KATAZO LA MAPAMBO NI LA BWANA,ALINITHIBITISHIA MUNGU MWENYEWE•Ushuhuda wa Doreen aliyeoneshwa kuzimu

  Рет қаралды 59,568

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Күн бұрын

Пікірлер: 408
@mwangazakanganga8110
@mwangazakanganga8110 2 жыл бұрын
Kila siku Mungu wetu mwema anatuongezea ufahamu, akili na hekima ya kuepuka dhambi! Yaani kama ni mwalimu aliyetunga mtihani basi anatupatia majibu ya mtihani aloutunga, what a great love! Thanks Lord, Thanks Baba! Tegemeza hatua zetu tupite salama na mwishoni tufike kwetu nyumbani, mahali wewe ulipo Baba 👏
@marietamgwadi2097
@marietamgwadi2097 Жыл бұрын
Barikiwa mama shuhuda ni nzuri ila Mimi ninaombi msibaki kushuhudia mitandaoni kuna sehemu watu hawana cm kubwa tokeni mitaani mikoani vijijini mshuhudie watu wapate kufunguliwa mfuate mfano wa yesu alihubiri sehemu mbalimbali sio kwenye mitandao
@marymwapiya1274
@marymwapiya1274 2 жыл бұрын
Amina tunazidi kujifunza zaidi nakumbuka wakati tunakua mchungaji wetu alikuwa anatuonya sana kuhusu hivi vitu ,na wakati mwingine tukawa tunaona kama mchungaji ni mshamba kumbe mchungaji wetu alikuwaga sahihi na mama alikuwa mkali sana tukawa tunasema mama tunaenda na wakati ,kiukweli mama alikuwa hapendi kabisa tuvae hovyo ,tujipambe ila namshukuru Mungu kwa kunipa neema hii ya kujua kumbe mchungaji wetu alikuwa sahihi kabisa .Mungu anazidi kutuondoa kwenye upofu wa dunia hii oooh hallelujah 🙌 Mungu unatupenda sana ila wanadamu hatupendeki .
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 2 жыл бұрын
Ninejkuta nkiloia
@corjanvanderjagt6676
@corjanvanderjagt6676 2 жыл бұрын
Mungu akubariki Mtumishi.
@hamidouhassan7857
@hamidouhassan7857 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana nduguyangu
@pelecymsemwa8107
@pelecymsemwa8107 2 жыл бұрын
Asante Yesu. Naomba tusaidie tubadilike
@mukanyemeraclaudine984
@mukanyemeraclaudine984 2 жыл бұрын
Balikiwa mama unasema kweri
@JacksonNkone-eq7nr
@JacksonNkone-eq7nr Жыл бұрын
Usiwe na moyo mngum kama wa farao fanyia kazi haya maneno ya mungu ili upoye
@carendeborah5687
@carendeborah5687 2 жыл бұрын
Wenzetu wanafikiria wakifa,huko wanaenda waenda kupumzika,,wale waliotembea katika mwili ni shida mingi Kwa zingine ila waliotembea Kwa roho na utakatifu ndio wanaenda kupumzika.Maisha ni safari.Mungu na atufungulie mengi sisi ambao tungali hai,Bado tupo na wakati wa kutubu.
@kamwelameshack4795
@kamwelameshack4795 2 жыл бұрын
Yesu mzuri sana anatutengeneza ,vema kutii ili kutopishana na Mungu asante Yesu kwa ujumbe kupitia promover TV nimebadilika
@dodotsere8795
@dodotsere8795 Жыл бұрын
Hata siamini mi leo naenda mjini sijapaka jamani wanja lipstick. Nywele nilikuwa nazo ndefu ka za mhindi sema nilitia dawa. Nikanyoa nywele zangu nzuri. Kazini walinishangaa mno. Ila mi natafuta mbingu.
@sophiamakani6133
@sophiamakani6133 2 жыл бұрын
Nilikua nasubiri saa Mungu turehemu wanao asanteni kwa ushuhuda huu be blessed.
