 "Lakini hakuna neno lililositirika ambalo halitafunuliwa, wala lililofichwa ambalo halitajulikana." Nasema Tutakutana langoni pa Bwana,
@liesharehema51932 жыл бұрын
Dada kapige goti Tena muulize MUNGU kuhusu kufunika kichwa na kusuka nywele
@BerylSeer12 жыл бұрын
Welcome God I to Us also
@lukresiajohn26872 жыл бұрын
Amina mtumishi wa Mungu
@veronicakiganga45472 жыл бұрын
Hebu ona Mungu anavyotupenda nchi ya Tz. Kumbe ndio aliotuchagua Tz tuwe watu wake lkn tumemwacha Bwana na kumchukiza kwa njia zetu mbaya. Basi na tumwangukie Bwana na kutubu na kuziacha njia zetu mbaya na kumrudia Mungu. Amesema atatusamehe. Hebu ona anavyoililia nchi yetu Tz. Hebu na tumlilie na kujutia njia zetu mbaya na kutubu na kumrudia Mungu haraka. Ee Mungu turehemu Tz.😭😭😭
@edgarmagele87842 жыл бұрын
Msiamini kila roho zijalibuni muone zinatokana na Mungu wa mbinguni Roho mtakatifu hajashindwa Jambo lolote mpaka Yesu aje kabla ya wakati hizi ni nyakati za hatari watajitenga na Imani wakisikiliza roho zidanganyazo na kufuata mafundisho ya mashetani
@hope308072 жыл бұрын
Mungu ni Mungu mwenye wivu na huwa anashuka kama mtamuhitaji sio uongo
@zipporahmibei90072 жыл бұрын
Amen amen mungu aturehemu sana, tuombee watu wapate ujumbe huu
@shamimomuka60852 жыл бұрын
Tukae kwa Mungu Wapendua
@marthamwakatobe15962 жыл бұрын
Mungu tuhurumie kanisa lako la Tanzania
@jackiemaggy24842 жыл бұрын
Ameeeeeeeeeeeeeen
@josephmutemi74942 жыл бұрын
Ameeeeeeeen
@drcharleskabigumilatb2 жыл бұрын
Jesus loves Tanzania
@godrivernicholous35362 жыл бұрын
Kina Eva tuna vipawa vya kinabii vikubwa sana sema tunavita kubwa sana mpaka unachanganyikiwa jamn eee Mungu tusaidie tufike tunakoelekea
@fr.deogratiasmahinbali33062 жыл бұрын
Naupenda Ufunuo wa Ujumbe huo...
@elizalaya78872 жыл бұрын
Mungu tusaidie waja wako
@idahnachona81892 жыл бұрын
Binti hakika umesikia kutoka kwa Bwana, hiyo huduma ni kubwa sana hapo mtandaoni hapatoshi, muombe Mungu akupe mpango mkakati ili uweze kuifikia Tanzania nzima
@الوردالورد-ز4غ2 жыл бұрын
Mtoto wakike huyu ako na majibu kama ya ufufuo na uzima Mungu ni mwe ma kweli
@Jesus-saves-today2 жыл бұрын
Bwana Jacktan, je inawezekana ukuwe unalomba watoaji wa ushuhuda wawe wanaanza na ujumbe kwanza kisha ushuhuda ya maisha yao? ginsi alifanyaka Josephine Samson? tafadhali bwana.
@PROMOVERTVLive2 жыл бұрын
Amen, sawa asante kwa maoni mazuri
@Jesus-saves-today2 жыл бұрын
aasante sana kwaku sikiliza bwana Jackan, Mungu akubariki!!
@fridahjerop86372 жыл бұрын
@@PROMOVERTVLive naomba ikiwezekana kila ushuhuda ianze na maombi kwa sababu mapepo hujaribu sana kudistract watu ili wasiconcentrate na ushuhuda.