@esternsimbila5359
@esternsimbila5359 2 жыл бұрын
Daaah,Mungu ni mwaminifu nimekuwa nikipinga sana kuhusu mapambo na mda mwingine nilipinga hata kwa kutumia maandiko na nimekatazwa sana kujipamba lakini nilipinga Leo nimesikiliza ujumbe huu moyo wangu umefadhaika sana nanajutia nafisi Mungu anakusudi na Mimi,Mungu atusaidie sana na atusamehe
@مريمالشمراني-ظ7ط
@مريمالشمراني-ظ7ط Жыл бұрын
Amen amen MUNGU anatupenda Ila mutumishi nko na swali na je wakati wa arusi iweje
@odettekisula5945
@odettekisula5945 2 жыл бұрын
Mama Mungu akubariki sana, nimefarijiwa na maneno haya kabisa
@atiejodongo2410
@atiejodongo2410 2 жыл бұрын
Asante sana mama mtumishi. Nina swali kuhusu hiyo unayoliita, twende kiliyoni hiyo ni aina gani ya nywele. Kiswahili chenyu kinatupita sisi wa 🇰🇪 ninakuomba kujua kama ni nywele bandika ama ni style gani hiyo ya nywele. Barikiwa sana 🙏🙏
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Kwa kiswahili yenu Kenya mnaita Lines
@aishaidrissa6133
@aishaidrissa6133 2 жыл бұрын
Chanzo Cha dhambi zote ni tamaa ya macho,tamaa ya mwili na kiburi,wanaojippamba wanatamani Visio vyakwao 1yohana2:15-17,s Hata shetani alitamani kuwa kama Mungu ndio anguko lake,Hawa alitamani kula tunda
@anitasamson7850
@anitasamson7850 2 жыл бұрын
Katika ushuhuda wa Lufumiwayo Adibayo miaka 990 katika ufalme wa giza alisema aliona wanaume ni wengi Mbinguni kuliko wanawake kisa mapambo yaliwazuia. Akasema mwanamke mmoja mtumishi mkubwa aliyekuwa na kanisa kubwa alifanya kazi ya Mungu kwa uaminifu lakini alitupwa jehanam kisa alikuwa amevaa tuhereni tudogo dogo masikioni.. I was very shocked ilinifanya nichukie sana mapambo. Mungu tuhurumie.
@phynnie
@phynnie Жыл бұрын
hiyo ni uongo
@yesuanikumbukejanuary8363
@yesuanikumbukejanuary8363 Жыл бұрын
Kwakweli MUNGU atusaidie.
@yesuanikumbukejanuary8363
@yesuanikumbukejanuary8363 Жыл бұрын
​@@phynniesiyo uongo mpendwa nikweli kabis
@حسن-ح7م1ق
@حسن-ح7م1ق Жыл бұрын
​@@phynniewho told you ni uongo? Lakin ukiambiwa shetan alisababisha ajali una amini majini unaamin yapo lakn y Mungu uongo ushindwe katika jina la yesu
@lydiahnabwire128
@lydiahnabwire128 Жыл бұрын
​@@حسن-ح7م1قA big Amen
@joycemwalongo6729
@joycemwalongo6729 2 жыл бұрын
Asante Bwana yesu kristo kwa kunionya ww ni mwema na mwenye huruma nyingi kwetu nashukuru
@Esther-Bri
@Esther-Bri 2 жыл бұрын
Huu ni ushuhuda mzuri Sana Wa kutuelimisha sisi wanawake na wanadada bali Siku hizi wanawake hawataki kuambiwa ukweli, MUNGU MUUMBA Wa MBINGUNI Aturehemu
@NANCYOBURA-co5ph
@NANCYOBURA-co5ph 9 ай бұрын
I beliv u madma....may GOD bless you even more for this testimony
@lovenesswalter6650
@lovenesswalter6650 2 жыл бұрын
Promover Mbarikiwe sana... Mungu awatetee na kuwatunza
@حسن-ح7م1ق
@حسن-ح7م1ق Жыл бұрын
Now i know why am natural nkipaka makeup najkuna mosturising unaamka uso umefura vipuli nawashwa kumbe Mungu hapendi nywele nkisuka nawashwa alaf nmelipata somo mapema nkitaka paka nywele piko alaf kila siku najikaza kukuza nywele ili watu wazione
@ridiajofrey8276
@ridiajofrey8276 Жыл бұрын
Asante mtumishi kwa kutufundisha kuusu mapambo
@rebekamuhili250
@rebekamuhili250 2 жыл бұрын
Amina Mungu atusaidie tupate hekima na màarifa,,naomba kujua jambo hili ni maono au ndoto tu nalikuwa usingizini nikaona ishara angani kama vile anga linafunguka baada ya kuona hivo rohoni nikajua unyakuo umefika mara nikaanza kuomba toba Kwa sauti kubwa sana,,tafadhali nahitaji msaada
@ResparGirbert
@ResparGirbert 4 ай бұрын
Bwana akubariki sana Mtumishi wa Mungu kwa Neno la kutuonya kuhusu mapambo barikiwa pia kwa ushuhuda umenitia moyo na nimeinuliwa ki imani Asante Bwana Yesu kwa kunena nami🙏🙏
@salomekemunto1373
@salomekemunto1373 2 жыл бұрын
AMINA AMINA Mchungaji,aliye na masikio na asikie kwa kuwa Ni neno la unabii.barikiwa Sana.
@piliechildofkingjesus4594
@piliechildofkingjesus4594 2 жыл бұрын
Ni upendo wa Mungu Yesu Kristo kueza kutufunulia haya mambo kwa msisitizo. Mungu atusaidie tueze kutii
@Annsikoboy-ut8bs
@Annsikoboy-ut8bs Жыл бұрын
Watu wengi wametoa ushuhuda wa namna hii sana. Wanatukatasa tuache mabaya yote ili tuwe watakatifu. Jameni, tuwasikilize. Mtu kukuonya uwache dhambi tusimkashifu...
@gracekariuki236
@gracekariuki236 2 жыл бұрын
I am guilty of this sin. Kesho nitaitisha wigi niliyopeana. Asante Mungu kwa ujumbe huu.
@miria659
@miria659 2 жыл бұрын
Napenda kukaa nikiskia hizi shuhuda sababu staki kuteleza ata kidogo.napenda hizi shuhuda especially ya jakubu kutoka Nigeria nimeskiliza mara nyinyi sababu staki kupotea promover more blessings
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Amen
@Neemakilimba
@Neemakilimba 2 жыл бұрын
Naombeni no Mama Mchungaji
@jacynterjuma120
@jacynterjuma120 Жыл бұрын
I thank God Kwa sababu ya mafundisho, Kuna mahali imentoa Mungu akubariki sana Mama mchungaji
@simonrevelian8372
@simonrevelian8372 2 жыл бұрын
Mhhu..kwa matengenezo Haya hakika Yesu anawaandaa watu wake waliokuwa wamepotoshwa kimaandiko ili alichukue kanisa lake
@annak6738
@annak6738 2 жыл бұрын
Ujumbe mzito sana huu,Mungu Atusaidie.Tunaomba Namba ya Simu ya huyo Mtumishi wa Mungu tafadhali.
@selismshindi328
@selismshindi328 2 жыл бұрын
Mungu akutie nguvu zaidi na zaidi na kuzidi kufanya kazi yake mama mchungaji
@michaelngomalala
@michaelngomalala Жыл бұрын
Barikiwa mama MCHUNGAJI wangu
@debbiebhappy9299
@debbiebhappy9299 2 жыл бұрын
Wow, you just answered all my questions. Be blessed
@loycep7785
@loycep7785 2 жыл бұрын
Barikiwa sana sana Promover Tv kwa kutuletea ujumbe huu
@RaymondMaleloSungura
@RaymondMaleloSungura Жыл бұрын
Ubarikiwe mama .