@josephatjoseph17552 жыл бұрын
Kabla sijaendelea kuangalia huu ujumbe Mungu alimwambia nini kuhusu kusuka
Roho Mtakatifu atusaidie. Tanzania tusiache kuomba rehema na Neema
@LucychotaLucychota4 ай бұрын
Dada tumeongea vyema Sana tubadilikeni jamani watu kweli wanatoa Sana kafara za watoto
@delphinawambura8542 жыл бұрын
Mung atupe hekima na ufunuo katika kumjua yeye.
@lucywilson58752 жыл бұрын
Bwana aendelee kutusafisha hadi wakati wakutwaliwa
@vehaelkamene2912 жыл бұрын
Bwana Yesu Asifiwe sana. Je, ni miujiza gani huyu ninyi anatenda kwa watu walio na IMANI? Yupo binti mdogo huko RORYA MKOA WA MARA alipokuwa na BIKIRA MARIA na walio na IMANI wanaombewa na wanapona pasipo kujali DINI ZAO. "MUNGU AKUBARIKI KATIKA UTUMISHI WAKO"
@Esther-Bri2 жыл бұрын
Tubadilike tumrudie MUNGU
@الوردالورد-ز4غ2 жыл бұрын
Siku hizi watu wakiwa na ujumbe wakupeana wanakimbilia channel hii ya promover
@liesharehema51932 жыл бұрын
MUNGU WETU NI MKUU SANA
@Laban-J-Mkanda2 жыл бұрын
Zijaribuni Roho.....kama Ilitoka Sauti ikizungumza na wewe(masikioni) ikisema kua Ni Yesu basi huyo Ni Shetani. Na Nina uhakika huyo si Yesu kwa ufupi.
@joswamjosiabagenda49792 жыл бұрын
Yawezekana we ni miongoni mwa wtoa kafara, maana kumpinga jambo Lilo wazi ni ushetani kabisa
@Christendom-c8d2 жыл бұрын
Taratibu hapa @Rebean TV, mambo ya rohoni ndugu, yana ufahamu wake, kwa sababu haya mambo hayatambuliki katika namna ya mwilini, kwa hiyo kabla hauja mpinga huyu dada ni vyema ukaenda kumuomba na ww kwanza Bwana Yesu, akikukwambia kuwa huu ujumbe haujatoka kwake, na ndio wewe na uwe na ujasiri wa kumpinga huyu dada, tofauti na hapo tusikilize tu.
@Laban-J-Mkanda2 жыл бұрын
Zijaribuni Roho.
@janemujuni7642 жыл бұрын
@@Laban-J-Mkanda Kuzijaribu Roho kunategemea ufahamu wako ktk NENO na Nguvu ya ROHO MTAKATIFU uliyonayo.Kupinga siyo dawa Cha msingi,Jiulize,Je,ujumbe una uhalisia katika KANISA la leo? Kisha chukua hatua ikupasayo,
@flm15302 жыл бұрын
Ni heri ukanyamaza ukute ni kweli YESU amesema nae unajiingza kweny hukumu mwenyew
@bupedonald52972 жыл бұрын
Tujeukie toba Kwa nehema ya sasa
@christinenelima26412 жыл бұрын
Eeee MUNGU tusamehe
@victorbeno2 жыл бұрын
Yeye ameruhusiwa kuacha kichwa wazi
@geofreypangani4282 жыл бұрын
Acheni msiamini Kila roho nyingine ni za Kishetani mbona hamsomi maandiko kueni macho huu ni wakati wa mwisho shetani hashindwi kuya Fanya hayo kesheni mkiomba Yesu gani anae kuja kwa mtu MMOJA MMOJA??? Maandiko hayasemi hivyo !!!!!
@miltonjohn9779 Жыл бұрын
Wewe acha ujinga wako, pereka mafuta Yako ya upako huko.