@اماحمد-ض4ه
@اماحمد-ض4ه 2 жыл бұрын
Amina Barikiwa mtumishi kwa ujumbe mzuri
@pastorsaraphina1232
@pastorsaraphina1232 2 жыл бұрын
Amina kubwaa Mungu atusaidie ktk hili
@bubasharajabu3068
@bubasharajabu3068 2 жыл бұрын
amen mungu akubariki sana
@paulwaweru3513
@paulwaweru3513 Жыл бұрын
Ameen May God keep us in Righteousness
@getruderichard2801
@getruderichard2801 2 жыл бұрын
Mungu atusaidie kutiii,barikiwa mtumishi wa Mungu
@bernadetteshukuru9154
@bernadetteshukuru9154 2 жыл бұрын
Mungu aku bariki sana iyondiyo kweli kabisa Mungu akuzidishiye nguvu amen amen
@TusaKiblaga-vp9jg
@TusaKiblaga-vp9jg 4 ай бұрын
Barukiwa mtumishi Asante naomba Mungu azidi kunigusa niche kila kitu nilijua kusuka kawaida si dhambi ila Mungu anisamehe kwa yote niwe kama nilivyo zaliwa kweli sikuha nakitu
@loycep7785
@loycep7785 2 жыл бұрын
Eee Mungu atusamehe na kutotii maagixo ya Mungu Tunapuzia maandiko ya Mungu tunaangalia wanadamu tukijiona tuko sawa Mungu atusaidie Barikiwa mama mwenzetu kwa ushuhuda huo unaojenga ufalme wa Mungu
@NeyNico-w4q
@NeyNico-w4q Жыл бұрын
Ameen
@janeysemagogwa2670
@janeysemagogwa2670 Жыл бұрын
Barikiwa mama yangu wa kiroho
@beatricendikumana8776
@beatricendikumana8776 2 жыл бұрын
Asante Mama Yani ninasoma kitu hapo Mngu akubariki sana na tena unapendeza
@Mwesige-s8q
@Mwesige-s8q Ай бұрын
MUNGU Nitie nguvu 💪🔥 ya kushinda ulimwengu wote
@violetnasimiyu8718
@violetnasimiyu8718 2 жыл бұрын
Amen Mungu azidi kukutumia kwa viwango vya juu sana.
@aishaidrissa6133
@aishaidrissa6133 2 жыл бұрын
HAKUNA MWEMA ILA MUNGU LUKA18:18;unataka kuwa MWEMA sahihi mtakatifu shika neno lake linavyosema mtafute yeye SI dini Wala dhehebu au mtu,madhehebu yote hayako sahihi SI katoliki Wala walokole WOTE SI wema,shika Mungu atakusahihisha makosa yako yote Amina
@cornelgwarda3849
@cornelgwarda3849 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana
@lydiamichael5509
@lydiamichael5509 2 жыл бұрын
Ujumbe mzuri sana mtumishi wa Mungu barikiwa kwa kutufunulia zaidi jina lake kuu la Yesu kristo aliye hai lizidi kuhimidiwa milele na milele Amina Amina
@mputaostin3077
@mputaostin3077 2 жыл бұрын
Thanx for this message be blessed.
@esthercharo695
@esthercharo695 2 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi wa mungu nmepata kitu kwako
@rehemaabinelynyagawa2878
@rehemaabinelynyagawa2878 2 жыл бұрын
Amen ubarikiwe Mtumishi wa Mungu
@nurumwita9034
@nurumwita9034 2 жыл бұрын
Nimetetemeka napaka moyo na Mimi napendaga kujisukamabutu nywele natural Mungu nirehemu niweze kuacha nirehemu eeeh Yesu.
@marianaduncan6330
@marianaduncan6330 2 жыл бұрын
Ameeen,Acha kabisa kusuka nywele
@rehemachacha2365
@rehemachacha2365 2 жыл бұрын
Hata me mabutu nafunga mda wa kulala
@marianaduncan6330
@marianaduncan6330 2 жыл бұрын
@@rehemachacha2365 Acha kujifunga hayo mabutu hata wakati wa kulala
@rehemachacha2365
@rehemachacha2365 2 жыл бұрын
Sasa niwe nazifanyaje nywele zangu maaana zinaurefu kidogo
@marianaduncan6330
@marianaduncan6330 2 жыл бұрын
@@rehemachacha2365 zichane tu zitakuwa vizuri na kuzifuga zitakuwa vizuri tu,funga kitambaa wakati wa kulala
@gloryemanuel7104
@gloryemanuel7104 Жыл бұрын
amen asante kwa ushuhuda nataka kujua haya mawe MUNGU aliyotupa tunafanyia nini
@isayanyingi6622
@isayanyingi6622 2 жыл бұрын
I don't have any word to tell those member of promover tv but Jesus help them in each and every thing ameni
@annabyekwaso-wt7oi
@annabyekwaso-wt7oi Жыл бұрын
Haki zetu kama hazizidi za mafarisayo hatutaingia.Wamama wa kiislamu wanafunika vichwa.Mungu aturehemu sana wanawake wakikiristo.
@jackiemaggy2484
@jackiemaggy2484 2 жыл бұрын
Thanks dada kwa mafundisho
@fridafrida7665
@fridafrida7665 2 жыл бұрын
Thanks God bless you mother
@doricemrema2177
@doricemrema2177 2 жыл бұрын
Asante Mungu Kwa neema yako yakunibadilisha
@rabiakitigwa9120
@rabiakitigwa9120 2 жыл бұрын
Namshukuru Mungu kwa ushuhuda huu umenibariki sana Mungu aendelee kukutumia ili wengi tupone
@lilianmboya1666
@lilianmboya1666 2 жыл бұрын
Mama kazi yako ni nzuri sana...Nakupenda mama yangu mzuri barikiwa mnno♥️
@janengaga2928
@janengaga2928 2 жыл бұрын
Njia ni nyembamba imesonga kwelikweli.waionao ni WATAKATIFU kweli.washikao neno Bila kupunguza
@geitandelwa299
@geitandelwa299 2 жыл бұрын
Yes MAKANISANI tumejisahau kusudi la YESU KUTUFIA TINATAKA KUFUKUZANA NA DUNIA HII AMBAYO INAPITA NI BORA USHAMBA KULIKO KILA TAKATAKA ya kuzimu tunavaa
@lydiahnabwire128
@lydiahnabwire128 Жыл бұрын
Ameeen mama asante sana ukipewa ujumbe na Mungu akikisha umetufikishia
@sarahkeivaly3351
@sarahkeivaly3351 2 жыл бұрын
Dada the way ulivovaa mtu hawezi kuamini kama una digrii. Maana dunia sshv mtu ina namna zake wasomi wanavoonekana. Ubarikiwe sana kwa ushuhuda huo
@marlynejordy5508
@marlynejordy5508 2 жыл бұрын
Asante Mungu kwa kutuonya Wewe ni mwenye rehema,mimi niliambiwa mara 2 leo na confirm,asante mama kwa ujumbe uyu walio teuliwa wataelewa na kupokeya.
@orgashayo4562
@orgashayo4562 2 жыл бұрын
Ongera mamy Mungu akulinde sana kwasababu dumia aikubali ukweli Uwe jasili
@سبحانالله-ف7م3ذ
@سبحانالله-ف7م3ذ Жыл бұрын
Amen mama umenifundisha nisiyo yajua ..mungu aturehemu atusamehe na atusaidie kulishika neno lake...,natamani ungekua mamangu unikuze kwenye njia ya mungu
@maggiemamaafricaofficial7080
@maggiemamaafricaofficial7080 2 жыл бұрын
Amen asante ubarikiwe nawe
@salvinaalfred3304
@salvinaalfred3304 2 жыл бұрын
Amen Amen ....ushuhuda wa baraka na ukombozi
@angelanaftael7965
@angelanaftael7965 2 жыл бұрын
Ohhh Mungu wangu nihurumie nisaidie niishi nikupendeza wewe muumbaji wangu ili nifae kwa kazi yako nami nashukua chini magotini naomab rehema tuu Mungu wangu nipate kupona na gadhabu yako
@RebekaVitus
@RebekaVitus 10 ай бұрын
Be blessed
@martinehangi8174
@martinehangi8174 2 жыл бұрын
Mubarikiwe n'a Bwana Yesu.
@rosevahaye2696
@rosevahaye2696 2 жыл бұрын
Nina asante kwa Mungu kwa Ajiri ya Mama huyu umeniokoa nam Naomba Mungu anisaidie Nimuishie Mungu kwa kweli
@naomysamuel6799
@naomysamuel6799 2 жыл бұрын
Amen.. Asante
@PastorPeter00
@PastorPeter00 2 жыл бұрын
Yesu anatupenda Sana hasa sisi ambao tumepata Neema ya kuyasikia haya, ni vizuri tuwajulishe Wakristo wenzetu ili roho zao nao waokolewe na mitego hii ya ibilisi
@GMD820
@GMD820 2 жыл бұрын
Kweli kabisa namshukuru Mungu Kwa kunipa neema ya kupatana na watumishi kama hawa
@appleelia9965
@appleelia9965 2 жыл бұрын
Amina. Tuwaambie kweli ilwasije wakaingia moton. Japo webmngi hawataki kusikia hii kabisa.. Neema ya Mungu izidi kutugusa
@marianaduncan6330
@marianaduncan6330 2 жыл бұрын
Ameeen
@kimsamespa8490
@kimsamespa8490 2 жыл бұрын
@@appleelia9965 hawataki kabisa wamekatalia na wig zao
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 2 жыл бұрын
@@kimsamespa8490 na sjui unaanzaje kumvua Christina shusho au rose muhando wigi😎
@adelaj.k5920
@adelaj.k5920 2 жыл бұрын
Mama Mungu akubariki kwa kutueleza ujumbe huu na Asante Mungu kwa kuendelea kutuonesha njia ya kufika kwako. Mama ungefafanua zaidi aina za mishono gan sio ya kiMungu tuelewe
@anethswilla7563
@anethswilla7563 2 жыл бұрын
Epuka mavazi ya kubana suruari mipasuo nguo fupi nguo zisizo nanmikono yaani vikwapa nguo zinazoonyesha mgongo na mabega kifua wazi nk
@adelaj.k5920
@adelaj.k5920 2 жыл бұрын
@@anethswilla7563 Amen
@nurumwita9034
@nurumwita9034 2 жыл бұрын
Pia angalia online church wanaelezea mishono ya nguo mpaka ufungaji wa vitambaa
@mariamyinga2141
@mariamyinga2141 2 жыл бұрын
@@nurumwita9034 ni kweli imenisaidia pia kujifunza mambo mengi sana
@martinehangi8174
@martinehangi8174 2 жыл бұрын
Mungu akubariki kwa kusema ukweli.asanteni sana.