@kbabyshorts..4152 Жыл бұрын
Hehehe jitahid ukue kwenye neno..kila nabii alikuwa mmoja mmoja ..ata nabii akiwa kat ya watu Mungu hujitambulisha kwa ndoto..sasa ndoto unaotaga na wenzio. Heb read your bible
@IsmailMaberiАй бұрын
Ebu niambie Ni wapi yesu alishuka Kwa group
@devissyprian93482 жыл бұрын
Wambie hao watu wafunike kichwa chao na wao wamekwama hapo na hakuna mchungaji wa kike
@flm15302 жыл бұрын
Usikimbilie kuhukumu tu ww sikiliza ujumbe kuhusu kusuka au uchungaji ni wao na MUNGU wao wewe iponye roho yako kwa kutii
@janemujuni7642 жыл бұрын
Kwa YESU wote ni wanawake Ndio Maana tukaitwa KANISA BIBI HARUSI WA YESU,na Ndio Maana akamtuma ROHO MTAKATIFU agawe karama, vipawa na huduma za Roho Mt kwa wote waliomwamini,Kama apendavyo Roho Mtakatifu,
@sadyrajabu93182 жыл бұрын
Huyu yesu anatokeaga wa Afrikaans tuu marrkani anauwa watuu uarabu China hua hawatokei hahahahhaha
@gracemakoba33012 жыл бұрын
Search Sid Roth supernatural utakuta wazungu wakishuhudia pia Yesu anasema nao.
@vivianadiang25012 жыл бұрын
Wewe ndio haujaskia Mungu anaongea na watu wote nimeskia ushuhuda za kuzimu na mbinguni kwa watu wa ngozi nyeupe. Dumu kwa kristu tu utaona mengi
@joshuamakota67142 жыл бұрын
Yesu amechoka kutambishiwa na shetani?? Mara Yesu hataki tena msamaha wa hao watu, ndugu zangu shuhuda hizi hata itoke kwa nani na imtaje yesu kiasi gani tuzipime kwa biblia, kama jumbe zake haziendani na biblia hata kwa neno moja tu, tuwe macho. Kumbukeni hata kudanganywa pia ni dhambi maana tumepewa biblia na upeo wa kuchanganua mambo kwa msaada wa roho mtakatifu.
@Christendom-c8d2 жыл бұрын
bwana Joshua, kwani hapo Roho mtakatifu anakuambia nini kwa habari ya huu ujumbe? umetoka kwa Yesu au haujatoka kwa Yesu? maana Roho mMtakatifu hushuhudia pamoja na roho zetu.
@joshuamakota67142 жыл бұрын
@@Christendom-c8d baadhi ya mambo ambayo anatushuhudi kwamba yalitamkwa na Yesu hayaendani na biblia, mfano, kwamba yesu hataki tena toba za watumishi ambao hawana kweli ndani yao, Bwana anawapenda na annawasihi waje kwake wala hachoki kuwangoja, bado mlango wa rehema ungali wazi kwa kila atubuye.
@motelutula33802 жыл бұрын
@@joshuamakota6714 Kasome kwenye Biblia kilichomtokea sauli! Samweli alimwombea toba sana lakini Mungu alisema amemkataa kabisa na hakumsamehe! Mruhusu Roho Mtakatifu akufundishe mpendwa! Usiwe mpinzani wa vitu bila kumuuliza Mungu
@joshuamakota67142 жыл бұрын
@@motelutula3380fundisho hilo halihusiani na kilichosemwa hapo, muombe Mungu akupe upeo wa kuyachunguza maandiko na sio kukubali kila unachoambiwa, maana mwovu ameulewesha ulimwengu kwa mvinyo wa mafundisho ya uongo.
@motelutula33802 жыл бұрын
@@joshuamakota6714 Pole!