@AGATHACLAVERYMAKANTA
@AGATHACLAVERYMAKANTA 11 ай бұрын
MUNGU AKUBARIKI SANA MAMA MCHUNGAJI
@Shalom2018
@Shalom2018 2 жыл бұрын
Ahsante mtumishi wa Mungu kwa mafundisho uliyotupa,swali langu kuhusu hizo nywele tunyoe,tuchane tu au tuvae kilemba?na hicho kilemba nje tu au mpaka ndani?
@حسن-ح7م1ق
@حسن-ح7م1ق Жыл бұрын
Ukienda mbele za Mungu funga
@annehaysanday9214
@annehaysanday9214 Жыл бұрын
Mimi nashukuru ila kuna kitu najiuliza juu ya watu wote waliokutana na Yesu sehemu kubwa ni mapambo ya wanawake na inaonekana hii dhambi ya wanawake kujipamba mbele za Mungu ni kubwa sana.Washirikina,mashoga,walevi,wazinzi, majambazi ,wauaji na wachawi hili kundi Mungu hana shida nalo. Dhahabu na pesa ni mali ya Bwana na sisi pia ni mali ya Bwana. Sasa Mungu anawakasirikia sana wanawake wajipambao.Naomba Mungu atupe ufunuo zaidi maana neno la Mungu mara nyingi Mungu huwa anatumia mafumbo.
@phynnie
@phynnie Жыл бұрын
Thank you Anne. Shida iliyopo ni kwamba watu wengi hawajisomei Biblia wenyewe. Wanategemea shuhuda za watu wengine na mafundisho yasio ambatana na Neno la Bwana. Mbali na manabii wa uongo, Bwana Yesu anatuambia pia kutakua na false christs. Shuhuda nyingi siku hizi zina sema ati Yesu amewaonekania. Huyo Yesu anaye waonekania watu ni Yesu Mwana wa Mungu au ni yesu bandia? Pia hayo mafundisho anayo wapa mbona hakufundisha wakati alipokua hapa duniani? Mbona hakuyataja kwenye Ufunuo alio funulia Yohana? Mimi nimeacha kufuatana na testimonies zisizo ambatana na Neno la Bwana. Soma Ezekiel 16:10-13 Bwana anazungumzia Jerusalem kama mfano wa mwanamke anaye pendeza. Mwenyezi Mungu alimpamba Jerusalem kwa upendo naye Jerusalem akawa wa kupendeza. English: 10. I clothed you also with embroidered cloth and shod you with fine leather. I wrapped you in fine linen and covered you with silk. 11And I adorned you with ornaments and put bracelets on your wrists and a chain on your neck. 12 And I put a ring on your nose and earrings in your ears and a beautiful crown on your head. 13 Thus you were adorned with gold and silver, and your clothing was of fine linen and silk and embroidered cloth. Swahili: 10 Nikakuvika vazi lililotariziwa na kukuvalisha viatu vya kamba vya ngozi. Nikakuvika nguo za kitani safi na kukufunika kwa mavazi ya thamani kubwa.11Nikakupamba kwa vito: nikakuvika bangili mikononi mwako na mkufu shingoni mwako, 12 nikaweka hazama puani mwako, vipuli masikioni mwako na taji nzuri sana kichwani mwako. 13 Kwa hiyo ulipambwa kwa dhahabu na fedha, nguo zako zilikuwa za kitani safi, hariri na nguo iliyokuwa imetariziwa. WaTanzania wamezidi na hizi testimonies zao za kuzimu. Mara sehemu 351 za mateso mara kuzimu ya mapambo, mbona msihubiri mambo kama ubatizo na kusoma Neno? Mtu anaweza kuvaa nguo ndefu na kufunga kitambaa kichwani il hali yeye ni mchawi. Genesis 24:53 And the servant brought out jewelry of silver and of gold, and garments, and gave them to Rebekah. He also gave to her brother and to her mother costly ornaments. ISI TOSHE ... kwenye kitabu cha Esther, wana wa israel walikombolewa kwa mkono wa Mwenyezi Mungu kupitia mwanamke mrembo. Esther 2:2 Let beautiful young virgins be sought out for the king. 3 And let the king appoint officers in all the provinces of his kingdom to gather all the beautiful young virgins to the harem in Susa the citadel, under custody of Hegai, the king’s eunuch, who is in charge of the women. Let their cosmetics be given them.
@rosedamiankabesa5092
@rosedamiankabesa5092 Жыл бұрын
Hapo sasa jiulize,ni mapambo tu yaani,hapa kuna shida mahali, halafu Mungu hawezi kufunua kitu ambacho kinakinzana na neno lake, HI I VILEMBA VINA SITUATION NZITO,tujiulize sana,husikii uzinzi,husikii uongo,wanakazania tu vilemba na mapambo,Hebu tusome Ezekiel 16:1-14,Uone Mungu ndiye mwanzilishi wa mapambo, halafu wanabaki kusema mapambo ni ya Yezebeli, issue ni kama mtu atajikita kwenye kujipamba akaiba nafasi ya kumtafuta Mungu na kumuabudu. Au labda pambo hilo liwe lilitoka kiwanda cha kuzimu ndio Roho Mtakatifu atashuhudia watu wake wasitumie. Sasa mbona hadi kuna nguo zinatengenezwa viwanda vya Kuzimu na hawasemi, wanabaki kung'ang'ana vitambaa tu kama vile ndio utakatifu wa kuwaingiza mbinguni,kuna shida kubwa hapa
@ayoubkajaba9173
@ayoubkajaba9173 Жыл бұрын
Hayo mengine yanatajwa Sana Kila siku na Kila mahali na ndiyo Tu yanayochukuliwa kuwa dhambi mbele za Mungu..watu huchukulia mapambo kitu cha kawaida kumbe NI dhambi piaaa na ndio maana Yesu Kristo anataka tupate ufahamu huu pia
@ayoubkajaba9173
@ayoubkajaba9173 Жыл бұрын
Kwa nini tumsahihishe Mungu.Angeweza kabisa kutuumba tukiwa na hayo mapambo; Heleni,nywele zenye rangi ,kucha zenye rangi nk
@marymbodzembodze2707
@marymbodzembodze2707 2 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa BWANA
@rebeccamuigai6693
@rebeccamuigai6693 2 жыл бұрын
Have been waiting, thanks to God 🙏
@saidatowainda525
@saidatowainda525 11 ай бұрын
Mungu wa Mbinguni naomba unipe mwisho mwema
@barakaelias1116
@barakaelias1116 Жыл бұрын
MUNGU akutie nguvu katika kusema neno lake
@salmahassan3521
@salmahassan3521 2 жыл бұрын
sitaki kubisha hila tu Mungu anisaidie niweze kuacha, Mungu alishawahi kunionyesha nikiwa kwenye huduma nikiwa Sina nywele, mda ulifika nikakata lkn baadae nikaanza kusuka tena lkn Sina amani moyoni hata kidogo, viurembo viwe vya shingo mkononi au sehemu yoyote Ile huwa napata shida sana nikivaa Hadi nivue ndo napata amani
@lucykapinga369
@lucykapinga369 Жыл бұрын
ongera hakika kabesa usemayo
@Annsikoboy-ut8bs
@Annsikoboy-ut8bs Жыл бұрын
Ni wazi kuwa aliyekuwa akimjibu maombi yake hakuwa MUNGU wa kweli. Hii ni dhahiri. Mungu wa kweli ameanza kumtokea baada ya wale watumishi kuja kumuonya kuhusu mtundo wa maisha yake. Azingatie kila kilichofundishwa katika Biblia. Ikiwemo mwanamke kuchunga kanisa. Maelekezo yote yamo humo kwenye BIBLIA. Asiendelee kupinga wakati neno limemthibitishia katika hilo la mapambo. Amen.