@salomenachunga35902 жыл бұрын
Mh
@sadyrajabu93182 жыл бұрын
Hahhahahha wakiristu mnafaa kua wa wasann
@charlesmapunda59052 жыл бұрын
Ukiwa msanii wa Kikristo ni raha sana kwasababu unakua kioo cha Jamii, lakini na utakua unaokoa Roho nyingi zisiingie Jehanam, kuliko kuwa Muislam alafu humjui Roho Mtakatifu ila Majini ndio Waislam wanawajua kwasababu Muhammad mtume wa Waislam ndio Nabii pekee kutokea Duniani ambaye aliwasalimisha Majini baada ya kusikia Qurani wakaipenda sasa hapo ndipo inapokuja swala la wengine kukwambieni Uislam ni Dini ya Shetani ndani
@@charlesmapunda5905 hivi hujiulizi huyomungu ajitokezi kwawatu wapalestin ajitokezi huko kwawatu wanao kufana njaaa ajitokezi mataifa yenyevita kuwaambia wache vita akujitokeza kipindi chakorona kusaidia wanadamu eti ajitokeze kwa wa Afrikaa wa tanzania hahahahha dahhh nyie bwana
@sadyrajabu93182 жыл бұрын
@@charlesmapunda5905 mfano uliowazi hata hao wanao angukaga mapepo kanisani ote nimasikini kwani matajiri hawanaga mapepo
@charlesmapunda59052 жыл бұрын
@@sadyrajabu9318 Fatilia walio wengi wanao anguka Mapepo kanisani historia yao ni Waislam au watu waliotoka kwenye koo za Kichawi au Wanaopenda mambo ya Shirki. Mungu hana Mipaka ya kutokea Mtu isipokua kwa Taifa kama Palestina hata Mungu kutikea ni ngumu kwasababu lile Taifa lina muabudu Allha na sio Yesu au Mungu wa kweli hivyo hata akiwatokea ndio wale wanatokewa lakini wanaambiwa wakavae Mabomu ili wakaue watu wasio na Atia sasa ukicheki hapo Mungu wa kweli hawezi ruhusu huo upuuzi wa Kujilipua ni Allha pekee ndio anadanganya watu watende dhambi ya kuua
@56manya2 жыл бұрын
The Lord is telling us so much. But what He is saying is true Go look for the book of Enoch, listen to Anna Rountree‘s testimony and listen to the final quest by Rick Joyner. So much these people are telling some deep truth that the church doesn’t know anymore because it has prostituted itself with the world that it doesn’t even recognize what Holy and what’s not. Lord Jesus forgive us. Holy Spirit help us.
@Christendom-c8d2 жыл бұрын
The challenge of the church right now is we can't access the present truth from the Lord, only filled with history and doctrines, and when the Lord tries to say something we resist it and fight it......And it's truth Rick Joyner spoke about the deep thing concerning the church and when you try to compare them with our current situation, it feels like he was talking about some kind of fiction, The glory the Lord has for the church is mind blowing, but look at us, always learning but never come to the knowledge of the truth.
@56manya2 жыл бұрын
@@Christendom-c8d It's such a sad state. How this hurts the Lord. I remember listening to th final quest and I couldn't stomach it, I had to repent each time I listend or just sit and soak and reflect on my ways cause I realised each time how off the path I was. The same with Enoch and Anna Rountree.
@clarahmbala66112 жыл бұрын
hivi dadangu wewe uliruhusiwa kusuka
@fridahjerop86372 жыл бұрын
Hajasuka ameblowdry nywele.
@clarahmbala66112 жыл бұрын
@@fridahjerop8637 nimemsikia akisema kuwa kazi yake niya saloon ndo manake nimeuliza hivyo coz hata mimi husuka nikapata riziki yangu
@lydiamichael55092 жыл бұрын
Amina
@christinajohnmbwambo17822 жыл бұрын
Mungu atusaidie neema yake yatosha.
@stephenmisungwi60722 жыл бұрын
Ninyi mnaodhihaki ujumbe huu mungu Awarehemu!Yani Awe Shetani atoe ujumbe wa kulionya kanisa litengeneze toka lini!