@nuruulomi5769
@nuruulomi5769 2 жыл бұрын
Mungu atusaidie wapendwa
@aaSs-yf8oq
@aaSs-yf8oq 2 жыл бұрын
Eee Mungu nisaidie nitembee ktk njia zako na niyafanye mapenzi yako nipe kuyachukia mapambo kbs
@lilianmyinga4578
@lilianmyinga4578 2 жыл бұрын
Amina
@SweetStanford-jo8xj
@SweetStanford-jo8xj Жыл бұрын
hakika
@56manya
@56manya 2 жыл бұрын
Promover Tv Mungu akubariki. Ushuhuda mwingi kwa kweli unanipa changamoto, ni upanga wenye makali kuwili wa neno la Mungu. Upande mmoja wa kumkata shetani upande mmoja kuukata mwili wangu(my flesh) , Yesu Bwana wangu nisaidie. Pia mimi nilikuwa nimekariri 1 Peter 3:3 kwa njia iliyo feed my fleshly desires and not truly kilichoandikwa. Nilikuwa nimekariri kama si mapambo ya nje tuu, 🤦🏾‍♀️🙄😫🤦🏾‍♀️🤦🏾‍♀️. I now wonder how much of the Bible have I made to fit my life and my life to fit into Gods ways💔💔. Nimesoma sahii na Mama alipokuwa ywasoma hata nimeshangaa. Haki it’s true my people perish because of lack of knowledge. Forgive me Lord Jesus.
@vivianadiang2501
@vivianadiang2501 2 жыл бұрын
Mungu ni mwaminifu Mungu alisaidia nikatoa yote hadi nywele si songi mimi nafunga kitambaa nikienda kazini hapa ujerumani tena mimi ni Mwalimu. Watu wakivaa almost naked mimi ndio hapo na nguo zangu za adabu na Mungu anatukuzwa.
@56manya
@56manya 2 жыл бұрын
Moin! Bin auch in DE es ist echt krass! The Lord just started opening my eyes like 2yrs ago.
@lucykapinga369
@lucykapinga369 Жыл бұрын
@@vivianadiang2501 Ongera Dia Mim Ndio kabisaaa Nachekwa naonekana kama nimevulugwa wakati mim nimeonyesha niachee .atamimi nipo Germany Dada .
@florachamgeni8557
@florachamgeni8557 2 жыл бұрын
MUNGU akubariki sanaaa Mama,Eeeh YESU nisaidie mm
@lovenesswalter6650
@lovenesswalter6650 2 жыл бұрын
Huu ujumbe ni 🔥🔥🔥
@jeskamgudule6905
@jeskamgudule6905 Жыл бұрын
Barikiwe sana Mama
@evarinenathaniel9838
@evarinenathaniel9838 2 жыл бұрын
Amen.
@Esther-Bri
@Esther-Bri 2 жыл бұрын
AMINA AMINA BARIKIWA Sana mama
@godfreymasawe5753
@godfreymasawe5753 2 жыл бұрын
Amina. Mtumishi nina swali kuhusu pete nazo
@priscaluoga711
@priscaluoga711 2 жыл бұрын
Hata mimi natamani kujua kuhusu pete na saa
@roidayoab9918
@roidayoab9918 2 жыл бұрын
Yesu akubariki sana sana
@Lighthopetv1
@Lighthopetv1 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mama umewajenga wengi
Family Love #funny #sigma
00:16
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 2,5 МЛН
Я сделала самое маленькое в мире мороженое!
00:43
НИКИТА ПОДСТАВИЛ ДЖОНИ 😡
01:00
HOOOTDOGS
Рет қаралды 2,9 МЛН
🕊️Valera🕊️
00:34
DO$HIK
Рет қаралды 14 МЛН
Part6_IJUE SIRI YA MBINGUNI| USHUHUDA WA ESTA MASANJA
31:12
PROMOVER TV
Рет қаралды 26 М.
Family Love #funny #sigma
00:16
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 2,5 МЛН